No video

Mwinyi Amvunja Mbavu Kikwete na Mke wa Magufuli Msibani Vicheko Waziri mkuu na Rais Wacheka

  Рет қаралды 316,460

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

3 жыл бұрын

Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

Пікірлер: 239
@stevewanga957
@stevewanga957 3 жыл бұрын
Huyu alikua Rais wa wapi ...
@esterester4373
@esterester4373 3 жыл бұрын
Wa awam yapil tz
@stevewanga957
@stevewanga957 3 жыл бұрын
@@esterester4373 alikua rais wa Tz pia ...kabla ya Kikwete ama
@esterester4373
@esterester4373 3 жыл бұрын
@@stevewanga957 ,ndy kabl yakikwete,alivotok yy akaja mkapa badal yamkapa ndo kikwete
@stevewanga957
@stevewanga957 3 жыл бұрын
@@esterester4373 ahsanthe sana...alafu huyu wa Zanzibar pia babake alikua Ni Rais ama
@esterester4373
@esterester4373 3 жыл бұрын
@@stevewanga957 ,wasasaiv?
@khalimazuberi4290
@khalimazuberi4290 3 жыл бұрын
Mama yetu Rais Samia Suluh Hassan viongonzi wastaafu wamekupa baraka zote , zakutuongoza simama imara, mtangulize Mungu tutafka kwa Qadar zake. Allah akupe Afya njema.🙏🙏🙏.
@maimunakassim2840
@maimunakassim2840 3 жыл бұрын
Mwinyi ivi nini jamani kutuchekesha ivyo wenzio msibani.tunakupenda mzee wetu mungu azidi kukutunza
@theresiasanka4400
@theresiasanka4400 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu babu!
@omaryjuma1276
@omaryjuma1276 3 жыл бұрын
Huyu mzee nampenda mno mungu akuweke mzee Ali
@estermwigulu7332
@estermwigulu7332 3 жыл бұрын
Hongera mzee wetu mungu akupe maisha marefu
@johnkuma152
@johnkuma152 3 жыл бұрын
Asante sana mzee mwinyi kwa kuagua vicheko kwa mazishi hata watu wasahahu huzuni kidogo hapo. Nimefurahi Janet amecheka leo hata kama tunamzika mpendwa wetu Magufuli🇰🇪.
@500Ashery
@500Ashery 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀mzee we2 mungu ampe uhai mrf
@mussakuntu7702
@mussakuntu7702 3 жыл бұрын
Jamani mpedwa wetu mama janety kacheka utakaa sawa tuu
@blasidajulius2240
@blasidajulius2240 3 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu Rais wetu Ally Hassan Mwinyi tunakupenda sana 😘🥰
@mwajumaabeidy8137
@mwajumaabeidy8137 3 жыл бұрын
Ana miaka 95 ni mzee na amepoteza kumbukumbu nyingi..Kifupi amejitahid , mana uzee ni km utoto .
@doreensamwely8740
@doreensamwely8740 3 жыл бұрын
Kabsa mm nampenda
@alwadialwadi7059
@alwadialwadi7059 3 жыл бұрын
He was born in 1924 now he has 97 years old
@cutiemuhadithu2711
@cutiemuhadithu2711 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rehemaadam3523
@rehemaadam3523 3 жыл бұрын
Hakika ameongea vizuri,kwa umri wake Mwenyezimungu ampe mwisho mwema
@elisantedaniellulu
@elisantedaniellulu 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mzee, Rais Mstaafu Dr. Mwinyi. Nauonea fahari kubwa sana umri wako na jinsi ambavyo bado unaweza kuwa hazina ya hekima kwa taifa hili.
@rajabukimosa3377
@rajabukimosa3377 3 жыл бұрын
Daaah Mzee Mwinyi Amesaidia kupunguza uchungu msibani
@mwanaidhassan9977
@mwanaidhassan9977 3 жыл бұрын
Kabisa ndy faida za wazee
@sanjaruz1993
@sanjaruz1993 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pYeufnd6g5aZqqc
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
bodyguard ako na shida Asipo msikiliza atajiju. Apo yumba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ninabintizion1411
@ninabintizion1411 3 жыл бұрын
Ninampenda rais wetu wa awamu ya pili - ni Babu yetu sasa na amejaribu mno! 🙏🏾
@faridabomba6037
@faridabomba6037 3 жыл бұрын
Tunakupenda Sana baba Mh Rais mzee Mwinyi
@abubakarkhamis1749
@abubakarkhamis1749 3 жыл бұрын
Daah!! najivunia sana kua 🇹🇿 mungu akulaze mahala pema peponi rais wetu mpendwa nafarajika sana kuona upendo wa viongozi wetu mungu azidi kudtudumishia umoja huu amiin
@zainishaludevu5276
@zainishaludevu5276 3 жыл бұрын
Mungu kuweke baba yetu maana umereta faraja msibani
@geofreysomi5915
@geofreysomi5915 3 жыл бұрын
Mzee mwinyi umenifrahisha sana ishi maisha marefu
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 3 жыл бұрын
🤣🤣 mzee yuko vizuri miaka 95 asoma bila miwani mashallah
@magomakabanja4861
@magomakabanja4861 3 жыл бұрын
Ndio kwa sababu alikua anasoma Qur'an tukufu yamempa nguvu ya macho ???
@braysonmajani8129
@braysonmajani8129 3 жыл бұрын
Jamani mzee wetu. Your the best
@kidunguhermanho803
@kidunguhermanho803 3 жыл бұрын
Old is gold tenkx to allah! to have you Mwinyi mungu mkuu akuweke
@ezekielmsaki8900
@ezekielmsaki8900 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 nakupenda sana mzee mwinyi ❤️❤️❤️
@murshidalam9398
@murshidalam9398 3 жыл бұрын
Jmn nimecheka kwanguvu khaa ally apana umenichekesha😂😂😂😂😂 mama samia Allah akuongoze vyema uiongoze Tanzania
@TeamKRX
@TeamKRX 3 жыл бұрын
Utakoma Leo bordgard mwinyi niachie baba mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣
@selenganyagawa1358
@selenganyagawa1358 3 жыл бұрын
Basi Tena mzee wetu, kazi ya mungu hiyo.
@halimagadafi8917
@halimagadafi8917 3 жыл бұрын
😂😂😂inatosha eeeh adi kikwete kachka mpka katoa barakoa
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 3 жыл бұрын
Wamenikera waliokuwa wanamkatisha na kujaribu kumzuia asiendelee na hotuba Baba yetu Raisi mstaafu Mwinyi, naisema kwa dhati, ni utovu wa nidhamu, Mzee wetu ameleta faraja kubwa maana tension ya msiba pia ikapoa kidogo, Mungu akupe afya njema Mzee wetu Mwinyi
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 3 жыл бұрын
Sasa ni wakati wa kumpunzisha Mzee Mwinyi ktk Shughuli za kitaifa.
@mayaally2512
@mayaally2512 3 жыл бұрын
Kwan hapo kakosea nn anatufurahishaaaa
@aminatahsalim4650
@aminatahsalim4650 3 жыл бұрын
Mm mkenya mzee ako sawa sana
@bonifacekimani1640
@bonifacekimani1640 3 жыл бұрын
Wakenya kumbusheni huyu tuko na kibaki, younger than Dr mwinyi lakini....
@iddothmani3273
@iddothmani3273 3 жыл бұрын
Alafu kweli
@shekheally8978
@shekheally8978 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuweka mzee wetu
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Ajui ako chato anaulizia panaitwaje apa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤐🤐
@ramathedon4001
@ramathedon4001 3 жыл бұрын
umri Sio Kosa lake
@zainabomar9139
@zainabomar9139 3 жыл бұрын
Sio yy uzee nika utoto tena hahahaaa lkn sihaba amepunguzia maumivu yakufiwa kias maana mpaka mmayetu mke wamerehem nae amechaka
@ramathedon4001
@ramathedon4001 3 жыл бұрын
@@zainabomar9139 yani kabisa ni utoto kweli
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 3 жыл бұрын
Mwinyi ahsante kwa kuleta faraja penye ukiwa na huzuni!
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 жыл бұрын
Bodigadi wa magufuri sijawahi kumuona anacheka ila bodigad wa husen mwinyi kacheka
@faridabomba6037
@faridabomba6037 3 жыл бұрын
😄😄😄😄😄mh Rais mzee Mwinyi tunakupenda Sana baba
@zephaniaelly2632
@zephaniaelly2632 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba
@rubaletozzy5598
@rubaletozzy5598 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu
@kasigasefu8694
@kasigasefu8694 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@shardalove1159
@shardalove1159 3 жыл бұрын
Mzee rukhsa ALLAH akupe umri
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
🇰🇪NIMELIA MDA MREFU ILA LEO NIMECHEKA🇨🇿 😂😂😂😂 REST IN PEACE MR MAGUFULI 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤲🤲🤲
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 3 жыл бұрын
Nihuzuni isio elezeka😭😭
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 жыл бұрын
Yaan uyu mzee pasua kweli ....ananongonezwa yeye anatoa saut watu wasikie kuwa anaambiwa IMETOSHA .....HAHAHHAAAAA
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Nakupenda Sana mzee mwinyi
@innocentyusuph7762
@innocentyusuph7762 3 жыл бұрын
Kuwa na wazee kama hawa ni starehe sana
@glad4653
@glad4653 3 жыл бұрын
Goodness, he tried. He should be old enough, dementia hapo🤭
@jamessilwamba2862
@jamessilwamba2862 3 жыл бұрын
alikuwa anaitwa mzee ruksa enzi zake maana alikuwa anatumia sana neno ruksa kwenye hotuba zake
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Aki ya Mungu kapunguza huzuni kidogo
@marygregory7566
@marygregory7566 3 жыл бұрын
Ooh babu yetu pole 😭😭😭
@modestakasawa9139
@modestakasawa9139 3 жыл бұрын
Babu yupo vizuri Ana umri mkubwa Ila anaona vizur bila kutumia miwan
@mohammedalnabahan.4127
@mohammedalnabahan.4127 3 жыл бұрын
Innallilah wainnaillaih rajiun, maskini Hayati Magufuli apo alipo saivi kajichokea nafsi yakee hana hata habari nanyinyi yupo ulimwengu mwengine, na anaona vingine, ila dunia imetuteka jamani
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Kaongea ukwel wametumikia miaka yao yote awaja fanya kitu lakini magu miaka miwili tu Tanzania km Ulaya
@shedeck8974
@shedeck8974 3 жыл бұрын
daah, mzee kazeeka kwer...
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
🇰🇪KUMBE SIKO PEKEYANGU NILUNYO PATA MSIBA NILIJIULIZA MASWALI AMBAYO HAYANA KIKOMO NA KUMUULIZA MUNGU MASWALI MENGI SANA ILA DAH REST IN PEACE 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤲🤲🤲 REST IN PEACE MR MAGUFULI🇨🇿
@elwinkomb9558
@elwinkomb9558 3 жыл бұрын
Mzee kaenda age that why
@sabrakassim3413
@sabrakassim3413 3 жыл бұрын
😂😂😂😂nimechek kwa sauty uyu babu anafurahisha kweli😂😂😂😂
@pamelaemmy8180
@pamelaemmy8180 3 жыл бұрын
Moyo wangu nimejikuta unafuraha gafra kuona cheko la mama Janet magufuri
@aliseif8729
@aliseif8729 3 жыл бұрын
Dah yaani huyu mee anachekesha hadi basi🤣
@tausimwaluvalile6491
@tausimwaluvalile6491 3 жыл бұрын
Amewachangamsha kidogo wafiwa,🤣🤣🤣kanifurahisha
@SEDJamii
@SEDJamii 3 жыл бұрын
Kwa wale wapenzi wa simuliz za kweli zenye kutisha na kusisimua. Karibu katika chanel hii. pia utajifunza michongo mbali mbali ya kimaisha....
@homeboy2307
@homeboy2307 3 жыл бұрын
Hilo ndilo tatizo la kuandikiwa
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 3 жыл бұрын
Kwahiyo ulitaka aandike mwenyewe ?
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Ivi uoni umri wake au?
@homeboy2307
@homeboy2307 3 жыл бұрын
@@yahyashariff5693 sawa nisamehe nimekosea ndugu yangu
@homeboy2307
@homeboy2307 3 жыл бұрын
@@zakyahya4645 nisamehe sana ndugu nimekosea
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
@@homeboy2307 ucjal uwenda ukuwaz kabla ni kawaida tu
@msonocollo9551
@msonocollo9551 3 жыл бұрын
mzee mwenyi alileta tabasamu kwa nyuso zao wambolezaji kwa mara ya kwanza niliona mama janet akicheka
@ngombalengombale4528
@ngombalengombale4528 3 жыл бұрын
Babu bwana Hadi raha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@thaddeusnyaenya2299
@thaddeusnyaenya2299 3 жыл бұрын
Nimempenda sana mzee mwinyi
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 3 жыл бұрын
Mwinyi bhana
@faridabomba6037
@faridabomba6037 3 жыл бұрын
Mzee wa ruhsa hapa panaitwaje vilee chatooo😄😄😄
@happymrema6728
@happymrema6728 3 жыл бұрын
Mzee ulileta tabasam
@romakoko2292
@romakoko2292 3 жыл бұрын
Huu ndo unaitwa uzalendo na uongozi
@tausimwaluvalile6491
@tausimwaluvalile6491 3 жыл бұрын
Nimefurah sn
@khalimazuberi4290
@khalimazuberi4290 3 жыл бұрын
RIP Magufuli.
@seifmbembe5923
@seifmbembe5923 3 жыл бұрын
Mzee mwinyi ametumia hekima ya kutuondoa kwenye majonzi
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 3 жыл бұрын
For sure ametumia hekima kutufariji, wala si kwamba amesahau kihivyo ni mtani toka enzi hizo
@doreensamwely8740
@doreensamwely8740 3 жыл бұрын
Nakupenda San Ally Hasan mwiny ,mzee wa rukusa
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 3 жыл бұрын
Ndio mzee wa ruska rushwa mpaka chooni
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 жыл бұрын
@@semhineshauri3410 rushwa inaanza kwenye familia ,big up Anza kuteketeza rushwa kwenye familia yako na kuna rushwa nyingi tu
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 3 жыл бұрын
@@kautharjay5868 haha 😄 sijui kama unaelewa unachokisema
@matopeboybomba5732
@matopeboybomba5732 3 жыл бұрын
Babuuuu wa taifa
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 жыл бұрын
@@semhineshauri3410 ntakuwa sielewi neno rushwa na Aina zake labda Ila Kuna rushwa ya ngono,rushwa ya udugu(nepotism),rushwa ya pesa nk Sasa ktk familia yako rushwa hakuna kwe mbona unashindwa kutokomeza km kaz rahis ki familia kdg tu kinakushinda utaweza nchi
@fatmakudrat8566
@fatmakudrat8566 3 жыл бұрын
Mapenzi CX
@salvatorymtui5407
@salvatorymtui5407 3 жыл бұрын
naibu mpy
@hashimsalehe8118
@hashimsalehe8118 3 жыл бұрын
Uyu mzee komedy kwl
@rajah9328
@rajah9328 3 жыл бұрын
Alitoa watu upweke wa ya week nzima
@baltazaryjohn1968
@baltazaryjohn1968 2 жыл бұрын
Rudia urais Babu yetuuuu
@yohanashefa5681
@yohanashefa5681 3 жыл бұрын
Mzee mwinyi sasa anazingua hawez kuongea awe anaongelewa na mwenye nguvu zake bhn
@lydiashoki8974
@lydiashoki8974 3 жыл бұрын
Yesu akutunze mzee Mwinyi tuipate hekima
@eliyalucas9428
@eliyalucas9428 3 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wetu mstaafu Mwinyi umetufurahisha sana kwa hotuba nzuri
@mwajumaahmed9888
@mwajumaahmed9888 3 жыл бұрын
🤣🤣mzee kachomoa btr kaambiwa taratibu kuwa inatosha ye karopoka
@rebekadamiano8488
@rebekadamiano8488 3 жыл бұрын
daaah
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Uzee hhahahha
@jwakarhjwakarh4385
@jwakarhjwakarh4385 3 жыл бұрын
Tulimpenda ilamungu kampenda zaid alale pema
@mohamediidd7579
@mohamediidd7579 3 жыл бұрын
Panaitwaje vileee ....chatoo hahahaaa
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 3 жыл бұрын
Mnamsumbua mzee tu
@hmadadunia7218
@hmadadunia7218 3 жыл бұрын
Atalii
@sophianasri9336
@sophianasri9336 3 жыл бұрын
God bless you dady
@stephanominja8927
@stephanominja8927 3 жыл бұрын
Jamaniiii panaitwaje hapa,,,🤣🤣🤣🤣🤣 nimefurahi sanaaa kuona babu yetu mh rais mstaafu anaongea,,, mungu akutunze samia na wewe uje uongee kama mwinyi🤣🤣🤣🤣
@nakamyafortunate1424
@nakamyafortunate1424 3 жыл бұрын
RSp
@allymbuli4881
@allymbuli4881 3 жыл бұрын
Wali wa nazi jinsi unavyopikwa
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 3 жыл бұрын
Ahahahaha
@sakinaomar305
@sakinaomar305 3 жыл бұрын
Haaaaaaaaaaah miaka 40
@fatmakudrat8566
@fatmakudrat8566 3 жыл бұрын
Mapenzi
@furahajonas7425
@furahajonas7425 3 жыл бұрын
Saf
@clementsimon5142
@clementsimon5142 3 жыл бұрын
mungu akuweke mahali pema
@doreensamwely8740
@doreensamwely8740 3 жыл бұрын
Haaah haaah haaah
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 3 жыл бұрын
Mzee wa RUKSA.
@daudichoghoghwe2006
@daudichoghoghwe2006 3 жыл бұрын
Ruksa
@2mayakuti261
@2mayakuti261 3 жыл бұрын
M
@elwinkomb9558
@elwinkomb9558 3 жыл бұрын
Mzee kaenda age that why
Namna hotuba ya Mzee Mwinyi ilivyoleta faraja kwa wafiwa
18:54
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
HOTUBA YA MKUU WA MAJESHI KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI
15:21
Wasafi Media
Рет қаралды 64 М.
TAZAMA BOARDGUARD WA MAGUFULI ALIVYOMVUA KIATU NA KUMVALISHA VIPYA
3:59
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Jionee Waziri Mkuu alivyoibua Shangwe na Vicheko baadaya kumtaja Mandonga
7:50