Uwepowa mungu uzidi kwakokwa faidaya taifana Dunia kwa ujumla ubarikiwa sana mtumishi
@ahadimduma78762 жыл бұрын
sehemu ya kwanza maombi 1.kumuomba Mungu kujua neema uliyopewa kwa ajili ya watu wengine 2.kumuomba Mungu akufunulie na kukupa hekima juu ya hatua za kufuata (Efeso 1:18) 3.kukuwezesha kuipokea hiyo neema na majukumu 4.kukuwezesha kuatamia mpka makusudi yatimie
@DoreenLifardGPP2 жыл бұрын
Asante kwa huu ufupisho
@kaviramusafiri26192 жыл бұрын
Asante sana sana. Mungu abariki watumishi wake.nime Pata yote wa Sawa.
@joyousjackson83522 жыл бұрын
Thanks
@ainesmunuo55412 жыл бұрын
Mungu wa ngu nakushukuru sana kwa ajili ya huyu mtumishi wako naomba umpe maisha marefu
@career101.tanzania2 жыл бұрын
Asante sana Mwalimu na Mchungaji kwa somo hili, hakika lilikuwa kitendawili kikubwa sana kwangu. Mungu akubariki kwa kutupa uelewa mkubwa sana wa neno la Mungu 🙏
@user-hu6jp7pq1v5 ай бұрын
Hallelujah mda wote nikimsikiliza naona nipo chuo cha neno la mungu
@jennyendrew8812 жыл бұрын
Mungu wa mbingun aendelee kukupa afya na uzima ili uendelee kutufunza na kutuelimisha tunamshukuru Mungu kwa ajili yako umefanyika msaada sana kwa watu wengi
@chage973 ай бұрын
Neema ya mungu ikutunze Daima baba. ❤
@neemajohn61423 ай бұрын
Neno linalodumu milele na milele 🙏🙏
@UpendoDaudi-iq6hy9 ай бұрын
Ubarikiwe mwl Zab 91:14-16
@elizabethmlowe6103 Жыл бұрын
Amen, Barikiwa sana mwalimu Mungu wa Mbinguni azidi kukutunza uzidi kutufundisha neno lake🙏🏽
@joansoka12132 жыл бұрын
Asante sana Mwalimu Mwakasege kwa mafindisho haya mazuri na ya kujenga hasa kwetu ss wanawake..Barikiwa sana Bwana!
@happymollel67162 жыл бұрын
najiungamanisha na madhabahu ya mana
@mwanaishamkumbwa9352 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri ya kufundisha sauti ya MUNGU
@mattyhappy15812 жыл бұрын
Eeh Mungu naomba unibariki kupitia mtumishi ,,,nisitoke bila kitu,,nivushe Ee Yesu
@minaniaugustin77572 жыл бұрын
Mungu apewe sifa kwa kutupatia Mwalimu wa Neno Lake. Mungu aniwezeshe kuatamia Neema aliyoiweka juu yangu na kujua kila Neema na wakati wake. Najiombea kwa Mungu hivyo Katika Jina la Kristo Yesu. Amen
@kaviramusafiri26192 жыл бұрын
Amina amina Baba. Mungu wangu myweza wa yote anipe Salama yake na neema kubwa juu ya maisha yangu nipate kui tambua.
@estherkiarie17242 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako sana
@joeljoeledsonkisabo26452 жыл бұрын
YESU Wangu akutunze sana Baba angu wa kiroho 🙏
@yuliahenry33832 жыл бұрын
Glory to God. Mungu akutunze baba. Tunajifunza
@cammyokinda17352 жыл бұрын
Am being blessed watching from Emirates
@paulnkohozi49622 жыл бұрын
Amen Amen Mwalimu Neno limenivusha nilikuwa kwenye Hali ya kutaka kutindikiwa. Jina la Bwana lihimidiwe
@vickysungi52132 жыл бұрын
Ba Barikiwa Sana Baba, hakika neno lako linanijenga na kunihuisha upyaa Bwana aendelee kukutunza
@sia55332 жыл бұрын
Ee mwenyenz Mungu Naomba unikumbuke
@mwalimuaustine2 жыл бұрын
So blessed with the word. May God continue using you man of God.
@asaliyamahusiano76612 жыл бұрын
Amen Ubarikiwe kwa Kuzidishwa kwa Mema
@sarahonesmo59842 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa somo zuri
@editadaffi82312 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu ❤️👏mwakasege
@veilamoshi93022 жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza Amen
@mattyhappy15812 жыл бұрын
Kwa Jina la Yesuuuuuu
@kenedmkenda68452 жыл бұрын
Barikiwa sana Baba yetu
@godlistenmcharo97042 жыл бұрын
Ameen nimebarikiwa sana
@AliceNgandu20232 жыл бұрын
Hallelujah thank you for the great word nakuomba mungu nami nijuwe neema niliyopewa na Mungu 🙏