ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

  Рет қаралды 135,094

Tiki Tv

Tiki Tv

Күн бұрын

ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA
.
.
.
.
.
.
.
.
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo

Пікірлер: 268
@tikitvog
@tikitvog 3 ай бұрын
Kutazama Pat 02 bofya link hii 👇👇 kzbin.info/www/bejne/jmmqlX-uiKeLhac
@user-wb8xg4st1w
@user-wb8xg4st1w 2 ай бұрын
Ba0
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 3 ай бұрын
Makonda una kazi ngumu sana kiongozi watu. Mungu akujaalie na akuepushe na majanga
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 3 ай бұрын
NIKUPE NINI MHESHIMIWA MAKONDA NINAKUOMBEA SANA KAKA YANGU MOYO WAKO NI WAKIPEKEE SANA.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@juliethmziray
@juliethmziray 3 ай бұрын
Daaa walimu ipoh kazi Hongera eana Makonda❤❤❤
@joliapantaleo349
@joliapantaleo349 3 ай бұрын
Hii nchi inamengi makonda nakuombea kwa Mungu akulinde sana umetumwa na Mungu nahakuna atakaekutoa kwenye nafasi yako utakua Rais wa Tanzania cku moja Mungu akuinue nakukulinda sana
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 3 ай бұрын
Makonda ofs zina madudu hatari Yesu akakufunike kwa damu yake . Amina asante baba kwa upendo wako kwa wananchi
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 3 ай бұрын
Magufuli kaacha spirit yake thanks god usimchukue na huyu mapema
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 ай бұрын
Amina tumwombeee sana
@kharidynassoro3118
@kharidynassoro3118 3 ай бұрын
Mh Makonda rudi dar utuokoe kuna Madudu huku
@mch.emmanuelpallangyo9967
@mch.emmanuelpallangyo9967 2 ай бұрын
Makonda Mungu akupe maisha marefu akutunze siku zote
@MageMollel-wb7ms
@MageMollel-wb7ms 3 ай бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa mkuu wa mkoa wetu makonda
@malakisilas6523
@malakisilas6523 3 ай бұрын
Uko vizuri mkuu wa mkoa ,Yan unaacha Alama kubwa.kufichua madudu ya wakadamizaji,Makonda oye,Samia oye.
@user-sp3tm7tv4x
@user-sp3tm7tv4x 3 ай бұрын
Makonda hata ukingombea uraisi utapata🎉🎉
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 3 ай бұрын
Mambo ni mengi, (yanatisha), Makonda ni mmoja, nchi ni kubwa, dhuluma, wizi, uyang'anyanyi, na ufisadi vinazidi kila kona ! Peke yake ataviweza ? Bora uwepo mfumo wa kuikabili hali hii, isingoje utashi wa mtu, au karibu na uchaguzi mkuu. MASIKINI MAMA TZ !
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 ай бұрын
MAKONDA UTACHOKA SANA. BUT KEEP GOING
@juliusndiyaine6601
@juliusndiyaine6601 3 ай бұрын
Umeigusa Moyo wangu na ya wanyonge wengi wanaopitia fadhila kama huyo Mwalimu. Hongera sana kiongozi. Mungu akupe maisha marefu akupe afya, nguvu na spirit hiyo hiyo ya kusaidia wanaonewa kupata haki yao. Nakuona ukiwa sauti ya Mungu iko ndani yako nimekupenda sana kiongozi wangu.
@user-gn2gb5ve2b
@user-gn2gb5ve2b 3 ай бұрын
Asante Mama Samia kwa kumuona Makonda anafaa kutumikia wananchi. Mwenyenzi Mungu awabariki sana.
@kingleorpad117
@kingleorpad117 3 ай бұрын
Makonda tunakuombea,ww ndio kiongozi tunaekuhitaji,hakika upo vizuri
@souksoukeventsandmarketing653
@souksoukeventsandmarketing653 3 ай бұрын
Beatrice beautiful soul she was ahead of me couple of years very bright
@godwinbenedict4146
@godwinbenedict4146 3 ай бұрын
Mwalimu Beatrice Mungu ampiganie, alinifundisha Geography Njiro Secondary
@ProductionWinderBulyanhulu
@ProductionWinderBulyanhulu 3 ай бұрын
Piga kazi. Makonda. Watanzania tunakufuatilia kwa karibu sana.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 3 ай бұрын
Arusha imeoza kwa madudu mengi ndio maana Samia akampeleka Makonda komandoo
@user-ud1hn9gt3j
@user-ud1hn9gt3j 3 ай бұрын
Bado Makonda Wanambeza Fanya kazi Paul
@LucyNyeura-op6mg
@LucyNyeura-op6mg 2 ай бұрын
Namuona mpendwa wetu Magufuli, kupitia ww Paul Makonda, Mungu akulinde na kkubariki
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 3 ай бұрын
Duuuuuu pole sana mama,sasa haki yako utapata
@AnnaMinja-zp7ti
@AnnaMinja-zp7ti 2 ай бұрын
Mungu asikuache. Sijawahi kukuangalia nikaacha kulia. Upendo wako unagusa maisha ya wengi. Big up
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 3 ай бұрын
Yaani makonda umekuwa kama Magufuli Mungu akulinde baba wasije wakakuzima tunakuomba sana
@user-hn8wo7fw6d
@user-hn8wo7fw6d 3 ай бұрын
Kaka Mungu akubariki sana
@ombeniulime2768
@ombeniulime2768 2 ай бұрын
Makonda kazi unayoifanya na Mungu akushindie na akulinde Mungu akung’arishe na kukupigania Mungu amekuweka kwa wakati wake
@FadhiliMboyi
@FadhiliMboyi 3 ай бұрын
Katika watumishi wa hii nchi Kwa muda wote Kwa kipindi cha magufuli na huyu mama..hakika makonda n mtu na nusu...kaka makonda wewe n magufuli wa pili hii nchi,hongera bro
@edwinlyimo5611
@edwinlyimo5611 3 ай бұрын
Daa makonda kiboko,kazi nzuri hata ukipewa uenyekiti wa Kijiji kazi unafanya tu
@AllyMustapha-kq8fs
@AllyMustapha-kq8fs 3 ай бұрын
Makonda wewe noma sana bigup
@aishamaulidi7425
@aishamaulidi7425 3 ай бұрын
Mungu akulinde makonda. Naakupe umri mrefu kila mwenye shari nawewe na asifanikiwe
@KADALAtv255
@KADALAtv255 3 ай бұрын
Mkuu yaani walimu huku chini tunaonewa sana sana tusaidiwe duh asante Mungu kutuletea Makonda
@ngusacharles475
@ngusacharles475 2 ай бұрын
Makonda your future presindent of our country 😮😮😮
@CatherineKimoso
@CatherineKimoso 2 ай бұрын
Makona mungu akulinde.kweli unaponya nafsi za watu walioumizwa.na Kwa hili unaponya nchi. Barikiwa sana uishi miaka 200
@ZurehaMasoud
@ZurehaMasoud 2 ай бұрын
Wampe stahiki zake dada Yuko smart❤❤❤❤❤❤❤
@nzowemahenge1281
@nzowemahenge1281 3 ай бұрын
Ingekuwa ni maamuzi yangu,,mh.makonda angepewa ukuu wa mikoa yote kwa awamu Tanzania nzima apelekwe
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde❤🎉
@AlfredMaingi-mb3ch
@AlfredMaingi-mb3ch 3 ай бұрын
Muheshimiwa RC unatisha unahitaji pongezi sana MUNGU AKULINDE UNATETEA HAKI ZA WANYONGE
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 3 ай бұрын
Yaani kila Ofisi kuna uvundo wakutisha Makonda simamia M/Mungu yuko nawe
@mussasaidhamad1891
@mussasaidhamad1891 2 ай бұрын
Mungu akujalie uingoze Tanzania siku Moja aaaamiin
@eliasmalila
@eliasmalila 2 ай бұрын
Mwamba nakuelewa sana Fanya kazi Mungu atakulinda
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 3 ай бұрын
pole sana mama makonda unafanya kazi wew ni mfano wa kuigwa
@ramadhanihabibuZuberi
@ramadhanihabibuZuberi 13 күн бұрын
Mweshimiwa makonda mungu akupe nnguvu zakuwatetea wanyonge wasiokuwanauwezo
@ramadhanihabibuZuberi
@ramadhanihabibuZuberi 13 күн бұрын
Japo wengihawapendi ukiwatetea ilamungu atakubariki
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 3 ай бұрын
Uyo mama atawaumbua mpe haki yake mtumbuka uyo mama jasiri sana
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 ай бұрын
Jasiri,msimi,anajuwa kujieleza,anajuwa kufuata taratibu yani yupo contented,wataenda nae mbali sana.
@mshigilakarume4425
@mshigilakarume4425 2 ай бұрын
Mungu akulinde ndg p makonda na familia yako pia
@winiemajengo1679
@winiemajengo1679 3 ай бұрын
Kama hayo mambo ni ya kweli Mkuu wa mkoa anahitaji ulinzi wa kiroho...
@user-bt1en5fi8g
@user-bt1en5fi8g 2 ай бұрын
Mi makonda wewe nakukubari saana 🙏🙏🙏🙏🙏
@lyidiakapapa7679
@lyidiakapapa7679 3 ай бұрын
Mungu awe pamoja nawe Makonda , mtetezi wa wanyonge.
@thedon8467
@thedon8467 3 ай бұрын
AMEEN
@georgemwapela1654
@georgemwapela1654 3 ай бұрын
Haya Mambo yanayolingana nami.Nchi hii Ina watendaji wanaotumia nafasi kunyanyasa watumishi wa umma.Nilitolewa kwenye Payroll na wenye madaraka mpaka Sasa Mimi na familia yangu hatupo sawa kimaisha.
@GodfreyMeshack-gy2yt
@GodfreyMeshack-gy2yt 2 ай бұрын
Pole sana kiongozi
@user-ou9up7kr9n
@user-ou9up7kr9n 2 ай бұрын
Pole sana mama ang Mungu atakulipa ty
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 2 ай бұрын
Very intelligent woman. Excellent
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 2 ай бұрын
God bless you Mr Makonda
@stellaselli6287
@stellaselli6287 3 ай бұрын
Mungu akubariki tupo wengi huku
@kigogosmart4121
@kigogosmart4121 2 ай бұрын
tunaomba makonda awe mkuu wa wa wakuu wa mikoa Tanzania
@stevedossa4966
@stevedossa4966 2 ай бұрын
Hivi wakuu wa mikoa wengine wanafanya kazi gani??,Makonda your the voice of the voiceless!
@davidkamando9630
@davidkamando9630 2 ай бұрын
Huyu mh Mungu amtangulie kwa kila jambo..... Halmashauri kuna uonevu sana
@swaiagnes6696
@swaiagnes6696 2 ай бұрын
Mungu akulinde makonda
@joffmateru9682
@joffmateru9682 Ай бұрын
Mh. Makonda 🎉
@beatricesamwel6136
@beatricesamwel6136 3 ай бұрын
Watu wanaonewa jamani dah!😢😢😢
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 ай бұрын
Dhuluma dhuluma. Utafikiri hizo pesa ni zao
@barakamunis3983
@barakamunis3983 2 ай бұрын
Niko Kilimanjaro lkn hata jina la mkuu wa mkoa wangu silijui Mungu akulinde makonda
@denismsanzya
@denismsanzya 3 ай бұрын
mung akubariki Sana Lea Kari nzuri
@epimackjohn461
@epimackjohn461 3 ай бұрын
Hapa RC wa ARUSHA MAKONDA Anaonyesha KUSUDIO lake la kutetea haki za wanyonge ! Utendaji huu ungeagizwa ufanyike kote nchini na WAKUU wote husika uonevu uishe haki itawale watu wawajibike kuchapa kazi kwa furaha na AMANI .
@user-gt3dl5ib1y
@user-gt3dl5ib1y 2 ай бұрын
Makonda Kila Hatua yako mungu ailinde
@matridawilium9945
@matridawilium9945 2 ай бұрын
Hiv wakuu wengine mnajickiaje mwenzenu anapotenda haki hivi
@dorahy1579
@dorahy1579 3 ай бұрын
Kazi ya Maghufuli ni kubwa sana.
@rehemamkude6766
@rehemamkude6766 2 ай бұрын
Mh. Makonda! Baadhi ya Wanawake watumishi wa Umma Wazuri, wanaojipenda, au Ni wafanyaji kazi ki ukweli, wengi wao wanapitia haya kwa namna tofauti. kesi za kupandikiziwa za Rushwa,Uzembe n.k Mafaili yao ya siri ni Makubwa kuliko mwonekano wao. Ndio maana tunaomba Viongozi wengine watenge Muda wao Kwa Mungu awaongoze kusikiliza watu. Narudia tena, baadhi ya maafisa utumishi wanatesa sn wenzao, Wanachukua nafasi ya Mungu kiaina ya kwamba bila yeye "hautoki" au "hautoboi" Wanaumiza sn Familia za wenzao, hakuna maendeleo,hata kama ulijiendeleza kwa kunyima familia mkate wao ukitegemea mchumiajuani lkn wapi wanakushikiria shingoni unaendelea kua chini na miaka inaenda.
@AleckMilinga
@AleckMilinga 2 ай бұрын
Makonda yupo vzuli kufatilia changamoto za wananchi ongela sana mzee
@missarepafra3973
@missarepafra3973 2 ай бұрын
Mungu tupatie kina Makonda wengi Tanzania ili haki kuanzia inspotokea ifike inakoenda. Wanyonge wengi wanalia kimyakimya miungu watu wanacheka na kuwacheka. Tukiomba Mungu atatupa kina Makonda kila Kona na nchi itafunguka. Kuna majitu yanakula watu kupitis nyadhifa yalizonazo. Yasagwe tikitiki hadi yaishe
@bahatevagre933
@bahatevagre933 3 ай бұрын
No comments mama apewe hakim yake,yaani tunaiabisha Tanzania sasa kama mtumishi anafanyiwa hivyo na ameajiriwa na serikali sisi part time siukilalama utafungwa
@user-eg2nb1ml7w
@user-eg2nb1ml7w 3 ай бұрын
MHE. MAKONDA HESHIMA KWAKO! HAKIKA UNASTAHILI KUWA RAIS WA TANZANIA! TAFADHALI CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS TANZANIA 2025! TUTAKUPA KURA ZOOOOTE!! TUNAKUOMBEA SANA MWENYEZI MUNGU AKUPE AFYA NJEMA NA AKULINDE!
@rabsonmichael9720
@rabsonmichael9720 3 ай бұрын
Mama yupo makinu sana.hii nchi ina watu wa hovyo sana,manyanyaso ni mengi mno.kama hayajakukuta huwezi elewa.
@DamariMkindi
@DamariMkindi 2 ай бұрын
Makonda Big up
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 ай бұрын
Makonda wetu Mungu akutunze kuna watu wanavilio vikubwa hawajui wakashitak wapi
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 2 ай бұрын
Hapo makonda nimekukubali
@gloryshayo9966
@gloryshayo9966 3 ай бұрын
Pole sana mwalimu daah
@lilianmungure8374
@lilianmungure8374 2 ай бұрын
Wakati wa Bwana ukifika,adui lazima aaibike,haki ya MTU haipotei,za mwizi Ni 40,Mungu akutunze Mh.Makonda
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 2 ай бұрын
Aki sijaona kiongozi kama makonda
@joshuabryson8044
@joshuabryson8044 3 ай бұрын
Wangekupa uwaziri mkuu nchi ingetulia wanyonge wangepona
@PriscaBarnabas-qg7ex
@PriscaBarnabas-qg7ex 2 ай бұрын
makonda mama samia huyu jamaa atembee mikoa yote,akitoka hapo arusha aende mkoa mwngne
@ChristinaFlorian
@ChristinaFlorian 2 ай бұрын
Magufuli umeacha jembe ongela makonda mungu akulinde
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 3 ай бұрын
Hro upo vizuri sana
@YohanaClement-sd9vx
@YohanaClement-sd9vx 3 ай бұрын
Hakika makonda wewe nimridhi WA magufuli mungu akutangulie popote pale unapopita
@barakafanuel5015
@barakafanuel5015 3 ай бұрын
Jiji la Arusha lilikuwa ni shida sana
@josephatdionisii
@josephatdionisii 3 ай бұрын
Viongozi ni waajabu hadi shetani anashangaa 😢😢😢😢
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 3 ай бұрын
Serikalini kuna watu wanatakiwa kunyongwa
@elizabethnaih5455
@elizabethnaih5455 3 ай бұрын
Waaaa eemungu naomba akili yahali ya juuu kama huyu mama amen
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 3 ай бұрын
RC makonda hoyeeee kwa jina la YESU pokea URAIS
@RichardlohayDagharo
@RichardlohayDagharo 2 ай бұрын
Yesu ni mzima
@marthajoseph4928
@marthajoseph4928 3 ай бұрын
Waaaaoooo mkuu wa mkoa uko vizuri
@kivuyolalashe4744
@kivuyolalashe4744 3 ай бұрын
Huyu mkuu wa mkoa ndio mkombozi wa taifa
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 ай бұрын
Mji huo wawatani zangu sijui nani Ali towa jina lahuo mji mambo yao ya kurusha rusha tu pole sana mkuu
@peninabernardo2504
@peninabernardo2504 2 ай бұрын
Makonda ni mtu na nusu🙌
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 ай бұрын
Madudu ni mengi sana CCM. Watanzania waende wapi kupata msaada?. Upuuzi mtupu
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j 3 ай бұрын
Nchi hii haki akuna ata wajane wanazulumiwa na maafisa utumishi .
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 3 ай бұрын
Huyu mama anajua kujieleza vizuri sana na anajielewa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 ай бұрын
Yupo vizuri na ndo maana hawataki asome masters yake,wanaona atawanyanganya vyeo.
@josephatdionisii
@josephatdionisii 3 ай бұрын
Mheshimiwa tunaomba ukagombee urais iwe kwa chama gan kura utazoa zote
@marykimario5483
@marykimario5483 3 ай бұрын
Makonda umekuja kwa wakati baba arusha imeozaaaaaaa
@LoseSanga
@LoseSanga 2 ай бұрын
Jamani hivi mkuu wangu wa Mkoa wa Mbeya anaitwa na nani maana nikishtukizwa ni kujibu tu Makonda kumbe hanihusu
@neemangowi6839
@neemangowi6839 2 ай бұрын
Kafanyiwa vibaya adi nimetetemeka
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 3 ай бұрын
Nawaonea wivu Arusha, chauma hichooo!
@vickgrace4487
@vickgrace4487 3 ай бұрын
MUNGU mzuri AKULINDE MTU WA MUNGU.... KWA KILA ENEO
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 29 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 38 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 33 МЛН
Умный УЧИТЕЛЬ против УЧЕНИКОВ 😱 #shorts
0:59
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 2,2 МЛН
🤣🤣🤣
0:15
DavidMakesTops
Рет қаралды 22 МЛН
妈妈也太偏心了吧!#火影忍者 #佐助 #家庭
0:33
火影忍者一家
Рет қаралды 14 МЛН
ДЕЛАЛИ ПОД СЕБЯ
0:33
KINO KAIF
Рет қаралды 2,7 МЛН
Умный УЧИТЕЛЬ против УЧЕНИКОВ 😱 #shorts
0:59
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 2,2 МЛН