I like the way Sheikh Ramadhan interrogate them and a Good listener. Sheikh Ramadahan. Allah akupe afya njema na umri wenye baraka.... Ameen
@magrammagreens38732 ай бұрын
Shukran sheikh Ramadhaan
@YASINIRASHIDI-m7s2 ай бұрын
Allah awabarik kwa kazi nzur nafutilia toka tz
@bahsansheikh60422 ай бұрын
ALHAMDULILLAH KWA NEEMAH YA UISLAMU
@samxx4112 ай бұрын
Jamaa anajihisi anajuwa!!! 😅😅😅 kumbe ndo hajuwi..Sheikh Ramadhan kazi anayo
@user-ky1ni2ly9rАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂sheikh ameona amuombee sadaka
@janieali55212 ай бұрын
MASHALLAH MASHEIKH WETU KWA KAZI BORA ZAIDI YA KAZI ZOTE. WAKRISTO WOTE WANASEMA YESU ALIKUJA KUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZAO, LAKINI HIYO HAIJA ANDIKWA NDANI YA BIBLIA. KILICHO ANDIKWA NI YESU AKISEMA " MIMI NAENDA ZANGU, NANYINYI MTAKUFA NA DHAMBI ZENU" PIA KILA MTU ATAUBEBA MZIGO WAKE MWENYEWE SIKU HIYO ITAFIKA..
@raniahmamu25862 ай бұрын
❤❤❤ Masha'Allah.. good work indeed
@nassorstrees47012 ай бұрын
Mashallah shekh ramathani
@Adm94642 ай бұрын
There’s no one time Christian’s agree with one another .
huyu pastor nimenuelewa anakataa tu lakini yeye pia nikama huwa anaunga utatu mtakatifu lakini nikujifanya tu ...Alhamdulilahi mimi pia nilikua namwabudu yesu kama mungu
@salmaminja77142 ай бұрын
Mashallah Allah awape wepec mzdd kuwaelimisha wasijua din ya hakka mpo vzr kwa kupangua hoja ambazo hazina mashiko. Allah awape mema hpa na kesho Akhera. Allahumma Amiiyn.
@JumaaMwevila2 ай бұрын
Mashalah
@adanabdi52492 ай бұрын
Sawa
@oopsm35742 ай бұрын
Wakristo mahodari kwa kubadisha gear duu😂😂
@nicoledinga99482 ай бұрын
kama vile huyo shetani wenyu anaitwa allah alibalisha na kusema mamake yesu nini dada ya Aaron na moses? wajinga nyinyi hata hamueliwi dini yenu ni ya kishetani
@Catherine-mh8swАй бұрын
@@nicoledinga9948huyo Mungu wako humjuwi nani
@saidam.k2132 ай бұрын
Allah awabariki mashekh wetu
@seifserenge33402 ай бұрын
Hawa wakristo wachekesha kweli kweli. Wakiulizwa maswali rahisi wababaika huku na kule, mara andiko hili yesu ni mwana wa mungu, mara ni mungu, mara ni mungu aliyevaa mwili wa mwanadam. Haijulikani waeleza nini. Maskini wamevurugwa akili nao wakashindwa kutumia akili zao sasa wamekuwa mazezeta!!
@kennodhiambo2 ай бұрын
Imani yetu ni yetu, si nyinyi mnaamini majini ni viumbe na pia wameslimu. Mbona imani yetu kuwa Yesu ni Mungu, mwana wa Mungu n.k. inawapa tumbo joto hivyo? Ninaomba mtutolee maandiko katika Quran yenye mafunzo bali sio kushindania jambo moja kila wakati. Mbona sijibiwi kwa haya??? Quran 2:191 "Wauweni makafiri popote muwakutapo." Quran 3:28 "Waislamu wasiwafanye makafiri kuwa marafiki" Quran 3:85 "Dini yoyote isipokuwa Uislamu haikubaliki" Quran 5:33 "Waume na wasulubishe makafiri ikiwa wanaukosoa Uislamu" Quran 8:12 "Waogopeni na wakateni vichwa wale wanaoamini vitabu visivyokuwa Quran." Quran 8:60 "Waislamu lazima wakusanye silaha zote ili kuwatia hofu makafiri" Quran 8:65 “Makafiri ni wajinga; wahimize Waislamu kupigana nao” Quran 9:5 "Inapotokea fursa, wauweni makafiri popote mtakapowakamata" Quran 9:123 "Pigeni vita na makafiri waishio jirani zenu" Quran 47:4 “Msitamani amani na makafiri; wakate vichwa ukiwakamata Haki iko wapi hapa?
@josemu8702 ай бұрын
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran
@nicoledinga99482 ай бұрын
allah ni shetani na hana nguvu yeyote😂😂😂
@FarajiSalimu2 ай бұрын
huyo mrembo nimemuelewa akisilimu tu napita nae 🏃🏃🏃🏃
Kwaio kumbe wakiristo hamna dahmbi😂😂😂mnafanya ibada na kuswali kwa shida gani sasa na hamna dhambi uwiii😂😂😂........
@ruthmutangala4555Ай бұрын
Kumusifu Yesu kuakutufanya wenye aki...
@Catherine-mh8swАй бұрын
@@ruthmutangala4555hamumuabudu Mungu?
@user-rc7oi2hp8l2 ай бұрын
Mungu mwenyezi hakuzaa Wala hakuzaliwa yeye n muumba wa vyote
@jimjam-xg7rv2 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚
@mwanaidiissa102 ай бұрын
Yani anajizungusha huyo kaka haelewi anaongea nn
@samxx4112 ай бұрын
Sheikh Rama huyo pasta anasema sana bila ya maandiko...ni vyema mkutane muongee kwa nafasi
@husseinmoha79592 ай бұрын
Masha Allah
@JumaaMwevila2 ай бұрын
Mashalah
@isahbarasa2 ай бұрын
Asalam aleikum waramtulah wabarakatu walimu
@HaneephaMuslimahАй бұрын
Walaikum salaam warmatullahi wabarakatu
@Catherine-mh8swАй бұрын
Wa alaykum msalaam warahmatullah wabarakatu
@nubianqueen67002 ай бұрын
Ku jadiliana na wakristo lazima ufanye mental gymnastics.
@StraightPathDawah2 ай бұрын
😂
@abdallasuleiman87852 ай бұрын
Kama mtoto akizaliwa ni wa baba hawa single mothers wanahitaji kushtakiwa waeleze mama mtoto yuko wapi.
@davieswere10982 ай бұрын
Asaalam aleikum warahmatullahi wabarkatuh
@adrisshagi12552 ай бұрын
Ramadan . Asalamu aleykum. Kaka sometime when they ask u i think good answer. Is we have a chapter. Call. Alaa imraan they don have it in bible
@AzizaNurdin2 ай бұрын
Paul mtu mbad sana kaingiza nyumbu kingi 🤣🤣 ati hatukupewa kabila 😂😂
@RossaMengoАй бұрын
Wakristo wanalazima tufate msemo wao wakusema yesu ni mungu ambapo maandiko yanakataa kabxaa ila washindani sana
@softymoha54842 ай бұрын
wa pili....sauti hamna
@Sal.02 ай бұрын
Tabarak Allah Team. Hakuna Mtu anaye itwa 'yesu'! . 'E'ssa' ndio original name. Na WAZUNGU wa KWANZA kui soma Quran, na ku jaribu kui TAFSISIRI Neno 'ESSA', katika lugha ya WaZUNGU, ali kuwa ni Mu GREEKI anaye itwa ERASMUS, in 1516AD. And ERASMUS while reading the Quran in ARABIC, translated the Name 'ESSA', as: 1) 'Essus' in GREEK, in 1516. Then the Germans translated ESSUS as... 2) ....J-Essus* in German, in 1526 *The German 'JEssus', is Pronounced as 'Yessus' in German. The letter 'J' in GERMAN is read with a 'Y' sound. 3) Then in 1611, the English borrowed the word 'Jessus' from the GERMANS, and it became 'Jesus' in English. 4) 'Jeyzee' in French 5) 'Issus' in Yugoslavian 6) 'Hesus' in Philipines. 7) 'Yasoo Masi' in Indian. And how the English/ German word 'Jesus' BECAME 'Yesu' in Kiswahili, i will never understand! Because a NAME cannot be translated! Now..... This PASTOR is repeatedly pointing to his ENGLISH Bible, and calling it the 'Injeel', and the 'TORAT'.!! Ustad, WHY did you NOT ask this Pastor to OPEN his ENGLISH Bible, and then SHOW you the SINGLE Books called the 'INJEEL' and 'TORAT', inside his ENGLISH Bible??? Because, if you OPEN any ENGLISH Bible, you CANNOT find a Book called 'INJEEL', or a Book called the 'ZABUR', or the Torat! Because the WORD, or the BOOK called the 'Injeel' is NOT mentioned in ANY ENGLISH Bible. Similarly, the WORD 'Torat', does NOT EXIST in ANY ENGLISH Bible! THIS is HOW you would have PROVED that the 'INJEEL' and the 'TORAT' are NOT in ANY ENGLISH BIBLE, in the WORLD!! Similarly, the WORD 'ZABUR' does NOT EXIST in any ENGLISH Bible NOW, if these THREE BOOKS of the Injeel, Torat and ZABUR do NOT EXIST in ANY ENGLISH Bible, THEN HOW on EARTH, did they SUDDENLY appear in the SWAHILI Bible, from 1952 ONWARDS? HOW???? How? Through UFISADI by the TANZANIAN Bishops, who SNEAKED these THREE WORDS of 'Injeel', 'Zabur' and 'Torat', INTO their SWAHILI BIBLE, in 1952! And WHERE did these Swahili BISHOPS STEAL these 3 Names from? The SWAHILI Bishops STOLE the NAMES of these THREE Previous BOOKS, from the QURAN! Because the these THREE Previous BOOKS are ONLY mentioned in the QURAN ! SIMPLE as that! Now... The Torat was a SINGLE BOOK, written in the MISR Language of IBRANI!. The Torat is NOT the 5 different European Story Books, collected in the Biblos! MashaAllah Team!
@Sai.Mo692 ай бұрын
Swadakta. Well explained Bro! Really cool explanation. Tabarak Allah Bro.
@Sal.02 ай бұрын
@@Sai.Mo69 Danke Schon!
@molee23392 ай бұрын
Kweli Kabisa! Yesu ni jina laku TUNGWA na wa TANZANIA!
@Bintiiiiiiiiii2 ай бұрын
Yaani wanaamini mwenyezi mungu anaeza fanya kila kitu lakini hawawezi amini yesu alizaliwa bila baba
@nubianqueen67002 ай бұрын
Mbona hamuwaambiagi kuwa injil sio bibilia.
@Sal.02 ай бұрын
@@nubianqueen6700 Correct! Our Ustad must make a point of telling them that the 4 GOSPELS are Mzungu StoryBooks written by 4 PAGANS from the CRUSADER Established town of ANTIOCH, in the 1400s!
@molee23392 ай бұрын
Yaani Pastor ana taka ku toa andiko ambao ita contradict verse inao sema "yesu, a MAN ni mupati nashi"! Yaani kila andiko ambao anao towa USTAD ya Biblos, PASTOR ako na andiko laku CONTRADICT!! Yaani hawa ma Greedy Pastor, wana fundisha kutoka Biblia ambao iko na CONTRADICTIONS thungu Mzima! Total Uwingo, katika Ukristo! Yaani, as long ata TOLESHA Sadaka, he just does NOT care about Contradictions!
@MariamAsudi2 ай бұрын
Inna Lillahi wainna Illahi Rajiun 😭😭🤲🤲
@JumaaMwevila2 ай бұрын
Mariam natak nikuowe
@molee23392 ай бұрын
Father, Son, Mother are TERMS that apply ONLY to HUMANS or CRWATIONS of GOD. Bible ime wa dangaya yesu sio JUSGE yeyote. Allah bdiye ataye JUDGE! A servant cannot JUDGE a Crwation, like himself!
@Adm94642 ай бұрын
Little knowledge is dangerous . This guy with the red jacket seems confused bouncing from here to here.
@hassanodiwa2 ай бұрын
Wakristo wanachagua maandiko yenye hao wanataka Kwa bibilia.Yenye inasema yesu ni mtume na binadamu hio wanakataa😂😂
@ibnuh5361Ай бұрын
Ust kuria.. Hapo ungemwambia tuu injili sio iyo anayoikusudia.. Yeye anaona injili ni iyo biblia anaona iyo ndio Ile ya Yesu
@musanike30792 ай бұрын
Mimi sijawai changan ikiwa kama huyo Jamaa wanaongea mengi.
@Sai.Mo692 ай бұрын
Ai, Pastor, anafikiria STORY BOOK , ilio TUNGWA na MuPAGANI King James, in 1611AD, ni Maneno ya MzUNGU na Bebeto, au Jayzey, au jesus, au yesu! Ai, which ONE is the REAL 'jesus' ?? Wewe, Pastor HAKUNA kitabu cha INJEEL na TORAT katika hio ENGLISH Bible mkononi YAKO! Don't danganya Watu, because the 'GOSPELS' are 4 BRITISH BOOKS written by FOUR PAGANS, who were born in ANTIOCH, Turkey! Tabarak Allah Team.
@molee23392 ай бұрын
Kweli kabisa! Neno GOSPEL ni Proper NOUN, therefore it CANNOT be translated as the ARAMAIC word INJEEL. Similarly, the ENGLISH word PSALMS cannot be Translated as The ARAMAIC word 'ZABUR', which yas been TAKEN from the Quran! Therefore, the SWAHILI Bible has CORRUPTION done by The TZ BISHOPS, when they SNEAKED in WORDS That are NOT present In The ENGLISH Bible!
@guyatuwario40922 ай бұрын
Coming up,Haina sauti
@adrisshagi12552 ай бұрын
Secondly. Mambo ya ku Sema begotten son . Transaction. Ask what’s meaning??
@mohammededy70862 ай бұрын
saut
@kennodhiambo2 ай бұрын
Mimi sijasubscribe lakini hupata video zote. Eti huyo ndugu yangu mjaluo amejiita nani! Yaani uislamu kila kitu ni fake kuanzia kwa jina!!! Mbona mwapatie watu majina yenye hayako katika kitambulisho na vyeti muhimu?
@StraightPathDawah2 ай бұрын
Vyeti vitapita
@kennodhiambo2 ай бұрын
@@StraightPathDawah Njooni kwa Yesu jinsi mlivvyo, hamtahitajika kubadilisha majina katika vitambulisho na vyeti vyako wala pia hamtalazimishiwa sheria zitakazokuwa mizigo mikubwa kwenu. Hakuna eti lazima umwabudu Mungu kwa lugha ya wengine bali utamwabudu Mungu kwa lugha unayoelewa. Yesu ndiye yote juu ya yote
@MariamAsudi2 ай бұрын
@@kennodhiambo Cha kishangaza huzikwi na kitambulisho
@Catherine-mh8swАй бұрын
@@kennodhiamboyohana 17:3
@kennodhiamboАй бұрын
@@Catherine-mh8sw Haki iko wapi hapa, mbona Waislamu hamnijibu? Vifungu hivi havidhihirishi haki bali vinaeneza chuki, husuda na vita dhidi ya Wakristo na Wayahudi. Quran 2:191 "Wauweni makafiri popote muwakutapo." Quran 3:28 "Waislamu wasiwafanye makafiri kuwa marafiki" Quran 3:85 "Dini yoyote isipokuwa Uislamu haikubaliki" Quran 5:33 "Waume na wasulubishe makafiri ikiwa wanaukosoa Uislamu" Quran 8:12 "Waogopeni na wakateni vichwa wale wanaoamini vitabu visivyokuwa Quran." Quran 8:60 "Waislamu lazima wakusanye silaha zote ili kuwatia hofu makafiri" Quran 8:65 “Makafiri ni wajinga; wahimize Waislamu kupigana nao” Quran 9:5 "Inapotokea fursa, wauweni makafiri popote mtakapowakamata" Quran 9:123 "Pigeni vita na makafiri waishio jirani zenu" Quran 47:4 “Msitamani amani na makafiri; wakate vichwa ukiwakamata
@zainabhussain41142 ай бұрын
Sauti hakuna
@missymoryn4544Ай бұрын
Ni ngumu wengi wenyu kuelewa Mungu aliye tengeneza kila kitu ulimwenguni. Muslim and fake christians limit God so much......Huyo Mkristo wa maroon jacket anajielewa kabisa anajua maandiko dhabiti kwa bibilia na quran..... huyu mkristo afaa arudishwe tena kama inaeweza.