mama sijui kama tutampata mwengine wizara ya ardhi kama SALAA
@festokemibala5832Ай бұрын
Nchi hii inao watu wengi weledi na waadilifu, siyo jeshi la mtu mmoja. Natumai kazi za huyo kijana ameziweka ktk mpango wa Wizara na kuweka vigezo vya utendaji na kujipima. Tusiwe na ujinga wa kuamini ktk mtu badala ya mifumo!! Enzi za strategic planning where there's participatory model rather than one man show model!
@victorwilliam1111Ай бұрын
Mfano mtaji unapolipishwa au unapokatwa kodi hapo matokeo yake ni nini kibiashara? Hivi hapo mtaji utakua au utapungua? . Haswa kinachokatwa kodi ni faida? Ni mtaji?