ROLINGA ATOA UNABII KWA TAIFA LA TANZANIA NA HATARI INAYOWEZA KUTOKEA

  Рет қаралды 63,134

Haleluya Tv

Haleluya Tv

10 ай бұрын

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Haleluya APP : play.google.com/store/apps/de...
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/prophetrolinga

Пікірлер: 108
@user-mk9vk5pe6i
@user-mk9vk5pe6i Ай бұрын
Mungu mkubwa Tunamuomba atulinde na kukulinda nawe.Amen.
@godfreynoah6450
@godfreynoah6450 10 ай бұрын
Nakuelewa sana mtu wa MUNGU MUNGU Ibariki TANZANIA
@WendeUpendo
@WendeUpendo 10 ай бұрын
Mkono wa Bwana uwe juu ya Taifa la Tanzania 🙏
@dativarichard1987
@dativarichard1987 10 ай бұрын
Bwana Yesu ilinde nchi yetu ya Tanzania
@NokorenKuluo-xd7wn
@NokorenKuluo-xd7wn 10 ай бұрын
Mungu naomba uturumie
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 ай бұрын
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina napokeya Kwa jina la YESU kristo amen
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 10 ай бұрын
Mungu alichokikusudia hakuna awezaye kubadilisha. Kama Mungu anataka kubadilisha mfumo wa utawala sharti atunyoshe kwanza maana utawala kama umepinda sharti unyoshwe; acheni MUNGU afanye yake.
@upendo1020
@upendo1020 10 ай бұрын
Amen
@RachaelBoniphas
@RachaelBoniphas Ай бұрын
Mungu mkubwa. Ututee amen
@estherasava
@estherasava 10 ай бұрын
Jesus heal Tanzania as you do to our Land Kenya
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 10 ай бұрын
Amen amen Thank you dear for praying for us. Be blessed
@fahamunimgalawe1883
@fahamunimgalawe1883 10 ай бұрын
Yesu tusaidie
@priscamakendi2239
@priscamakendi2239 10 ай бұрын
😢😢 msaada wetu ukatika Bwana
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 10 ай бұрын
Mungu atusaidie
@magdalenasirikwa517
@magdalenasirikwa517 10 ай бұрын
Hamna cha watu wa maisha ya chini ndio watakaoathirika kwani Mungu hana watu wa chini
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 7 ай бұрын
Walio okoka watashinda maana watakuwa nauwo wakuvumilia roho mtakatifu
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 7 ай бұрын
Moyo
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 4 ай бұрын
Mungu yupo Mungu atatupa kilichobora kama Magufuli
@esaumahundi5647
@esaumahundi5647 10 ай бұрын
Hata Mimi nimewahi kuona tupo katk vita vya ndani vilikuwa vibaya kuliko vya kimbali. Ni kweli maombi yanahitajika sanaaaa
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 10 ай бұрын
Tanzania inaingia kwenye msimu mpya maombi ni muhimu Sana maana lazima vita vipiganwe kwenye lango
@PeterIsack-eu5ze
@PeterIsack-eu5ze 10 ай бұрын
Habari za machafuko ya nchi zilishatabiriwa zamani na manabii wa kweli wa mungu” Acheni kupotosha watu wa mungu “ moto unakuja utachomwa sana wewe nabii wa uongo
@meshack3266
@meshack3266 10 ай бұрын
Acha ujinga wewe kumbuka uyu ndo alikutabilia kifo cha magufuri
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 10 ай бұрын
Ukiona naibu waziri mkuu anateuliwa ni kama vile tunapewa taarifa kuwa aneona waziri mkuu aidha hatoshi kwenye hiyo nafasi au amezidiwa na kazi. Tumuombee sana waziri mkuu wetu.
@studio..07
@studio..07 10 ай бұрын
Acha iwe tu kiongozi nchi lazima ibadilike hii....viongozi hawatusikilizi kabisa.... Wanachoamua ndicho wanachofanya..... Hata yesu alisema mapenzi yako yatimizwe si kama nitakavyo mimi.... Unabii mwingine acheni uwe mkuu
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 10 ай бұрын
Kweli kabisa Mtumishi...inakuja kabisa
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
❤❤❤❤ Aminaaaa
@spiritualrevivaltv4973
@spiritualrevivaltv4973 10 ай бұрын
Hapana aisee nakataa unatoa unabii wa mazingira Rolinga. Nakemea unabii huu kwa jina La YESU KRISTO
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 10 ай бұрын
Tangu Mama aingie madarakani huyu Mtumishi alishasema Mama aombewe sana na pia Kuna Safari atakazokwenda nje sio mzuri na shetani anatafuta mlango kwa ajili ya kuidhuru TZ,soon tukaona chanjo hiyooo ,Mtumishi akasema Tena hata Mama ajiombee mwenyewe ,Sasa hayo yaliyopo Sasa hivi kwenye mikataba alishayasema kabisa tafuta hiyo video ipo KZbin
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 10 ай бұрын
Unabii wa mazingira kivipi?? Haya ona sasa unabii baada ya siku 8 ameteuliwa naibu waziri mkuu. Hata kichwa chako hakifunguki. Nyie ndo watu wa enzi za Nuhu.
@michaelbennady223
@michaelbennady223 10 ай бұрын
Unabii wako mtumishi uliliona swala labandar mungu akubariki
@fredynjige5663
@fredynjige5663 10 ай бұрын
We nabii kweli mnapata taarifa. Zinazo vujishwa na Wana usalama harafu mnasema Unabii, moto uliua watu 100 Morogoro hamkusema
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 7 ай бұрын
Pole kaa tayar sasa tumble nchivyetu hili lilisha one kana mda ndugu tusimame tuombe toba
@jackjeremiah4149
@jackjeremiah4149 10 ай бұрын
Mungu anaenda kuleta msimu mpya ktk nchi yetu lkn sio kirahisi maana ipo vita kubwa ...Niliona the same thing mwezi uliopita, kupitia ndoto,nilijiuliza ni ndoto ya namna gani niliyoota lkn kumbe ilikuwa ni ujumbe kwa watu wote ...tuiombee nchi yetu..Mungu ilinde Tanzania...Mungu ibariki Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@elvinusruyango5840
@elvinusruyango5840 10 ай бұрын
Iwapo ni kweli na Mungu asikawie maana tumeteseka vya kutosha ndani ya taifa letu wenyewe. Mapenzi yake na yatimie, Amina
@Wamimedia
@Wamimedia 10 ай бұрын
Goo ! Deep Prophet
@user-en4es6nj4r
@user-en4es6nj4r 10 ай бұрын
Mungu atupen uwezo wa kuomba jmn
@DamasJoseph-ll4qx
@DamasJoseph-ll4qx 10 ай бұрын
Hiki Ndo nilikuja kusema Sasa inatokea napanda kwenye gari nawaambia watu lakini wengi wananiona mtoto tapeli lakini ndugu zangu hii itaatokea kama pasta alivyosema na ni Kwasababu ya watu tulivyomkosea MUNGU tulidu Kwake jamani nawaomba ndugu zangu nyakati hizi ni mbaya haijawahi kutokea Kinga ni bira kuliko tiba tumrudie MUNGU wapendwa
@user-bp4bf5ly3b
@user-bp4bf5ly3b 10 ай бұрын
Haya ndio yakusema kiongozi wa dini. Watanzania turudi kwa Mungu tuombe. Sio mashindano ya maneno. Yatatupeleka px baya. 2 nya 7. 14
@user-ni9zc3gx5t
@user-ni9zc3gx5t 9 ай бұрын
Hakuna anae jua kesho ni mungu pekeee ndie mjuzi
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 8 ай бұрын
Hakunaga maombi ya dini zote,maana Kuna wengine wanabudu miungu
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 10 ай бұрын
Mbona loringa Kwa habari ya mkataba husemi neno?
@asteriashios1852
@asteriashios1852 9 ай бұрын
Mkono wako mungu ukawe juu ya taifa la tanzania
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 10 ай бұрын
Vipi hujamuona mama kwenye rada zako!
@naturelle1097
@naturelle1097 10 ай бұрын
😂😂
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 10 ай бұрын
Alishamuona tangu mwanzo mbona kabla ya kuja chanjo na alisema pia akasema aombewe na Safari anazokwenda nyingi sio mzuri.
@lilykarim8968
@lilykarim8968 10 ай бұрын
Huyu bibi angeachia kiti kuepusha hayo maana anayasababisha yeye wala si vinginevyo
@merryjohn9520
@merryjohn9520 10 ай бұрын
Eeh MUNGU wangu usieshindwa kasimamie taifa letu la Tanzania
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 ай бұрын
Kweli kabisa
@neemanyasary1072
@neemanyasary1072 6 ай бұрын
Kanisa hili lipo Dar maeneo gani wapendwa
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani 10 ай бұрын
Ni MJUMBE WA AGANO pekee ndiye aliyepewa ufunuo wa ufalme wa mbinguni hapa Duniani,kabla ya mabaya naomba mnipe nafasi ya kufundisha kwenye media zenu.
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 10 ай бұрын
Huyo mjumbe ni nani?
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani 10 ай бұрын
@@barakaayubu6126 Ni yule aliyeandikiwa na manabii wa Mungu, Isaya 42:1-8. Malaki 3:1-6. Na Yesu akasema, Mathayo 17:11, Marko 9:12. ASOMAYE NA AFAHAMU.
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 10 ай бұрын
Acha mvua inyeshe tuonepanapo vuja.kama nami ni mhanga itakuwa mipango ya mungu.mungu aliendesha na kusimamia ukombozi wa vizazi na vizazi sembuse hiki atuache peke etu mfano;washami na wakoma,kaini na abel.Itumie biblia vizuri......
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 10 ай бұрын
Ungesema tu kuhusu mkataba wa bandari zetu
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 10 ай бұрын
Jamani acheni ubishi waajabu 😢
@samirazuberi186
@samirazuberi186 9 ай бұрын
MUNGU ALETE WEPES KIKWETE AFE JAMANI UNAJUA KIKWETE NDIO CHANZO
@maggieandrew995
@maggieandrew995 10 ай бұрын
Mhhhhhh
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 9 ай бұрын
Tangu ulipo toa UNABII juu ya JPM na ikatokea sinaga mashaka na huyu MTUMISHI
@odethamlyuka2552
@odethamlyuka2552 7 ай бұрын
Hata mimi
@odethamlyuka2552
@odethamlyuka2552 7 ай бұрын
Mungu tuondolee Hilo balaa la Nchi tunaomba Toba na rehema
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Hata Mimi jaman halafu kumbe kanisa lake lipo mbez bichi
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Na malisa naye alitabili hivyo utukivu kutakuwa hamna na alitabili tetemeko la ardhi Japan na limetokea
@sophiamwita434
@sophiamwita434 4 ай бұрын
Hata mimi
@MaishanaDavid-ej1ic
@MaishanaDavid-ej1ic 7 ай бұрын
Mh kuhusu makamu wa rahisi?? Au makonda
@deogratiustimoth4070
@deogratiustimoth4070 10 ай бұрын
Naona kama hutabiri ila unajaribu kubashiri usiite unabii sema ni mawazo yako kutokana na hali halisi
@esaumahundi5647
@esaumahundi5647 10 ай бұрын
Unajua kuna ujinga unaohataisha amani kwa tamaa mbaya kwa kulazisha mambo ambayo ya nje ya uwezo wao ktk nch ya wengi watoage maoni ni hatali
@naturelle1097
@naturelle1097 10 ай бұрын
Prophelie papa!😂
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 10 ай бұрын
Nabii wa shetani huyo aloyatabiri 2023 mbona hayajatokea,,,, acha kutisha WATU watishage wa kenya haoooooooo ulozoea kuwatisha,,,
@claraluoga3588
@claraluoga3588 10 ай бұрын
Wewe nani wakuhukumu? Kama muongo unafanya nini kwenye page yake?
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 10 ай бұрын
Tumia hekima ndugu. Ukiona alitabiri hayajatokea ujue watu waliomba na Mungu akasikia akasaidia.
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 10 ай бұрын
@@marykarebeti9410 hakuna cha hekima mbona Kwa magu alitabiri na NA AKASEMA TUOMBE ILI YASITOKEE, NA YAKATOKE UYO NI MJUMBE WA SHETANI.....
@petromnyeti1049
@petromnyeti1049 10 ай бұрын
Huo nao sasa Ni unabii au mtu anaangalia tu matukio yaliyopo anasema kanisani
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 6 ай бұрын
Huyu baba akitabiri inatokea daaaah basi muwe mnazuia istokee
@user-wk4rc6cb4i
@user-wk4rc6cb4i 10 ай бұрын
Acha uongo
@NellyMadeni-yv6fd
@NellyMadeni-yv6fd 10 ай бұрын
Hayo sio maono ata wapagani wajua tz tunaingia vitani soon tukae tayari
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 10 ай бұрын
Mtume muongo wa kuaangalia matukio
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Endelea kudharau, Hata alivyoongea mapema mwaka mmoja kabla ya kifo Cha MAGUFULI mlimuona chizi, Lkn yaliyokuja kutokea ninyapi?! Kila mtu kapewa kazi yake na MUNGU. NDIO MAANA KUNA MDA UWA TUNAPIGWA KWA SABABU YA IBISHI NA KIBURI.
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 10 ай бұрын
Haya sasa nq tukio la kuteuliwa naibu waziri mkuu nalo aliliangalia???? Au kwa tukio hilo hujaelewa tu kuwa ktk uongozi wa juu kuna shida??? Kusoma hujui hata picha huoni.
@user-df1zo4js2j
@user-df1zo4js2j 7 ай бұрын
Huna uwezo kujua yajayo.uongo tu.
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 3 ай бұрын
Imeandikwa, "hakika Bwana Mungu hatofanya jambo lolote pasipo kuwafunulia watumishi wake manabii" So kabla hujamkemea, better pray for it, it will cost you nothing for praying
@kwampalangetv5511
@kwampalangetv5511 9 ай бұрын
Naamin ulivyotabir kifo cha magufuli sipingani nawe hakika
@lucykawala5174
@lucykawala5174 10 ай бұрын
MUNGU MUUMBAJI anyooshe mkono wake atuokowe
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 10 ай бұрын
WE MBONA HUWA UNATABIRI MABAYA TU!? YA NEEMA HUWA HUYAONI KATIKA FUNUO ZAKO!?
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 10 ай бұрын
Akutabirie ya neema ili ujiandae na nini sasa?? Acha kuwa na negative mind
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 10 ай бұрын
ulitabiri kuhusu kenya na imekuwa sasa tuanze kuombea nchi yetu
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 9 ай бұрын
Acha kiumane Ili heshima ipatikane maana ccm wanadhani kwamba wao ni warithi wa hili taifa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 7 ай бұрын
Sema viongozi chamade jina tyu lile
@jastinmkoba
@jastinmkoba 5 ай бұрын
Hapana hapana mimi nimeoneshwa usiku wa kuamkia leo yakwamba wewe ni muongo sio waukweri......asomae na afahamu ninabii wa uongo...na nguvu zako ninza nigeria
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 10 ай бұрын
Hii ndo shida ya kuwa na Rais asie elewa maana ya uongozi tatzo hii nchi Haina viongozi Acha tu yatokee na hiyo CCM ndo chanzo Sasa ngoja tuone
@Wamimedia
@Wamimedia 10 ай бұрын
Mbona kama atabiri kwa uoga?
@maureenlusweti9516
@maureenlusweti9516 10 ай бұрын
Mwenye sikio na asikie Unabii wake huwa unatimia. So just pray your country plzz
@elishanovemba
@elishanovemba 10 ай бұрын
Hatabiri kwa uoga kama unavyo fikiria ww sio kila kitu ukiweke wazi kwa mafumbo na hakiri yako inaanza kufikiria nini kitakacho enda kutokea kama kwa magufuri alivyo tabiri yeye alijua kabisa magufuri atakufa maanaalionyeshwa na Mungu ili neno lake litimie kwa mtumishi wake harafu yeye alivyo lileta kwetu alilileta kimafumbo zaidi ili nasi tuweze kufikiria na kumuomba Mungu sio uoga sio kila kitu lazima ukiweke public unakitafutia namna ya kukiweka
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 10 ай бұрын
ACHA kutishia WATU na hiyo tabia umezoea kudanganya ... Et UNABII.....uwongo ni mtazamo wake kulingana na HALI iliyopo Sasa HATA 2o23 alitabiri matuKio mazito na hakuna lililotokea HUYU NI NABII WA SHETANI
@maureenlusweti9516
@maureenlusweti9516 10 ай бұрын
Kwa hivo ww ni nabii wa ukweli au. Usihukumu nawe ukaja kuhukumiwa tafakari mara ya pili tena
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 10 ай бұрын
​@@wisdomhalisi......8891asente sana umesema vyema. Huyu hana lolote ni NABII MUONGO SANA. ANAETABIRI KWA KUANGALIA MÀTUKIA.
@benson20301
@benson20301 10 ай бұрын
Acha kutisha watu wewe yatokee tu kwani nini huwezi suia fake prophecy
@neemamourice
@neemamourice 10 ай бұрын
Omba tu yasitokee kwani Mungu humtumia yeyote hata. asiyefaa mtume paulo anasema injili itahubiriwa hata kwa unafiki hata huko yanakotokea wangepewa wangeomba
@neemasanga5333
@neemasanga5333 9 ай бұрын
WACHAWI MNATABIRI MABAYA TU KWENYE NCHI MSHINDWE NA MANENO YENU YAFUTIKE, ANABII WA KWELI WANAONA TOFAUTI NA MICHAWI MAWAKALA WA SHETANI MLITUULIA RAISI WETU, WEWE NA TB JOSHUA NA MAWAKALA WENGINE MLITILIUULIA RASI NA MKAJIFANYA MANABII, HAMNA JIPYA MMEAIBIKA😂.
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 9 ай бұрын
Huyu ni msoma nyota na mnajimu tu.hakuna nabii hapo.
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 10 ай бұрын
Haakuna lolote
@PastaBahariaWilliam-vi1jo
@PastaBahariaWilliam-vi1jo 10 ай бұрын
Unabahatisha wewe ndivyo ulivyo,,Unabii kamili huwa haumumunyi maneno,manabii wa tz huwa mnaona tatizo likishatokea,mbona huwa hamuoni kabla?acha uongo mchumia tumbo wewe.
@paulkaisi5689
@paulkaisi5689 10 ай бұрын
Mmmmmh kazi ipo ila niseme hivi hakuna jambo baya litatokea ktk nchi hii ni changamoto tu za kawaida
@claraluoga3588
@claraluoga3588 10 ай бұрын
Kama muongo hapa unafanya nini?
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 10 ай бұрын
😂😅😅😅😂
@chulelubella2819
@chulelubella2819 10 ай бұрын
Nabii mpumbavu Kila siku kutabiri mabaya tu mbona hutabiri watu waache dhambi fake prophet na baba yenu wakiroho Nabii TB Joshua ndio maana Mungu alimuua
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 10 ай бұрын
Weee ni Nabii wa uongo, unae kwenda na upepo wa matukio na hali ya hewa jinsi ilivyo. Mbona huko nyuma kabla ya mgogoro wa bandari hukuwahi kusema kwamba kutakuwa na mgogoro wa bandari? Kwahiyo acha kutisha watu na unabii wako fake. 🥺🥺😟😟😳😳
KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO
6:11
Haleluya Tv
Рет қаралды 179 М.
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 99 МЛН
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 66 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 46 МЛН
KWA NINI UNAPASWA KUIOMBEA ARUSHA 2025 || Asema Nabii EdmoundMystic
10:42
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 6 М.
Ujumbe Wa Kinabii Juu Ya Uchaguzi Wa Tanzania 2025 | With Prophet Musa Meizon
7:34
Grace LifeStyle Ministries
Рет қаралды 9 М.
KUNA ROHO LAZIMA IFE ILI UFANIKIWE - Prophet ROLINGA
39:03
Haleluya Tv
Рет қаралды 10 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 184 М.