RUTO KUPINGA USHOGA NDIO CHAZO CHA MADAMANO EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 7,514

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

12 күн бұрын

#0766998994 #call0688199370 #0788871769

Пікірлер: 99
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Asante kwa kuwasaidia jirani zao neno laMungi lasema mpende jirani yako kama nafsi yako. Tunawapenda Wakenya
@annmuriithi1701
@annmuriithi1701 10 күн бұрын
Amieli katekela alisema haya mambo unasema na akasema siku zimekwisha kurundi kwa yesu mara ya pili kumekalibia kwa hivyo tukeshe tukiomba
@collinscareen7245
@collinscareen7245 6 күн бұрын
Una uhakika Mwinjilisti???hahahah
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 11 күн бұрын
Brother mungu akusaidie watu wakuelewe maana hali tete!!!
@TatuOmar001
@TatuOmar001 5 күн бұрын
Mimi ni mkenya nakubaliana wewe mtumishi wa Mungu 🙏👍👏👏👏❤
@adylineamutamwa959
@adylineamutamwa959 10 күн бұрын
Huyu ruto alipochaguliwa n Mungu alirudi kusahau Mungu wake Sai amemezwa na dunia kwa hiyo wakenya tumuombee Sana asiendelee asikubali
@nancykirigo5874
@nancykirigo5874 10 күн бұрын
Wacha uongo Pascal mtumishi nakupenda please keep off this heavy taxes to Kenya's ushoga ulipitishwa.
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Sawa kabisa mtumishi wa Mungu ni kweli Ruto anateseka sana lakini Mungu atampigania atavuka tu
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 4 күн бұрын
Ushoga ni Kenya uongo ni Kenya 🇰🇪 uuaji ni Kenya 🇰🇪 Kenya wanamdanganya hadi mungu ooooh cassian mambo ya Kenya huyawezi ulikua wapi walipo pitisha hii sheria 😂😂😂😂😂😂
@SuzyDidas
@SuzyDidas 10 күн бұрын
Mtumish unayoyasema ni kweli kabisa maana vitu vinavyoendelea sasa havieleweki kabisa
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Hakika huyu ndiye mtumishi. Barikiwa uongezeke baba
@nemuelochego4157
@nemuelochego4157 6 күн бұрын
Hii Ni uongo Paschal...We are Kenyans and we know what is behind Kenyan protests
@emmanuelodiga9020
@emmanuelodiga9020 5 күн бұрын
Habari Mtumishi, kwenye ili fatilia vizuri, mahakama ya Kenya ilipitisha sheria ya Ushoga na adi leo ni sheria na inafanya kazi. Pia GMO ruto ndie alieleta wakishirikiana na Bill Gates, kwa hiyo utetezi wako kwa ruto haiko sawa. Fanya utafiti vizuri
@user-lx1vn4bq8j
@user-lx1vn4bq8j 10 күн бұрын
Sema yòte juu wakenye wamesahau chakufanyaa na wanakufa na hawaoni kwamba wanaharibu maishayao
@alicejumaa89
@alicejumaa89 10 күн бұрын
Kina nani hao wanaoharibu maisha yao.. pambaneni na tz yenu acheni udaku. Nonsense
@jestinakalage1442
@jestinakalage1442 10 күн бұрын
Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi huu:: MBINGU zizidi kukulinda
@peterpreacher2025
@peterpreacher2025 10 күн бұрын
Mimi kama mkenya na mkristo ninayekupenda,kwa mara ya kwanza nakupinga kwa hili,,,natamani ungeishi kenya ukaelewa ugumu tulionao hasa kwa hili la finance bill,,,na nakuomba ukipata nafasi jisomee hiyo finance bill mwenyewe uielewe,,,na habari ya ushoga naomba ujue Ruto ndiye anayejipendekeza pakubwa kwa marekani kuhusu hili,,,,hapa mtumishi umeenda sana,,,, tunaelewa tunachopitia
@alicejumaa89
@alicejumaa89 10 күн бұрын
Huyu jamaa views na likes zinampotosha siku hizi ..kusifia viongozi wajinga ashazoea.
@faithmutua77
@faithmutua77 10 күн бұрын
Nikweli mtumishi 🙏🙏🙏
@user-lx3bw1uk3e
@user-lx3bw1uk3e 10 күн бұрын
Ruto alipo pata urais ushoga ulipitishwa sai watu wanaandamaana na uchumi ndio uko juu sana lakini si ushoga,ushoga ulipitshwa mwaka jana.
@alicejumaa89
@alicejumaa89 10 күн бұрын
Aliyeulazimisha ni huyo nabii Ruto 😂😂😂
@user-lx1vn4bq8j
@user-lx1vn4bq8j 10 күн бұрын
Amen lord
@enochzakayo
@enochzakayo 7 күн бұрын
very true mchungaji coz those guys had the flags to support during demonstrations ,Mungu tuhurumie kabisaa
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 5 күн бұрын
TULIA KWANZA MSIKILIZE SANA ROHO WA MUNGU USISIKILIZE WATU NA. MITANDAO, NDIPOSA ULETE SOMO LENYE MASHIKO, NA KUWA MSAADA KWA JAMII NA TAIFA NA ULIMWENGU MZIMA , TUNAKUPENDA SANA
@SuzyDidas
@SuzyDidas 10 күн бұрын
Mungu atuhurumie jaman
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Wakenya jirani zetu kamani acheni vurugu mtaisha roho zetu zinauma sana. Kumbukeni nchi nyingi za Afrika anakabiliwa na hali ngumu ya maisha sio Kenya tu watu wanapambana na maisha na sio kukaa barabara kwa maandamano.
@dimojaydan6344
@dimojaydan6344 6 күн бұрын
AMEN mungu akuinue zaidi
@JosphatChai-om6lt
@JosphatChai-om6lt 5 күн бұрын
Hakuna kitu unajua kuhusu Kenya kuwa mpole mchungaji
@user-mo6hw6fx4s
@user-mo6hw6fx4s 10 күн бұрын
sema mtumishi iliwapone 😢😢
@wairimukimiri1603
@wairimukimiri1603 3 күн бұрын
Mm ni mkenya na usiongee uwongo please, ruto alipitisha sheria ya ushoga kenya, angalia Uganda hakuna ushoga, Ruto anapitia haya yote juu ya ushoga aliptisha na Mungu hapendi uchafu
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 4 күн бұрын
Hapa Kenya 🇰🇪 nikwetu na ushoga ulipitiswa hadi pendera inapeperwa iko juu cassian sisi ndio tunajua haya rais ako chini ya maji alikubali haya yote hadi amepewa pesa na hayo mataifa cassian ooooh nakupenda lakini haya uyanenayo yamekushinda Acha mungu anayajua yote kuliko wewe😢😢😢😢
@NzukoMwenge
@NzukoMwenge 10 күн бұрын
Hizo ni pigo kwa rutho ili Aachekuingiliya vita vya Congo n'a ku chekeleya Congo hiyo nionyo Mungu anamupa arudiliye njiya sahihi mchungaji . Sio mambo ya ushoga Mungu anaendeleya kuteteya Congo 🇨🇩
@alicejumaa89
@alicejumaa89 10 күн бұрын
Ushoga aliyeuleta Kenya ni Ruto. Huyu mtumishi hajui anaongea nini. Uhuru Kenyatta alishaukataa kitambo.. anataka ruto ampe pesa sahau hiyo.
@mohamedikinu9502
@mohamedikinu9502 3 күн бұрын
Nchi yeyote ambayo ina uhusiano na Marekani ujue ipo kwenye ajenda ya ushoga unakosea mtumishi
@brianshomi722
@brianshomi722 8 күн бұрын
Watakaokupinga ni waliopo gizani TU😢
@shukulanigodwithyou7898
@shukulanigodwithyou7898 Күн бұрын
Ruto mwisho atahukumiwa ayache kuunga mukono ku wenye wNashamburiya Congo kupitiya chama cha ugaidi cha m23 kagame na museveni
@mtumewawengi_onlineTV
@mtumewawengi_onlineTV 5 күн бұрын
Mbona uganda mseveni hajakubali na bado hawana maandamano
@nurumwita9034
@nurumwita9034 5 күн бұрын
Museveni hajaokoka
@Maryc2G
@Maryc2G 3 күн бұрын
Mungu atampiganie Rais Ruto, amtegemeae bwana hawataaibika kamwe. Ruto Mungu yuko upande wake, pastor umesema ukweli kabisa, Ushoga ndio Agenda. Nasimama na Ruto na wewe
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 5 күн бұрын
Kama ingekua Africa tunaweza kujitawala bila kutegemea misaada yao wasingeweza kuchochea vurugu
@GiliardKashimba
@GiliardKashimba Күн бұрын
Ndio nimekwelewa sasa hivi lakini mwanzoni ulikwaunasema kama mwana siasa
@PaulinaNyanzalashija
@PaulinaNyanzalashija 2 күн бұрын
Na huko kenya panakuhusu cassian achana na nchi za watu huko kenya kuna manabii kokii
@collya4551
@collya4551 Күн бұрын
Uongo.. huo . Sisi wakenya tunapigania ushuru umezidi huku kenya
@expertsmovespodcast1830
@expertsmovespodcast1830 5 күн бұрын
Maraisi wengi wanaopenda kusafiri walikubari kisirisiri ,wameruhusu makampuni hayo kuingia na kupewa maiofisi ndani ya hizo nchi Ila Marais wanaongea kwa ku act kwenye vyombo vya habari kama wamekataa .
@elishamalunde1106
@elishamalunde1106 6 күн бұрын
Ningumu mashoga kumuelewa mtumishi casian
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 10 күн бұрын
Mtumishi Pascal nakupenda sana lakini wacha kumtetea Muongo,Mfisadi…maana anawaonga wajumbe wapitishe miswada bungeni,amekuwa na kiburi…anavaa saa ya million kumi iwe aje!huo ni ukiristo?
@user-lk5it5zy6m
@user-lk5it5zy6m 10 күн бұрын
Ni kweli
@shukulanigodwithyou7898
@shukulanigodwithyou7898 Күн бұрын
Ruto arifanya kosa kusikiriza shauli ya ndugu yake Kagame yeye arihuriza kagame vipi Rwanda anaendereya akamwambia kuhusu kodi enda ugapandisha kodi kuwana inchi soyo ushoga sababu nirafiki na wakubua ya washoga usiseme yivo , na yiko anamusikiriza sana na kagame ni mutu wakuraaniwa Mungu anataka amuhukumu kwadamu arie mwaga , sikiya nathani si mars yakwanza wanageshi wako Congo kuunga mukono mageshi yarwanda hiyo nikosa kubua Mungu anataka ahukumu na wewe hukataa wewe ninani mbere ajirepushe namambo yakuunga mukono m23 inayo wuwa nana inchi ya CONGo
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 8 күн бұрын
Walio wa rohoni wanaweza kukuelewa.
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 2 күн бұрын
Anapinduliwa sasa hana muda atakimbia kenya huzakayo
@Ufunuo97
@Ufunuo97 7 күн бұрын
Unatafta kutukanwa tuuuu, mambo mengne vungaaa, esatafrica uganda tuuuh ndo wamekataa ushogaa,
@badmeetsevil7643
@badmeetsevil7643 3 күн бұрын
Zakayo mwengine huyu mnafik tu ww achana na kenya ww mchawi tu ww
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 4 күн бұрын
Watu weusi mrudieni Muumba wa kweli (Loba)
@dfremac
@dfremac 6 күн бұрын
WW NILIKUWA NAKUPENDA BT UMEANZA KUONGEA UONGO MKUBWA KEEP OFF KENYA LINE. HUJUI TUNACHOPITIA WEWE.
@Betty-bp4gp
@Betty-bp4gp Күн бұрын
NA VILE NAKUPENDA SURELY UNATETEA RUTO? UNATOA JA SHO BURE.DLT THIS THING
@babugilbert6922
@babugilbert6922 10 күн бұрын
Kitu Cha kwanza Ruto anaunga mkono ushoga ndio maana korti ya Kenya ilipitisha huo mswada wa ndoa za kijinsia Uhuru ndio alikataa wewe mtumishi hapo nimekukosoa
@TumbaMbayo
@TumbaMbayo 3 күн бұрын
Ruto muizi toka kule weye mujinga
@benjaminwafula
@benjaminwafula 11 күн бұрын
Mtumishi wa mungu siku zote twakufatilia vzr sana unatupa neno na mafundisho mema sana lkn kwa hili umenoa tazama ww hapo ulipo nji yako imetulia hakuna ushoga na kama upo n ule wa kujificha tu huku mambo n live alafu sasa hii kitu imefanya wakenya waandamane sio ushoga n uchumi na huyo mswada wake angelikua anawapa wakenya nafasi na kuwaskiliza hayo yote yasingetokea lkn kwa yy kua kichwa ngumu ndio unaona vitu kaa hv kwanza kbs tengeza kwako anza na kwako ww kama kiongozi uone hili jambo linafaa kama linafaa lisonge mbele kama halina maana life kingine waingeza watawezaje kuwashawishi wakenya wote kufanya maandamano wakati yy ndie huenda huko na sio ss wao hata hawatujui labda wangempa supot yy kwa kila kitu anachotaka kiwe waingeza hawana mda ya kuwashawishi wana nji labda kiongozi na sio wana nji
@shigongoshuli6320
@shigongoshuli6320 10 күн бұрын
Yamkini kuna kitu nyuma ya huo mswada.Yamkini misaada ya nje mfano mikopo imezuiliwa kwa kutokubari mashariti hayo ya ushoga na yamkini ugumu wa maisha umeanzia hapo hatimaye miswada ya kuumiza inaibuka .you never know😢
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 10 күн бұрын
Ushoga ndio chanzo maana yeye ndiye aliruhusu mahakama kuu kuukubali.Anakataa hadharani na kukubali sirini. Ushoga ndio chanzo maana yeye ameukubali kisiri na akawa rafiki ya mashoga(USA).
@benardcharo4332
@benardcharo4332 10 күн бұрын
Je? Huyu Paschal anaroho wa mungu?
@renatus5687
@renatus5687 3 күн бұрын
Ww nae uo ni upeo wako ndo umeishia hapo walofanya ukamjua mungu ndo unaowapinga maana hata bible ndo wameandika wao na Kenya maandamano ni kawaida Yao usije Fanya watu wakaacha kufanya kazi kisa tuko siku za mwisho usisahau mwaka 2000 pia ilikua mwisho wa Dunia iliishia wapi iyo
@EdwinEdward-ze2eq
@EdwinEdward-ze2eq 10 күн бұрын
Unajua mwanadamu uwa anaenda kichwa kichwa bila kujua tu
@alimau7939
@alimau7939 3 күн бұрын
Kama ruto anapinga ushoga marekani ameenda kufanya nini wacha uboya ww
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 3 күн бұрын
Kweli alijipeleka mwenyewe
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 6 күн бұрын
Hakupiga wala kukubali yye
@caromafumbo6088
@caromafumbo6088 7 күн бұрын
Wacha uongo umelipwa
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 5 күн бұрын
Lakini na wewe nilopokajitu 😓
@alicejumaa89
@alicejumaa89 10 күн бұрын
Pascal cassian kabla ufanye video yoyote omba kwanza mungu akuongoze na wala sio kupayuka kwa kuwa uko na camera ikiwa hujui unasema nini na watu wanapitia nini hususan.. maana ni kiki unatafuta ndio ruto akupe pande lkn hata hujui shida ni nini. Ongelelea mwamposa wenu Kenya haikuhusu.
@user-zd9hy1yd7c
@user-zd9hy1yd7c 9 күн бұрын
Unakosea kusema ivyo
@user-lx1vn4bq8j
@user-lx1vn4bq8j 10 күн бұрын
Na ubarikiwe mutumishi wa mungu
@petersaitotilaizar9176
@petersaitotilaizar9176 9 күн бұрын
Nilikuwa nakuchukulia kama mtumishi but wewe nimtumishi mwango
@keruboirene
@keruboirene 11 күн бұрын
Leave the Kenyans completely,,,,,we were born with our understanding.... You have been exposing pastors and gospel singers so badly... *So you and Ruto are the only holy ones who fear GOD and walk in the ways of GOD.... right???*
@SuzyDidas
@SuzyDidas 10 күн бұрын
Sasa kama hatutanunua au kuuza tutafanya nn ss kama wakristo
@annmuriithi1701
@annmuriithi1701 10 күн бұрын
Hapo ndipo bibilia inasema atakaye fumilia mpaka dakika ya mwisho ataokoka heri kufa kuliko kuichukua hiyo machro chip ama hiyo namba ya huyo mtu kiongozi wa new world order
@annmuriithi1701
@annmuriithi1701 10 күн бұрын
Kufumilia mpaka kufa
@ministerwillan
@ministerwillan 7 күн бұрын
Tafadhali mtumish nawe nakweshimu lakin umeanza kukosa maadil ruto alikubali ruto si mtu wa mungu kabisa you preach gospel what's you are saying ur wrong
@anntaaka5631
@anntaaka5631 10 күн бұрын
Wewe pascal kasiani hua unaribia watu majina na watumishi wa Mungu kumbe ni content hua unatengeneza wewe ni shoga mwanzo alafu Kenya ifwate sisi tunapigania usharu Kenya alafu uje from no where eti tunapigania ushoga weweqe
@BerylSeer1
@BerylSeer1 11 күн бұрын
Wewe wacha kuchafulia wakenya Jina, wewe unajua chenye kinafanyika huku,,, ebu mkuwe na information before mtengeneze video, Ata pesa haramu hazisaidii.... Videos mnatengeneza ndio mpate views na pesa, Mungu Aliye Hai awakemee!! Mimi kama mkenya sitaruhusu huu ujinga!!
@bonifacematuku2000
@bonifacematuku2000 11 күн бұрын
Akome kabisa hatukubali ii ujinga kama wakenya.
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 10 күн бұрын
Wew unayejuwa mbona usipige got kuombea inch yako na kiongoz yako..na cyo kujaaa mabarabaran kutukana matus mabaya je?Wew uko sahih
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 10 күн бұрын
Mashogaa wengi utokea kenya..asa mombasa😢😢😢
@shigongoshuli6320
@shigongoshuli6320 10 күн бұрын
Yamkini kuna kitu nyuma ya huo mswada.Yamkini misaada ya nje mfano mikopo imezuiliwa kwa kutokubari mashariti hayo ya ushoga na yamkini ugumu wa maisha umeanzia hapo hatimaye miswada ya kuumiza inaibuka .you never know😢
@danielgarry538
@danielgarry538 10 күн бұрын
Beryl kwa hiyo wewe huoni vita ni ya kiroho unaona maandamano na kumuondoa Ruto ndio itakuwa amani ya Kenya? Hapo angalia Sana usimhukumu mtumishi wa Mungu kwa haraka hebu chunguza vizuri....
@anntaaka5631
@anntaaka5631 10 күн бұрын
Kumbe wewe muongo hivyo Mimi nilikua napenda kufatilia maneno yako nikidhani ni ukweli kumbe ni owongo kumbe ni content hua unatengeneza vile nimeona umetoa ujumbe wa uongo huu naku unfollow sai Kenya ushoga Ulisha kubalika sijwi waongelea Nini, kumbe wewe ni ovyo kiasi hiki ongea na ubaki uko uko Tz usitubutu kuja Kenya utabondwa hakuna siku nitasikiza maubiri yako ya content ovyo kumbe wewe ni bro wa Ruto
@GladTolage
@GladTolage 10 күн бұрын
Sasa nyie ma commenter wenzangu huo uongo mnaousemea ni upi imani yenu ndogo Kama hamuelew mtuache tunaoelew
@enochzakayo
@enochzakayo 7 күн бұрын
very true mchungaji coz those guys had the flags to support during demonstrations ,Mungu tuhurumie kabisaa
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 6 күн бұрын
Ruto alikosea kuruhusu kuandikishwa LGBTQ kuwa na uhuru kufanya mambo yao wew umekurupuka.
@GladTolage
@GladTolage 10 күн бұрын
Sasa nyie mnaosema ni uongo uongo gani mnaosemea kama hamuelew mtuache tunaoelew na sio kucomment ujinga nyie mnajikuta akina nani mpka mnamtishia mta unfollow umewah kumsaidia nn huyo.
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 6 күн бұрын
Huyu ruto unayemtaja hapo hujasema kiburi chake ndicho kinacho mponza anapoongea na wakenya mdomo yake mchafu yeye yanamkutu kwa kujisahau
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 12 М.
HAWA NDIO WACHUNGAJI MAKAHABA WAKIJIUZA KANISANI EV PASCHAL CASSIAN
16:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 58 М.
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 47 МЛН
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 21 М.
CASSIAN AMKEMEA SHEHE SURE  MAJINI ANAPOTISHA EV PASCHAL
1:29:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,7 М.
CASSIAN AMKEMEA MATHA NAKAJALA KUWA KUWA UCHI EV PASCHAL CASSIAN
1:03:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 8 М.
KEKI YA UPAKO NIKAFARA YA MWAMPOSA UKWELI WAWEKWA WAZI EV PASCHAL CASSIAN
1:06:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,9 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 24 М.
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
SIRI NZITO MUNGU WA MWAMPOSA AFICHULIWA KAFARA ZAKE EV PASCHAL CASSIAN
1:00:59
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 20 М.
UNABII WA BALAA KENYA NA TANZANIA WAANZA KUTIMIA
38:02
huduma ya kristo
Рет қаралды 20 М.
CLUSTER OF HELL VISIONS Featuring Kenya's Archbishop H. Ng'ang'a, Ev. Ezekiel, Apst James Ng'ang'a
25:51
REVELATION WISDOM MINISTRIES INTERNATIONAL
Рет қаралды 3,3 М.
Вор в законе заступился за официантку  ...
0:59
Сериалы 🍿
Рет қаралды 9 МЛН
She saved others
0:20
V.A. show / Магика
Рет қаралды 4,4 МЛН
رورو ضد رقيه🔫😲🚀 #shorts
0:13
رورو فاميلي | Roro Family
Рет қаралды 9 МЛН
I Can't Believe We Did This...
0:38
Stokes Twins
Рет қаралды 60 МЛН