SIRI NZITO MUNGU WA MWAMPOSA AFICHULIWA KAFARA ZAKE EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 29,491

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

15 күн бұрын

#0766998994 #call0688199370 #

Пікірлер: 259
@lygasauka751
@lygasauka751 7 сағат бұрын
Ukisoma Isaya 32:15, inasema kila mti ni Misitu, peleka Injili achana na kupinga pinga watu, Mzee. Utachoka Sana, kwa kufanya kazinambayo sio ya Mungu. Agizo kuu ni Injili, Amri kuu ni Upendo bro, Ukimpenda Mungu utafanya kazi yake achana na Mambo ya kina Mwamposa.
@EliaEmmanul
@EliaEmmanul 10 күн бұрын
Mtumishi Mimi na kutia moyo endelea vivyo hivyo Mungu akutie nguvu
@emmymgotta8830
@emmymgotta8830 2 күн бұрын
MR. C. MBONA UNATUMIA NGUVU NYINGI SANA KUMPINGA MWAMPOSA? AISEE UTAINGIA MBINGUNI UMECHOKA SANA.
@ephraimmwidunda7136
@ephraimmwidunda7136 2 күн бұрын
Mhubirini MUNGU, na Mwanae Mpendwa Yesu Kristo. Achana na kuhubiri mapungufu ya wenzio. Mbona wengi wenu m asema ' Mungu ameniambia.. ' Nani alikuona au kusikia ukiongea na MUNGU? 😅
@user-xn3vq1gq3p
@user-xn3vq1gq3p 7 күн бұрын
Mnatupoteza tunaowasikiliza na kutufundisha neno la Mungu.Kila mtumishi afundishe alichoinuliwa na Mungu.Msibadilike kuwa Wana siasa wanaoomba kura.
@gospeltv2415
@gospeltv2415 12 күн бұрын
Mtumishi mhubiri yesu yakina mwamposa waachie wao
@corrolesscps
@corrolesscps 10 күн бұрын
YESU Kristo ni yule yule Jana na leo na kesho, na Neno la MUNGU wa Mbinguni MUNGU YEHOVA wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ndie anaehubiriwa na Mwamposa , na MUNGU ni pendo, aliupenda ulimwengu akamtoa Mwanawe Pekeee kila amwaminie ataokoka
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 9 күн бұрын
@@corrolesscps BWANA YESU AMETUAMURU KUTUMIA JINA LAKE PEKEE (MARKO 16;17) HIVYO YAZIDIYO HAPO NI YA SHETANI.
@LydiaOnesmo
@LydiaOnesmo 9 күн бұрын
@@gospeltv2415 kabisa yaani Yuko busy na kina mwamposa badala atangaze Jina la Yesu Tanzania nzima imjue
@janethesron1111
@janethesron1111 10 күн бұрын
Pole acha kuteseka na karama ya mwenzako
@FestoYohana-ll4wk
@FestoYohana-ll4wk 11 күн бұрын
ww siyo mtumishi wa mungu una majungu usihukumu atakae hukumu mungu peke yake
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 11 күн бұрын
Kaka wew kinacho kuuuma nini ya kina mwamposa waachie wenyewe wewe Muhubiri tuu kristo na maisha mengine mbinguni niushauri wangu tuuu*
@bethmahela2182
@bethmahela2182 4 сағат бұрын
Sijawahi kumuona huyu pascal kasian,akihubiri naona aanawapinga watumishi wa mungu,mungu akusamehe tu
@MoksMokah
@MoksMokah 9 күн бұрын
Ndugu Mwamposa we are together I'm Emmanuel from Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🙏
@pastorsthenksrojaskapunga6843
@pastorsthenksrojaskapunga6843 14 күн бұрын
Zaburi 30:3 [3]Umeniinua nafsi yangu, Ee BWANA, kutoka kuzimu. Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao shimoni. O LORD, thou hast brought up my soul from the grave: thou hast kept me alive, that I should not go down to the pit.
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 14 күн бұрын
Hakuna binadamu.awezaye kukuombea ili Mungu afute maovuyako isipokuwa wewemwenyewe kujiombea kabula yakifo chako. ndiyo maana hataka bulayakifo chaYesualijiombea yeye mwenyewekabula yakifochake kwakuwa yeye duniani hakuwanataji la uunguali alibebeshwa madhaifu ya binadamu ili kujumuikanao.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 12 күн бұрын
Nakushauri ACHA KUWAZUNGUMZIA WATUMISHI WENGINE, FANYA KAZI ALIYOKUPA YESU Walete watu kwa Yesu kwa KUWAFUNDISHA WATU WOTE WAMJUE YESU NA KUDUMU NDANI YA YESU KRISTO WA NAZARETI.
@LydiaOnesmo
@LydiaOnesmo 12 күн бұрын
Kwakweli kabisa yaani Mimi ananikela saana Yuko busy to kuchafua watumishi,
@LydiaOnesmo
@LydiaOnesmo 12 күн бұрын
Kwakweli kabisa yaani Mimi ananikela saana Yuko busy kuwasema vibaya to unajua Mtu Mara nyingi aliyeshindwa hutaka kufanya na wengine washindwe to
@Kamkono
@Kamkono 12 күн бұрын
Ni kweli kila siku anatufundisha Mungu wa MWAMPOSA, atufundishe Mungu wake. Mimi binafsi siamini kama ndicho alichotumwa na YESU.
@LydiaOnesmo
@LydiaOnesmo 12 күн бұрын
@@Kamkono nakwambia wewe Acha to Ndo hivyo atuoneshe Mungu wake kafanya Nini Juu yake na kupitia Yeye na Kwa wengine Huku anapopasema kila siku shuhuda ni nyingi saana
@Pendopasilika
@Pendopasilika 12 күн бұрын
Kweli sikio la kufa halisikii dawa
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 12 күн бұрын
Wewe mwenyewe tutakuamini vipi
@renatus5687
@renatus5687 10 күн бұрын
Wewe nae c li ombaomba tu unafikitu tu wakusema wengine kila siku si ufanye yako au unajikuta mungu wa duniani Fanya kazi uombaomba tu
@OnesmoDenis
@OnesmoDenis Күн бұрын
Hivyo hubiri utukufu wa mungu siyo kuwasema watumishi
@user-ut8pq2uj7v
@user-ut8pq2uj7v 14 күн бұрын
Asante yesu Kwa kunipa Neema yakujua maandiko nifunike Kwa dam yako takatifu na family Yang yote ili tuje kwako tusiufatishe namna ya ulimwengu uendavyo❤
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 14 күн бұрын
Yesu na sio yesu✊
@MoksMokah
@MoksMokah 9 күн бұрын
Ev.Paschal we are together, I'm Emmanuel from Mombasa Kenya.🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@norahfrank
@norahfrank Күн бұрын
Sijui kwann Wakristo tunapigana vita kiasi hiki Ee Mungu
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 8 күн бұрын
Muhubir Yesu achaaa kuwasema watumishi wa Mungu.
@DutoEmanuel
@DutoEmanuel 2 күн бұрын
Mwambie yesu akuongezee salio
@user-xn3vq1gq3p
@user-xn3vq1gq3p 7 күн бұрын
Ewe mtumishi hubiri ulichoitiwa na Mungu, msichafuan
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 күн бұрын
Shetani hana nguvu kufanya miujiza zinazotendeka katika kanisa la Mwamposa.
@JaneDaimon
@JaneDaimon 12 күн бұрын
Nawewe fanya Yako acha kumzunguzia mtu mwinzio
@YuenPonsiano
@YuenPonsiano 11 күн бұрын
Usiogope mungu akulinde
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 10 күн бұрын
Mbwa ww
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 12 күн бұрын
Mtumishi mwema ni mzee wetu Mwakasege mwenye busara ya Mungu hajawahi kugusa huduma ya mtu mwingine na kama una ujasiri wa kupinga mbona ujawagusa waislamu na hali unajua ndio wapinga Kiristo kumbe wewe ni muoga wa kufa unajua wakiristo ni wapole na wanyenyekevu wa moyo shambulia waislamu kama kweli una ujasiri wa kimungu
@eligiuselias4469
@eligiuselias4469 12 күн бұрын
Aliye lwambia wapinga Kristo ni waislamu tui?. Je Kristo alipingwa au kukataliwa na waislamu?
@Pendopasilika
@Pendopasilika 12 күн бұрын
Mpinga kristo anaweza akawa mkristo au mwislam husomi biblia? We unafikili waislam wote hawaendi mbinguni wapi watakao kwenda nikama vile wakristo wapo ambao hawatakwenda na wengine wataenda waislam na ni taifa ambalo MUNGU alimbalikia Ishumail mtoto wa Ibrahim Alie zaliwa na msichana wa kazi kwa hiyo mpinga kristo niyule anaepinga mafundisho ya YESU na kufuata mafundisho ya shetani
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 11 күн бұрын
​@@PendopasilikaMBINGUNI HATUONDI KWA DINI BALI KWA NENO LA KRISTO. MARKO 16::16 AAMINIE NA KUBATIZWA ATAOKAKA, ASIYE AMINI ATAHUKUMIWA. YOHANA:3:5 YESU AKAJIBU, AMIN,AMIN, NAKUAMBIA MTU ASIPOZALIWA KWA MAJI NA KWA ROHO HAWEZI KUUINGIA UFALME WA MUNGU. WALA SIYO SINI HIYO, BALI NI WOKOVU. UNAPASWA KUOKOKA.
@Pendopasilika
@Pendopasilika 10 күн бұрын
@@user-kr9xx8br4o Ni kweli tunakwenda kwa njia ya wokovu ambalo ni neno la kristo lakini je? Na kwenye hizo keki mie naona hiyo ni miujiza ya kipepo MUNGU akubariki
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 10 күн бұрын
@@Pendopasilika IBADA YA KUMUABUDU YESU KRISTO HUFANYIKA SAWASAWA NA NENO LA KRISTO. AMBALO LINATUAMBIA KUTUMIA JINA LAKE PEKEE. YOHANA 14:13-14 YOHANA 16: 23 YOHANA ; 16:26 (Soma) YAZIDIYO HAPO, YANATOKA KWA SHETANI. 2WAKORINTHO 11;14 (Soma) Neno linasema; Mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi yao.
@orsolinaleonsminja6436
@orsolinaleonsminja6436 18 сағат бұрын
Mimi ni Mkatoliki na Nina amini Sana mafundisho yanayofindisha kabisa Katoliki la Roma, hakuna WA kutoa huko. Imani yako ndiyo inayokuponya.
@user-hv7hi6tk9e
@user-hv7hi6tk9e 2 күн бұрын
kama kweli Mungu tunayemwabudu yupo hai na aishi tumwachie yeye atoe hukumu ya haki huwezi kuhukumu maana hata ww mwenyewe unatumika.kuwachafua viongozi wenzako huewezi kuhubiria watu habari za kanisa lingine Mwache.Mungu mwenyewe apitishe Mundu kuvuna ngano na magugu ww una jicho lipi la kufichua uovu wa wenzako?
@gracenelsonmutalemwa
@gracenelsonmutalemwa 9 күн бұрын
Anae hukumu siku zote ni Mungu pekee usimuhukumu mwanadamu mwenzioo.
@AlexJohn-j9j
@AlexJohn-j9j 11 күн бұрын
Tufundishe basi mungu wako,acha kufuatiria Imani za watu,
@MadollartzMadollar
@MadollartzMadollar 8 күн бұрын
Mungu awe nawe
@JastineValentine
@JastineValentine 9 күн бұрын
Ubarikiwe na bwana
@samsonphilipo7153
@samsonphilipo7153 13 күн бұрын
Hata ukiwazungumzia unapoteaa muda kwasababu MAANDIKO yalikwisha tabiri manabiii wa uongo au watumishi wa uongo watakuwepo so huwezi kulizuia ,wewe unachotakiwa wafundishe watu kweli ya NENO la Mungu ,wamjue Mungu only that,Yesu NDIE atakayehukumu siku ya mwisho
@salimucvales7495
@salimucvales7495 13 күн бұрын
Wewe lijinga pumbu ndo walewale
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 12 күн бұрын
Fact, afundishe kweli yake, asitumie muda wake wote kuwa ATTACK hawa watu.
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz 11 күн бұрын
Kama Mwamposa atumiwi na Mungu na miujiza inayotendeka kwenye ya arise and shine ni feki basi nyie mliowatumishi wa kweli fanyeni basi hiyo miujiza ya kweli tuone na kama hamwezi
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz 11 күн бұрын
Nilichogundua watumishi wengi wanaoshambulia wenzao wana Roho ya kifarisayo misishangai kuona watu kama hawa mm nashangaa sana badala ya kuhubiri injili wanahubiri mambo ya watu oh yule hivi oh yule vile is that a gospel? Biblia inasema kwenye matendo ya Filipino alishuka Samaria napale Samaria palikuwa na mtu mmoja mashuuri jina lake aliitwa Elima mchawi aliwashangaza watu wengi kwa uchawi wake lakini siku moja mtumishi wa Mungu alipokuja Mungu akamtumia Filipino kwa miujiza mikubwa sana watu walifunguliwa sana hata yule .mchawi akaonekana si kitu kwahiyo na hawa watumishi wanaoshambulia wanatakiwa kuudhiirissa za Mungu kama na kama hawawezi basi wakae kimya wasitabishe watu wakati wao hawawezi kuwasaidia
@lulumatawalo7805
@lulumatawalo7805 11 күн бұрын
Watu wamechoka na story wanataka kumuona Mungu anayetenda,anayeponya, mtenda miujiza.Yaani wewe umejifanya Hakimu? Mungu akusaidie.Hivi ,kama ni nguvu za giza si umepewa mamlaka ya kuziharibu ? Vita vyetu si juu ya damu na nyama,bali ni juu ya falme na mamlaka juu ya.........Sasa ukiona unakemea bado vimesimama na vinastawi!!!Kaa ujitafakari
@wakywenaky3674
@wakywenaky3674 11 күн бұрын
Tangu umeanza kuwasema wenzio vibaya sijaona hata mmoja amekujibu ,wala hakuna aliyeanguka ,kaka fanya yako mwenye mamlaka ya kuhukumu ni MUNGU,huo muda unaopoteza kujisifa na kuwaponda wenzio ungewekeza sana kuombea watu wamjue huyo MUNGU wako
@MoksMokah
@MoksMokah 9 күн бұрын
You are right
@JasminMneney
@JasminMneney 7 күн бұрын
Kweli kabisa ndugu yangu​@@MoksMokah
@MahraKhan-gd7pb
@MahraKhan-gd7pb 13 күн бұрын
Watu wametekwa ufahamu watu wanahitaji ikomboz wa fikra YESU atusaidie kujua neno lake na kupata maarifa ya neno lake
@JosephineWiliam
@JosephineWiliam 21 сағат бұрын
Fuata ulichotumwa Na huyo Mungu wako Acha kelele zako
@MeshackMlyanginu
@MeshackMlyanginu 4 күн бұрын
Cassian unaongeaga kwel kabisa lakini usiwahukumu hao wengine ucje ukahukumiwa Ila ukweli Xana kuhusu mafundisho yako
@SophiaMeizon-kq3bp
@SophiaMeizon-kq3bp 7 күн бұрын
Mungu awape hekma watumish wake waihubr kwel ya Mungu na sio kufata Oman potofu, swez mzungumzia mwamposa sabu sjamfahamu kiundan zaid, ila wateule kuwen macho hz ni Siku za mwisho shika sana ulcho nacho asje mtu kukunyang'anya
@njelenjetv
@njelenjetv 13 күн бұрын
Yaani mpaka umtaje mwamposa ndio Kiki yako pole sana
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 13 күн бұрын
Anafunua uovu unaotendwa na mtu.... Mwaposa ni mtu....
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 11 күн бұрын
UCHAWI NI KITU KIBAYA
@JumaAbdallah-c3t
@JumaAbdallah-c3t 5 күн бұрын
we nawewe unaitaji musada was mwamposa sema hujui😂😂😂
@deusntobi6682
@deusntobi6682 12 күн бұрын
Unaishi kwa sababu ya mwamposa,Mshukuru yeye kwa sababu ya anakufanya ule.
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 11 күн бұрын
UCHAWI NI KITU KIBAYA, KINAKERA SANA
@beinafuu6219
@beinafuu6219 8 күн бұрын
Mnaumia sana mbona jaman
@user-zu7zs3fe7k
@user-zu7zs3fe7k 6 күн бұрын
Wew utateseka sana,achana na kalama za watu utafika uendapo umechoka
@theresiamateru6426
@theresiamateru6426 7 күн бұрын
Watu hawana Imani na Mungu sasa hivi Wana imani kwa hawa manabii wa uongo wanaojitokeza kila siku
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 Күн бұрын
Sasa hivi makanisa mengi yamepoa. Kanisa likipoa linasifiwa sana kuwa hilo ni kanisa la Mungu. Mapepo yanawavamia waumini yanawatesa na wengine kuwaua, kanisa halichukui hatua. Hii inapelekea waumini kumiminika kwenda kwa watumishi wenye upako. Njia rahisi kabisa ya kuzuia waumini kutangatanga ni kutumia nguvu kubwa kuombea mahitaji yao kama kuwaombea wagonjwa, kutoa pepo, kuvunja laana n.k. Leo unamsema Mwamposa lakini nina uhakika miongoni mwa waumini wako, huwa wanaenda kisirisiri kuombewa Mwaposa anapokuja. Watu wanajaa kwa Mwamposa kwa vile wakiombewa maombi yanajibiwa. Kwenye makanisa yao kama shida zao zingekuwa zinajibiwa wasingehangaika kwenda kwa Mwamposa.
@mashakalupindo
@mashakalupindo 4 күн бұрын
Unamatatizo ya kiroho ndugu yangu
@CountryWizzy-zn4iu
@CountryWizzy-zn4iu 6 күн бұрын
Acha majungu usimchafue mtumishi wa mungu. Fanya miujiza ya mungu wako tuone.huna lolote
@elijohofficial1049
@elijohofficial1049 13 сағат бұрын
yaani umekosa content mpaka umeamua kuweka huu uchafu acha njaa piga kazi
@SadokizeTz
@SadokizeTz 9 күн бұрын
WE JAMAA SIJUI UKOJE, KAZI YAKO KUWAANDAMA MANABII TU, MBONA WAO HAWAKUSEMEI WEWE
@dianamutachuba1369
@dianamutachuba1369 13 күн бұрын
Chonde chonde naomba tusiwaseme vibaya Watumishi wa MUNGU Bado tutajikuta tunaingia dhambini
@Emmanuel-cp1no
@Emmanuel-cp1no 13 күн бұрын
Watumishi wa Mungu wamepewa mamlaka ya kukemea pale mambo yanayoendana sivyo
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 8 күн бұрын
Mungu akuongoze MTU wa Mungu
@SifaelaYoram
@SifaelaYoram 8 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe,,,,kila anayetazama hizi clips na kumsikiliza asome,injili ya mathayo 7:1 na kuendelea usihukumu usije kuhukumiwa
@EdwinAmbakisye-li4zq
@EdwinAmbakisye-li4zq 6 күн бұрын
Wewe hubiri neno .Acha .mwamposa achape neno watu waokoke
@JasonIzidory
@JasonIzidory 7 күн бұрын
Kweli ya MUNGU inahitakika katika jamii.
@SaruNyanda-ho8bk
@SaruNyanda-ho8bk 12 күн бұрын
Unatumia Kiki ya mwamposa
@LydiaJoseph-q4w
@LydiaJoseph-q4w 6 күн бұрын
Maandiko matakatifu yanasema usihukum usije hukumiwa mtoa hukum ni Mungu peke ake
@KwintachachaMelkior
@KwintachachaMelkior 6 күн бұрын
Siku za mwisho watatokea manabii wa uongo kila mtu asimame mwenyewe
@FestoJemsi-lr8pw
@FestoJemsi-lr8pw 13 күн бұрын
Pole ata neno Huna
@bartinkahenga1196
@bartinkahenga1196 13 күн бұрын
Wewe ndio upewe pole, Hata akili za kuazima hauna
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 14 күн бұрын
Keki za upako halafu anataka sadaka. Zawatumishi. Sasa kwanini ajiombee mwenyewe apate pesa
@SamsonErenest-hv3xy
@SamsonErenest-hv3xy 10 күн бұрын
Umesema baba Shida tu watu Hawataki kuambiwa ukweli
@SophiaMeizon-kq3bp
@SophiaMeizon-kq3bp 7 күн бұрын
Nakuelewa sanaa
@MaryKalunde
@MaryKalunde 7 күн бұрын
Na wakwako yupo wapi? Mbona haumuonyeshi wako ?
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 8 күн бұрын
Tumwachie Mungu vyote ni imani
@gladnesstibuhinda584
@gladnesstibuhinda584 15 сағат бұрын
Huna lolote ndo Mungu kàkuita uhubiri hayo?
@SaruNyanda-ho8bk
@SaruNyanda-ho8bk 12 күн бұрын
Huyu jamaa kwa killed tu anaweza
@prosperthomas8864
@prosperthomas8864 11 күн бұрын
ww huna marifa kaziani unahubiri mandiko na sio kweli ya mungu huenda ww ndiyo nabii wa uongo mbona naww unataka pesa ushindwe kwa jina la yesu
@FredMhango-zj7gz
@FredMhango-zj7gz 11 күн бұрын
Ndy maana mke alikukimbia maana akili kama za mbuzi hv huwezi kuhubiri bila kuwataja watumishi wengine? Kutekwa kunakuja
@EliyaAdam
@EliyaAdam 3 күн бұрын
acha kuhukumu ndugu lima mraba wako ujaitwa kuhukumu watu
@OnesmoDenis
@OnesmoDenis Күн бұрын
Wewe nimtumishi kumbuka kuwa hakuna dhambi kubwa kama kumkufuru roho mtakakifu
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 14 күн бұрын
Keki za upako jamani😂😂
@ElizabethJustine-sm1kt
@ElizabethJustine-sm1kt 9 күн бұрын
Imani yako italuponya
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 8 күн бұрын
Tapeli anamfichua tapeli mwenzie
@FelicitaTakimazi-pl2ne
@FelicitaTakimazi-pl2ne 7 күн бұрын
Huna maarifa pastor kachaji kichwa
@MouriceJefa-cg1lb
@MouriceJefa-cg1lb 7 күн бұрын
Lydia uko sawa mwambie kweli huyu jamaa hujielewi
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 8 күн бұрын
Hebu tukwepe mambo ya chama tawala na vyama vya upinzani katika mambo ya Imani
@user-pt6sr6fb9z
@user-pt6sr6fb9z 9 күн бұрын
Usipende kusema watu
@SifaelaYoram
@SifaelaYoram 8 күн бұрын
Mim nilitegemea utahubiri injili ya kuwarejeza wenye dhambi kwà Yesu kristo lakin nasikitika kuona mahubir mengi ni ya kuwasema wengin,,,,kibiblia hiyo pia si sawa
@MteiTheresia
@MteiTheresia 10 күн бұрын
Wewe hicho kinyago unachokiita mungu waMwamposa ulikutana nacho wp. 5:48
@athanase84
@athanase84 12 күн бұрын
Utoto tu mbona paulo katumia tambaa kwani kafundishwa nani uliwa kumsikia Yesu kasema tumia kitambaa ? Pili hata hujielewi unashindwa kutofautisha kati ya INJILI na utendaji kazi katika mwili wa Kristo, MSINGI NI INJILI ila namna ya utendaji kazi si injili ila ni maagizo tu ya kiutendani
@WalterMtweve-xn2dl
@WalterMtweve-xn2dl 13 күн бұрын
Ombea keki na ww km unaweza!
@user-jr5fv1yd1o
@user-jr5fv1yd1o 13 күн бұрын
𝒀𝒆𝒚𝒆 𝒉𝒂𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒌𝒖𝒐𝒎𝒃𝒆𝒂 𝒌𝒆𝒌𝒊 𝒌𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒂𝒏𝒂𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒚𝒆𝒔𝒖 𝒏𝒊 𝒕𝒐𝒔𝒉𝒆𝒍𝒆𝒗𝒖 𝒘𝒂𝒍𝒂 𝒉𝒂𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒄𝒉𝒐𝒄𝒉𝒐𝒕𝒆
@Pendopasilika
@Pendopasilika 13 күн бұрын
Watu wanapelekwa kuzimu wazima wazima na mwamposa lakini hawaon shida yote ni sababu ya miujiza feki awape keki wafanikiwe kimaisha Ee MUNGU tusaidie watu wamechoka kusubili baraka zako Baba wafungue macho wapate kuona yanayoendelea
@JasonIzidory
@JasonIzidory 7 күн бұрын
Je maji au mafuta yaweza kukupeleka mbinguni????
@FelicitaTakimazi-pl2ne
@FelicitaTakimazi-pl2ne 7 күн бұрын
Maria hakua nadhambi
@GradnessMuba-y7y
@GradnessMuba-y7y 7 күн бұрын
Wewe Kama Nani Mungu ndiye hakimu tumuonemungu wako anaetenda miujiza muache nwamposa
@lameckwilliam8311
@lameckwilliam8311 11 күн бұрын
Yaani wewe bila mwamposa na GeoDav huwezi sikilizwa wapelekee sasa na sadaka ya kuwashukuru
@samsonphilipo7153
@samsonphilipo7153 13 күн бұрын
Madhabahu ni kwaajili ya kumzungumzia Yesu kristo pekee yake na sio kumzungumzia mtumish yeyote,watumishi wa Mungu wapo na WA shetani wapo USIPOTEZE MUDA kuwajadili watu kwenye madhabahu Bali tumia madhabahu kujadili mambo yahusuyo ufalme wa Mungu
@FestoJemsi-lr8pw
@FestoJemsi-lr8pw 13 күн бұрын
Muurize humuelewi usiogope mfwate what'sapp yupo hapo kwaajili Yako
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 12 күн бұрын
ANAGOMBANA NA MUNGU
@ElizabethMubanga-mn1np
@ElizabethMubanga-mn1np 12 күн бұрын
You too you are not fair
@samsonphilipo7153
@samsonphilipo7153 12 күн бұрын
@@ElizabethMubanga-mn1np ni USHAURI tu nimetoa sijamzungumzia mtumish wa Mungu yeyote vibaya
@helbalchota9417
@helbalchota9417 11 күн бұрын
Hata ninyi hamjuw asipotaja watu watajuwaje kuwa wamepotea Iv huwa mnasoma biblia gan?maana huwezi kusoma au kutumia biblia bila kutaja watu?
@esterkessy4304
@esterkessy4304 Күн бұрын
HUBIRI NENO LA MUNGU ACHA KUWASEMA WATUMISHI WENGINE. ANAYETOA HUKUMU NI MWENYEZI MUNGU TU
@user-vn2fo3sx2w
@user-vn2fo3sx2w 13 күн бұрын
Wewe kelele Yako hauna upako bwana usiseme watu onyesha nguvu za mungu wako jibu nguvu Kwa nguvu usijibu nguvu Kwa maneno yesu Ali SEMA yaacheni magugu na ngano vimee pamoja yeye anae jua Gugu nilipi na ngano niipi atango yeye wewe hujui nyamaza
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 12 күн бұрын
Umeona,wadhihirishe huyo Mungu wao wakweli ,matendo yao yenyewe unafiki mtupu,acha akina Mwamposa watoe keki ya upako maana Yesu alisema tukiamini tutatenda zaidi ya alivyo tenda ndo km hivyo watu wanakanyaga mafuta magonjwa kwisheni 😄😄😄😄👍🏻🤝
@user-vv8nn8qx3w
@user-vv8nn8qx3w 9 күн бұрын
mbona unaomba omba mnafiki mkubwa
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 12 күн бұрын
Mguse Domnic Kiboko ya wachawi uonje joto lake.... yeye siye mpole kama akina mwamposa... Tekenya tu kwa Domnic kidogo kama wewe kidume wa Yesu!
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 11 күн бұрын
Umeona
@pastorprospermlembasayunip500
@pastorprospermlembasayunip500 11 күн бұрын
😅
@nervashonza587
@nervashonza587 11 сағат бұрын
Kwahiyo wewe umepewa karama ya kuhukumu hapa duniani? Nikushauri muhubiri Mungu na cyo kuleta masimango kwa watumiaji wenzio madhabahuni
@olivermfinanga9387
@olivermfinanga9387 3 күн бұрын
Anapga kelele kuwaponda wenzke kumbe na yy anataka kuw na kanisa lake 😂😂😂😂utapel tu so roho inamuuma mwamposa anavopga pesa 😂
@SaruNyanda-ho8bk
@SaruNyanda-ho8bk 12 күн бұрын
Huna kitu chochote
@KenzoTheboy
@KenzoTheboy 10 күн бұрын
tafuta hela acha kusema sema hovyo🤪🤪🤪
@bloodofjesus7542
@bloodofjesus7542 13 күн бұрын
Mwana wa MUNGU uwe unapost na shortclip hii inaweza kuwasaidia vijana wale wanaoshndag mtandaoni ipo siku Mungu atasem nao kupitia hizo short ktk kuperuz
@FatumaMwampamba-jd6vz
@FatumaMwampamba-jd6vz 2 күн бұрын
Kwani.huwezi.kuhubili.bila.kumsema.mwamposa.huna.mbingu.ww.ya.kumuhukumu
@stevenandrew4651
@stevenandrew4651 7 күн бұрын
Usimuhukumi mtu, Kwamaana anayetakiwa kuhukumu ni Yesu pekee, kama mtu umeona mahali hapakifai inuka taratibu uende. Muombe Yesu na wewe akupe karama iwe uweze huokoa watu, kiroho na kimwili.
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 22 сағат бұрын
Fanya lako mtumishi acheni roho za wivu roho mbaya tuacheni tunayemwamini nyie mnojifanya ni watu wasahihi hutusikii hata misaada Kwa yatima
@FestoYohana-ll4wk
@FestoYohana-ll4wk 11 күн бұрын
kiukweli unachukiza unauhakika gn kuwa mwamposa hamtumikii mungu acha zak tumechoka mahubili yako yakukachifu wenzio huduma yak yenyewe haieleweki
@joshuarwechungurabe7633
@joshuarwechungurabe7633 12 күн бұрын
Kwani we uduma yao inakuhusu nini ikiwa Mungu mwenyewe anawaona na hana ugomvi nao,we fanya sehemu ya uduma uliyopewa acha kupambana na uduma za watu tukiona cha kwako tutaachana nao afu tutakufuata wewe
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 11 күн бұрын
UCHAWI NI KITU KINACHOTIA HASIRA
@user-vv8nn8qx3w
@user-vv8nn8qx3w 9 күн бұрын
Mnafiki mkubwa kua.na shukulani.kumbe.kama.ww.hukujitibu.ww.ulikua.unalia.kwend
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 60 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 96 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN
1:13:37
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 17 М.
RUTO KUPINGA USHOGA NDIO CHAZO CHA MADAMANO  EV PASCHAL CASSIAN
39:17
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 9 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 44 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 364 М.
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 63 М.
KEKI YA UPAKO NIKAFARA YA MWAMPOSA UKWELI WAWEKWA WAZI EV PASCHAL CASSIAN
1:06:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,5 М.
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 43 М.
Такие сладости мама точно разрешит
0:22
Даша Боровик
Рет қаралды 4,7 МЛН
Когда покупки идут не по плану🤯
0:32
FilmBytes
Рет қаралды 4,1 МЛН
ПОХОДУ ОН БУДЕТ СИДЕТЬ ДОМА ДО СТАРОСТИ
0:18
100❤️
0:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 14 МЛН
МЛАДШАЯ СЕСТРА И МОРОЖЕНОЕ ИЗ АРБУЗА
0:41
ОЛЯ ПЕРЧИК
Рет қаралды 2,1 МЛН