SAKATA LA BANDARI YA DAR KUUZWA, MUSUKUMA AKANA KUHONGWA GARI na DP WORLD

  Рет қаралды 42,183

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

"WANASEMA NIMEHONGWA GARI ILI KUTETEA MKATABA" - MUSUKUMA AJIBU TUHUMA
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 83
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Tulikuamin sana msukuma kam ckuanin tena
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo Mh! Msukuma watu watafute pesa waache kuhangaika na nitandao kuwachafua watu na kuwapotosha watanzania Big up sana mkuu
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Jamaa Tajiri sana
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
Asee wafumbue macho hao habari za kubinafsisha n uvivu wa kufikilia
@mariampapi756
@mariampapi756 Жыл бұрын
Hivi hii serikali ya Tanzania Haina pesa,kwani nchi yetu ni maskini kweli,?ni kiasi gani serikali inatumia kununua migari ya bei,matumizi ya ovyo ya mafuta na mengineyo? Mbona ninyi mmapeana mamishahara ya ajabu na kumiliki utajiri mlionao,Nini kinawashinda kutumia rasilimali tulizonazo ili kupata pesa tuendeleza bandari zetu na vyanzo vingine vya mapato vinavyoweza kuinua taifa letu,wabunge mnafeli wapi,Leo mnataka muwekezaji hivi hamjiuluzi yeye alifikaje hapo alipo?hebu changamsheni akili zenu mpo bungeni mkitegemewa na wananchi mtuvushe,kwani tuwe tegemezi na tusijitegemee wenyewe,wakati wa JPM mlipiga makofi mkamuunga mkono,wakati wa Mama SAMIA mnapiga makofi mnamuunga mkono,tuwaeleweje? Kipi ni kipi?elewekeni kwa wananchi
@user-sw6wu7rp6h
@user-sw6wu7rp6h Жыл бұрын
Vipi hizo nyumba zimejengwa ba waarabu maana ni dizaiji km za kwao
@josephmgaya3726
@josephmgaya3726 Жыл бұрын
Akwende zake
@DAVIESKWIYEYADAVYDUU
@DAVIESKWIYEYADAVYDUU Жыл бұрын
msukuma hayo magari hajanunua kwa hela zake hizo ambullence kapewa na hao dp aje ajitanue huku
@brytonmbilinyi4560
@brytonmbilinyi4560 Жыл бұрын
kweli wasafi inatumika kutangaza ujinga idabidi tiisusie
@coin9007
@coin9007 Жыл бұрын
Kweli siwezi kuamini Wanasiasa
@raiderking4637
@raiderking4637 Жыл бұрын
Wahuni wote
@mariampapi756
@mariampapi756 Жыл бұрын
Hapa natafakari maneno ya pro ASAD
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Wasafi kweli ni wanafki kweli
@bensonmasawa4749
@bensonmasawa4749 Жыл бұрын
Ifike wakati wene pesa, wenye elimu na wenye vipaji tuheshimiane na kila mtu afanye kwa nafasi yake. Kwenye mambo ya sheria na biashara za kimataifa, Musukuma waachie wasomi. Kuwa na pesa zaidi yao haina maana unaelewa kila kitu kuliko wao. Tumejengwa tofauti na kazi ilotuleta duniani ni tofauti. Nikihitaji nyumba nitamtafuta mwashi sio wew, nikiumwa nitamtafuta daktari sio wewe, nikihitaji kiti nitamtafuta selemala sio wewe na nikihitaji kujua bandari nitawatafuta wataalamu husika sio wewe.
@mushumbaeric4916
@mushumbaeric4916 Жыл бұрын
Bado ujajibu wanachokutuhumu mali zinatokana na pesa ndio unawezakua umepewa pesa hili usaport kinachofanyika mweshimiwa kampuni kufanya vizuri nijambo moja na kuuza bandari nijambo lingine heti kwasababu ulikuta kampuni inafanya kazi vizuri bandarini ndio iwe sababu ya kuingia mkataba utakaofirisi wajukuu wetu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mwanawane funga kalomo acha watanzaniawalilie haki ya nchi yao
@user-nl2nn2bh3n
@user-nl2nn2bh3n Жыл бұрын
Shida ni aina ya mkataba na Wala sio bandali za Dubai zikoje tunahitaji aina ya mkataba ambao hautubani na ukubwa wa DP
@bibliakitabukitamu6015
@bibliakitabukitamu6015 Жыл бұрын
MNAJUA WAKINA MACHIEF WA MSOVERO WAPO WENGI LAKINI NASHANGAA MNATUFUNDISHA ALIKUWA HANA AKILI WAKATI NAWAONA WASIO NA AKILI WENGIII
@alfredibrahim7085
@alfredibrahim7085 Жыл бұрын
Hizo nauli mlilipiwa na nani mbona hamkuhoji serikali hela ya kuwalipia imetoka wapi mkaenjoy kimya kimya semeni ukweli mmekula mlungula
@georgesolos344
@georgesolos344 Жыл бұрын
Ovyo kabisa, issue siyo uliyoona uko Dubai issue Ni mkataba wa ovyo.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН