Mungu hafanyi kazi kwa staili hii au nawatumishi wa namna hii,
@shammhagama25272 ай бұрын
Masanja ulianza mdogo mdogo kama masihara vile, sasa Bwana amekuinua mpaka watu maarufu wenye majina yao wamekukubali na umeweza kuketi pamoja nao. Hakika njia za Mungu hazichunguziki. Umekuwa funzo kubwa kwa wengi, ubarikiwe sana na Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine.
@user-tn5zr5lu4r2 ай бұрын
Huu ni mtandao hatari sana 😢😢
@mwanaidihemedi73442 ай бұрын
Masanja unyenyekevu wako unakupeleka into another higher spiritual realm where you gonna command things from above i mean heaven dimension with higher glory
@bethmahela21822 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi wa mungu
@kysonkilian37322 ай бұрын
😭😭😭😭😭 Nabaki nakuuliza Tu what's going on
@MaryDanda-j5q2 ай бұрын
Wamegeuza mungu baba yao
@paulezekia10412 ай бұрын
Wewe unampagia mungu acha upuzi wewe huwezi just njia zake