Mara ya kwanza kabisa kutazama mechi nikiwa jukwaani katika huo uwanja na cha kufurahisha zaidi SIMBA SC ikashinda Kumbukumbu nzuri sana kwangu ❤🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿
@blesskims5175 ай бұрын
Anae angalia Leo like ❤❤
@ramsokenzo24716 ай бұрын
Kiukweli nmeangalia hii nmepata matumaini ya simba ya sasa ya vijana nakubali xn
@EmmanuelOwiti-fd4br6 ай бұрын
Kitambo Sana
@victaboy72739 ай бұрын
Jezi ya simba ilikuwa nzuru sana
@Minjum-j5m29 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@habiyamberejeanclaude2396 Жыл бұрын
Simba imeonesha hangar Bado inamutihani murefu wakufanya.
@israelinebo3352 жыл бұрын
good day
@willytonetz6 ай бұрын
2024 like hapa
@tonyi68073 жыл бұрын
Simba ya vijana ilivyokuwa hatari dhidi ya Yanga Mapesa....ila wakt huo Simba ilikuwa na vijana wengi kutoka Simba B
@diskantqiw62463 жыл бұрын
Simba leo
@NikolaoFarao5 ай бұрын
Nikolas😅😅😅😅😅😅apa ww nan brooo😊
@MbeziJoseph6 ай бұрын
😂Simba ilikuwa ya Moto kabisa yanga hawatasahau siku hiyo.
@mustapharama40633 жыл бұрын
yanga mapesa ila soka bado sana
@MNYARUALIM2 ай бұрын
Jmn mbn vituko na huyu goal kila wetu simba kama Babu madevu😅😅😅😅
@elizabethjohn45494 жыл бұрын
Hili goal angefunga Morrison siku ya trh 8- sijui ingekuwaja simba wasingetoka uwanjan siku hiyo maana
@athumanbilah55364 жыл бұрын
Simba ingekuwa na huyo mwalimu mpaka Leo ingekuwa inatisha sana
@sephrobert73024 жыл бұрын
Saanaa okwii enziii izooo
@DONALDYOWAS-rr7tz8 ай бұрын
Simbaaaaa
@PatrickiGodfrey5 ай бұрын
Waandishi wa hbr walikuwa na kaz
@RashidiAli-l3i12 сағат бұрын
Yanga wanazngua mech hiyo nimeiyonea chigugu
@RashidiAli-l3i12 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@elizabethjohn45494 жыл бұрын
Duhhh waligongewa pas hadi dk ya mwisho dadek simba duhh
@jeymally59224 жыл бұрын
Wanaitaj pongezi msimbazi aiseeeee
@emmanuelmasse62193 жыл бұрын
Kama refa angekuwa fea kwenye hii mech canavaro angepewa kadi nyekundu alicheza madhambi Ila kadi akapewa yondan na huenda refa alifanya hivi ili kuwabeba yanga wasicheze pungufu kwasababu tial nadir haroub canavaro alikuwa na kadi ya njano
@FantaJAY-u2x6 ай бұрын
exactr
@shabanipande53793 жыл бұрын
Hii ni tarehe 8
@barackmoses70034 жыл бұрын
This is Simba
@chachamwita26844 жыл бұрын
Premier
@TwahaAliMtumbi25 күн бұрын
2025 Januar
@saidmasoud90046 ай бұрын
Mpenja alileta mabadiliko makubwa katika utangazaji
@allyally18493 жыл бұрын
Lucas
@hamuzayosia28104 жыл бұрын
Mwamnyeto atua yanga
@magrethmichael19243 жыл бұрын
Sipati pic hili goal la Okwi Mpenja angetangazaje.
@tonyi68073 жыл бұрын
Kipa alienda kununua sigara
@jovinjustin44103 жыл бұрын
Mwemwemweeeeeee asaliiiii
@jamesjaybreezy22173 жыл бұрын
Yaan duuh
@harunivarentino20006 ай бұрын
Simba ya vijana ni moto wa kuotea mbali tarehe nane yanga njooni tu
@emmanuelmalogoi76356 ай бұрын
2024
@suleyahya62034 жыл бұрын
Kikosi cha zahabu hiko
@bethymichaellaizer86294 жыл бұрын
Mbona wachezaji karibu wote wamepewa card za njano
@MNYARUALIM2 ай бұрын
Nimecheka san hawa watsngazajinwanapiga story Hadi laha
@kapayajohnn22774 жыл бұрын
Walipigwa pasi kama sio vyasi mana wingi wa pasi ni vyasi
@athumanbilah55364 жыл бұрын
Umetisha
@jolamalfled24454 жыл бұрын
PIESTA MAMA WAS AS I'LL
@shabanmanyama16944 жыл бұрын
Kuujaza uwanja nijadi yetu
@jastinangero32524 жыл бұрын
ajali ya mologolo
@festomlowegypsum82144 жыл бұрын
Kipidi hiko watangazaji walikua hamna kabisa
@aminmopale2134 жыл бұрын
HD xan
@jumasharif71464 жыл бұрын
Yanga wamepigiwa boli LA ulaya hapa.
@magesamarwa66154 жыл бұрын
BES
@michaelmwashiuya73234 жыл бұрын
Simba vs biashala
@RaheliChacha5 ай бұрын
acha uwongo ww
@omarysalehe46264 жыл бұрын
Mis tanzania
@Mariaclala5364 жыл бұрын
Hii siku mbungi ilipigwa asee dakika 2 watu wanagonga pasi tu
@bangaazoo6 ай бұрын
Tujuane tunao angalia 2024😂
@deusmajura52595 ай бұрын
Tupo
@bangaazoo5 ай бұрын
@@deusmajura5259 pamoja 🫂
@timothymikola2317 Жыл бұрын
Nilikuwepo uwanjan
@hassandadi31711 ай бұрын
Tazaya v 4:01 a Malawi
@SamsonMtumishi-k4j6 ай бұрын
Walifuga gap
@johncosmas81376 ай бұрын
Zilipingwa pasi 32 kabula ya mwamuzi kuhitimisha mpira kwenye hizo dakika tatu zilizoongezwa
@EnockNanyaro-lk1zi6 ай бұрын
Mbungi ilichezwa ya ukweli
@Gstarsfamily3 жыл бұрын
Wauwe
@evamariadaudi50384 жыл бұрын
Kumbe yanga Ni wakorofi toka kitambo yaan jazba nying mno nguvu bila maarifa.
@footy_genius4 жыл бұрын
Nlichogundua zamani kulikuwa hakuna watangazaji wa mpira
@festomlowegypsum82144 жыл бұрын
Kweri kabisa
@ntawiharaphael79374 жыл бұрын
vzr
@fredmabundagilo69544 жыл бұрын
Hii game nakumbuka nilikuwa Dom ila kiukweli ilikuwa furaha Sana. Simba ilikuwa na wachezaji wadogo Sana kwa umri,lakini walihimili mikimiki ya msuva n.k,
@patrickmkude99854 жыл бұрын
Bonge la game undava tu
@zettyhassani22444 жыл бұрын
Siachi kushambikia munyama
@ABDULLAOALI5 ай бұрын
Hw watangazaj walikuwa hawatangaz mpira bali wakipiga stori t