Mbn mnachangany na kiingerez wengine hatusiiki tufafanulien
@twalebleboss9687 Жыл бұрын
YOU KILL IT BRO..... Upo sahihi sana na nimekuelewa saaana...saana tu... #BLESSINGS👌👍👍
@GraceSafari-r8n Жыл бұрын
Ujumbe mzuri Sanaa ubarikiwe Dr.
@TaniBlatant93 Жыл бұрын
Mada kama hizi ni nzur sana sns you have people with ideas. Na especially generation hii. Hizi mada ni best ila its like zina base sana kwa vijana wadog kwanini kusiwepo na segment kuzungumzia ndoa halali maisha ya utuzima ili hawa karne ya 21 wazee wa zama zijazo wapate hekima.