Siri ya kifimbo cha mwalimu Nyerere yawekwa wazi na aliyempatia

  Рет қаралды 67,456

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameacha alama nyingi zinazodumu, moja wapo ikiwa ni kifimbo ambacho mara kwa mara alikuwa akitembea nacho kiasi cha kumpa umaarufu na kikaitwa kifimbo cha Mwalimu.
Inawezekana mwalimu alikuwa na vi-fimbo vingi alivyokuwa akitumia lakini msanii maarufu wa uchongaji vinyago na uchoraji mzee Omary Mwariko mkazi wa mjini Moshi amesema alimpatia mwalimu kifimbo hicho mwaka 1967 alipotembelea mjini Moshi.

Пікірлер: 18
@suzymunisi1894
@suzymunisi1894 5 жыл бұрын
Da kumbe .ni mdingi Hongera Sana
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 5 жыл бұрын
Kuna ripoti inaonyesha pia mwl alipewa kifimbo cha utawala na mtoto wa Chief Mazengo wa wagogo km zawadi ikiwa ni wosia alioacha kuwa akifa Nyerere apewe hiyo fimbo, ingemsaidia ktk kutawala. Mtoto wa Chief aliwahi kukiri hilo na kuna mwandishi mzungu aliwahi kueleza hilo kwa kina. Mazengo alikuwa km baba kwa Nyerere. Unaweza ku Google hii habari " The forgotten Chief who was like a father to Nyerere"
@SKILLS360TV
@SKILLS360TV 5 жыл бұрын
Daaah safi sana ubunifu huwa ni kitu kizuri sana!!! OK ILA PITIA HAPA KUONA UCHAFU UKIGEUZWA KUWA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE channel hii Bofya kapicha kushoto
@hammerQ954
@hammerQ954 5 жыл бұрын
Safi sn babu
@lutherking3666
@lutherking3666 5 жыл бұрын
Mbna unakosea sna
@maxcharles5436
@maxcharles5436 2 жыл бұрын
siyo kiki
@sadickchakka6350
@sadickchakka6350 3 жыл бұрын
Af mtangazaj mbn kuongea vzr huwez
@ibrahimismaily2370
@ibrahimismaily2370 4 жыл бұрын
Kumbe ni mchaga mwenzetu chaga tupo juu
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 4 жыл бұрын
Acha kughata maneno ya kiswahili na kuweka ktk kingereza..... Ndio maana unakosea kuongea
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 5 жыл бұрын
Iyo fimbo naham kubwa sana ya kuijua iyo fimbo na maajabu yake 2nayoyasikia sikia2
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 5 жыл бұрын
Diamond Platnumz watu wazushi sana ,Mimi najua fimbo hiyo alipewa na mganga mmoja wa Tanga korongwe marehemu kwa sasa maarufu kama Madondo
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 5 жыл бұрын
@@salummohdnyiga9760 ✊
@babaalicebabaalice5875
@babaalicebabaalice5875 5 жыл бұрын
Kwel simbaaa
@silverrichard2975
@silverrichard2975 5 жыл бұрын
Diamond Platnumz News ninayo njo nikuuzie
@zainabkizenga8118
@zainabkizenga8118 4 жыл бұрын
@@diamondplatnumznewsajm2053 kwaio unaitaka na wewe his fimbo
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 жыл бұрын
Sio Kweli kuwa Nyerere alianza Kubeba Fimbo wakati wa 1967 Nyerere Alikuwa Akipenda Mkongoji.kzbin.info/www/bejne/l3eWdHuurM2CmKc
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Ni kweli 1967
@dullaluungo5662
@dullaluungo5662 5 жыл бұрын
Naape mnauye
TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA
24:03
Global TV Online
Рет қаралды 1 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН
PRESIDENT NYERERE IN BRITAIN  - COLOUR - SOUND
11:12
British Movietone
Рет қаралды 1,2 МЛН
Julius Nyerere speaks on Idi Amin and Uganda  (1979)
5:48
AfroMarxist
Рет қаралды 498 М.
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
Kamala Harris' first rally since launching her campaign: FULL SPEECH
45:12
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 63 М.