No video

SIRI YA USHETANI ULIOFICHWA /USINYWE MAFUTA YA UPAKO WALA MAJI YA UPAKO TIZAMA VIDEO HII LEO.

  Рет қаралды 30,025

BONGO STAR MEDIA

BONGO STAR MEDIA

Күн бұрын

kabla hujatumia mafuta au maji ya upako je unafahamu kuwa mungu aliagiza haya ambayo wengi hatuyajui leo jifunze hapa siri kubwa juu ya makanisa na manabii feki!! na ni kwanini mtu akijiingiza katika makanisa haya kamwe hatoki leo usitoke baki hapa hapa
#kanisa #mwamposalive #mwamposaliveleo #mwamposamkesha

Пікірлер: 76
@FatherKunutti
@FatherKunutti 25 күн бұрын
Ama kwa hakika upo sawa! Hata hutumii nguvu nyingi, lkn injili hii inapasua mawimbi na miamba. Sema baba sema. Roho wa Mungu yu juu yako.
@user-ws3lr5ps4v
@user-ws3lr5ps4v 21 күн бұрын
Umetimiza wajibu wako kakang mwenye masikio na asikie Barikiwa Sana Sana
@MAIKOMODEST-gw3go
@MAIKOMODEST-gw3go 4 күн бұрын
Amina ubarikiwe sana
@AnthonyMarkos-uq2dp
@AnthonyMarkos-uq2dp Ай бұрын
Sijui kama watu watapata huu ujumbe endelea kutoa elim abayo leo watu atuna Mungu akufunulie zaidi wenda tutakwelewa 🎉🎉🎉🎉asant
@RestitutaAndreaPeter
@RestitutaAndreaPeter Ай бұрын
Upon sahihi kaka ubalikiwe sana mung akubaliki san
@TabizaAa
@TabizaAa 24 күн бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe ndugu
@Elimuyaufalmewambinguni
@Elimuyaufalmewambinguni 25 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa ujumbe mzuri.
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 23 күн бұрын
Mungu babaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏ndio maana roho yangu huwa nzito sna huko🙏🙏 Mungu tusaidie
@falcaonamisi1377
@falcaonamisi1377 14 күн бұрын
Asante kwa mafunzo ya kweli ubarikiwe kwa fundisho
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
Upo Sahihi Kakà Ubarikiwe Sana "
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Ай бұрын
Abarikiwe kwa uposhaji?. Acheni unafiki acheni unafiki. Hosipitalini mnatoa pesa na kwa wachawi na waganga tena bila kujadili na akuna uzima. Kwa Mungu mkuu anaye wabariki na kuwalinda na mabaya yote amtaki kutoa sadaka. Mnalaana gani au nani kawaloga?. Sadaka ni sehemu ya IBADA kueni waelewa. Endeleeni kupeka sadaka kwa waabudu kuzimu na kuwekewa maagano msiyo yajua. Tambueni KAZI ya Mungu wa MBINGUNI amuwezi kuzuiya kamwe. Wanafiki ninyi.
@ANYELWISYEGODWIN
@ANYELWISYEGODWIN 17 күн бұрын
Tangu MWAMPOSA amejaza watu mkesha usioshaulika. Naona umeendelea kuwatesa sana watu. Jamani hubirini injili achaneni na maono ya watu, tumeacha kuhubiri injili kila siku kuhubiri huduma za watu mnatuboa sana
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA 17 күн бұрын
huyo mwamposa wako ametajwa wapi hapi kuwa na akili bhass
@user-nq5bd9vp8q
@user-nq5bd9vp8q Ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Mungu azidi kukutumia kuwatoa wengi katika minyonyoro ya kishetani
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Ай бұрын
Uyu ni mtumishi wa kuzimu na ajui asemalo kabisa. Amini usiamini ndivyo ilivyo. Waliyo shindikana kwa waganga na wachawi na hosipitalini. Wamerudi kwetu nasi kukamweleza Mungu wetu tunaye mtumikia kwa jina la YESU KRISTO MWOKOZI naye akawaponya tena kabisa. Tafakari masemayo wanafikiri ninyi. Mnakula madawa ya hospitali na waganga ambayo amjui yanenewa maagano gani bila kujadili?. Sibora mara mia hayo maji na mafuta na mengine yaliyo tamkiwa jina la Mungu wetu na jina la YESU KRISTO MWOKOZI?. Acheni unafiki acheni unafiki. Kumbuka kilicho tamkiwa jina la YESU KRISTO MWOKOZI ni hai . Amen.
@zachariamwanga
@zachariamwanga Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@jofreyndandala8232
@jofreyndandala8232 21 күн бұрын
Shida ni kuwa maandiko yanayoelezea kuhusu mafuta hamsomi mafuta yametumika sana kwenye biblia sema ndio hivyo watu wanapinga mafuta kwa kujificha kwenye mistari fulani ya biblia kila mtu abaki na anavyoamini kwani shida nini
@falcaonamisi1377
@falcaonamisi1377 14 күн бұрын
Hafai kuuzwa mbali kupewa mbure
@richardkayanda2317
@richardkayanda2317 13 күн бұрын
Nipe japo andiko moja 2 linalo kuongonza kutumia mafuta
@PeterDeogratias
@PeterDeogratias 25 күн бұрын
Ameee MUNGU akubaliki sana,,mtumishi wa MUNGU
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 17 күн бұрын
YAK 5:13-15 "Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa."
@LiliCouture-b5r
@LiliCouture-b5r 21 күн бұрын
Asante sana wangu akuzidishiye🙏
@salhaabdulrahman6323
@salhaabdulrahman6323 19 күн бұрын
Mwenye masikio amesikia ....
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 Ай бұрын
Acheni watu wafanyekazi mwenye kuchuja watu ni Mungu pekee .hakuna anayejitukunza bila kutumia Jina la YESU.
@bartinkahenga1196
@bartinkahenga1196 Ай бұрын
Kweli NI Lazima watu waijue Ili wawe Salama
@gililwise
@gililwise 29 күн бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kujosa maarifa
@fredlema5283
@fredlema5283 24 күн бұрын
Amina ubarikiwe
@user-tu4nk1xy8f
@user-tu4nk1xy8f 14 күн бұрын
Hakika nikweli mafuta yaupako niya shetani
@ElizabethMerimug
@ElizabethMerimug 26 күн бұрын
Barikiwa ndungu katika bwana
@user-gm5hf9oq5n
@user-gm5hf9oq5n 19 күн бұрын
Ubarikiwe
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu 24 күн бұрын
God bless you 🙏😍Jim😍
@daudimwalongo5803
@daudimwalongo5803 Ай бұрын
Good❤❤❤❤
@ElizabethMerimug
@ElizabethMerimug 26 күн бұрын
Amen🙏
@josephkate3664
@josephkate3664 Ай бұрын
Amina
@MaryWayuuwa
@MaryWayuuwa Ай бұрын
Amen
@celinengonna427
@celinengonna427 23 күн бұрын
Ni kweli Tatizo watu tunavutwa na miujiza hatutaki kusoma neno . Miujiza hata shetani anafanya ukitafuta miujiza utapata cha kusikiliza ni Neno na mtu anajitukuza yeye na kujisifia huyo hakika sio Mungu ndie wa kusifiwa na kutukuzwa. pekeyake Anayetoa utumufu ni shetanj tuuuu. Tuangalie tusivutwe na miujiza mtu ghafla ni mtume mchungaji kama Irine uwoya😂😂😂😂
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 17 күн бұрын
YAK 5:13-15 "Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa."
@ElizabethMerimug
@ElizabethMerimug 26 күн бұрын
Neno la bwana yesu linakata pande zote
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 24 күн бұрын
Shida Kila dini na dhehebu unavichamba sasa dini safi na ya kweli ni ipi?
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA 24 күн бұрын
Dini zote zinazomwabudu mungu Ni za kweli sasa Jitahidi umtafute na umjue mungu usimtukuze na kumwabudu binadamu
@EmanuelyThomas-ml7sf
@EmanuelyThomas-ml7sf 10 күн бұрын
Kaka hiyo ni riho ya woga ok tuseme YESU KRISTO naye alikuwa na roho ya utambuzi?muone alivyo mwoga
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 24 күн бұрын
kasome biblia kwanza ndo uje na makala
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 24 күн бұрын
Kwani mafuta ya upako hayako kwenye maandiko? Mbona tinatumia ya kupikia nyumbani shida ni nini hapo? Tuache kupigana vijembe hakuna aliyekwenda Kwa Mungu na akamwambia njia ipi ni sahihi kupita
@kibetkatepi5876
@kibetkatepi5876 20 күн бұрын
The bible is very clear,mulipewa bure toeni bure,soma mathayi 10
@salhaabdulrahman6323
@salhaabdulrahman6323 19 күн бұрын
Mafuta yalikuwepo lkn hayakuwa yanauzwa... hata msimuliaji amesema kuwa makini na wanao uza upako
@HildaKiwasila
@HildaKiwasila 16 күн бұрын
Teddy Mwageni hao wanaopinga mafuta na maji ya upako ni wanga hao. Ndio hao waliomzushia Kiboko cha wachawi akafukuzwa. Pale wachawi wakiaibika hasa. Mafuta matakatifu na Maji ya Baraka yapo RC unapakwa ukibatizwa, ukipata kipaimara na unapozikwa, kupata upadishisho. Tunabeba maji ya baraka ktk vyupa vyeti Kanisani tunakwenda nayo home. Kwa Bulldozer Mwamposa unawezakwenda na mafuta na maji yako unaombea hata ikiwa home kupitia TV, KZbin na watu wanatoa ushuhuda . Watu WA dini mbalimbali wanatoa ushuhuda. Maji yake anauza Lita SHS elfu moja anatengeneza kiwandani na chupa za mafuta pia. Atarudishaje gharama ya chupa za maji na mafuta akitoa bure. Hauzi mchanga hata anaombea unachukua unachanganya na wako unamwaga ktk ardhi na Shamba lako kuondoa uchawi. Watu wapo nje ya DSM mikoani na Ulaya wanafuatilia maombi Kimtandao na wanatoa shuhuda za uponywaji na mafanikio. Wao daima mitandaoni kuwasema wenzao wanaosaidia watu tena bure Kwa Mwamposa hulipii anapokushika kukuombea. Utatoa sadaka kama utoavyokanisani. Biblia inasema na kuelimisha watu. Walaaniwe hawa pumba tupu👹
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl 14 күн бұрын
Mbona akosawa shida watu wamepotea hawataki kutii neno la Mungu niwavivu wakusoma tu lakini yote yako wazi ikiwa tunaamini maneno ya Mungu kwanini tunafuata wanao tuibia maandiko matakatifu hakuna pahali Yesu Kristo aliitisha pesa eti mugonjwa anunuwe mafuta au maji wanaopotea waacheni wapoteye tu
@maisaalawy8549
@maisaalawy8549 27 күн бұрын
We mwenywe evil.
@marymusera8035
@marymusera8035 9 күн бұрын
Ul
@user-ep7uz3tk3f
@user-ep7uz3tk3f 19 күн бұрын
Asomae na afahamu!!
@user-hh2eq4pp2o
@user-hh2eq4pp2o Ай бұрын
Kabisa Amen
@7675kio
@7675kio 20 күн бұрын
Ni kweli vitu hivyo vinaonekana kutumika kwenye biblia lakini tujiulize maswali yafuatayo: kwanza, wapi tumeagizwa kuvitumia? Pili, wapi Yesu au manabii waliuza vitu hvyo? Tatu, wapi vitu hivyo vilitumika kwa kutudia rudia?
@edinamathews7717
@edinamathews7717 Ай бұрын
We mwenyewe mmojawapo muongo
@FabiaoAntonioMartinsAntonioMar
@FabiaoAntonioMartinsAntonioMar Ай бұрын
Msikilize vizur huyo jamaa yeye yuko sahihi
@Ndokezi-1
@Ndokezi-1 Ай бұрын
Daah wew @edinamathews7717 unasikitisha sana, huyu jamaa yupo sahih kabisa. Mungu atambariki kw hii kazi njema.
@user-bh7nb2kn5o
@user-bh7nb2kn5o 26 күн бұрын
Manabiii wa ukwelii utawajuaaa
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 17 күн бұрын
KILA MWAMBA NGOMA, NGOZI HUBUTIA KWAKE. TUMA NUMBER YA M PESA TIGO PESA NA AIRTEL MONEY TUKUTUMIE MTUMISHI.
@user-je1sm4fc2g
@user-je1sm4fc2g Ай бұрын
Rudi kwa Yesu kutubu
@ElizabethMerimug
@ElizabethMerimug 26 күн бұрын
Ukweli mtupu ndungu
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 17 күн бұрын
YAK 5:13-15 "Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa."
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA 17 күн бұрын
Na neno halijaandika wamuuzie mtu mwenye kuhitaji kuombewa na awaite wazee wakanisa na sio awaombe!! Lakini je yaliyo andikwa katika kitabu kitakatifu cha #ukristo yanafuatwa?
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 17 күн бұрын
Na neno halijaandikwa, "Mafuta wanayopakwa wagonwa yakachotwe bure kwenye kisima kinachosadikika chenye kutiririsha mafuta bure!" Je, Kijijini kwenu, kipo kisima cha hivyo?
@centmia_wykds36
@centmia_wykds36 Ай бұрын
Anza kujirekodi tutumie hapa humu humu kwenye chaneli yako tuone kwamba hautumii na kama sio wewe kuna nyuma yako ama mke wako na familia yako mmojawapo anatumia na kubariki maji ya nyumbani ya upako na unatumia kubwaikubwi 😂😂😂.hahahaaa
@SamambaMkama
@SamambaMkama Ай бұрын
Sjakuelewa hpo
@user-eh7zi5kj4f
@user-eh7zi5kj4f Ай бұрын
Sasa kama nilishawah kutumia then nikaacha ,najitoaje kwenye hiyo laana kaka?
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA Ай бұрын
Mrudie mungu mungu yupo sehemu yoyote mkuu muda wote Sali kwake ukipata tatizo mkimbilie mungu usimkimbilie binadamu
@diananaswa4842
@diananaswa4842 20 күн бұрын
​@@BONGOSTARMEDIA kanisani tusiende......tutajie manabii wa uwongo unao wajua ndo tusiende kwa church zao pls
@jumannechibaladya6223
@jumannechibaladya6223 Ай бұрын
Kwani huwezi kuongea harak harak? Kama 7 bits? Ili story iishe haraka
@muddymollel9785
@muddymollel9785 Ай бұрын
Real kabsa bro wanaoamin haya mamb hakuna nabii kipind hik
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 Ай бұрын
CHIZI na KIPOFU kabisa wewe, unatafuta followers tu
@bartinkahenga1196
@bartinkahenga1196 Ай бұрын
Chizi ni wewe hapo usiye jua Neno la MUNGU linasema nini
@frankbilauri5250
@frankbilauri5250 Ай бұрын
Jitafakari.. inaonesha wewe ni mmoja kati ya walionasa huko..pole sana...tunakuombea
@7675kio
@7675kio 20 күн бұрын
Ukweli mtupu wa Biblia
@MamaDieudonne-mq2sq
@MamaDieudonne-mq2sq Ай бұрын
Nikweli wako wengi manabii wauwongo
@HhNn-f5s
@HhNn-f5s 19 күн бұрын
Amen
@MkutanoDama
@MkutanoDama Ай бұрын
Amen
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 30 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
BabaJoan
Рет қаралды 100 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 32 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 32 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 40 МЛН
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 251 М.
HAYA NDIYO MAKUFURU NDANI YA KANISA |NABII ESTHER MASANJA
23:12
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 14 М.
USHUHUDA WA EV.MAPENDO KUTOKA UBELGIJI |NIONYESHWA PICHA SITA (06) ZA MKRISTO
43:34
MWANAMKE UKIMPENDA SANA NA AKAJUA UNAMPENDA SANA UTANYANYASIKA  "PASTOR MGOGO
36:53
WAKUBWA Inawahusu hii/Wanaelewa Haya /Penz! La Maskini Wa Hotelini!!
10:44
JINSI YA KUTAMBUA NA KUHARIBU SHAMBULIZI LA KIROHO || PASTOR GEORGE MUKABWA || 18/08/2024
2:50:09
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 18 М.