Suala la Wachina Kununua Migodi Midogo Lamtisha Kishimba

  Рет қаралды 2,569

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@emmanuelkid85
@emmanuelkid85 8 ай бұрын
Asante Mh. Jumanne Kishimba kwa kuwasemea wananchi wa Kahama na wananchi wa majimbo jirani ya Msalala na Solwa. Yaani wewe ndiye Mbunge wa Mkoa. Wabunge wa majimbo ya Msalala na Solwa wao ndio wamekua madalali wa kuleta Wachina kupora migodi ya wachimbaji wadogo. Hatujawahi kuona wakisema ulivyosema maana wanakula ten percent huko kwa Wachina. Kazi yao ni kufanya juu chini ili wanaolalamika wasionekane.
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 8 ай бұрын
Kishimba, you are too intelligent to be understood
@jesuschristbrideministries8637
@jesuschristbrideministries8637 8 ай бұрын
Sawa mzee chishimba nakuunga mkono kabisa
@sfggf468
@sfggf468 8 ай бұрын
Mimi naumia sana nikiona wachina wanavyonunua hii migodi kiholela ikiwemo MWAKITOLYO, ipo tutajikuta tumeuza nchi nzima kwa mchina au sehemu zote za muhimu zitakuwa za Mchina.😢😢 Naumia sana wananchi tunauza nchi bila kujua
@bonifacemumba5528
@bonifacemumba5528 5 ай бұрын
Mzee Toboa!!!
@amethysturanus6351
@amethysturanus6351 8 ай бұрын
Mheshimiwa Jumanne, nakushukuru kwa mawazo mema katika kujenga Taifa. Kweli wewe ni THINK TANK YA TAIFA
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 8 ай бұрын
CCM ni janga la taifa namba moja. Nchi iko uchi wachina, wahindi, wapakistan wamejaa kila kona wengine bila vibali.
@rynerlinuma8484
@rynerlinuma8484 8 ай бұрын
Na Wasrilanka wamejaa Mahenge huko kwenye madini
@josephmajembe3090
@josephmajembe3090 8 ай бұрын
Hapo wataalam bado wanafundisha kuwa binadam walotokana na nyani tu
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 8 ай бұрын
Hutamuona huyu mzee anawatukana wapinzani
@ErickNyoka-uo2wz
@ErickNyoka-uo2wz 8 ай бұрын
Mh Kishimba big up umesema hoja nzuri sana na ni kweli tupu
@rasnchimbi
@rasnchimbi 8 ай бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi !✍🏿
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 8 ай бұрын
Kusoma j3 na wengine j4😅
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 8 ай бұрын
Kweli mheshimiwa mi nimewakuta Wachina kijijiji Nyarugusu huko, nikawa najiuliza hawa raia wanafanya nini huku
@1961nungwi
@1961nungwi 8 ай бұрын
Uuzaji migodi usitishwe kwanza. Tuwe na maeneo ya uwekezaji namba ya wageni hasiruhusiwe Wageni waruhusiwe tuu kama ni mgodi mkubwa kwa level za kimataifa. Tuwe makini kwasababu idadi ya wageni inazidi kuongezeka; kama hawana large scale investments wasiruhusiwe
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 208 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 9 МЛН
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 28 М.
‘Haiwezekani nikulipe halafu unakaa kunitukana’ -Spika Ndugai
14:19
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН