PROF. KISHIMBA ATOA KALI AWAVUNJA MBAVU WABUNGE "TUNASHINDWA KUTENGENEZA MINYOO?"

  Рет қаралды 40,911

Uhondo TV

Uhondo TV

2 жыл бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 58
@christowajamtinda8667
@christowajamtinda8667 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Mheshimiwa. Wewe umekuwa mbunge mzalendo sana na unaitendea haki nafasi yako. Hongera wana Kahama kuwa na mbunge jembe!
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Kabisa uyu jamaa namkubali sna
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 11 ай бұрын
Kishimba anajitahidi sana ndo maana Kahama imekuwa Manispaa
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 Жыл бұрын
Kuna watu nchi ii niwapumbafu sijawahi ona tunateseka na watu wasiokuwa na Akili kwa kuomba Kura. Kuna nguvu kubwa katika uyu mutu Sana. Mungu akuinue uwe waziri mkuu
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 жыл бұрын
Kishimbi hivi selikali huwa inakuelewa kweli ama wanakuona kama mchekeshaji tu siku zambele huko watakuja kukumbuka
@venseslausmtanila1766
@venseslausmtanila1766 2 жыл бұрын
Kishimba unafaa uraisi unauchungu kama magufuli. Viongozi bado tunao ila roho mbaya kwenye teuzi zetu.
@robertmhidze1036
@robertmhidze1036 Жыл бұрын
This man has very practical mind. I hope they will take hia advisd serously.
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 11 ай бұрын
Mweshimiwa Kishimba umekuwa ni mtu wa mawazo yangu kabisa kuhusiana na Elimu ya Tanzania. Mungu atusaidie kwa kweli
@MegaAlexison
@MegaAlexison 2 жыл бұрын
Ukweli kabisa elimu has to change tuachane na elimu ya kikoloni
@eliasemmanuel3295
@eliasemmanuel3295 2 жыл бұрын
Najivunia kuwa na mbunge mwenye mawazo chanya... Miaka 5 tena
@majidukalugendo4738
@majidukalugendo4738 2 жыл бұрын
Mzee Kishimba wewe ndiye msomi haswa. Unafaa kuwa Naibu Waziri ili mkiunganisha mawazo lazima watoto wetu wataachana na utamaduni wa kimagharibi ambao kimsingi ndio unaotupora kila tulichonacho. Marehemu Rais wetu Magufuli alikuwa ameshaanza kuziangazia hizi wizara juu ya mabadiliko. Heko Mhe. Kishimba
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 11 ай бұрын
Namuona Mweshimiwa Mbunge wa jimbo la Kwimba Mheshimiwa Mansoor naomba atusaidie bhana kule Kwimba hakuna Umeme
@ernestmtuya7941
@ernestmtuya7941 Жыл бұрын
Hongera zako mheshimiwa Kishimba Viongozi wahusika wayachukue mawazo ya huyu mbunge na kuyafanyia haraka sana maana ni muhimu
@ernestmtuya7941
@ernestmtuya7941 Жыл бұрын
Namaanisha kuyafanyia Kazi kwa haraka
@martinmwakila6992
@martinmwakila6992 2 жыл бұрын
Great mind
@piuspanga864
@piuspanga864 2 жыл бұрын
Hongera sana Hon. Prof. Kishimba
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Uyu jamaa namkubali sana point zako ila swala labandari kisimba upo kimya naww tunakutegemea tz upo kimya vip
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 2 ай бұрын
Huyu mzee ni Konki aisee! Hizo nondo anazoshusha.....aaaaa! Ni nzito....
@joctanmtambi895
@joctanmtambi895 2 жыл бұрын
Prof Kama Prof nakupendaga sana
@frankedwardmhoza6613
@frankedwardmhoza6613 2 жыл бұрын
Maarifa ulionayo mzee kishimba niukombozi wa kifikiri kwa watanzania wote na Afrika kwa ujumla kwenye swala la elimu ya kujitegemea ila usiwe na Shaka kwa maana watakuelewa na kubadilisha mtahara wa Elimu
@Commentsplus
@Commentsplus 2 жыл бұрын
Jamaa anaakili sana
@pilisonje8944
@pilisonje8944 Жыл бұрын
Big. Up MH kishimba
@emmanuelbaynit8528
@emmanuelbaynit8528 2 жыл бұрын
Joja nzuri Sana pongezi kwako mhe!
@emmanuelbaynit8528
@emmanuelbaynit8528 2 жыл бұрын
Sory ,I mean hoja!
@aminamwiru7605
@aminamwiru7605 5 ай бұрын
Tunatengeneza kizaz cha ajabu cha watoto kuongea kingereza hawaz kaz yeyote na akili za kujisimamia hawana zaid ya kuvaa mlegezo mung atuokoe😂😂😂😂
@isaacthomas7888
@isaacthomas7888 2 жыл бұрын
Point sana mzee
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Ilo jamaa lilokaribiana nakishimba kulia sijui linaelewa man linapiga meze tu sijamuelewa😅
@seifomar8297
@seifomar8297 2 жыл бұрын
Huyu mbunge wanamcheka maana hawmuelewi ila anasema sana inafikua hatua mtoto unamfundisha jambo anaona unamonea KWAKUA anaona jambo gen ifikie wakati mitaala ibadilike ipatikane elimu ya kujitegemea
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Mi nafikiri wancheka kinachofanyika katika elimu yetu na uhalisia anaowaambia ambao hawakutarajia!
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
Una akili ya maisha Kishimba, safi sana!
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Mimi nilijaribu kutengeneza funza wakuku marshall nili wini sana kuku walinenepa sana nilipata vitoweo vyenye nyama Safi kabisa
@isaacchalamila
@isaacchalamila Жыл бұрын
Huyu mbunge nondo sana selikari imwangalie kwa jicho la 3 kwa kweli nampenda kabisa
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Wasimpe uwaziri labda hawe raisi wetu uwaziri itakuwa aongei Tena izo hoja so unaona bashe yupo kimya
@mussashabani2924
@mussashabani2924 2 жыл бұрын
Mzee unasema kweli lakin sidhani kama wanakuelewa wahusika
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Elimu ya darasa la saba ni elimu na akili ya Mtu haikuwa kuwa ya kiwango Cha vipimo vya elimu za kidunia Watu wanaotumia elimu na watu wanao tumia akili ni vitu viwili tofauti
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Mheshimiwa Kishimba biblia inasema,"Mpanzi alipokua akipanda mbegu shambani mwake zingine zilianguka njiani hazikuota kwa kuwa zililiwa na ndege,zingine zilianguka vichakani zilipoanza kuota zikazongwa na miti ya miiba zikafa.Zilizo ota Ni zile zilizoanguka kwenye udongo mzuri. Wapiga kura wa Jimbo lako walipata bahati wewe ulioto penye udongo mzuri. Sina hakika Kama hizi zilizoanguka njiani,na zingine vichakani penye michongoma ya miiba mtaelewana. Nasubiri muujiza huo.
@camilusthomaslekule9282
@camilusthomaslekule9282 Жыл бұрын
Hii inaitwa "tacit knowledge" haiwezi kupatikana mashuleni bali kwa wazee ndani ya jumuiya -'comminity knowledge
@mako331
@mako331 Жыл бұрын
The thinking of this guy he should be the President of the Country. Is what we call critical thinking
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM 2 жыл бұрын
Wacha ujanja. Mnamute nini au hamtaki watu wapate maarifa ila nyie mfaidike na MB zao?
@davidmhagama3319
@davidmhagama3319 Жыл бұрын
Shida chama ulichoko hamna mbadala hata ungesemaje
@brainsngaugula6075
@brainsngaugula6075 2 жыл бұрын
Sema huyu jamaa ana akili kuliko wabunge wote
@kennedysteven9957
@kennedysteven9957 Жыл бұрын
Hui ndio uzalendo wakujali watanzania kwaujumla...ndugu mbunge hao wanafunzi hawawezi kuijenga nichi hii kwasababu wanakuja na nia yakuiba nakuishi vizuri na familia zao tu ,hata hao wabunge wengine wajuwa mabaya mengi lakini wananyamazia mashine za kamari zimetapakaa mijini na vijijini mwao zinafilisi wa tz. Et zinalipa kodi mazara nimakubwa kulko kinachopatikana...mfano mashine zote kwa mwaka 1 mmilki alipe bln 1 kod yeye anapata trillion 2 na wtz kubaki na vibaka na wengine kuwa maskini kbs.. Mubunge makini lisemee na hili pia
@alexmatt9504
@alexmatt9504 2 жыл бұрын
Huyu Mbunge Kishimba sina uhakika kama wasomi wetu wizarani wanamwelewa! Hiyo system ya kutengeza mbolea isiyokuwa na side-effects kwa mimea nakumbuka tulikuwa tunafundishwa shule ya msingi kuanzia darasa la nne miaka ya zamani na kweli ilikuwa inasaidia sana kabla ya kuleta hizi mbolea za viwandani ambazo zimechangia sana kuua mbegu zetu za asili hasa kwenye migomba,kahawa na mazao mengine. Wizara ya Elimu msidharau huo ushauri wake kwa vile ni wa std.7,huyo Mzee ni-rich in innovation and assertiveness. Na ndiyo maana anaendesha biashara za kimataifa bila kuteteleka. Endelea hivyo hivyo mzee.
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 11 ай бұрын
Halafu tumekuwa ni watu wakuzikiwa ndoto zetu jamani huu mfumo wa elimu hapa kwetu daah
@Commentsplus
@Commentsplus 2 жыл бұрын
Kahama mbunge tunae nakukubali
@josephamos6636
@josephamos6636 2 жыл бұрын
Mzee huyu kajaliwa hekima ya kimawazo
@shijaenock7638
@shijaenock7638 Жыл бұрын
Mafuta ya maziwa nan atatumia mzee😂
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Mabadiliko makubwa sekta ya elimu yanhitajika badala kujenga daraja la kwenda znz la kupita wajinga.
@frankmaneno8805
@frankmaneno8805 2 жыл бұрын
Mbunge wa majimbo yote tanzania
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 2 жыл бұрын
Aliye haribu elimu ni samia na gurup lake maana walimu wengi hawaajibiki kufundisha maana amewalea
@emanuelsafari4910
@emanuelsafari4910 2 жыл бұрын
We ni kenge nn kafundishe wew
@issarashidiferuziferuzi9201
@issarashidiferuziferuzi9201 2 жыл бұрын
We ni mwehu Samia aharibu elimu mtu mwenyewe ana mwaka mmoja serikalini mjue elimu ni mfumo si mtu we una matatizo na samia
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 2 жыл бұрын
@@issarashidiferuziferuzi9201 wewe ni nyang'au ningekuwa mwehu nisingemuowa mama yaka ukazaliwa nyambafu niheshimu mimi ndiyo baba yako
@saidsaidtanga425
@saidsaidtanga425 2 жыл бұрын
Koma wewe kalenguruwe ulale
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 2 жыл бұрын
@@saidsaidtanga425 hata hivyo tangu udondokee chooni akili yako haijatulia nyang'au wewe
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 206 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 259 М.
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 27 М.
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 31 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН