Sugu na sakata la Ulimboka bungeni.

  Рет қаралды 172,355

Kennedy Kimaro

Kennedy Kimaro

Күн бұрын

Mbunge wa mbeya azua kasheshe bungeni na kutakiwa kufuta usemi wake wa Ulimboka alitekwa na .....

Пікірлер: 25
@thesmallkidume4158
@thesmallkidume4158 7 жыл бұрын
Duuuuh kazi kweli kweli!!!
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 5 жыл бұрын
Dah zamani sana, bigup Suguu
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 Жыл бұрын
Au huyu mwenyekiti alishiriki kumteka ulimboka Nini !!
@e.mwaipasitv8088
@e.mwaipasitv8088 11 жыл бұрын
safi sugu.mbeya huwa hatuna woga wewe upate wapi woga
@LiahQuinAfrican_Espresso
@LiahQuinAfrican_Espresso 11 жыл бұрын
huyu mwenyekıtı ana jambo katıka suala la ulımboka!! haıwezekanaı kwanını apınge kukosolewa kwa serıkalı??? hatu wezı kusonga mbele kama watu wata pıngwa katıka kusema walıcho kıjua na sıku zote lısemwalo lıpo kama halıpo laja!
@abelabuza3863
@abelabuza3863 3 жыл бұрын
Big up sugu
@johnleonardminja2644
@johnleonardminja2644 11 жыл бұрын
ndugu sugu,tuondolee hii gundu kwa wetu ndugu,ni kama upatu uliogandama na kutu,ama kudhubutu kuchukua kisu butu na na kumchinja wetu ndugu,kumuachia machungu,alipolindwa na mungu!ole wao majununi!
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Sijui ni lini tutakuwa na bunge lenye wabunge kama sugu na wenzie. Tumemis sana amsha amsha hii
@abeshem7322
@abeshem7322 12 жыл бұрын
Safi sana Sugu.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 9 жыл бұрын
Huyu mwenyekiti sijui kama akili yake ni nzima na kama ni nzima sijui kama yeye ni mzima. Tundu alisema kitu cha maana kumsaidia huyu mjinga anayeitwa mwenyekiti. Hili jamaa ni bwege na lilipaswa kuwa kwenye taasisi ya vichaa. Shame on you mwenyekiti laiti tungejua jina lake. Anaonekana hata hajui maana ya cheo ni dhamana. Ajabu anasema kuwa hawaruhusiwi kuropoka wakati yeye akipayuka.
@staphordmwaipopo7381
@staphordmwaipopo7381 8 жыл бұрын
poaaaaaa mr sugu
@NeroForte_
@NeroForte_ 9 жыл бұрын
HII sirikali kwelikweli
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Sijaona mwenyekiti aliyepwaya kama huyu. Nina hamu ya kuona maisha yake sasa yakoje baada ya miaka yote hiyo
@zuchukopa1480
@zuchukopa1480 12 жыл бұрын
thax gud
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@lngwenya
@lngwenya 12 жыл бұрын
kwa hili CDM mmefanikiwa kuwadanganya watu , lakini kumbukeni 'you can not fool all the people all the time'
@reinfridazinga108
@reinfridazinga108 9 жыл бұрын
huyu mwenyekiti NI mpumbavu sana
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Mwenyekiti hydrocele kweli
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Kila tusi zito naona halitoshi Kwa mwenyekiti
@hamadsaid5675
@hamadsaid5675 7 жыл бұрын
huyu mwenye kti anafcha ukwel
@rebekamongo8817
@rebekamongo8817 6 жыл бұрын
mwenyekiti stupid
@bwackyvanshinney9853
@bwackyvanshinney9853 4 жыл бұрын
People's power asante kamanda
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Mwenyekiti useless kabisa
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 15 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 97 МЛН
Sugu Amvaa Bashite, Ataka Ashtakiwe, Awaponda Bongo Muvi
11:55
Global TV Online
Рет қаралды 134 М.
Prof Jay awapagawisha Wanamorogoro mbele ya JPM
4:24
Azam TV
Рет қаралды 308 М.
Mh. Joseph Mbilinyi: CCM hawashauriki
8:47
Chadema Diaspora
Рет қаралды 162 М.
JOSEPH MBILINYI (MB)  NUSURA KUSHIKANA NA JENISTA MUHAGAMA BUNGENI
16:04
Chadema Media TV
Рет қаралды 48 М.
Waziri Ashindwa Kujizuia  "Nitaleta Marks Zenu Hapa"
14:04
Global TV Online
Рет қаралды 330 М.
Zitto Kabwe VS Waziri Kabudi Bungeni leo 'Siingii mtegoni ng'o'
5:47
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Millard Ayo
Рет қаралды 736 М.
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН