Tafuta utambulisho wako binafsi (Know your Identity)

  Рет қаралды 65,851

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 242
@floraritha1454
@floraritha1454 3 жыл бұрын
Kaka Joel mtoto wangu alizomewa kwa kuwa wa mwisho darasani lakini leo namtukuza Mungu sikukata tamaa nilisema ipo siku Mungu atafanya jambo jipya juu yake na amefanya. Leo hii yupo kwenye 10 bora, bado naendelea kusema atakuwa wa kwanza maana mawazo anayotuwazia Mungu siyo mawazo ya wanadamu.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen Ameen, endelea kutamka mema juu ya maisha yake.
@yomamausafi1137
@yomamausafi1137 Жыл бұрын
AMEN
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 3 жыл бұрын
Mungu NI mwema Jamni hpa nskilza naanza kuona mafnikio yangu ya baadae..
@eliasmugume254
@eliasmugume254 3 жыл бұрын
Kiukweli, Mimi Sina Zaidi ya 🙏🏻Shukurani. ila tu Mungu Akubariki Sana Kwa kila Jambo unalolifanya I repeat, god bless you so much
@mariamm2724
@mariamm2724 3 жыл бұрын
God bless my brother, wewe ni teacher wa dunia barikiwa sana , tena akupe maono zaidi.
@fasahaproductstv638
@fasahaproductstv638 3 жыл бұрын
Nkizkumbuk ze AINA 8 za core genius ulzozielzea ktk book yko ya CORE GENIUS bc u una fit kwny Aina Aina ambyo unaend kubeba vipngle vng Ahsante San Nanauka.ni 1. Smart word Author,Mhubir,Masoko na mauzo na mengneo
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
👍👍
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Hii video imenifunza zaidi nashukur mungu 🇹🇿🙏.
@cicada8397
@cicada8397 3 жыл бұрын
To me,this is the most powerful sermon I have ever heard from you Joel. Huu ujumbe wote unanihusu Mimi Hadi naumwa kichwa. Am grateful ujumbe huu umenipa nguvu mpya. God bless you!
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen,Mungu akusaidie utimize kusudi lako lililokuleta hapa duniani
@erickurioh5767
@erickurioh5767 3 жыл бұрын
Joel Joel Joel seriously this one has get me up from whom I was before now I declare myself there's something I have to do for my life Be blessed much broo Joel 🙏🙏🙏🙏🙏
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 3 жыл бұрын
Nairudia hii hotuba mara kwa mara naiona ni miongoni mwa hotuba mashuhuri sana na yenye nguvu zakubadilisha mtazamo wa mtu ajionavyo
@williamjumbe1928
@williamjumbe1928 2 жыл бұрын
Hii inaweza kuwa moja Kati ya speech yako Bora zaidi kuwahi kufanya Brother Mungu akubariki na akutunze sana
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 2 жыл бұрын
Oh! Jamani mungu akubariki sana! Hii ni zaidi ya pesa! Mungu akuweke akubariki na akulinde!
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 2 жыл бұрын
Thanks brother
@Phoenix_TechAnalyst
@Phoenix_TechAnalyst 3 жыл бұрын
My almighty God be with you 🙏 my inspirational Nanauka. I will support your ministry buy buying any book you will be launching. Love from the USA 🇺🇸
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Thanks so much Solomon.God bless You.
@lucie0mari974
@lucie0mari974 3 жыл бұрын
feel so blessed this morning with this prediction, lord,help me to find my identity, amen!!be blessed pastor
@ilanmusicTz
@ilanmusicTz 3 жыл бұрын
Utabakia kuwa mwalimu wangu siku zote
@noelmwikeve6255
@noelmwikeve6255 3 жыл бұрын
He is geneous at all I appreciate I got more things
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 3 жыл бұрын
Kaka uko vizuri unaumiza kichwaa kutupa elimu
@user-zf8pm2qo3d
@user-zf8pm2qo3d 3 ай бұрын
Huyu jamaa siku moja agombee urais, hii speech ❤🔥🔥🔥so powerful
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w Ай бұрын
Sifa na Utukufu kwako YESU
@omaebarongo1892
@omaebarongo1892 3 жыл бұрын
Hallelujah u have really touched my life tonight I believe there is still hope in my life Amen
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen
@eliethmwanga5237
@eliethmwanga5237 3 жыл бұрын
I was born to become Great in this Word
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w Ай бұрын
Joel MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana
@michaelnyangusi7417
@michaelnyangusi7417 3 жыл бұрын
This is so great. Keep it up!! You are touching hundreds and thousands of people. Your work is truly adding value to people. May God bless you.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Thanks Michael,this is very encouraging 🙏
@moshikilimanjaro5660
@moshikilimanjaro5660 3 жыл бұрын
" Great message,healing message and very motivation message"
@peterprospermugala9079
@peterprospermugala9079 3 жыл бұрын
Trust me sir, God has endowed you with great divine capabilities to help many people. Love you sir. I follow you so keenly. FROM ZAMBIA
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Thanks Peter,I glorify God for that🙏
@uwimananadia6066
@uwimananadia6066 3 жыл бұрын
Eeee Mungu wangu nipe baraka nipe akili hekima na malifa ili nijitambue zaidi ooooh jaka joel nina amini ipo siku ntashuhudia😭🤲🙏
@lekumoklaizer8165
@lekumoklaizer8165 3 жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa mungu. elimu ya kutosha kwa watu wa mungu.
@floraritha1454
@floraritha1454 3 жыл бұрын
Kaka joeli nabarikiwa sana mpaka machozi ya furaha yananitoka, Sitakuwa vile wanadamu wanavyoniwazia, mimi ni mtu mkubwa sana katika dunia hii. Lazima kusudi la Mungu litimie ndani yangu. Lipo tumaini ndani yangu.Oh!!!!!Aleluya.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen
@chalofurniture6797
@chalofurniture6797 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie kiukweli niambie nifanye nini niwe na ujasili Kama wako nakukubali sana
@melvinnakhungu5379
@melvinnakhungu5379 2 жыл бұрын
Amen kuniamsha thank u brother Joel
@andreakanizio1027
@andreakanizio1027 3 жыл бұрын
Man of God i appreciate you encouraging me for more things your a icon to me.🙏 God be blessed you.
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 3 жыл бұрын
I run slowly, I mean I do my stuff slowly but I finish nicely in focus way.
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w Ай бұрын
Asante MUNGU BABA wa Mbinguni
@israelsiame4403
@israelsiame4403 3 жыл бұрын
Kupitia wewe the world will know me, trust me.
@jacobnduya798
@jacobnduya798 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana joel hakika wewe ni mpango wa Mungu! Mungu akubariki sana
@DinaRamadhani-qb3jw
@DinaRamadhani-qb3jw 8 ай бұрын
Amina Amina Amina 🙏🙏🙏!!!.
@victoriaabedinego190
@victoriaabedinego190 12 күн бұрын
Amen my future is the greatest 🎉
@kennedytesha3461
@kennedytesha3461 3 жыл бұрын
Asante bro wewe ni hazina kwa taifa letu more blessed Kaka Joel..
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen Kennedy🙏🏻
@chirwaellace1093
@chirwaellace1093 7 ай бұрын
Ilike it, abig amen
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
Blessed brother I am going to find who am I from now!!!!✔️💯
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen, keep finding who you are🙏🏻🙏🏻
@Phoenix_TechAnalyst
@Phoenix_TechAnalyst 3 жыл бұрын
Yessir i am actually working under FedEx company here in the USA, inspired story about Fred the Founder of fedex and I know the history of how he get the idea of the shipping company while he was in school, and finally founded FEDEX which stands for "Federal Express" and the same story joel narrated it same and exact story i was told at my first day of my orientation at Fedex ground. Thank you joel for relevant testimonials 💯🙏🙏🙏 I feel to comment all the times I'm listening to this legendary teachings sir.
@edgarmazigo6744
@edgarmazigo6744 3 жыл бұрын
wow
@seifzongo320
@seifzongo320 3 жыл бұрын
Before you were born from your mother's womb,i knew you...i separated you to be prophet for the Nations" be blessed kaka you are the best
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pamoja sana Seif.
@simonmarcel698
@simonmarcel698 3 жыл бұрын
prophet Nanauka tumepokea upako wa kweli sio wa mafuta, nafikiri hii ndio njia nzuri ya kuwapa watu maarifa tumechoka kudanganywa na baadhi ya wachungaji....fungua kanisa lako na upokee sadaka zetu kiroho safi.
@Phoenix_TechAnalyst
@Phoenix_TechAnalyst 3 жыл бұрын
I'm sorry the physical mass crowd was so cold, no better. Glad I'm so energized with the teaching. I give my credits to mr. The speaker Joel
@rahmaayubu2514
@rahmaayubu2514 3 жыл бұрын
Powerful message thanks my teacher may Allah blessed
@eliethmwanga5237
@eliethmwanga5237 3 жыл бұрын
Ninakushukuru Mungu kwa ajili ya somo hili kupitia Mtumishi wako huyu, nimeendelea kujaa na kutokukata tamaa kwa sababu wewe kunitambulisha yatosha kabisa nahitaji neema yako katika yote kwa Utukufu wa Jina lako Baba yangu wa Mbinguni.....Ninamfunika kwa Damu ya Yesu Mtumishi wako huyu Kwa ajili yangu na wengine wote wenye kulitafuta na kulitenda kusudi lako duniani chochote atakachosema katika kinywa chake kwa ajili yetu kiwe kimetoka kwako katika Jina lipitalo majina yote Yesu Kristo Aaaaaaameeen
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen Elieth,kila unapopata muda usiache kuniombea🙏
@nyongesabenjamin3762
@nyongesabenjamin3762 Жыл бұрын
I have been n tuoched by testimony yuo are my mentor from today
@adelaidanyange5896
@adelaidanyange5896 3 жыл бұрын
I will never give up in Jesus...
@yakubonaelias5994
@yakubonaelias5994 3 жыл бұрын
Nakulewa sana Joel umebadili mind yangu to positive
@hdjirungakashililika7538
@hdjirungakashililika7538 3 жыл бұрын
Kaka nikweli unasitahiri pongez,kiukweli umekuwa model wa maisha ya watu wengi sana,Kuna mamilion ya watu wamebadilisha maisha yao kwa video zako,Sijawai uzuria semina yako pengine kutokana na mahari nilipo,Ila uwa najihisi nipo nawe napotazama video zako,Nakili video zako zimebadilisha maisha yangu .Siwezi elezea mafanikio yangu ,Ila.nimakubwa ,makubwa sana.Hivyo mungu azidi kukupa maisha marefu .Ili uweze kusaidia Tanzania na Africa nzima kwa ujumla,Ili siku moja Tanzania iwe miongoni mwa nchi inayozalisha mabilionea,Thanks God to make Joel nanauka born in Tanzania, I believe Is plan of God to make Tanzania greet through Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen,ahsante Sana kwa maneno Yako yenye nguvu.Nakuombea pia ufanikiwe zaidi na zaidi.🙏
@abduliskambi4014
@abduliskambi4014 3 жыл бұрын
Hii nimeipenda sana Hong era
@Phoenix_TechAnalyst
@Phoenix_TechAnalyst 3 жыл бұрын
Like the interpreter as well. Good job buddy
@robertgordon2745
@robertgordon2745 3 жыл бұрын
Pastor Joel, ipo siku hata mkuu wa nchi atakuita ikulu
@geofreynoah9458
@geofreynoah9458 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri sana
@msambachacha8523
@msambachacha8523 3 жыл бұрын
Vile ujionavyo ndivyo utavyokua, asante sana mungu kwa uwepo wa joel nanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Kabisa kabisa...Ameen
@consorugarabamu4038
@consorugarabamu4038 3 жыл бұрын
Great massege ,healing message and motivation more more message.... God blees uuuuuuuu wajna
@moris.b.anthony8-tv
@moris.b.anthony8-tv 3 жыл бұрын
Thanks much Joel...i believe that i am going somewhere after listening to this dacts#
@jamesswai6583
@jamesswai6583 3 жыл бұрын
Kumbe Ni international Preacher.
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 11 күн бұрын
Nimekuelewa sana 🎉sitaruhusu kushindwa kwako kukutafasiti
@wemarobert7417
@wemarobert7417 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu umeniongezea hatua katika maisha yangu sasa nazidi kujua mimi ni nani haswa japo wengi hawanitambui bado.
@ezekielpanga7599
@ezekielpanga7599 3 жыл бұрын
Amen I am blessed and more blessed king and son of God
@javiceblasio2710
@javiceblasio2710 3 жыл бұрын
Kaka ubarikiwe saana.umeyabadilisha maisha yangu kwa masomo yako.Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen nashukuru Mungu kusikia hivyo🙏
@simonedward244
@simonedward244 2 жыл бұрын
ahsante sana kaka yangu kwa kunirejeshea tumaini langu
@user-qw1ft2ss7u
@user-qw1ft2ss7u 2 ай бұрын
Nanauka your good people.tkanks for teach me
@josephinechendi9527
@josephinechendi9527 2 жыл бұрын
Amen
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 Жыл бұрын
I have a lot of testimonies. So it's true for what Man of God speaking
@dicksonmasika8431
@dicksonmasika8431 3 жыл бұрын
Your so special my brother Joel God bless you Sana Sana love you more my Nanauka Coz nakujua na unanifny niwe fighter in world
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen Ameen Dickson
@gracepamba7079
@gracepamba7079 2 жыл бұрын
I feel blessed most, and may the LORD GOD keep you most.
@williamjumbe1928
@williamjumbe1928 2 жыл бұрын
The best and ever
@geraldandrew-qt1wb
@geraldandrew-qt1wb Жыл бұрын
I like it GOD bless you
@shimiyusuleman1432
@shimiyusuleman1432 3 жыл бұрын
Thanks Joel to bring my hope,
@shimiyusuleman1432
@shimiyusuleman1432 3 жыл бұрын
Am blessed much
@mirianmahangano4780
@mirianmahangano4780 3 жыл бұрын
It's wonderful message..be blessed Nanauka..!!!
@rimepeter789
@rimepeter789 3 жыл бұрын
AMEN, wonderful messages, God bless you sir, am blessed with it. ❤🙏
@rehabokaya2232
@rehabokaya2232 2 жыл бұрын
Hallelujah it don't matter what will people say i will keep on moving on thanks Mr Joel for that speech
@imaneduwe5886
@imaneduwe5886 3 жыл бұрын
Every powerful wake-up call for many people who have lost hopes. May Almighty God bless you 🙏. Keep it up
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen mama nashukuru sana🙏
@marykisaka365
@marykisaka365 3 жыл бұрын
Very powerful message.. keep up the good work br.
@mohamedkitwana4241
@mohamedkitwana4241 3 жыл бұрын
Broo noel,,,be blessed,,,,,🙏🙏
@adammbuba7357
@adammbuba7357 3 жыл бұрын
Nice
@enockkazungu5312
@enockkazungu5312 3 жыл бұрын
We appreciate your motivational 🙏🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante Kazungu, pamoja sana
@linardamuindi6856
@linardamuindi6856 3 жыл бұрын
Wow! So inspiring and mind awakening msg. Thank you so much man of God.
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 Жыл бұрын
That's true Man of God. Thank you very much
@roseraphael6370
@roseraphael6370 3 жыл бұрын
Asante nmeelewa na ntafanyia kazi hilo
@davidkengambi491
@davidkengambi491 3 жыл бұрын
I have blessed much ,May God bless you so much my dearest Brother
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen David
@lilianmichael1787
@lilianmichael1787 3 жыл бұрын
Great message, God bless you man of God
@perpetuagodfrey7050
@perpetuagodfrey7050 3 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel
@ajabumnyandwa7181
@ajabumnyandwa7181 9 ай бұрын
God bless you joel
@Rashsany
@Rashsany 3 жыл бұрын
Shukran kaka Joel
@adelaidanyange5896
@adelaidanyange5896 3 жыл бұрын
thanks my brother..🙏🙏Napata nguvu sana
@davidfrancis8582
@davidfrancis8582 2 жыл бұрын
Be blessed
@djramsoyusuph9661
@djramsoyusuph9661 3 жыл бұрын
Thank you so much 🙏🙏🙏 for great news
@marthaarnold1283
@marthaarnold1283 3 жыл бұрын
Well said man of God. Great inspiration. May God continue to bless you and keep you always.
@sakaraboy8951
@sakaraboy8951 3 жыл бұрын
Namuona TB JOSHUA....ANAKUJAAAAAAAA ANAKATAAA ,,ANAKUJAAAAA. ANAKATAAA... Very nice Bro,Nakukubal Sana.
@hanifamustafa5092
@hanifamustafa5092 3 жыл бұрын
Mungu aendele kukubariki
@ernestaelias7113
@ernestaelias7113 3 жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi
@bernadethanyarufunjo9518
@bernadethanyarufunjo9518 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@chiticollemans
@chiticollemans 2 жыл бұрын
Powerful🔥
@eliudikijuzi4909
@eliudikijuzi4909 3 жыл бұрын
Good Mr joel.i love you brother
@irenemhina7199
@irenemhina7199 3 жыл бұрын
am blessed
@davidkagenzi7973
@davidkagenzi7973 Жыл бұрын
Thank you a lot my mentor
@4bod801
@4bod801 2 ай бұрын
You ❤️ the great
@mlewamasoya4627
@mlewamasoya4627 3 жыл бұрын
I appreciate , that's great ¡!!!¡
Jinsi ya kutImiza malengo yako kwenye ulimwengu wa Sasa.
55:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA PILI
35:42
Harris Kapiga
Рет қаралды 66 М.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 15 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 101 МЛН
Je,Kiongozi Ni Mtu Wa Namna Gani?
21:45
Joel Nanauka
Рет қаралды 35 М.
Mungu mbele, mahali nimefika ni nguvu za mwenyezi Mungu
26:16
Prezzo logistic Mouldings
Рет қаралды 5 М.
Nani ana inuwa watu by Pastor Tony Kapola
4:58
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 183
Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi
14:27
DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI
18:43
Dr Ipyana
Рет қаралды 46 М.
MAENEO 10 AMBAKO FEDHA HUJIFICHA - Victor Mwambene.
12:23
Victor Mwambene
Рет қаралды 4,4 М.
LIFE WISDOM : ILI UFANIKIWE KWENYE KITU CHAKO - JOEL NANAUKA
9:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
Neno la JOEL NANAUKA  kwa Malkia wa Nguvu 2023
5:01
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 6 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 50 М.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 15 МЛН