TESTING MITAMBO YA DV MATOKEO

  Рет қаралды 4,962

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

2 ай бұрын

Matokeo ya GREEN CARD LOTTERY yanatoka siku ya JUMAMOSI MAY4, 2024 SAA MOJA JIONI YA EAST AFRICA (ambayo itakuwa ni saa SITA MCHANA YA NEW YORK)
JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YAKO
WEBSITE YA KUANGALIA MATOKEO NI
www.dvprogram.state.gov
1. Ingiza confirmation numbers. Zile namba ambazo zinaanza na 2025 na kuendelea jumla zipo 16. Hakikisha unaandika kiusahihi. Mfano angalia usichanganye kati ya herufi I na namba Moja 1, au Sifuri na herufi O.
2. Andika LAST NAME yako. Hapa sio jina lako lote kamili. Ukiangalia kwenye confirmation number utaona kuna jina kisha kuna comma. Mfano MAKULILO, ERNEST BONIFACE hapo last name ni MAKULILO. Uweke ONLY LAST NAME.
3. Andika mwaka wako wa kuzaliwa.
Then utaweza ku-search na kuangalia matokeo
KAMA UMESHINDA
Utaona YOUR ENTRY HAS BEEN SELECTED na utaona PDF Letter ya ushindi.
KAMA UMEKOSA
Utaona YOUR ENTRY HAS NOT BEEN SELECTED
HAKUNA SECOND SELECTION
Matokeo yote yanatoka pamoja. Uangalie siku ya kwanza au siku yoyote ile matokeo ni kama uliyoona hayatobadirika.
WEBSITE INAWEZA KUZIDIWA, UKIANGALIA MATOKEO MARA TU BAADA YA KUTOKA UNAWEZA KUPATA SHIDA. Hivyo unaweza kujaribu baadae tena nk.
ALL THE BEST DV WINNERS
Na kama bahati mbaya umekosa, kumbuka hii ni bahati nasibu, usikate tamaa. Omba tena mwezi October. Huwezi kujua bahati yako.
Kama umeshinda unahitaji specific consultation, utajaza form hii
EBMSCHOLARS.COM/DVWINNERS
Nitakuwa LIVE siku ya JUMAMOSI masaa mengi sana. Karibu
EBM SCHOLARS
MISSOURI, USA

Пікірлер: 69
@elsaMo-b5r
@elsaMo-b5r 2 ай бұрын
Umetisha Ernest, Betry 12 i'm ready ngoja niweke GB za kutosha. Mwaka huu ni wangu kwa jina la Yesu.
@alexismwinyi8472
@alexismwinyi8472 2 ай бұрын
Kwauwezo wa Mungu tutapata
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 ай бұрын
Mungu ni mwema, mipango ya Mungu ni mipango ya Mungu.
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 2 ай бұрын
Mungu atufanyie wepesi tuweze kushinda. wajina wangu
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 2 ай бұрын
Habari Mheshimiwa Ernest Makulilo
@omararale7962
@omararale7962 2 ай бұрын
Mtu ya maana East Africa ❤
@mosesrugemalila
@mosesrugemalila 2 ай бұрын
Salaam sana Kaka EBM ni fire uko unachangamsha maisha i like it, me nimesha screen shoot confirmation number nijue yaliyomo yamo,, japokuwa ninayo B1/B2 visa mpaka 2025 April Mtanzania nipo Botswana kwa sasa
@Mapishinatibatv
@Mapishinatibatv 2 ай бұрын
Mungu ww unajua hitaji la mioyo yetu 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@clevermngao7565
@clevermngao7565 2 ай бұрын
Nakupata sana Mr Ernest Makulilo, betri 12 zote zipo full charge!😂😂😂 Umetisha Kaka, tupo macho leo hatulali brother
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 2 ай бұрын
Pamoja na familia yaaangu
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 2 ай бұрын
Mungu nisaidie niweze kushinda amina ❤
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 2 ай бұрын
Hongera kaka yetu
@stanslauskaparangabo8977
@stanslauskaparangabo8977 2 ай бұрын
Mungu mwema
@gracengole2773
@gracengole2773 2 ай бұрын
Amen.
@MaendeleoProgramChristopherChi
@MaendeleoProgramChristopherChi 2 ай бұрын
Pamoja Sana
@Ngwalithegreattrainer
@Ngwalithegreattrainer 2 ай бұрын
We are ready kaka Ebm
@gracengole2773
@gracengole2773 2 ай бұрын
Ok brother be blessed
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 2 ай бұрын
Yes we are readyyyyyyyy
@georgehaule9178
@georgehaule9178 2 ай бұрын
Habari EBM, nakupata vizuri kutoka Tanzania.
@NiyonkuruTheos
@NiyonkuruTheos 2 ай бұрын
Pamoja naye Sana ❤❤
@kenjovestoongata
@kenjovestoongata 2 ай бұрын
Thanks for the update big brother
@tinawajjoseph5777
@tinawajjoseph5777 2 ай бұрын
Ee Mungu nisaidie
@VicentJohn-tg9yp
@VicentJohn-tg9yp 2 ай бұрын
Nakupata kaka EBM Asante kwa somo laleo kaka ❤
@Mohamedbomeza
@Mohamedbomeza 2 ай бұрын
may god bless all who upply dvrottery
@happymaimu4330
@happymaimu4330 2 ай бұрын
Jamani Wana Nzengo naombeni msaada nimejaza Dv lottery na mm ni Civil servant 😅😢 Nikishinda KITAUMANA😅😅🏃🏃🏃
@hakizabonfils503
@hakizabonfils503 2 ай бұрын
Tupo tayari mweshimiwa kutoka Bujumbura Burundi
@sylviaoduor7429
@sylviaoduor7429 2 ай бұрын
Tuangalie saa ngapi ndugu makuliro
@gracengole2773
@gracengole2773 2 ай бұрын
Yes, Iam ready to listen you Sir!
@gracengole2773
@gracengole2773 2 ай бұрын
Nikishinda nitajitahidi kufika ofisini zako za Dar, nitakuchomea magimbi na viazi vitamu.
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 2 ай бұрын
Mungu baba ukumbuke wale wote walio apply green card lottery 😢, wazidishi upendo ndugu zetu wale wanatupa create na kutufungua macho 😢😢🙏Ameen 🤲
@ezm
@ezm 2 ай бұрын
Amen 🙏🏼
@richiemakini
@richiemakini 2 ай бұрын
Nangojea matokeo kutoka Kenya
@abrahamvictor1125
@abrahamvictor1125 2 ай бұрын
We are together EBM from Green City
@gospelonlinetv3696
@gospelonlinetv3696 2 ай бұрын
Mungu atusaidie Amen
@davysmart1547
@davysmart1547 2 ай бұрын
Tuko tayari
@davysmart1547
@davysmart1547 2 ай бұрын
Kenya tuko
@user-td5mk2et6f
@user-td5mk2et6f 2 ай бұрын
matokeo yatakua saangapi
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 2 ай бұрын
huyo aliejaza form mara mbili alaf anauliza itakuwaj anamoyo😂😂mzee hushindi kbx yn
@lijonjo
@lijonjo 21 күн бұрын
Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?
@ishakasaid1077
@ishakasaid1077 2 ай бұрын
Kwa waliopo china itakuwa muda gani
@salomemchauru3059
@salomemchauru3059 2 ай бұрын
tunasubiri ushindi tu
@Theviper957
@Theviper957 2 ай бұрын
Nangoja kuwa mmoja wa walio selectiwa
@abdullarashid2453
@abdullarashid2453 2 ай бұрын
Kaka,nisaidie,vp nitapata matokeo, Rashid Abdalla Mohamed
@alhabib85001
@alhabib85001 2 ай бұрын
Tuko pamoja kaka mkubwa.
@nathanontegi3222
@nathanontegi3222 2 ай бұрын
Hello mkuu,umezimia sana kwa haya maswala ya filamu mbona hivyo??
@user-yn8bk9hq3e
@user-yn8bk9hq3e 2 ай бұрын
EBM naomba kuukiza kati ya hao waliodhinda 300 je wangapi walifanikiwa kupata visa ya green card mana umesema kushinda sio kupata visa.
@claudinendayishimiye-gz4cv
@claudinendayishimiye-gz4cv 2 ай бұрын
Jambo brother ni swali kwe confirmation number kuna hiyi Ø hiyo ni herufi gani ni zero au ni o
@frankdionis7700
@frankdionis7700 2 ай бұрын
Mimi niliomba ila Kwa bahatimbaya simu niliyohifadhi do comment zangu ilipotea kwahiyo nimepoteza vieelozo muhumu
@carolnasham2920
@carolnasham2920 2 ай бұрын
😂😂😂 battery 10 kweli tuko ready may who ever is located by favor be selected
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi 2 ай бұрын
Mmh naogopa ata kuangalia matokeo
@RahimMaile-kh3ec
@RahimMaile-kh3ec 2 ай бұрын
Kaka Mimi nimechaji betri 30 na sirali nasuburi
@Thegenerationtv70
@Thegenerationtv70 2 ай бұрын
how many hours remaining
@fabianishengoma3159
@fabianishengoma3159 2 ай бұрын
Ila mimi nimekosa na mwaka huu
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 2 ай бұрын
Namimi nime Applied
@KuzaJonas
@KuzaJonas 2 ай бұрын
Jambo mkubwa Ernest huu mwaka niwakwetu (Jeremy 23-23)mimi ni mkongomani ila nimechezeya south africa je ndakuwa kwenye oroza y'a Kongo ao south Afrika
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 ай бұрын
Kongo
@salummohamedisaidi8806
@salummohamedisaidi8806 2 ай бұрын
EBM NIKISHINDA UKIJA TU NAKUSUBIRI AIRPORT NIKUPE MIGEBIKA😊😊😊😊
@MateloWells
@MateloWells 2 ай бұрын
Salama? Namboye ichokipindi kitaanza lini? Ni leo ao?
@BLACKSTONEHOUSELTD
@BLACKSTONEHOUSELTD 2 ай бұрын
Telegram Iko wapi
@ndikumanajafari1914
@ndikumanajafari1914 2 ай бұрын
Sasa kaka yenye hatujui kingereza itakuaje ?hatuusiki
@kisagentabirage6693
@kisagentabirage6693 2 ай бұрын
Brother nilikuwa offline je muda wa kuanza hii workshop ni saa ngapi naomba urudie pls
@masternyabaga7073
@masternyabaga7073 2 ай бұрын
Matokeo haha Kenya tutayapata saa ngapi
@michaelnyandindi8461
@michaelnyandindi8461 2 ай бұрын
Kuanzia saa 1 jioni Africa mashariki
@alijumamohamed
@alijumamohamed 2 ай бұрын
Mkuu je km matoke yanatoka kesho jumamosi mimi naweza kuangalia siku ya Jumanne?
@richardscofeld9136
@richardscofeld9136 2 ай бұрын
Yani unaweza ukaangalia hata mwezi wa 8 ,bado watakua hawajafunga unaangalia tu mda wote
@alijumamohamed
@alijumamohamed 2 ай бұрын
@@richardscofeld9136 Kuwa serious
@philipraphael3676
@philipraphael3676 2 ай бұрын
Yapo valid hadi September 30, 2025
@frankdionis7700
@frankdionis7700 2 ай бұрын
Vipi unaangaliaaje Mimi ni mmoja wao jamani sijui kuangalia nilikua nitapigiwa kumbe ni tofauti​@@richardscofeld9136
@annahmukai7775
@annahmukai7775 2 ай бұрын
Mungu wangu nisaidie ni we mshindi
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 23 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 76 МЛН
How To Speak Fluently In English About Almost Anything
1:49:55
EnglishAnyone
Рет қаралды 2,7 МЛН
MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
57:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 72 М.
Maisha ya Marekani: Maswali na Majibu nilipokuwa TikTok Live
3:08:54
EBM SWAHILI
Рет қаралды 1,8 М.
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Sababu za kunyimwa visa ukiwa Mshindi wa Green Card Lottery
6:40
EBM SWAHILI
Рет қаралды 4,5 М.
NIMESHINDA DV LOTTERY MWAKA JANA NA MWAKA HUU
5:06
EBM SWAHILI
Рет қаралды 4,5 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН