THE CLASSIC JAY MOE PT 1 EP 2:LANGA ALINILIZA SANA/NAZIZI ALINIPA JINA HILI/BEEF NA ZAHRANI/MAJANI

  Рет қаралды 21,070

KuviFacts

KuviFacts

Күн бұрын

Sehemu ya pili ya simulizi za Jay Moe katika safari yake ya maisha ya kimuziki hapa anazungumzia mengi ikiwemo namna Nazizi wa Kenya alivompachika jina la Jay Mo,Beef zake na Zahrani na Langa na mengine mengi

Пікірлер: 99
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 ай бұрын
Wasanii wa zamani wanajuwa kufanya interview wanaongea vzr ,positive kabisa
@ericktona3638
@ericktona3638 5 ай бұрын
Huyu jamaa ni muandishi haswaa 1: ukisikiliza alichoandika Mvua na jua utakubaliana na mimi kuwa mle aliumiza kichwa sana 2: kama unataka demu aisee aliandika kusifia madem kitu ambacho alichotaja mle hadi sasa hizo sehem kuna madem wakali haswa 3: Maisha ya boarding Aisee mle vitu alivoandika sisi tuliosoma boarding tunajua nini alisema 😂😂 ni ukwel mtupu 4: Sasa akajaa kuuwa haswa kwenye Story 3 aisee 😂😂🙌 5: Sikiliza I need Money 😂 vers moja kachapa kingeleza tüpü Afu kimenyoka haswaaaa 6: Maliza Famous afu uje nitajie mwandishi wako bora wa hip-hop kumpita Super man 😂😂😂 4:
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 5 ай бұрын
Mo Tech Mo Fleva…..Best Storyteller best interview 2024, hizo zitakazokuja labda iwe ya Prof J au Majani au Mr. J.
@shedrackminja7334
@shedrackminja7334 5 ай бұрын
KUVI niaje mwamba kazi nzuri, ombi langu kwako ni uturahisishie na sisi mara moja moja uwe unatag hizo nyimbo unazokuwa unawasikilizisha kweny wasani kweny presentation. Najua nyingi hazitokuwa kweny online platforms cause ni oldies 😂, Ila fanya mambo mwamba KUVI much respect brother 💪🏾.
@saveklima4494
@saveklima4494 5 ай бұрын
Jay moe Mback yard, we ni msanii mahiri sana unajua sana. Unatakiwa kuungana na wasanii wengine kuunda chuo cha rap na historia ya bongo Rap. The Interview iko poa sana. Nawasikiliza toka Hamburg
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 5 ай бұрын
Jamaa yuko vizuri kwanzia kichwani shukurani kwa jabir kwa kutuletea vichwa
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 ай бұрын
Kabisa hawa watu wenye akili ndio wanatakiwa kuhojiwa sio unahoji mtu anaongea upuuzi
@kyambahacharles-mr4zk
@kyambahacharles-mr4zk 5 ай бұрын
Much respect sana kwako brother, ndiyo msanii wa kwanza kwangu kutoa hela yangu ya Pocket money ya shule kununua tape yake ya ulimwengu ndiyo mama Ile ni mshambaaa..., mshikaji noma sana.
@AnthonyKomba-o5f
@AnthonyKomba-o5f 5 ай бұрын
Albums zake zote mbili ninazo ya kwanza ni ulimwengu ndiyo mama na mawazo ya jay moe
@gRaY_S9N
@gRaY_S9N 5 ай бұрын
Respect sana kwa #Jay #Moe Huyu Jamaa ni Talented sana ni mmoja kati ya Good Storyteller. Ishi sana Brother #So #Famous..🙏🏾🙏🏾. Endelea Kupeperusha Bendera..🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@NoahMalanga
@NoahMalanga 5 ай бұрын
Jay to the mo, Mo technique, Mo fleva, Mo famous.....Living legend
@Umma-j7c
@Umma-j7c Ай бұрын
Gud kaka jay mo anajua kunyosha maelezo
@wilsonrichardmabala6616
@wilsonrichardmabala6616 5 ай бұрын
One of the best interview, jamaa mkali sana sana...
@LOLANDSIWALE
@LOLANDSIWALE 5 ай бұрын
Jay Moe yuko mbele ya muda sana.
@Umma-j7c
@Umma-j7c Ай бұрын
Much respect bro jay mo yupo gado xanaaa kunyosha maelezo
@leonardcharles3169
@leonardcharles3169 5 ай бұрын
Wanamziki wa kizazi Cha kati wanatakiwa kujifunza sana kutoka Kwa jay Moe, hususani Nidhamu
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Sahihi kabisa
@kherisalum6304
@kherisalum6304 5 ай бұрын
Huyu jamaa Ana consistency ya ajabu hajawahi kushuka Kama marapper wengine wa Bongo ✌️✌️
@ndesafanamfala5800
@ndesafanamfala5800 5 ай бұрын
JMore siyo poa Nuksi
@nehemia397
@nehemia397 5 ай бұрын
mzee safi sana unajua kumuacha mtu aongoe inakua safi sana ..
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 5 ай бұрын
Interview bors kabisa mzee jabir kuvichaka....naomba mum mumlete noorah babastyles inshaallah ❤️
@georgemathew9326
@georgemathew9326 4 ай бұрын
Broh naomba kuonana na wewe Jay Moe
@erqmusic5973
@erqmusic5973 5 ай бұрын
It's true bro....sisi Kenya J ikiambatana M tayari wewe ni J moe❤
@Yayokiraka
@Yayokiraka 5 ай бұрын
Mwana yupo mbele ya mda sana so Namkubari sana iyo Bishooo Enz izo ilikuwa noma so much Respect Buddha.
@mashakamakoba7955
@mashakamakoba7955 5 ай бұрын
Shule ni jambo la msingi sanaa wasanii walosoma wanajua nini chakuongea na kuandika pia
@pewaabagenge
@pewaabagenge 4 ай бұрын
Nimependa hii podcast JayMo, big up Naz.
@salumjumah5648
@salumjumah5648 5 ай бұрын
Story 3 tofauti mzee wa kuvi iguse
@peterjohn8405
@peterjohn8405 5 ай бұрын
Hongera kwake jay Mo kwa kuendelea kujiweka vizuri.
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 5 ай бұрын
Trueeeee, we grew up listening to jay, story tatu was huge back n made major impacts on our lives
@Lg4343
@Lg4343 5 ай бұрын
Daah respect sana Faza huyu Jamaa namkubali sana natamani nije nimuone live aise nimpe salamu
@surveyexpeditorstanzania429
@surveyexpeditorstanzania429 5 ай бұрын
This is definitely one of the best interview ever! Kuvi unajua sana kutafuta info asee. Jay Moe smart sana!
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Shukran sana
@ndesafanamfala5800
@ndesafanamfala5800 5 ай бұрын
Jmore Ukipenda Mbakiaji Ww ni Moja ya Washika kipaza Wenye kuogopwa ktk Hip hop ya bongo ni full package Nyota Yako siyo Mchezo Wajina Juma kiloboto analijua Hilo ww sooo...More Tec
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 5 ай бұрын
Nadhani Jay Moe hana nyota kali..maana kwa uwezo wake!alipaswa awe na heshima kubwa zaidi ya hii aliyonayo
@ndesafanamfala5800
@ndesafanamfala5800 5 ай бұрын
Kipindi Jmore anaingia ktk game Nature alikuwa Wamoto Majina Yao ya yanafanana Michano tofauti radha Kila Mmoja anayo kukawa na battle ya chini Kwa chini Juma yupi anatokea pande zp
@simonmwakifuna1287
@simonmwakifuna1287 5 ай бұрын
​@@nicholausmbilinyi3587kabisa mkuu
@amonijajila1218
@amonijajila1218 5 ай бұрын
Live kabisa
@mpaligwajunior7835
@mpaligwajunior7835 5 ай бұрын
Mo teckinic Mo fravel 💥💥
@ngomenyikani8475
@ngomenyikani8475 5 ай бұрын
Madini yakitema tutafanya docuseries 1 day
@TwahiliMkanjela
@TwahiliMkanjela 5 ай бұрын
Napenda kumuita MO Technic
@kibisionlinetv
@kibisionlinetv 5 ай бұрын
Nafatilia sanaaa sijawahi comment ila jamaaa yuko vizuri
@deopogbajr1304
@deopogbajr1304 5 ай бұрын
Anko jay moe unatema madini ki professor alaf juu suit chin moccasin, umepoa kiutu uzima kabisa yani salute ankol.
@nsajigwajuliusmwakatobe
@nsajigwajuliusmwakatobe 5 ай бұрын
Jay moo yupo vizur kwa upande reall hip pop
@barakamalanga4977
@barakamalanga4977 5 ай бұрын
Nakukubali tangu zaman big up mbakiaji
@Mtamaduni14
@Mtamaduni14 5 ай бұрын
Best interview best Mcee much love from kenya nmekua shabiki wa jay mo toka wayback
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
🙌🏾
@chandengao8795
@chandengao8795 5 ай бұрын
Akina mo walisoma music wengine katika mchakato wa maisha wengine walipata kipwampwam Cha mziki hawajui wengine walofanya mziki kabla yake. Nadhan haja ipo ya kuwatumia hawa watu kwenye kuunda kozi za muziki kwenye vyuo mbalimbali nchini Maneno yake ukiyachunguza yapo juu ya wakati
@arisetv1405
@arisetv1405 5 ай бұрын
Jamaa wamesoma. Hawa wa sasa ni balaa tupu.
@paulchaula2583
@paulchaula2583 5 ай бұрын
Watu n walimu was mziki Ila sio Wana mziki no content kabisa kumbe wapo watu wenye content na wanaishi nao
@frankkilemile2980
@frankkilemile2980 5 ай бұрын
Tunaomba tuletee huyu mwamba na nusu Crazy King GK mtu hatareee sana ewe mr Kuv Fact🙏
@boniphace1
@boniphace1 5 ай бұрын
Crazy GK hatari kabisa
@razackkasanga5288
@razackkasanga5288 5 ай бұрын
Jay Moe 🎉🎉
@Yegon254
@Yegon254 5 ай бұрын
I am eagerly waiting for part 2
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 ай бұрын
Wasanii wa sahv empty head kbs
@nassoloabdala8836
@nassoloabdala8836 5 ай бұрын
Dah ai no fim me deixou
@BabuuWakitaa-pb6gr
@BabuuWakitaa-pb6gr 5 ай бұрын
Brother fanya kutuletea DIZASTA VINA tulishe ubongo kk please
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 5 ай бұрын
Nakuunga Mkono
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 5 ай бұрын
Interview yeee
@lucaspius1048
@lucaspius1048 5 ай бұрын
Big up to jaymoe, nakumbuka album yake ya kwanza ilikua moja ya album zangu kali kabisa ambazo niliwahi kumiliki wakati huo.
@nyotamy3678
@nyotamy3678 5 ай бұрын
🙌🏾
@stephenmwita5857
@stephenmwita5857 5 ай бұрын
The interview was lit,Jaymoe kept it real
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 5 ай бұрын
Mo Techniques !
@mshangaf1726
@mshangaf1726 5 ай бұрын
hizo brand za nguo hajapronounce vizuri exept paul smith
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 5 ай бұрын
Nimesubiri kwa muda kusikiliza wale jamaa toka SOLID GROUND FAMILY walitoa wimbo kwa jina Asubuhi, Mchana na Usiku
@expeditormkoka3609
@expeditormkoka3609 5 ай бұрын
moe hatari sana akuchoshi story zimenyooka
@Abbasbakarsth
@Abbasbakarsth 5 ай бұрын
Kaka angu kabisa ww... nakubal sana
@muddymassah8998
@muddymassah8998 5 ай бұрын
Mshikaji ni mshambaaa kumbe ni mbabaishajiii
@makantaafrika
@makantaafrika 5 ай бұрын
Lugombo hakujuaga kama huo wimbo alikuwepo Jay Moe 😂😂
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Upi huo?
@leonardmavulla675
@leonardmavulla675 5 ай бұрын
Mo majakumu haipatiakani Ktk platform za music na mtoto wa mjini Remix pure one black ft Ay nazitafuta sana
@rashidikinywaki
@rashidikinywaki 5 ай бұрын
Zinapatikana hizo chimbo mzee
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 5 ай бұрын
Make sure jumamos J moe anatokea
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 5 ай бұрын
Buana Jabiri tuletee king crazy Gk
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 ай бұрын
Nasikia eti yupo kwenye msongo wa mawazo na anatumia sembe sana ila ni tetesi zipo tu. Ila ni legend sana
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Hayuko tayari yeye mwenyewe mana nmimualika hafiki
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 ай бұрын
Inshallah ipo siku atakubali kuja
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 5 ай бұрын
Siku akikubali basi itakuwa poa sana
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 5 ай бұрын
Mark 2 B aka Simba dah
@zaharamlau8817
@zaharamlau8817 5 ай бұрын
J to the Mo😂😂😂😂😂😂
@BabuuWakitaa-pb6gr
@BabuuWakitaa-pb6gr 5 ай бұрын
Moo mwamba ....
@Hauleshabby
@Hauleshabby 5 ай бұрын
Jay moo nuksii
@msavageisco5897
@msavageisco5897 5 ай бұрын
🚀🚀🚀
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 5 ай бұрын
Nazizi First Lady wa Rap
@ZakayoReuben-ow9tz
@ZakayoReuben-ow9tz 5 ай бұрын
Comment ya kwanza kabisa
@mbwizax87
@mbwizax87 5 ай бұрын
Ulimwengu ndio mama na ile album ya Mangwair mpaka leo ukisikiliza ni km simetoka leo
@georgerogath374
@georgerogath374 5 ай бұрын
🙌
@ramamsukuma
@ramamsukuma 5 ай бұрын
mbona huja mhoji kuhusu baba levo Ile inshu mpaka akaingilia moni au atarejea Tena?
@bernardmunuo2137
@bernardmunuo2137 5 ай бұрын
2pac wa bongo
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 ай бұрын
Bab kubwa moe
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 5 ай бұрын
Tuletee Dizasta vina
@Umma-j7c
@Umma-j7c Ай бұрын
K
@richzebest2029
@richzebest2029 5 ай бұрын
Mbona umekata kipande cha langa na jmo...bongo miyeyusho sana
@Jabali_Media
@Jabali_Media 5 ай бұрын
JIPANGE
@MohamedAhmed-yi7qz
@MohamedAhmed-yi7qz 5 ай бұрын
kuweka you tube na watu kuskiza sasa mbona mnakata sehemu ya mziki ya mtu anayehojiwa
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Nyimbo kasikikize kwenye account yao mkuu ,hapa zina hakimiliki hatuwezi kutumia boss
@blessedtabatasengelight
@blessedtabatasengelight 5 ай бұрын
KUVI umemwacha Jmo atiririke na content alizo jipanga nazo sana,uja mchimbua kindaki ndaki...alikutanaje na FA na ingekuwa Vp?Vip ngwea walikutana vp?alikuwa mkali ndio ila nani ali mfanya aone kama awezi alipo ingia kwenye gem?
@KuviFacts
@KuviFacts 5 ай бұрын
Ww hapo una maswali yako ambayo si mbaya ukiandika hapa nkakuulizia ,pili tutakua na Part 2 hadi 3 if possible ana vitu vingi,tatu ukimkatisha anaweza akasahau alichotaka ku adress mwenyewe kwanza kabla ya maswali yetu pia wapo ambao uki Katisha wanapiga kelele hapa hapa 😀
@TwahiliMkanjela
@TwahiliMkanjela 5 ай бұрын
Huyu bro ni mtu na nusu
@FadhiliKato
@FadhiliKato 5 ай бұрын
Tmu na nusu motek
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН