TUNDU LISSU AFATILIWA NA WASIOJULIKANA KILA ANAPOKWENDA, AWATAKA WAJITAMBULISHE KAMA NI WATU WEMA

  Рет қаралды 27,842

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@Hfmmngoyafamily
@Hfmmngoyafamily 3 ай бұрын
Pole sana mh lisu, tunaamini MUNGU alikuokoa na bado tunaamini Mungu ni kuweza wa yote atakulinda na tunakufunika kwa Damu ya YESU amen
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 3 ай бұрын
Nchi hii haitaki msema kweli kama Lissu Bado usalama wake upo mashakani
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 ай бұрын
Hiyo gari aina gani? Wapigeni picha hadi sura zao🤔
@salama1113
@salama1113 3 ай бұрын
Mungu atakulinda ubaya utawarudia wenyewe
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Nasi wapenda amani tunawalaani kwa kulilia Mungu mwema anayewahukumu wabaya wote.
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
Mungu ni mwema sana tunaimani Mungu yupo pamoja nawe hakuna atakaeshindana nguvu na Muumba aliekuokoa kwenye janga zito
@feruzmato4422
@feruzmato4422 3 ай бұрын
Akuna wakukuzuru ucogope mtume na nabii mwingira alisema mshindi uwezi kumshinda kwaiyo wewe ni mshindi mungu anskusudi na wewe kama ajataka ufe utakufa mheshimiwa chaps kazi...
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 3 ай бұрын
Tukopamoja mh lissu ❤❤❤
@HeriMohamedi-p6g
@HeriMohamedi-p6g 3 ай бұрын
Lisu unatoa elimu nzuri sanA kwa watanganyika siyo wazanzibar lakini watanganyika hawaelewi ni manyumbu wote pomoja n'a viongozi wao angalia wazanzibar wanarilaksi n'a tanganyika
@RichardNkhangaa-nv9tf
@RichardNkhangaa-nv9tf 3 ай бұрын
Tunamlilia mwenyez Mungu,mwumba wetu ajuaye @ mwenye hila & nia nzuri na taifa hili & mpenda haki.Ukamfunike kiumbe wako Lisu mtetezi wetu,tunakuombea sana sana kaka & ndgu yetu.
@bmdele5816
@bmdele5816 3 ай бұрын
Mh. Tundulisu pole kwa hayo, Tunashauri uwaseme hadharani na watu wawajue. Hao siyo watu wema tena hata kidogo🤔
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Yule aliyetangulia alitoa amri tu waliomuua walioratibu mpango Bado. Wapo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Pole sana ndugu yetu Lissu. Wewe kama binadamu lazima uogope unapokuwa kuwa katikati ya majitu kama haya. Wanakufuatilia ili unaongea kwa sauti sasa kwa nini wzkufuatilie. Mungu ashughulike nayo kwa jina la Yesu. Mungu aliye kunusuru bado yuko na wewe kipenzi chetu. Hayo mauwaji Mungu shughulika nao kikamilifu.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Mungu hajawahi kushindwa kamwe hawataweza na walaaniwe wao na vizazi vyao
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 ай бұрын
Duh...hatari mbona, isijekuwa wasiojulikana
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 3 ай бұрын
Wanasema nchi ya Amani na utulivu mtu anapigwa risasi ktk ya nyumba za serikali halafu hakuna mtu kukamatwa ni aibu kwa nchi
@migerajacob581
@migerajacob581 3 ай бұрын
Kama hawato sikia maneno yako ya busara,, wanyo shee kidole, tuwachome moto uwe mfano,,
@YohanaKivuyo-u3w
@YohanaKivuyo-u3w 12 күн бұрын
ila sisi wa Tanzania mbona tunaogopa ukweli lakini mtu alisema ukweli tuna muua ama tuna mpoteza mbona tupo ivyo jamani lakini sana sana mna chukia chama chadema wacheni ujinga lissu tunakupenda sana ndugu yangu ❤❤❤❤❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@madenge731
@madenge731 3 ай бұрын
Mh Lissu tafuteni Bastola wapigeni risasi muwaue ili tuheshimiane vizuri. Hii nchi imekuwa ya kisenge kweli
@simonsadala2386
@simonsadala2386 3 ай бұрын
Huyu bwana ni muongo jmn nani akufatilie ww ambaye umeshapoteza umakufu wa ki siasa yaaani Risasi tangu kampeni za 2020 au huna Agenda kifupi una bore achana na hizo mambo Jengeni chama msituambie maneno ya kutia huruma
@fwc5552
@fwc5552 3 ай бұрын
Umarufu kapoteza kwako
@rolencevedasto1009
@rolencevedasto1009 3 ай бұрын
Kuna watu hata shetan anaogopa, Muogopeni Mungu hata kidogo Kuna kipind alitoa kauli kama hii mkambeza kilichotokea Kila mtu anajua
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 3 ай бұрын
Naomba uondoe hofu MUNGU alie kuweka hai atakulinda hakuna baya litakupata
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 3 ай бұрын
CCM WAMEMUONGEZEA UMARUFU LISSU MARA DUFU
@tumainielimwakiyambe6801
@tumainielimwakiyambe6801 3 ай бұрын
Hao ndo walio lipwa kumtukana lissu kama ameishiwa sera mbona unamfatilia amewashika pabaya atawanyosha2
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 3 ай бұрын
Utuonyeshe tuwanyoshe majambazi hao
@KashinjeShija-rk9fv
@KashinjeShija-rk9fv 3 ай бұрын
Pole sana mwamba waumbue mapema wasije wakakupiga tena hao wasiojulikana
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Maccm yanataka kuongea unafiki tu kama wakina Makonda na maccm yote. Wewe unayesema ukweli hawapendi kabisa. Maccm haya yote ni wabaya sana na mafisadi wakubwa. Wanadhani kuwa Tanganyika ni yao tu sisi wengine ni watumwa wao.
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
Makonda
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
Kumbe Magu alisingiziwaga??????????
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Wanautulivu kwa kunyanyasa watanganyika wengine. Wameuwa watu wengi sana. Damu ya mtu inalilia Muumbaji Mungu. Kama ya Abili ililia ya mtu ye yote itamlilia Muumba tu na watakiona walichokiona wakina Farao na mafasisiti wengi wa kare. Mungu yupo hata hspa anawaona.
@erickonsongomollel8391
@erickonsongomollel8391 3 ай бұрын
Mungu akulinde rais wetu
@silasponeka1773
@silasponeka1773 3 ай бұрын
Waonyeshe tu live .
@KombeSinyangwe
@KombeSinyangwe 3 ай бұрын
Mungu yupo na wewe kiongozi
@KashinjeShija-rk9fv
@KashinjeShija-rk9fv 3 ай бұрын
Tema uozo wote usiogope
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 3 ай бұрын
Hao watashindwa tu mpango wa Mungu mpaka utimie
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 2 ай бұрын
Uowoga wako 2
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Alipokuwa akisema wakati ule mlisema hivyo ni muongo, je alikuwa anasema uongo? Au ninyi ndiyo mlikuwa mmetumwa kummaliza? Wewe Lissu angekuwa ndugu ungeongea hivyo? Ubinafisi unawamaliza watanganyika na ndiyo sababu hatujitambui. Wazanzibar wanajitambuwa na mnaweza kutawaliwa na Zanzibar kwa sababu wajitambuwa na wanapendana.
@SamwelSospeter-lz9fm
@SamwelSospeter-lz9fm 3 ай бұрын
Acha utoto wewe jamaa nchi zingine watu wanaingia msituni kusaka madaraka wewe unaona gari nursing zikipishna na wewe barabarani wanakufuatilia sasa kwa uoga huo tutakupaje hiyo nafasi daaah hufai kabisaaa aisee
@lgf7297
@lgf7297 3 ай бұрын
Na wewe hujatoa ripoti hata siku moja, unasema barabarani tu. Hii ya kufuatwafuatwa ni wasiwasi wako tu?
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 3 ай бұрын
nchi hii haina amani aman wakipiga wasisemwe ccm hawa kuna mda mungu atawanyosha mda wao ushafka bila hivo madarakani hawaingii kuna amani wapi hapo mauongo yao wanaokufatilia wapate ajali wao mungu akupiganie
@SomoKidawa
@SomoKidawa 3 ай бұрын
Huyo mwamba hapo ameondoka kidogo kidooogoo veeeeep
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 3 ай бұрын
Lakini nao wajijue kuwa wanaweza kufa kama mtu mwingine yoyote kwa hiyo waache
@johngibson3089
@johngibson3089 3 ай бұрын
Lissu ni zaidi ya wagombea wote wa urais TZ
@KhamisKhamis-w1q
@KhamisKhamis-w1q 3 ай бұрын
Ww bingwa wa kutukana mama Samia serekali inamkondo mrefu punguza kumtukana raisi
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 3 ай бұрын
Sema kwa jeuri hivyo, Mungu anakuona utakufa kabla yaLisu unaongea ujinga na bhangi kwenye mambo magumu kama haya. Watu wakisema ukwei wanatukana, kumtwe Kuna shida.
@tumainielimwakiyambe6801
@tumainielimwakiyambe6801 3 ай бұрын
Aseme matusi ya lissu
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 ай бұрын
😂
@geofreatumbo4543
@geofreatumbo4543 3 ай бұрын
Wewe hutatangulia kama magu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 ай бұрын
Bado unaishi kwa Hofu eee si urudi bc hukoo
@jacksonmsola154
@jacksonmsola154 3 ай бұрын
Acha siasa unasemaje watu wasiojulikana wakati unasema umewaona,unahisi Kila mtu ni akili ndogo why usiwakamate tu au waoneshee tu wananchi mh!
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 3 ай бұрын
Mbona una wasi wasi? Au ni wewe?
@EagerBirthdayCake-zh8xb
@EagerBirthdayCake-zh8xb 3 ай бұрын
Tunduu achaa ogaa uoo... Watu wapo kazini kama Wewe unayefanya Kazi ya Mabeberu. Tuliaaa Nyaambaff...!
@mgungulem3187
@mgungulem3187 3 ай бұрын
Tumeshakujua ni wewe
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 3 ай бұрын
Huna roho ya huruma
@BarakaSagamba
@BarakaSagamba 3 ай бұрын
Kabisa mteule watu tupo kazini kama yeye anataka tumuambie nn . Na yeye atuambie anachoambiwa na mabepari
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny 3 ай бұрын
Mungu akulinde lissu
@jacksportman5181
@jacksportman5181 3 ай бұрын
Kampeni ni Gari wakati waliedai alimshambulia ameshatangulia mbele ya haki yy amebaki Sasa badala ya kuweka mipango ya kuleta maendeleo anatumia shambulio kutafta huruma ya wananchi,kibinadam tunakurumia ila kiuongozi umeishiwa ajenda mheshiwa ⛷️
@tumainielimwakiyambe6801
@tumainielimwakiyambe6801 3 ай бұрын
Ndugu yangu acha roho mbaya kwa binadamu mwenzio je angekuwa ndugu yako unajisikiaje?
@tumainielimwakiyambe6801
@tumainielimwakiyambe6801 3 ай бұрын
Tundu lissu ni mwamba ndo maana humuachi kumfatilia kila kukicha amewashika vibaya kama mtu hameishiwa sera wa nn kumfatilia kwa mfano mm siwezi maliza bado langu kwa kuwasikiliza ccm cwezi
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 ай бұрын
Asiongee ukweli au na ww upo kwenye kundi
@jacksportman5181
@jacksportman5181 3 ай бұрын
@@tumainielimwakiyambe6801 hana maajabu amefilisika kisiasa sera za kumtembeza gari🤔
@gmarwapanoceanictz
@gmarwapanoceanictz 3 ай бұрын
acha siasa. badilisha kazi.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 43 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 75 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
MOTO WA TUNDU LISSU MAKYUNGU HABARI NYINGINE JIMBONI KWAKWE WAMLILIA
49:16
TUNDU LISSU ATOBOA SIRI ABDUL KWENDA KUMUHONGA
4:22
Chadema Media TV
Рет қаралды 19 М.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 43 МЛН