Рет қаралды 1,251
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewasilisha leo Juni 13,2024 bajeti ya Trilioni 43.5, tumefanya uchambuzi wa bajeti hii:
Uchambuzi wa Bajeti 2024/25:
Kikokotoo shangwe baada ya kuongezwa kufikia asilimia 40 kwa asilimia 35
Kamari, vileo, urembo, na vinywaji baridi kugharamikia bima kwa ajili ya watu wasio na uwezo, katika mpango wa bima ya afya kwa wote;
Watengeneza maudhui kukatwa asilimia 10 ya mapato yao; yaani mtandao husika kuzuia asilimia 5, na mtengeneza maudhui kuwasilisha asilimia 5
Serikali imeamua kujifunga goli kwenye gesi na mafuta?
*Gesi kwenye magari kuwekewa tozo ya shilingi 382
*Serikali kutaka kupata 'faida' kwenye kupanda na kushuka kwa bei ya mafuta
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.