Ulaya, NATO wachukizwa na kitendo cha WAZIRI mkuu wa HUNGARY kukutana na PUTIN jijini Moscow

  Рет қаралды 17,945

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

6 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 43
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 4 күн бұрын
NATO nao ni wanafiki,wamechukizwa nini wakati wao ndio waliomtuma?,au hawataki tujue kama wamemtuma?
@user-es7jn7cp5d
@user-es7jn7cp5d 4 күн бұрын
Asante kaka kwa tarifa hii Mambo nimagumu funguo ya amani iko Washington na London, Bellini na paris
@Gulfnas1
@Gulfnas1 4 күн бұрын
Washington pekee ndie mwenyew mana ndo boss wa show upande wa Ukraine
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 4 күн бұрын
Hapa Amani itapatikana
@user-oy2ui7rj8v
@user-oy2ui7rj8v 4 күн бұрын
Waziri Mkuu Victor wa Hungary ndio mwenye Akili nzuri Ulaya nzima, abarikiwe na Mungu, wengine wote wanataka vita tu iendelee!!
@espoiraklonda8664
@espoiraklonda8664 4 күн бұрын
Wakwaza leo
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 4 күн бұрын
Wanatumwa na manyang,au wanaona aibu kusema Putin ni another page
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 3 күн бұрын
Orban is God fearing, vizuri kukataa unywaji wa damu wafanyavyo Nato
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 3 күн бұрын
Hili liwaziri inaonekana linakubarika sana
@FrankDavid-en6on
@FrankDavid-en6on 4 күн бұрын
Ukisikia divide nato ndo hii putin akili kubwa sana
@Gulfnas1
@Gulfnas1 4 күн бұрын
Huyu mwamba atawanyoosha eu na nato, yeye huwa yupo opposite nao
@MussaMtopelwa
@MussaMtopelwa 3 күн бұрын
Tunawa kubalisanaaa tukuludi kazini tuta enderea kuwachangia wana SNS unyama mwingi
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 4 күн бұрын
Asijali hangary atajiunga na nato ya putin
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 4 күн бұрын
🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🌹
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 3 күн бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 4 күн бұрын
Nato mashoga
@immashehemba9101
@immashehemba9101 4 күн бұрын
Tafta kitu ya kufanya utangazaj haukufai
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 4 күн бұрын
It's just passion.there many other stuffs to do😂😂.
@hamadihamisiambale8943
@hamadihamisiambale8943 4 күн бұрын
Mbna taarifa fupi haieleweki
@aftapat5365
@aftapat5365 4 күн бұрын
sasa utaelewa wakati bando lenyewe kulipata mpaka uunge unge taarifa mpaka ujue mwanzo wake
@Calis2451
@Calis2451 4 күн бұрын
Salam alk Wana fuse sns pls open the tweeter link and listern to what Biden said
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 күн бұрын
Putin afe
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 4 күн бұрын
Tulia we shoga
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 4 күн бұрын
Ww shoga ufe
@mangofish9079
@mangofish9079 4 күн бұрын
Bora afe baba yako na baba yangu kuliko Putin mpumbavu na shoga mkubwa wewe
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x 4 күн бұрын
Naona aibi imewakuta amtoi taarifa rasmi za izlael si mlisema awezi kushinda kwa kutumia nguvu ebu toeni taarifa na yule hamas kipara umwambie hamas wamesalim amri na wamekubali kuachia mateka wote ila sisi tunapiga bado mbaka tupande njegere pale gaza kama tulivyokubaliana mujamad ni nguruwe pori
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 4 күн бұрын
Yule jama ni mdini saza nahanachuki zidi ya uyaudi stori za hamasi kukubari matokeo hatapindisha pindisha kama yeye ndo kiongoz wahamasi
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 күн бұрын
​@@user-tq4lx9si1nHamtaki kuskia Ukweli Hata mkipewa ushahidi wa namna gn mtaupinga tu km vile shakua vipofu na viziwi
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 4 күн бұрын
😅😅😅😅😅​@@user-tq4lx9si1n
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 4 күн бұрын
Mtaishi kujifariji mpaka lini aibu sana israel imepigwa na wanamgambo wasio na siraha nzito kama wao,Hayajaisha ya Palestine anataka ajikanyage kwa hesbolah hamna kitu kwa mzayuni ruksa kujifariji.
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 4 күн бұрын
Izo tarifa zako kifua hua unatoa wapi Israel toka juzi 24 hours wana pigana na hamas na wamekutana na upinzani mkali mbaka sasa 18 wana jeshi wa Israel wamekufa
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 14 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 81 МЛН
Masoud Pezeshkian achaguliwa kuwa Rais mpya wa Iran
3:29
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 10 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
СЕКРЕТ AMG ВЫХЛОПА РАСКРЫТ #shorts
0:58
Мистер Глушитель
Рет қаралды 1,3 МЛН
Попрошайка на BMW😅 #shorts
0:42
PANKOV
Рет қаралды 4,6 МЛН
Wait for 2024 😮‍💨🚴 #bike #bikelover #cycling #exhaust #fy
0:23
The best iron agricultural products #Tractor #Agriculture #fyp #foryou
0:16
W truck driver #edit #trollface
0:20
TRET1
Рет қаралды 6 МЛН