Karibu katika sehemu ya pili ya ushuhuda wa aliyekuwa shehe,Omary Mnyeshani.Ushuhuda bado unaendelea fatilia mwendelezo.
Пікірлер: 67
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Jamani tuwaombee watoto wetu maana ulimwengu wa Roho una mambo ya kutisha asante kwa ushuhuda wako barikiwa
@theresiansumba47547 күн бұрын
00
@RajabKAMIS4 жыл бұрын
Usiwe na waswasi kwa sababu ya wasiokuelewa katika pande zote. Mungu wa kweli ni tofauti sana na tunavojuwa. Hata Saul hakuwahigi kujuwa kama Mungu wa Kweli atamtumiya. Kwa hiyo usijali watu wanavofikiri kuhusu wewe, kama ni watu wa Mungu wa Kweli watakuelewa mwishoni. Napongeza sana ujasiri wako Omari. Hayo yote ni mipango ya Mungu wa Kweli. Upitiye uzimuni kabla ya kuokoka ili uweze kutowa mafunzo rasmi kwa wana wa Mungu wa Kweli. Ni kweli kuwa katika mazehebu mengi bado kuna wajinga wengi tu wenye elimu ndogo katika kutambuwa mambo ya Mungu wa Kweli. Mungu wa Kweli ni tofauti. Halleluya!!
Nikama huu shuhuda niliusikia pale kwa Gwajima lakini hakufikia kueleza ni vipi aliachana na uchawi
@royjuma28514 жыл бұрын
kweli zimefanana sana.
@cyrusmusembi3283 Жыл бұрын
Aposawa ukweli
@alphaleahibrahim89044 жыл бұрын
daaaaaaaaaaah
@user-mc2xd4eu2p6 ай бұрын
Mpaka mtumie uongo kutangaza ukristo mm nilitegemea mtatoa maandiko kumbe alikua mchawi😂😂😂😂😂
@NduguEzekiel Жыл бұрын
Huu ndio uislamu sasa yaan ushetani wazi wazi tuwaombee ndugu zetu jamani...
@mwendwa4444 жыл бұрын
Wapi part 3
@glorymiko48644 жыл бұрын
Kila movie inamwisho wake.
@zanaalrijbi37834 жыл бұрын
@@glorymiko4864 😭😭KUMBUKENI SIKU YA QIYAMA KUNA HESABU .......NA WEWE USIJIITE KUWA ULIKUWA MUISLAM MAANA UISLAM UNAPINGA UCHAWI MAANA ULIKUWA UNAMSHIRIKISHA MWENYEZI MUNGU NA MAMBO MENGINE 😭HASBIYALLAHU WANEEMA L WAKIL ..... NINAKUOMBEA MWENYEZI MUNGU AKURUDISHE KATIKA NJIA YA HAQI KABLA HAKIJAKUFIKIA UMAUT ........
@lusekelomwinsasu3184 жыл бұрын
@@zanaalrijbi3783 uyo alikuwa sio mwislamu ila wewe ndo mwislamu saana hautaki uganga uslamu uongo wa nini wakina shehe sharif majini siyo waislamu na siyo waganga je ambao wanatangaza mitaani kuwa wanapandikiza majini wema na pete za majini siyo waislamu ila wewe ndo mwislamu hakuna kifungu ambacho kinakataza uganga ktk uislamu na je albadili ni kitabu cha wakristo ee
@user-lb1nb2ls9g17 күн бұрын
Dini ya shetani na majini yake.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Huu ushuhuda kama wa mtu aliyewahi kwenda visiwa vya comorro niliwahiwa kusikia sehemu sikumbuki ni wapi??
@iam_bunei Жыл бұрын
story za jaba
@maulidalyaaamiin462 жыл бұрын
Maisha ukristo hautobaki kuwa dini ya kweli.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Pole Ukristo ni ufuasi siyo dini,Usichanganye Yesu na Dini
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ukiwa Mkristo umemfuata Kristo aliyehai haujawa na dini na hautokiwa na dini kamwe,Usidhanganye Dini na roho zete,Tunamchanganya Yesu na Roho zeetu tui
@maulidalyaaamiin462 жыл бұрын
Quran imesema kwamba yeyote ambaye atakufa hali ya kuwa ni mkristo ataingia motoni milele jee ni wapi bibilia imetaja kua mkristo ataenda peponi
@maulidalyaaamiin462 жыл бұрын
Yani wakristo hawatofautian na wahind wanaoabudia masanamu Munasema kwamba ety yesu ni Mungu kama Mungu niwakuonekana angejionesha tokea mwanzo wa dunia ili aweze kuwakomboa waja wake wa mwanzo
@piustbosco.mwereria51934 жыл бұрын
Shehe
@mussaabobakar75374 жыл бұрын
Ehe endelen kutuga pat 3
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Was tahila anatunga???ndo yanayoendelea huko kwenu na mbaya zaid mmejiingza kwa wakristo Hawa wanaojiita mitume mnawapa hzo nguvu zenu lkn ashukuliwe mungu na mwanae wapekee mambi hadhalani
@maulidalyaaamiin462 жыл бұрын
Na nyinyi maisha yenu mshazoea kudanganywa mnaenda kanisani uchi kukata viuno ety ndo ibada zenu hizo ety ndo dini ya Mungu hiyo mbona ktk picha zenu zinazomuonesha Mariam mama yake yesu hamumvalishi kimini kama mnavovaa nyinyi.
@emylyanzile82624 жыл бұрын
Napenda sana usafiri wa aina hiyo ya fimbo
@joycekaphevemba72152 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@hamisimuhammad62252 жыл бұрын
Nanyny wakristo mnahongopewa hapo mh
@hamisimuhammad62252 жыл бұрын
Mpuuzi tu huyu
@ashuraniyonzima52144 жыл бұрын
Balikuwa sana lakini jama umeamuwa kumufwata Yesu kwanini unabaki kujitambulisha jina la shekh ?namavazi hayo kwanini?
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Hayo majna ni lugha tu, km lugha zngne, na haya ni mavaz tu km mavaz mengne mfano kwetu bukoba kanzu ni vaz la heshma sana
@beatricepallangyo28212 жыл бұрын
Mavazi na majina ni tamaduni na asili tu, havihusiani na dini japo wengi huamini hivyo
@fatumamohamed82033 жыл бұрын
Biashara zako na Hiyo mitungo yako Itasimama na ww mbele ya Allah, c makosa yako ni Huo uchawi ulio kujaa bado Akilini na Hao wachawi ndio wanao jifanya Mashekhe na kujifanya Ma Ustadh ili kuharibia jina na Uislamu, HASBUNLLAH WA NEEMAL WAKIIL, Naamini tu Allah na mtume wake na siamini chochote unachosema, Allah tu ndie atakae kuhukumu, na kukuongoza wewe.
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Mbona povu🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉 we taila nn, ongea mpk kichina au kipalestina usiongee kialabu tu, mambo yenu yako wazi Sasa hv toka huko kwa uislam acha ubshi yesu ni mwokozi na bwana wa mabwana mtume wenu yuko chini ya YESUKRISTO kataa ukubali, anasubr sku ya mwisho kufufuliwa na kupelekwa motoni nawale wataokua bado wamekomalia kwake njo kwa yesu mnaumbuka vibaya
@paulagola9193 жыл бұрын
Allah si ndiye anayemwongoza anayependa kumwongoza na kutomwongoza anayependa kutomwongoza...si shetani huyo kwa maana utakuwa unajiona umeshika dini kumbe ikifika tu karibu uingie peponi anakuja malaika mwenye hatima yako anakuambia ww ulikuwa umeandikiwa motoni 🤣🤣
@da-beebeztzhb93512 жыл бұрын
We ujasoma dini fatuma Mohamed tulia hyo dini ndo ilivyo ww
@trophywilson72112 жыл бұрын
Si bora yeye aje asimame mbele za haki??
@trophywilson72112 жыл бұрын
@Chiemcee Izzy tena nzuri saana ilimuondoa gizani sasa yuko nuruni,Tengeneza yako uende Promover tukusikilize