Masha Allah sheikh Allah akulipe Kila heri hapa Dunia na kesho akhera SHEIKH umezngumza ukweli mtu na huu ndio msimamo wangu
@NasraNasra-l9q Жыл бұрын
Jamani ndugu zangu ktk imaan. Me imekuja tu fikra kuwa, tofaut kubwa za masheikh wetu sababu ni kwamba: 1. Kila sheikh anataka kuwa na msikiti wake tofauti na tunavofaham kuwa misikiti yote niya Allah subhaana-llahu wata'aalah, sasa imekuwa msikiti huu ni wa sheikh fulaan. 2: kila sheikh anapambana amiliki tv yake na baadae mawaidha na darasa anazozitoa kuzirusha kwenye tv yake mwenyewe 3: elimu, juu yake kila sheikh anajikweza kwa elimu aliyonayo na kumshusha mwingine, hali ya kuwa uislaam haukufikiswa hivo na mjumbe wa ALLAH, Muhammad (s a w) . Uislaam unatuelekeza kupendeleana mazur tunayoyapenda na mashujaa wetu walioipigania dini ya ALLAH ndivo waliish. Na hayo ndo yamesababisha mgawanyiko ktk uislaam kutokana na ubinafsi kila sheikh amekuwa na watu wake wanomsikiliza kumkubali. Jaman masheikh wetu kumbuken ikhtilaf zenu ktk ufikishaj wa elimu imekuwa chachu kubwa ya kukaribisha maadui wa uislaam na kuwapa nguvu ya kuusaema vibaya uislaam. Namuomba ALLAH awakumbushe pale mlipo sahau na awafungamanishe juu ya kuuwendeleza uislaam ili siku ya kiama tukasimame na kipenzi wetu Muhammad s a w tukiwa wamoja Insha'Allah Aamiyn. Naomba radhi pale nilipo teleza.
Akidanganya lazima awekwe wazi kwamba ni jitu jilongo ili watambue
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Angekua mkweli angetupa dalili kua tarehe tisa dhulhijja inaitwa Siku ya Arafa. Lkini hana analalamika na kupiga kelele tuuuu
@NasraNasra-l9q Жыл бұрын
We dalili unazijua lakin?
@JRN2612 Жыл бұрын
Maashallah sheikh unaeleweka vizuri sana. Allah akuhifadhi
@Abdulrahman.84 Жыл бұрын
Shukran wajazaka allahu kheir Sheikh Mubarak Awes .. wewe wa ongoza kuliko hawa Mashekhe wa ki Wahabi .
@AbubakarJuma-fp8fb Жыл бұрын
ALLAH AKULIPE KHER KWA JUHUDI ZAKO KATIKA KUTUELIMISHA NA ALLAH AKUSAMEH KAMA UKIKOSEA KATIKA KUTUPA ELIMU
@makameomar9229 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh Mbarak umesem kwel na hakuna shaka juu ya hili
@mariamkai2705 Жыл бұрын
Mashallah kwel kabsa
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
❤❤❤shukran sheikh wetu Allah bartik
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
mashallah ustadh yaaumry
@emuthree Жыл бұрын
Elimu ni bahari...tuendelee kuwasikiliza mashekhe wetu, sie ambao elimu zetu ni za benedera fuata upepo. Tusikilize tusome , tuelemike bila kubishana kwa jaziba au kuwaona mashekhe zetu hawajui kwa vile wamenena kinyume na shekhe wako. Shukurani shekhe wetu,
@AbdullaHaji-y9k Жыл бұрын
InshaAllah tutafuata mate ndo ya mji wetu mtukufu makkah na matendo ya huko. Na tutafuata tarehe za huko Makkah kwenye mahujaji
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@mubarakbawazir3952 Жыл бұрын
Sheikh upo sahih, imefahamika ila tu masheikh wamekuwa wengi na Kila. Moja ajifanya zaidi hii elimu wajuzi wengi na ni sababu ya mitanda wazi wazungu wanatugawa hasa furaha Yao ni mfarakano wetu
@MrishoNassoro-qw6bf Жыл бұрын
Barakallah
@hajiharoub8125 Жыл бұрын
Nakukubal 100% Maana hayo mambo ya mitandao ndio yanayopotosha ikigoma Leo Tu kuwa hakuna mawasiliano jiulize utafuata nini kama sio muandamo wa mwezi
@abuusuhaibmchumi6509 Жыл бұрын
Hili suala halihitaj kuzunguuka sana wewe utaulizwa kwa mujib wa ulilofanya na suala la ibada ni mastaatwaa sasa km hujajua km wamesimama kwasabab ya mtandao hap utafanya kwa mujib wa mwez hujui nahuna kosa ila jiulize unaona mtandao unafany kazi hv utakuw na hoja gani km hukufuata unachokiona jiepushe kukutana na suala ambalo unalijua na hukutekeleza.
@ttyyyyuuuuuu Жыл бұрын
*Arafah:* Ni pahali pako Maka panaitwa Arafah na hapo liko Jabali linaitwa Arafah au kwa kina jengine Jabal Arahma na mwaka mzima liko na pahala pako *Yaum Arafah:* Ni tareh tisa Dhul Hija ni siku inaitwa Arafah kwa wanao hiji wanatakiwa siku hio waweko pahala hapo ambapo panapoitwa Arafah, ni katika nguzo za Haji huko na waliokuwa hawahiji siku ya Arafah yaani tareh tisa Dul Hija ni suna kwao kufunga. Kuita tarekhe kwa kitendo au tokewo ni kawaida, kama vile Aam Al Fill (Mwaka wa tembo), yaum nahar (siku ya kuchinja,) ayam tashriq, ayam tasii, yawm tarwiya, ayam biydh, aam huzn n.k. *Vitu viwili tafauti baina pahala na tarehe na kila pahala pana tarehe yake haitangulizwi wala hairejeshwi* Haikuthibiti Kuwa Mtume (ﷺ) baada ya kuhamia Madina alikuwa akipeleka wajumbe Maka ili walete habari ya Mwandamo wa mwezi wa Maka ili na wao wafate Mwandamo wa Maka na wapate Arafat Moja, pamoja na Maka na pia haikuthibiti alipokuwepo Maka au alipohiji alikuwa akiwapeleka wajumbe wake katika Miji ya karibu kama Madina au Ttaif ili awape Waumini habari kuwa wafate mwandamo na Arafah ya Maka. Aliyekuweko katika nchi amabazo zimechelewa kuona mwandamo wa Mwezi basi si vibaya ikiwa atafunga siku ya tarehe nane ya Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya tarehe 9 ya Maka yaani ni siku ya Arafah ya Maka kisha akakamilisha kufunga siku ya Tarehe 9 ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya Arafah kwake. Lakini muhimu asifunge siku ya yarehe 10 Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo ni siku ya Idi kwao.
@maftahmusa9513 Жыл бұрын
Tatizo ya huyu shekhe anajichanganya wala haelewki
@RashidiHaruna-qz3vo Жыл бұрын
mashaallah
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Namnasihi huyu ndugu yetu Dr. Awesi aende kwa Shaykh Al Ahdal akajifunze "Uadilifu wa Kielimu ".Ili aachane mawaidha ya kuchochea malumbano na kuufarakanisha umma.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Жыл бұрын
KUNA TOFAUTIGANI MAELEZO YA DR MBARAK NA SHKH AL,AHDALI ? . MBONA QAULIZAO NISAWA !. TENAHUYU DR KAZIDISHA USHAHIDI WA SASA MA WAZAMANI, TUPIMENI MANENO YAKITOLEWA, HAJATOFAUTIANA NA SHKH AL,AHDALI. AFADHALI SHKH KISHKI KATOFAUTIANA NA SHKH AL,AHDALI NA DR MBARAK.
@JRN2612 Жыл бұрын
Wewe ushaenda? 😂😂
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Mtu na akili zake anauliza siku ya arafa lini haya masuali mengine aulize mtoto
@omarabedi1372 Жыл бұрын
Mmepewa hadi ushaidi badotu mnafata maka yie mnafata mkumbo amfati suna za mtume muache ujahil
@@munirriyamiy4194 funga ya sku ya arafa yafuta dhamb za miaka miwil uliopit na ujao kilichozngatiwa hapa kitendo cha mohujjaaj wanpokuwepo viwnjan kutikana na umuhmu wa siku hii sis tusioenda tumesuniwa kufunga ,alhamdu lillaah kwa sasa vitendo naviona na mim nafunga siku hii allaah taala atupe taufik
@munirriyamiy4194 Жыл бұрын
@@MohammadJumah-qk2xc Ahaa kwaivo hoja yako kubwa ni mitandao,Sasa wakati wa Mtume s.a.w.,maswahaba,mataabiina na waliofuata baada yao hawakua wanapata fadhila kwa kufuata miandamo yao ya mwezi.? Kisha hujanipa dalili bado Mtume kasema mwezi 9 wewe unasema mahujaji wakiwa wamesimama arafa unawaona tumfuate nani ? Na aliesema kua funga na arafa zinafungamana ni nani? Funga inaanza inapoingia alfajiri ya kweli arafa inaanza baada ya adhuhuri ni vitendo viwili tofauti. Arafa ni kwaajili ya mahujaji na funga ni kwaajili ya walio nje ya hijja.
@MohammadJumah-qk2xc Жыл бұрын
@@munirriyamiy4194 kama wew umetambua hivyo ndugu tekekeza na namuomba allaah taala akupe kher na mm nimeridhika na hili pia namuomba allaah taala anipe kher kwan huu sio mda tena wakulumbana kwa sbbu ninalo lisimamia mim kauli zipo , lau kama unapinga uniambie na ndo maana nilisema mim nafata kauli yenye nguv kwa sbb zot hizo nzijua , allaahu subhaanahu wataala atupe taufqi
@munirriyamiy4194 Жыл бұрын
@@MohammadJumah-qk2xc hahaha sasa naona unataka kuchomoka hujajibu maswali yangu na unakimbilia kusema umeridhika na unachokifuata sasa unafuata jambo bila kulielewe na hujanipa hoja yoyote unasema linadalili nzito mbona huzitaji na unajua Allah haabudiwi kwa ujinga na wakati wa korona watu walifunga kwa kumfuata nani ?😂
@achiwaachiwa3425 Жыл бұрын
Sheikh tumekuelewa lakn toa hoja na uelesee udhaifu wa upande wa pili ili tukae sawa. Maana wewe umetoa hoja na upande wa pili kuna hoja tena nzito
@HabibuUrasa7 ай бұрын
kwahiyo mahujaji hawajui mwezi tisa,
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
الأدالة العلمية.
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Hatudanganyiki tusha elimika alhamdulillahi
@abdulrazakali6726 Жыл бұрын
Ww hujui kasome kwanza
@binfaki Жыл бұрын
Siku duniani ni moja tu Kwanini tunagawana mwezi wangu na mwezi wao very sad 😞. Quran iko wazi na hadithi za Mtume ziko wazi. Masheikh wetu hawa wanapenda kugawa waislam kwa hawaa zao
@amourmohamed1344 Жыл бұрын
Kweli siku ni moja. Lkn nyakati ziko tofauti. Ndio maana kwa wengine ni mchana na wengine ni ucku au jioni au asbh
@nassleydady5783 Жыл бұрын
Shekhe iyo sio hoja uko nyuma kulikua hakuna dini watu walikua hawabud mungu mbna ww saiv unamuabud mungu km tunafat nyuma t cha mwanzo fuata mtume alicho fundisha
@JRN2612 Жыл бұрын
Pumba hiyo yako, hata hiyo mifano haihusiani asa😅😅😅
@nassleydady5783 Жыл бұрын
Itakua hukumuelew shekh ndio man nokatoa mfano wa kule alikogusia yy
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Жыл бұрын
UZURI NIKWAMBA ANANUKUU VITABU NA MAULAMAA NA DALILI ZA UHAKIKA. ILA NIKAWAIDA KILAMKWELI ANA WAPINZAMI NA KILA MKOROFI ANAE WAFUASI, HII NI KAWAIDATU KTK MAISHA.
@ahmedabdalla48367 ай бұрын
Awesome awesome awesome ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️😂🎉😮😅
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Жыл бұрын
HAPA KUNA UISLAMU ASILI NA UISLAMU WAKISASA WA TV REDIO NA SIM. INAMANA SASAIVI ATA EDA KWAWANAWAKE ITATOLEWA. MANA KILICHO TUMBONI KIKIPIMWA KINAONEKANA, KAMA HUYU HANA MIMBA BASI ASIKAE EDA , AU SIO ?