MBOWE- "WANAOKOSOA SERIKALI WANASTAHILI KUFA! HATUTAJENGA NCHI KWA BUNDUKI"

  Рет қаралды 204,092

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 178
@paulinebogohe9182
@paulinebogohe9182 6 жыл бұрын
toka umeongea ni point mwanzo mwisho, hongeraaaaaa sana
@mzeedeokessy4539
@mzeedeokessy4539 4 жыл бұрын
Yuko vizuri sana full busara
@geofreybernard7313
@geofreybernard7313 6 жыл бұрын
Mbowe upo vizuri sana,Msema kweli waambie wagonga meza kila kitu ndio mzee
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 6 жыл бұрын
Unahekima sana Mh Mbowe
@afredyohana356
@afredyohana356 4 жыл бұрын
Uyu kaka aisee yuko vzr sana Na amelelewa kwenye kumcha Mungu yani hataongea yake ipo kihekima zaid
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 жыл бұрын
Tunashukuru sana Mwenyez Kutupa Watu kama Mh.Mbowe ✊🙏
@mwengimgare5967
@mwengimgare5967 4 жыл бұрын
Mbowe mm na wananchi wote tunakukubari sana kiongozi
@charlesmurimi592
@charlesmurimi592 5 жыл бұрын
Kweli mkuu, mungu wetu ni mwema na anakuona daima
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Tunaomba katiba mpya
@dausonjohn9298
@dausonjohn9298 4 жыл бұрын
Kama umemuelewa mbowe gonga like tujuwane
@mkamanabasabyona7675
@mkamanabasabyona7675 4 жыл бұрын
So simple kutomwelewa jamaa huyu unless otherwise umeweka pamba masikioni, and ur coward
@ephraimrichard6701
@ephraimrichard6701 4 жыл бұрын
Geneous 👍💪
@jovinruhinda2966
@jovinruhinda2966 4 жыл бұрын
Uwa nakuita Kamanda wa Anga. Big up Mh Mboe
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 5 жыл бұрын
Hongera sana.umenena kweli
@bahathigeofrey1617
@bahathigeofrey1617 6 жыл бұрын
Nice one Mbowe
@calvinkitaly9376
@calvinkitaly9376 4 жыл бұрын
Baba yetu Wa heshima
@bahathigeofrey1617
@bahathigeofrey1617 6 жыл бұрын
Nyie wabunde watatu leo mmenifurahisha kwa kukututetea sisi wanyonge Mungu awabariki Selukamba, Bashe,na Mbowe hongeren sana kweli mnajitambua kuwa mmetumwa na wananch,Mungu awatetee maishan mwenu
@mwesigepaulo4308
@mwesigepaulo4308 6 жыл бұрын
mm.kakama.chadema.ikovizuli.sana
@eliasayahaya2560
@eliasayahaya2560 6 жыл бұрын
Safi sana mbowe
@andersonnyahove2867
@andersonnyahove2867 6 жыл бұрын
Mbowe ndo maana nakupendaga bure. You deserves to be an opposition leader najua hotuba zako watu wanazirudia rudia kuziskiliza syo kwa sababu wanakupenda ila zinawachoma unatoa darasa kiukweli safi sana
@isackmwaluko113
@isackmwaluko113 5 жыл бұрын
Mchungaji akisema kanisa langu au mwalimu akisema shule yangu..au dereva akisema gari yangu japo siyo gari yake au mwenyekiti Wa kijiji akisema kijiji changu nakiongoza vizuri !!!kwani kuna ubaya ganiiiiii????mnakwazika na nini!!! Mmesalenda tu..
@khamiskangomba3636
@khamiskangomba3636 5 жыл бұрын
Anderson Nyahove 🙏🙏🙏
@deomlope1648
@deomlope1648 4 жыл бұрын
Dah anaekosoa haya maneno n mjinga hana akili tenda mpumbavu Kweli inauma kweli inajenga
@philipoalphoncempeba5980
@philipoalphoncempeba5980 6 жыл бұрын
I understood Mr mbowe,.
@bahathigeofrey1617
@bahathigeofrey1617 6 жыл бұрын
Saf sana Mbowe ukweli ndo maendeleo y nchi, mututee huko huku mambo n magumu sana
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 жыл бұрын
Mbowe ni jeshi la mtu mmoja!
@ibrahimwapili8851
@ibrahimwapili8851 6 жыл бұрын
Kweli mandeleo sio magorofa ya Dar Maendeleo nimaisha ya wananchi
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Hapo ndipo tulipo fikishwa, Ndugai anamihemko ya kimalaya malaya udhaifu wake anauonesha wazi kama yupo piriod hafai hata kukalia kiti cha uspika. Na anastahiki apigwe marufuku Dunia mzima asisafiri nchi yeyote.
@bahathigeofrey1617
@bahathigeofrey1617 6 жыл бұрын
Bashe, Selukamba, na Mbowe bila kujali itikad y chama hebu tutefeen huko huku mambo n magumu sana
@saidramadhan5396
@saidramadhan5396 4 жыл бұрын
Hilijamaa likiongeaga wote kimya
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Anajua sana na ana speech ya kiuongozi.
@amenyemwansile7943
@amenyemwansile7943 4 жыл бұрын
Hongera sana Kaka mbowe huwa nakukubari sana mzee msema kweli ni mpenzi wa Mungu Mungu akusaidie na kukubariki
@geofreyisaac7077
@geofreyisaac7077 4 жыл бұрын
Naona watu wenye facts wakiongea minyoo inatulia kama inanyolewa
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 6 жыл бұрын
Mungu akubariki Mbowe
@jisephmaganiko3859
@jisephmaganiko3859 6 жыл бұрын
Mbowe nakuelewa sana kamanda
@dominicmawala5614
@dominicmawala5614 4 жыл бұрын
Hua sikuelewi lkn hapo kwelii umeongea kisomi kwa busara na bila mihemko yenu yakisiasa. Tanzania kwa kipndi kirefu hatuna utekelezaji wa Sera ila ni mabingwa wakutunga sera
@chessmikausho5048
@chessmikausho5048 5 жыл бұрын
Mungu akulinde sana wew kamanda mpandaji wakwel
@madarakachristian4963
@madarakachristian4963 6 жыл бұрын
Ongera saana mh mbowe
@stevenbandoma5661
@stevenbandoma5661 6 жыл бұрын
Hongorani xna wambunge wangu kwa kutimiza majukumu yenu
@erickkipenya5801
@erickkipenya5801 4 жыл бұрын
Kweli mbowe upo sahihi
@esnartkalive4872
@esnartkalive4872 4 жыл бұрын
Baba mbowe huwa najiuliza sanaa hivii ww na mbatia ni baba mmoja maana kama vichwa vinaelekeana
@khadijaabdalla1011
@khadijaabdalla1011 6 жыл бұрын
crafted in tz modified in Uganda and implemented in kenya
@papawaroma
@papawaroma 4 жыл бұрын
Hapo ni kweli Ndugu Mbowe.
@ramadhanmanko4614
@ramadhanmanko4614 5 жыл бұрын
Safi mzee
@paulnsemwa8692
@paulnsemwa8692 6 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@afyanauchumionlinetv109
@afyanauchumionlinetv109 6 жыл бұрын
I salute you Mr MBOWE
@ludewayetutv
@ludewayetutv 4 жыл бұрын
Duuuuuhh safiii sanaaaa
@willygamba5608
@willygamba5608 5 жыл бұрын
Safi sana kamanda mbowe uwa haukoseagi
@boniphacejonas4109
@boniphacejonas4109 4 жыл бұрын
Yaani mbowe ukiwa unaongea hakuna nyumbu wa kusema anataka kusema taarifa huwa wanakaa kimya kuchukua point hongera sana
@jakobodeus9522
@jakobodeus9522 3 жыл бұрын
Lisu mbowe nawapenda
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 жыл бұрын
Serikali yangu... Hongera kamanda kwa maneno ya hekika mno.
@amirimsuya9531
@amirimsuya9531 5 жыл бұрын
hongera mbowe
@prosperjohn6
@prosperjohn6 6 жыл бұрын
maneno ya hekima
@gastordominic410
@gastordominic410 5 жыл бұрын
Daaah kumbe two years agoooo
@peterakiyoo4405
@peterakiyoo4405 4 жыл бұрын
GOOD MSG
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 4 жыл бұрын
Daaa.nakubali sana ngano hizi
@alhajimbaga4062
@alhajimbaga4062 5 жыл бұрын
Kilimanjarooo hoyeeeeee
@erickpallangyo1325
@erickpallangyo1325 5 жыл бұрын
kwelikamanda
@lulungachinja7158
@lulungachinja7158 5 жыл бұрын
Kamanda wa anga nakukubali mzee baba.
@martinakyoo148
@martinakyoo148 5 жыл бұрын
Kwa kujenga hoja Mh Mbowe hakuna wa kubisha kwamba toka nafasi ya kiongozi wa upinzani iwepo nchini hakuna anayekufikia. Serikali ni ya Magufuli na sio ya CCM huu ndio ukweli na bora andelee tu kuchapa kazi kwa namna hiyo maana waliotumia neno serikali ya Ccm sioni walichokifanya. Hivyo tuangalie kazi nasio hoja na kasemaje.
@paulinasamweli5101
@paulinasamweli5101 4 жыл бұрын
ok
@isayasamweli7827
@isayasamweli7827 5 жыл бұрын
Wanyama
@mussamdetele5728
@mussamdetele5728 4 жыл бұрын
Sema ukweli mzee mbowe .
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 жыл бұрын
Preach it Mh. Mbowe
@henrykanyika4066
@henrykanyika4066 6 жыл бұрын
Wabunge wa ccm wangekuwa kama bashe hakuna haja ya upinzani
@athumanmadua7188
@athumanmadua7188 4 жыл бұрын
Sahihi Mhe Mbowe
@allanmwambungu452
@allanmwambungu452 2 жыл бұрын
Mpaka ufe ndiowatakumbuka unachosema maana ndodesturi yetu.
@fabiolapanga8680
@fabiolapanga8680 3 жыл бұрын
🤝🙏🙏
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 жыл бұрын
Naona wzr mpango na naibu wake kijaji wametulia wapate walau moja lakutoka nalo hapo darasani.
@boniphacejonas4109
@boniphacejonas4109 4 жыл бұрын
Point Kama zote
@mudylibrary6194
@mudylibrary6194 4 жыл бұрын
Ongera kamanda
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
Mbowe nilikuelewa sana mwanaintelijensia
@kainlangson7482
@kainlangson7482 5 жыл бұрын
mbowe nakusifu sana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja tatizo lako ni uwizi wako katika mali za chama chako
@philemonnestory3216
@philemonnestory3216 6 жыл бұрын
Naamini katika upinzani mbowe big up saana
@robathzingu1650
@robathzingu1650 5 жыл бұрын
Ni mchango wa miaka mi2 iliyopita, lakini naona kama ndiyo kweli yanatokea after two years past!
@mkamanabasabyona7675
@mkamanabasabyona7675 4 жыл бұрын
Ka ya Jana iv...dah Mungu wabariki wasema kweli
@samaiteshuwaka2560
@samaiteshuwaka2560 4 жыл бұрын
Jamaa akihhutubia kdgo watu wote makiniiii inaonekana ni jinz gani mbowe anavyoongea point baba mungu akupe afya njema ili kuweza kutetea nchi hiii
@gastordominic410
@gastordominic410 5 жыл бұрын
Mh umeongea vzr xana
@benitamart8056
@benitamart8056 6 жыл бұрын
Maneno mazito na sauti yenye mvuto wa uongozi mbowe uko jicho la taifa.
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Tunaomba katiba mpya
@kayongooba8984
@kayongooba8984 3 жыл бұрын
Xhikamoo mboweee
@barnabaskipengele6876
@barnabaskipengele6876 4 жыл бұрын
Ushauri Siku zote sio lazima utekelezwe /Pia usiletee hoja ambazo majibu umejipangia mwenyewe!.
@lisauroble31
@lisauroble31 4 жыл бұрын
Mbowee unapointi zakuongea nakupa big up
@yusuphmwampashiamen1528
@yusuphmwampashiamen1528 6 жыл бұрын
Bigap xana mkuu wangu nakukubari xana
@yunussilayo1771
@yunussilayo1771 4 жыл бұрын
Mbowe unaongea utumbo kusema serikali yangu hamaanishi ni ya kwake nisawa unapo mtuma mwanao chumbani kaniletee kiwi chumbani kwangu kwani icho chumba ni chakwako mwenyewe? katumia tafsida
@balluabdul8396
@balluabdul8396 4 жыл бұрын
Acha ujinga ww, haiwez kua serikali yke
@daudpius3075
@daudpius3075 5 жыл бұрын
Mbowe unafaa kuongoza nchi hiiii
@fabiangesimba283
@fabiangesimba283 4 жыл бұрын
Mapezi
@josiahpaulo1562
@josiahpaulo1562 6 жыл бұрын
safi sana mboe uko saw wambie ukweli
@emmanuelmwitathomas834
@emmanuelmwitathomas834 4 жыл бұрын
Mimi nahisi kuwa upinzani mumenda bungeni for nothing coz sometimes mwaweza toa ideas but kuna kuto sikilizwa
@principiusndyakohai5998
@principiusndyakohai5998 4 жыл бұрын
Those with ideas have no power and vice versa
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 4 жыл бұрын
Stop playing with semantics. UKweli ni huo! Woote muna tabia ya kijizi tu! Wewe mwenyewwe CHADEMA umeisaidia nini mbali na kutumia pesa zote na inner circles! Nani amekosoa akauwawa? wewe mwenyewe ulipo hapo unakosoa, nani kakuuwa? Tutofautishe matusi na kukosoa. Mukizungumza munajionesha kuwa na busara wakati mitaani tunawajua ni wapigaji na tabia za kifilauni!!
@pamphilherman2913
@pamphilherman2913 4 жыл бұрын
Mungu akujalie nguvu mbowe maana nchi hii mafisadi wamejaaa
@fitinankalango850
@fitinankalango850 5 жыл бұрын
Kuhusu private sector hapo nimekuelewa mh. Mbowe sheria zinazotungwa kuhusu private sector ni kandamizi na kwa hali hiyo tuttakimbia biashara zetu
@benitamart8056
@benitamart8056 6 жыл бұрын
Full IQ Father...
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mwenyekiti Mboye Ubarikiwe mwaka huu tunaking'oa chama cha ccm
@zuhurajokoro1233
@zuhurajokoro1233 4 жыл бұрын
Kumbe Mbowe nawe una hekima siku zingine?
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 жыл бұрын
Hahha akiamua yuko vizuri
@jumaomar1454
@jumaomar1454 6 жыл бұрын
Kabisaa uchumi sio ndege uchumi ni kuboreka maisha ya wananchi
@sememakolo9360
@sememakolo9360 5 жыл бұрын
Kama wewe utaboleshaje bila kuwekeza kwenye biashala.
@sultaniramadhani890
@sultaniramadhani890 5 жыл бұрын
JUMA OMARI acha izo hata baba akiwa bahir watt watataka kujua matokeo ya ubahir wake MH magu hata half time bado mnapiga kelele je kuna raia wanakaa foleni ya kununua unga km vile miaka ya 80
@atubeka9317
@atubeka9317 5 жыл бұрын
Safi
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 4 жыл бұрын
Jembe hiloo
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 5 жыл бұрын
dah nakuona Mungu mtu uko unaongea lekebisha chama chako kwanza ndio ushauri vizuri chama kingine ,jaribu useme chama chako kina watu waovu uone kama hawakukimbii wote,sasa hiki ni chama kubwa kinachoji tadhimini na si hicho chama chenu wasaka tonge
@afredyohana356
@afredyohana356 4 жыл бұрын
Ww una shida ya akili
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 4 жыл бұрын
Mhe; mbowe ukweli wenye hekima ndio watakaokuelewa;
@andersonmwenda6390
@andersonmwenda6390 2 жыл бұрын
Nimelimis bunge hili lililokuwa na watu wa kutetea haki za wote kitaifa
@bahatigwivaha9696
@bahatigwivaha9696 4 жыл бұрын
Mbowe anastahili kupita bila kupingwa kama kweli tunaipenda nchi yetu.
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 4 жыл бұрын
Kwalipi?
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 6 жыл бұрын
Upinzani bira mh mbowe tusingesimama mpaka leo
@mshindikahise8035
@mshindikahise8035 4 жыл бұрын
SEMA mbowe
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 4 жыл бұрын
Mbowe nakukubali Lkn Zito pumba tupu
@tumsifumawini3127
@tumsifumawini3127 5 жыл бұрын
Umesema kweli,.. Tusubiri....
@bahathigeofrey1617
@bahathigeofrey1617 6 жыл бұрын
Tuteteen wabunge sis huku wanyo;nge tunaumia tunataka maendeleo y wananch sio y vyama
@sememakolo9360
@sememakolo9360 5 жыл бұрын
Walio zoea vya blue lazima walie, sio walisababisha tuumie wanaichi wa kupato cha chini
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 4 жыл бұрын
Sio wewe bali ni uwezo wako wakufikikili
@ephraimrichard6701
@ephraimrichard6701 4 жыл бұрын
Eti tunachoma vifaranga tunauza ng'ombe za watu nimecheka kwa nguvu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fredkenyanya1575
@fredkenyanya1575 3 жыл бұрын
Underline KUCHOMA VIFARANGA tukisonga mbele.
@kheiromar2068
@kheiromar2068 4 жыл бұрын
Acha tu twende kijmaaa si ulifnya kusudi sisi tunakanyagaa kweli mpaka kielekeee
@selemaninankaha9352
@selemaninankaha9352 4 жыл бұрын
Mbowe badilika ww ni mshauli tu ushauli unamambo mawili kukubalii au kukataliwa utapata tabu sana serekari imebadilika kubali kwenda na wakati
@johnnisilenisile1990
@johnnisilenisile1990 4 жыл бұрын
Camanda km kawaida yake Hy yupo ivo Kila siku wengine wanamshangaa
@franciskessy9792
@franciskessy9792 6 жыл бұрын
Heshima yako kamanda wa Anga, upo na Hekima na Busara sana
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Swali kwa mbowe VIONGOZI watatu wa juu CHADEMA NI AKINANANI ? NA KABILA ZAO NI ZIPI ? Ikiwa atajing'ata basi Hana mpya ktk kushauri kitu kwasasa
@alphamunicy9650
@alphamunicy9650 4 жыл бұрын
Kulwa Mapunda hacha ukabila
@ibrahimwapili8851
@ibrahimwapili8851 6 жыл бұрын
Sawa Rais Wa miyo ya watu
@geja125
@geja125 6 жыл бұрын
Mbowe 1=15 professors of ccm!
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 307 М.
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
"Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani?" - MBOWE
12:00
Millard Ayo
Рет қаралды 693 М.
Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu"
15:02
MASWALI KWA WAZIRI MKUU: Mbowe achafua hali ya hewa
8:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 34 М.
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
17:29
Millard Ayo
Рет қаралды 376 М.
VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni kwenye swali kwa Waziri mkuu
5:29
SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 129 М.