VILIO! VIJANA WENGINE 3 WATOWEKA DAR KATIKA MAZINGIRA YA UTATA, FAMILIA HAIJUI WALIPO MIEZI 5 SASA!

  Рет қаралды 47,146

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

VILIO! VIJANA WENGINE 3 WATOWEKA DAR KATIKA MAZINGIRA YA UTATA, FAMILIA HAIJUI WALIPO MIEZI 5 SASA!
Vijana watatu ambao ni marafiki, Abdallah Kawambwa, Jackson Mkwetu na Omary Hamdan, wakazi wa Kitunda jijini Dar es Salaam, wamepotea katika mazingira ya kutatanisha kwa muda wa miezi mitano sasa na kuacha huzuni kubwa kwa ndugu zao ambao hawajui kilichowapata.
Vijana hao waliondoka majumbani kwao Septemba 10, 2021 kwa maelezo kwamba wanasafiri kuelekea mkoani Tanga lakini kuanzia hapo, hawajawahi kurudi nyumbani, simu zao hazipatikani na jitihada za ndugu zao kuwatafuta, bado hazijazaa matunda.....GLOBAL TV INA FULL STORY....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 293
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Subhannahllah poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu. Allah awalinde huko waliko.
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
Mama,Mama,Mama nakuomba sana Mama Jitahidi nakuomba Sana hemu naomba nipe hata Ukuu wa Wilaya ya Temeke nakuomba sana,
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Poleni sana wanawake wenzangu, kiukweli inauma sana, nimelia 😭😭😭😭😭
@kisakim5660
@kisakim5660 2 жыл бұрын
Kiukweli viatuvyao hawa wamama vinabana aisee😭😭😭😭 Mungu awape ujasiri tu na awafanyie wepesi
@roseatieno6691
@roseatieno6691 2 жыл бұрын
Jamani hii tabiya ya vijana kupoteya sasa imefika wakati ukome . Sio Kenya sio Tanzania na kwingineko . Familia wanaumia . Mungu simama na watu wako baba .
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 2 жыл бұрын
Kwa kweli inahuzunisha na Keenya sana sana ni Mombasa kila uchao wavulana wapotelea Mungu simama na sisi wazazi na ndugu ni uchungu kwa kweli
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Subuhanallah Kupotezwa watu kwa makundi Tena wanaojuana kwanini jamani piammechelewakutoa taarifa mlikua wapi wapenda poleni Allah Awape subra kipindi hikikigumu Allah atawalehesha hi siyo bule kunakitutuu hapa kimefanyika wametekwa sijuiwamepelekwawapi Tz Amani imetoweka😭😭😭😭
@florahthamson8257
@florahthamson8257 2 жыл бұрын
Mungu ni wewe tu mwenye majibu ya taifa hili pekee yetu hatuwezi
@rukiaosman18
@rukiaosman18 2 жыл бұрын
Subhanallah Tanzania wallah nimbaya Sana kabisa
@rukiaosman18
@rukiaosman18 2 жыл бұрын
Kiwa wao kwawao wana tesana hivohivo Je ss wa kenya omg tusiende huko ndugu zangu
@rukiaosman18
@rukiaosman18 2 жыл бұрын
Tanzania ni wauwaji sana maskin watu wanaliya hivo subhanallah
@rukiaosman18
@rukiaosman18 2 жыл бұрын
Hao polis wanawajua walipo haovijana maumbwa hao
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 Tanzania yetu 💔💔💔🇹🇿 Mmhu Allahu yaalam,kauli ya kumtanguliza Mungu itarejea kweli?? kama kwa Rais magufuli mmhu Astaghfirullah laadwim yaa Allah nisamehe mimi na wote tulokukosea najua kuna sehemu tunakukosea mola wetu ila naomba utusamehe sisi viumbe wako dhaifu, tunaomba utusamehe ili uturejeshee Amani kama zamaani kwenye Nchi yetu 😭 naomba utufanyie wepesi walopotea wapate kurejea katika familia zao ili familia zao na jamii zipate faraja 😔 maana kwasasa Tanzania yetu ina mtihani na bila wewe mola wetu hatuwezi kuondoa mtihani huo yaa Allah yaa kareem yaa kaharu yaa dhaljalali wal Ikram nakuomba utuokowe😭😭😭💔💔💔🇹🇿👏
@zainabushamte5580
@zainabushamte5580 2 жыл бұрын
🙏🙏amina yaa rabii
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Amyn yarabiaalamyn🤲😭😭
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Amiin
@zulfahaji4666
@zulfahaji4666 2 жыл бұрын
Jamani wasaidieni japo kula zao serikali😭😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@faridamohamed4677 Amiin😭😭😭😭
@mariamissa4029
@mariamissa4029 2 жыл бұрын
😭😭😭😭,poleni sana ndugu zangu allah awalinde popote walipo warudi salama
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 2 жыл бұрын
Jamani kwani imekuaje tena 😭😭😭😭😭 huu mbona mtihani sasa dah nihuzuni kwakweli 😭😭
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Angekuwepo Hayati Magufuli wangesema anateka watu. Hii inaweza kuwa watu wachache wanafanya mbinu kuichafuwa nchi. Inasikitisha sana wakati wa Hayati Magufuli serikali ili kaa kimya bila kusema kitu wala kumutetea Rais. Makosa hayo hayo kwa sasa yanajirudia. Kuna wanasiasa wanaweza kufanya kila njia kuwachonganisha wananchi na serikali. Lazima serikali iwe makini sana,.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Sikuzote matukio mabaya yakitokea anayeonekana anafanya ni Raisi ila kutakuwa kuna kundi la watu wahuni wanafanya haya ili Raisi aonekane mbaya kwasababu wanajua wakishafanya kama kawaida vyombo vya habari vitarusha habari jamii itaingia hofu na wote watamnyooshea vidole Raisi Jeshi la Polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi kuanzia lile tukio la vijana watano waliopotoea na hawa wachunguze waweke doria ata ya undercover kufatilia si kwa siku moja wafanye ata kwa miezi ukute wale waliokuwa wanavamia watu kibiti wameanza tena jamani polisi tunajua mnakazi sana ila hili la watu wazima wanapotea hivi hivi jamani
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Kwa Jicho la tatu watu wamekuwa na tamaa ya utajiri wa harakaharaka , waweza kuta wanajiunga na makundi ya kigaidi hili ni bomu Jeshi la polisi na wanandugu wajaribu kufanya utafiti wa kina maeneo mazungumzo yao na marafiki walokuwa wakiwa pamoja. Tabia zao zilikuwaje,walikuwa wanapendelea nini. Akiri zao zilikuwaje. Laweza gundurika jambo kwa haya matukio ya kupotea kwa vijana
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
@@godfreymasele8853 uko sahihi kabisa kaka, tamaa inamaliza vijana wengi sana,
@agneswilbard9059
@agneswilbard9059 2 жыл бұрын
Jamani tz tuombe sana mungu hili tatizo kubwa
@didahadam9530
@didahadam9530 2 жыл бұрын
Allah atupe subra wazazi wote poleni kwa vijana wetu Allah awalinde kila mahali wanapoelekea kwa kazi zao chuo kila mahali ulimwegu wa shetani Allah tulinde tunalia sana kila ichi vijana wetu
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 жыл бұрын
Poleni wanawake wenzangu Mungu atawalinda wataludi salama inshaallah
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Tanzania yetu jamani hili nalo ni pepo fanyeni maombi tumlilie Mungu wetu
@pilimtukane4800
@pilimtukane4800 2 жыл бұрын
Hili ni ombi langu kwako ehe Mungu wangu,Tusaidie wanawake ,hawa binadamu siyo kuku mpaka wapotee hovyo
@monicamhina9926
@monicamhina9926 2 жыл бұрын
Poleni wanawake wenzangu
@hlimaabdullah9565
@hlimaabdullah9565 2 жыл бұрын
Poleni ndugizetu wa TZ mm nmkenya bt nafuatilia haya matukio poleni sana mungu awatie nguvu🙏🙏🙏
@ashachuma6168
@ashachuma6168 2 жыл бұрын
Mtihani mkubwa Mwenyezi Mungu tusaidie
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 2 жыл бұрын
Poleni xana wanawake wenzangu
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 жыл бұрын
Inauma sana
@user-pj3lh8vz5k
@user-pj3lh8vz5k 2 ай бұрын
poleni sana mungu atawafanyia wepesi ;a awape ya rabb
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 2 ай бұрын
Subhana Allah poleni sana haki nimelia 😭😭 ndio naona leo sijui kama walishapatikana au laa Allah awatie nguvu na subra
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 2 жыл бұрын
Mungu awalinde warudi wazima inshallaah
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 2 жыл бұрын
Watu wengi wameuwawa kinyama sana, Uchunguzi umefanyika kwa haraka, na wahalifu wamekamatwa. Swali langu ni hawa vijana mbona imekua vigumu kupatikana? Au wamechukuliwa na majini?????
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 жыл бұрын
Mhh mtihani wallahy inahuzunisha poleni sana Allah atafanya wepec watapatikana
@odiliamathias5424
@odiliamathias5424 2 жыл бұрын
Pole shangazi angu mjomba yetu kapotea Abdala wetu atujamuona Tena miezi inapita tunaumia wote shangazi angu, pole Odo Khadija pacha wako kapotea jamani Inshallah Mungu atawarudisha Salama tuwaombee tu Ingawaje tunaumia sana, Abdala wetu jamani
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 2 жыл бұрын
Mtihani huu
@merryabiaza711
@merryabiaza711 2 жыл бұрын
Duuuh mungu wangu yaoneachozi ya watu wako twakuomba mungu wetu
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 2 жыл бұрын
Subhanallah
@halimahimba4049
@halimahimba4049 2 жыл бұрын
Rais Samia nchi hii sasa so salama hivi kweli Hali hii serikali yetu haioni mambo haya Kama ni majambazi Sheria zipo sasa magereza ya nini na mahakama za nini lakini viongozi wetu kazi yenu nini...haki haki haki
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 жыл бұрын
Kweli kabisa husikii hata chochote
@alcherausmalinzi2033
@alcherausmalinzi2033 2 жыл бұрын
Poleni sana.Mungu awape ulinzi popote walipo.Kama walikamatwa kwa lolote basi jeshi la polisi liseme. Lakini pia tunapotoka majumbani tutoe maelezo sahihi kwa familia tunakoenda ili hata tukipata tatizo wapate pa kuanzia. Kwa hali hii usalama wa raia uko mashakani.
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 2 жыл бұрын
Umeona eee hawa wameondoka majumbani kwao kiutata kana kwamba walikua na siri zao, si kawaida hiyo safari yao ya ghafla
@luluwhite3818
@luluwhite3818 2 жыл бұрын
Mbona naogopa mie jamani mume wangu yasijeyakamkuta haya
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Siyo mume t hata ww yaweza kukuta mungu atusaidie uwiiii
@joyanambuya4486
@joyanambuya4486 2 жыл бұрын
Poleni jaman
@samiramahmud406
@samiramahmud406 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 Inasikitisha Sana Poleni sana Ndugu Allah SWT Awalinde warudi Nyumbani Salama Toeni Sadaka kwa wingi Na kumuomba Allah SWT kila Dakika Allah SWT Azisikie Dua zote na Azipokee Dua zote Yaa Rabbi 🤲
@saummohamedm435
@saummohamedm435 2 жыл бұрын
Ila police mbona kma wanautendaji wakusua sua sanaa tena sana wale wa 5 mpk leo hawa nao tena police wanajua kupiga watu tu kiukwel. Jeshi upelelezi hakun a kitu
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Hawa wameaga afadhali wanaenda Tanga ni miezi 5 sasa mi nahisi walitoroka kwakutafuta maisha labda nchi za nje mfano South huko maana dunia hii sasa hivi haileweki ila wale wa Kkoo ndy walitekwa Kamata na watu walishuhudia
@singidaone5628
@singidaone5628 2 жыл бұрын
Haya Mambo yasikie tu kwa watu usiombe yakukute
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Kabisaa
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 2 жыл бұрын
Wallahy ni jambo zito sana Allah awafanyie wepes wanawake wenzangu duuh moyo unaniuma najiuliza ni uchungu kias gan hawa wanawake wanaopitia
@petromwinnyipembee9793
@petromwinnyipembee9793 2 жыл бұрын
Poleni xana wapendwa mungu kasikia kilio Chen nasi tnawaombea msjali wataptikan nasi tnaumia pia san
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 2 жыл бұрын
Poleni sana inauma kwakweli😭😭😭
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 2 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR..yaa rabby 🤲 yaa rabby 🤲 yaa rabby.wafanyie khushui hawa walimwengu wenzangu wanaoumia kwa mtihani huu na uwafanyie wepec hao wenzetu walipotea Yuko waliko km wako hai bac tunajua ww mwenyezmungu ndie muweza wa kila kt warudishe nyumbani wakiwa salama na afya zao ili waungane na familia zao..wape nguvu hawa wanopitia mtihani mzittoooo.nac tunakuomba utulinde na kutukhifadhi na mabalaa mazito.😭😭😭😭😭😭😭 Nimelia wallahy.
@tausimbuguni5134
@tausimbuguni5134 2 жыл бұрын
Poleni sana inauma sana
@girbertntinda3798
@girbertntinda3798 2 жыл бұрын
Poleni sana akina mama
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Poleni Sana,Wimbi la watu kupotea limekuwa kubwa, eee mungu tusaidie.
@user-je2gq2et1z
@user-je2gq2et1z 2 ай бұрын
Pole dada
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 жыл бұрын
Allah Awafanyie Wepesi In sha Allah.
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
Wallah nimejikuta nalia mimi km mwanamke viatu vyenu vigum mno wallah 😭😭😭😭 pole sn family Dada wa Abdallah umejua kuniliza wallah 😪😥😢
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 жыл бұрын
Innalilah 😭😭😭 jamaniii
@eliza486
@eliza486 2 ай бұрын
Mungu awatangulie mbele
@catherinejanken7697
@catherinejanken7697 2 жыл бұрын
Hii kitu jamn imekithiri but muwe mnahoji pia waume zao au hao vijana walikuwa wakijishughulisha na nini?maana mda mwngn biashara pia huchangia kupotea kwa mtu ....ila pole kwa familia ambzo zinapitia hii hali mungu awasimamie poleni sana
@deomaiko9632
@deomaiko9632 2 жыл бұрын
Ukosawa ndugu waojiwe kwanza
@saumsaum1916
@saumsaum1916 2 жыл бұрын
Mungu atajalia watapatikana
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 2 жыл бұрын
Soo sad 😭😭😭 what is this?
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 2 жыл бұрын
magufuli kwenye yuko ana uzuni sana kwa ajili anayo yaona inchini kwake
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Gari mbona hawajatoa pucha njiani waweza kuna raia wema wameliona Ikasaidia
@anethsubeth8895
@anethsubeth8895 2 жыл бұрын
Tanzania tunakwenda wapi?
@hlimaabdullah9565
@hlimaabdullah9565 2 жыл бұрын
😭😭
@mwandegetechs8026
@mwandegetechs8026 2 жыл бұрын
Subhanallah 😭😭😭
@mariamuhamedmmbaga2011
@mariamuhamedmmbaga2011 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Yaa Rabbiy, wachukuwe hawa wanaofanya haya mambo ya kupoteza watu
@mayajuma5568
@mayajuma5568 2 жыл бұрын
Nimejikuta nalia mitihani kilakukicha
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Polenì sana jamani duuh inauma sana
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 жыл бұрын
Aya mambo yanaumiza sana ifike mahal viongoz wetu watoe tamko kal km tunavyoizuia corona kila sk watu hupotea mazingra tatanish
@happyelenest6607
@happyelenest6607 2 жыл бұрын
Jamani vijana wanapotea kila siku inauzunisha sana jamani 😭
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 жыл бұрын
Chakushangaza mbona wanawachukulia wenye gari tuuuu
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Jaman inaumiza Jaman
@azizamvungi6409
@azizamvungi6409 2 жыл бұрын
mtangazaji mtoe huyo dada inaumiza sana..mbona hauji kuhoji?
@mariamrogha3601
@mariamrogha3601 2 жыл бұрын
Polen mama zangu
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
😭😭😭💔💔nalia jamani naumia dada mtu kaniliza hadi hame nami nime mkumbuka kaka yangu alivyo kufa sijamuona ili nim age
@Maryam-ij9nr
@Maryam-ij9nr 2 жыл бұрын
Jamani tunaomba sana serekal jaman iwasaidie wa nyonge
@user-oq9st3yk2j
@user-oq9st3yk2j 2 жыл бұрын
Poleni jamani
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Mmmmmmh hii dunia hii🙌
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Jamani, serikali iko wapi
@zeenathmsellem9465
@zeenathmsellem9465 2 жыл бұрын
😥😥😥😥
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 жыл бұрын
Dar
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 2 жыл бұрын
Poleni akina mama kwa mazito yaliyo wakuta
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Duuuuh Mungu tuhurumie
@mwajumaamiri4259
@mwajumaamiri4259 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@mwanzajosephine468
@mwanzajosephine468 2 жыл бұрын
Kila chozi lina maana mbele za Mungu ee Mungu fanya wepesi katika hili
@salamakaliasi9358
@salamakaliasi9358 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 nimeshindwa kuongea jmniii
@user-nt5dg7lu9x
@user-nt5dg7lu9x Ай бұрын
Poleni wa ndugu zangu mu ende ngomeni kwa kuhani musa muta wapata
@husseinmaula5914
@husseinmaula5914 2 жыл бұрын
Mchongo wa kupotea watu Kwa magroop ndio kwanza bongo .
@jimjam4148
@jimjam4148 2 жыл бұрын
YARABI nakuomba jaaliya vijana wa izi familiya wapatikane wakiwa salama . amin amin YARABI amin.
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 жыл бұрын
Jamani Jamani jamanii nini hiki jamani eeee mwenyezi mungu tunusuru waja wako
@evachuw8092
@evachuw8092 2 жыл бұрын
Hii ndio Tanzania ya Sasa MUNGU TUNAKUOMBA UTUNUSURU BABA
@zeenathmsellem9465
@zeenathmsellem9465 2 жыл бұрын
Jamani😥😥😥😥😥 daah
@sarajohninsoni2288
@sarajohninsoni2288 2 жыл бұрын
Mungu nilindie mumewangu polen xn jmn jmn mungu tusaidie
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 2 жыл бұрын
Mmmmh, haya mambo yana siri nyuma ya pazia. Huku sio kupotea kwa kawaida. Upelelezi wa kina ufanyike.
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 2 жыл бұрын
Inaonyesha hawa walikua na mipango yao ya siri ambayo familia zao hazijui
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 2 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 Polisi niwatu gani wanaoshu gani yakufanya matokeo kila sikuyanatolkea lkn hawana taarifa wanaleta kwafamilia
@rosemzava5149
@rosemzava5149 2 жыл бұрын
Hao hao ndo wanahisika ila malipo nihapa hapa dunian😭🙌
@yaelijoseph8742
@yaelijoseph8742 2 жыл бұрын
E Mungu tuponye watanzania
@hlimaabdullah9565
@hlimaabdullah9565 2 жыл бұрын
Jama.kuna wale watano vijana waliopotea hawajapatikana jamani mungu warehema naijulikane kwamba uko mungu 🙏😭😭😭😭😭
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 2 жыл бұрын
Inawezekana wanatekwa mdogo wangu alinusurika akiwa na rafiki yake wamepelekwa mitaa ya msasani, bahati nzur walifanikiwa kutoroka, Tena hao wahusika wanaoteka wananyumba nzuri na wanakuwa wengi na wanamiliki magar mazuri tu huwez kugundua
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@nancyfamilysharesmoments7634 Huyo mdogo wako asaidie Polisi kuonyesha hao waovu usikute kuna biashara ya viungo vya watu kisirisiri jamani
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 ilikuwa usiku kujua mitaa sio rahis hata walivyotoroka walikuwa wanakisia tu njia na hawawajui hao watu
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@nancyfamilysharesmoments7634 Mhhh sasa walijuaje kama ilikuwa ni Msasani maana kama waliweza kufika nyumbani yaani wameshindwa hata kujua alama fulani fulani au aina ya gari walilopanda ajabu kweli.
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 😂😂😂😂😂😂 walijua wamepata madanga kumbe majambazi
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Njiani kuna pia majambazi ukilekea tanga watu wengi wesha porwa Na simzao zichunguzwe mitandaoni
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 2 жыл бұрын
Mama samia hebu chunguzeni hawa watu wanaoteka wanaume jamani 😭😭
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 жыл бұрын
Labda Mimi naona Kama watu wetu wakitaka kusafiri wattoe taharifa kituo Cha poris kwamba wanaenda nje ya mkoa jamani ingekuwa raise mungu wangu
@naphisaolouoch5993
@naphisaolouoch5993 2 жыл бұрын
Gari haikuwa na cartrack?
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 2 жыл бұрын
Jaman tz sasaimeingiliwa
@mineaminea3151
@mineaminea3151 2 жыл бұрын
Sijui nchi yetu inaelekea wp kiukwer inaumiza sana
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 2 ай бұрын
Musical Ana zoom tu.hana hofu.
@ashilafubaganda9233
@ashilafubaganda9233 2 жыл бұрын
Ifike mahali vijana tuwe wawazi kwenye maisha na tufanye shughuli halali ambazo hata familia zitajua kwa uwazi lakin vijana wengi wanamambo mengi ya gizani matokeo yake ndugu wanalazimika kulaumu serikali
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 2 жыл бұрын
Thank u, umeona eee vijana wana mambo yao kibao maovu na ni siri yao familia hazijui kitu, ila unakuta wanalaumu serikali haifanyi kitu, utadhani ni kitu rahisi kumuona mtu aliepotelea kusikojulikana, kwani serikali ndio imewatuma, mimi hua nashangaa nikiona wanalaumu serikali, basi wangelaumu Mungu mana ndio anaeona matukio serikali haioni anachofanya binaadamu wala haijui mipango yao.
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 2 жыл бұрын
Sauti ya Mungu ni sauti ya mwisho tunaisubiri hiyo
@Maryam-ij9nr
@Maryam-ij9nr 2 жыл бұрын
Hiyo sasa naona kama imekuwa tumach
@leilaalii3109
@leilaalii3109 2 жыл бұрын
Dah maumivu yake hayaelezeki kwakweli 😭..pole sana nduguzetu
@amasichefwalo3787
@amasichefwalo3787 2 жыл бұрын
Kuna pepo la kupotea marafiki tu ama?
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 184 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 184 МЛН