Ahsante sana muheshiwa mungu akubarik kwa kazi njema unoifanya.makonda oyeeee mungu akupe uzima wa afya ili uwabane hivyo hivyo wasojuwa kazi zao.mama samia oyeee.ahsante sana❤❤❤
@JohnEmanuel-wh4yj6 ай бұрын
Heko mweshimiwa makonda mungu ailiyekuteua akulinde wafagilie mbalili wafisadi Mimi ni mtanzania Niko kenya.nafuatilia kazi Yako pia wamulike viongozi wa arumeru asa vijiji veya olevolos na ngaramtoni ya ju hivyo vijiji havina maendeleo ahsante muheshimiwa mungu akuongoze
@felisterjoshuamollel39309 ай бұрын
Haki Mungu akusaidie, akuongoze na kukulinda Kiongozi ❤
@IshiriandeIshiriandemungure5 ай бұрын
Tunamshukuru sana Mungu na Rais wetu kugundua karama za Mhe.Makonda. Hakika huyu Ndugu Makonda ni ' HAZINA '!
@witnessmollel-f3v5 ай бұрын
Makonda mwanangu mungu akupe maisha marefu na nakuombea kwa mwenyenzi mungu upate na urais.
@martinabayyo998210 ай бұрын
Mama Samia umefikiria sana kumchagua makonda hao wakurugenzi wanakuharibu sifa
@liverpoolfootballclub99856 ай бұрын
Mombasa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Tunawafuatilia majirani zetu. Mko vizuri sana
@muhanyijr11 ай бұрын
Makonda anasahau kuwa bei za material mwaka 2016 sio sawa na za 2023
@SophiaSenkoro11 ай бұрын
Hongera makonda unafanya kazi zuri
@HamzaAkilimali11 ай бұрын
Ndugu Makonda, Kila sehemu baadhi ya Wakurugenzi ndio wenye kuvuruga mipango ya Serikali na Wananchi na niwalalamikiwa sana Kila mahali.. "SERIKALI TAFUTENI DAWA YA KUDUMU". TATIZO WAO NI KUJALI MANUFAA YAO TU.
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Na ni kutoka CCM.
@AthumaniShafiiabdala9 ай бұрын
Baba makonda mungu akubalikisna kijiji cha madala kata ya chekelei viongozi hawatundei haki tututembelee baba kwenye katayetu
@MwajumaAbdalah-pg7jr11 ай бұрын
hongera makonda kwa kazi unayo ifanya
@alfredmongo15217 ай бұрын
Asante sana kiongozi wetu pg
@neemanziku540311 ай бұрын
Makonda unajibu maswali na tena unajua kuwadadisi makonda hoooooooyeeeeeeed
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
Yaan makonda ni zaidi ya mahakama.
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
Mahakama zifungwe makonda abaki,anatosha
@SadikiDjumaine-f1k5 ай бұрын
Much respect bro from Bujumbura
@hilarykimario507511 ай бұрын
Makonda kaka yangu unafanya kazi vizuri unafanya kama makofuli fanya kaxi kaka natamani Uwe rahisi samia amechoka anaaribu kila kitu aende nyumbani urahisi awezi
@AthumaniShafiiabdala9 ай бұрын
Makonda mungu akubaliki sana naakulinde sema jitahidi ufike kwenye kata yachekelei wanao hatutewi haki tunaonewa sana naviongozi wavijiji asante
@aminaomary556711 ай бұрын
Ongera sana Mh.Makonda,yaan kuna madudu Mkoani,wilayan,vijijin hatari sana.
@EdinaRutela-xv9sv10 ай бұрын
Mama anapiga kazi wenyewe wanajaza matumbo yao Asante makonda piga kazi
@felixkamkala330311 ай бұрын
Kweli kabisa wanamuangusha Mh Rais
@RamlahNassoro11 ай бұрын
Makonda makonda makonda piga kazi mheshimiwa tunakukubali sanaaa
@Mezd-g8g11 ай бұрын
Asante makonda tunajionea madudu🎉
@hadija888010 ай бұрын
Makonda angalia taifa lako baba nguvu kazi
@juliusntandu430211 ай бұрын
Nakumbuka kiapo chako kwenye kaburi la JPM kaka kazi yako imetukuka
@EmmanuelNyinyigwa11 ай бұрын
Kazi ipo kweli kweli
@shangwefisima399311 ай бұрын
Makonda kiboko...na angekuwa ndo ana mamlaka ya kiurais wangejuta
@evodyMwalyego10 ай бұрын
Mungu akulinde na Kila husuda
@SarahKapella-rm2of11 ай бұрын
Makonda tunakuombea na mungu atakulinda.
@JafasonNgoshoi10 ай бұрын
Makonda unafaa kuwa RAISI MUNGU aendelee kukulinda kaka yangu
@ZenahAlex11 ай бұрын
Baba wawanyonge ukuje na mafinga twakuitaji sanaaa
@SHAZIMINA558 ай бұрын
Ccm yooooo chama camapinduzi❤❤ aciya nyimbo dijeii
@khalifmohamed73037 ай бұрын
Her highness majesty presiden Suluhu you have , mtu ya mkono mhe makonde
@ullujaffariyohani118610 ай бұрын
Inasikitisha kwa kweli😢😢😢
@estachengula390211 ай бұрын
Rasi makonda ajae tunakupenda mungu kutunze
@SarahKapella-rm2of11 ай бұрын
Laiti mungu angenipa nafasi ya uwezo wa kuonana na mama Rais. Mimi Naamini kuna mambo ningeongea Naye na yangemsaidia Katika serikali. Naomba mungu anipe kibali hata robo saa nimchangie mchango wangu.
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Angetaka kujua na kuleta haki angejua ukweli. Lakini hana uwezo wa kufuatilia au hataki kujua ukweli. Haiwezekani asijue matatizo yote haya yanayoendelea. Başı hana uchungu na pesa na watu. Hawa viongozi wameteuliwa naye, na wengine walipita bila kupingwa. Ni makosa ya nani? Uongozi bora utafuatilia na kusimamia na kutoa haki. Raisi hachimoki hapo. Mmeshindwa kutasikia na kuyatekeleza matatizo na changamoto Za wananchi. Inabidi ueneze haki ya kudumu Makonda.
@khalifmohamed73037 ай бұрын
Makonde chapa KAZI na issoma kwako mimi kutoka Kenya
@hadija888010 ай бұрын
Kabisa baba
@SarahKapella-rm2of11 ай бұрын
Makonda rudisha heshima ya nchi dhuluma ni nyingi mno na rushwa inanuka lakini Kwa kweli Tunampenda mama yetu Rais wetu Dr. Samia. Tupo pamoja na yeye. Mama ajitahidi kupiga Vita rushwa na dhuluma. Naamini mama yetu anaenda vizuri. Ni mwenye huruma, msikivu na mwenye upendo. Mungu ametupa Huyu mama tunashukuru.
@muhanyijr11 ай бұрын
Tanzania ndio nchi ambayo wananchi wake wanafurahia mwenzao kufukuzwa kazi 😢😢😢
@samsonsamsonbayyo11 ай бұрын
Ahahahaha nouma sana
@naimarishedy152311 ай бұрын
Wanamuangusha Mh Rais SSH
@nickoemily826711 ай бұрын
Piga kazi jembe letu! Mi binafsi nampenda sana mheshimiwa Makonda ,mtetezi wa wanyonge.
@lugoratv199510 ай бұрын
Yani makonda wewe unaweza kutatua lakini unapo acha kriniki watatuliwe kriniki ukiweka hawatatuwi hicho ndo unapo kwamishwa
@David-dx5fc7 ай бұрын
I wish we'd fourums like this in Kenya otherwise kongole mheshimiwa
@riazshaikh85778 ай бұрын
Waongo wote wafukuze kazi uongo haufai
@evodyMwalyego10 ай бұрын
Kaka Makonda tupo nyuma yako
@GasperMsillo11 ай бұрын
Hongera sana mh!
@alphoncekagezi495011 ай бұрын
Viongozi wa CCM wajifunze kwa Makonda awamu hii awamu hii ngoma imewashukia wasio wajibika wale wafanya biashara kwa vyeo na ufisadi wachomoke mwendo hawataweza.
@emmanuelyusuphkagoma11 ай бұрын
Makondaa uko vizuri ludii geita yenaa
@JafasonNgoshoi10 ай бұрын
Uko sahihi mkuu pambana nao mweshimiwa
@fikiriisaya580311 ай бұрын
Asante makonda
@phibymakuyu505611 ай бұрын
Tunakuwamini p...Makonda
@abdulayoub823310 ай бұрын
Makonda unaakili sana unafaa kuwaraisi
@ramadhanshabani493511 ай бұрын
Mwenezi nenda hadi Jimbo ra bumburi kata ya funta Kuna dhuruma kubwa sana zahanati inajengwa niamka takiribani l0 kwa nguvu za wananchi viongozi wote wanapita nyumba hadi nyumba kuchukulia wananchi samani zao kama hujachangia na kuwapiga faini kubwa makonda tia taimu huko
@IdrisaSalum-ph6br10 ай бұрын
Kaka piga kazi kazi kazi
@HamissiMbogo6 ай бұрын
Makonada ukosawa saana
@josephshwagara5 ай бұрын
Mimi Ni Murundi Lakini Nimekulia Tanzania Nikiwa Refugees in Tanzania Sasa Naishi USA Lakini Mambo ya Mkuu wamukowa Yanani Ingia moyoni Ikiwezekana Nipate Number ya Mheshimiwa Makonda Asanteni
@RoseKimishabhalemi-oz9bn11 ай бұрын
Makonda mmeshindwa uko kunadi mama apatekura wakati haya yamesababishwa na mh. Rais hatendi kazi nimtaka kura tu hakuna kitu
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Waambie ukweli hao. Kiongozi kashindwa kuwadhibiti watendaji wake, aka muon a Malinda mpigia kemgele amsaidie kmwombea tena kura arudi afanye hayahaya marjdık ya unga yaşamı, uporaji ardhi, utekaji, ufisadi. Wananchi. Hawamhitaji kiongozi asiyeweza kuwadikiliza matatizo yao, kuyatatua, kuwalazimisha mambo. Nchi inahitajika uongozi mpya kupitia uchaguzi wa haki na uongozi mpya utakaotuletea katiba mpya na sheria safi.
@jitabojilala616211 ай бұрын
Naona sio sawa kutokumpa nafasi ya kujieleza
@MussaJuma-sd4jc9 ай бұрын
Mmi nakuombea miaka ya mbele ujekuwa raisi Kaka makonda
@emmanuelmayunga151811 ай бұрын
Piga kaz my next jpm
@husseinkarim766311 ай бұрын
Mkurugenzi hajui kinachoendelea aibu anakula kula pesa bila hata kujua sehemu yake ya kazi.
@shangwefisima399311 ай бұрын
Wamebananishwa vizuri
@stanleymanya43811 ай бұрын
Korogwe inakorogwaaa😅😅😅😅😅😂😂😂😂 kweli mwanao usimpe jina lakutupa.
@Bizmind47211 ай бұрын
Makonda my roll model 😊
@hamisimhewe61310 ай бұрын
Makonda
@johnrambo964211 ай бұрын
Makonda hoieeeh chapa kaz kamanda
@emmanuelmziray107311 ай бұрын
Mimi nikiishi hapo wakati Makondo akiwa Kinda tulikuwa na Soko Manundu Old Korogwe na Kilole. Hatuwezi kuwapeleka wakazi wote wa Korogwe kwenye Soko la Kilole. Siyo sahihi
@thedickisonilinusi11 ай бұрын
Korogwe oyeeeeeeeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂makonda
@nathanmmasi389011 ай бұрын
Angaliya waskuuwe tunakupenda sana mtetezi wawanyonge Mungu akupe maisha marefu Rais unae kuja.
@jitabojilala616211 ай бұрын
Korogwe kunashida sana
@SaidHamis-yz1vt11 ай бұрын
MAKONDA MWANZA ILEMELA MAJI BARABARA RUSAIDIE HATA KAMA UKO MBALI PLZ.
@gudilamsumai998911 ай бұрын
Mheshimiwa makonda tulikusubiri sana jimbo la bumbuli. kata ya mamba zipo changamoto kubwa kwenye hospital ya mbelei
@johnrambo964211 ай бұрын
CHAMA CHAMAPINDUZ CCM NO ONE HAHA😂💚✅🔥🔥🔥🔥MH MAKONDA
@thedickisonilinusi11 ай бұрын
Jini makonda wanyooshe broo
@ZaituniSalehe-b1b11 ай бұрын
Nenda Lushoto bumbuli makonda, huko ndo kumeoza kbs,nawananchi wamekuwa misukule
@zulekhaa681710 ай бұрын
Kumbe serikali inapesa, n ndio mana Africa haiendelei kwa sababu viongozi wengi wanajali nafi zao tu.
@oswaldsambaya442211 ай бұрын
Unaweza kumchukia Komredi Makonda lakini yuko sahihi. Tumuombee ulinzi wa MUNGU.
@jumachilundajr485311 ай бұрын
Hapa sasa nawashangaa wafrika wezetu hususani ss watanzania hivi hua hawaoni aibu kua kazi nzuri gari zuri lkn bogas kabisa viongozi wetu mnatua ninyi viongozi wa serikali mboni hamuoni aibu haya hapo kila mmoja hataki mzgo umuelemee wote hao hawatufai na niwengi tu wapo hivyo
@batilda492011 ай бұрын
Ela zetu za kodi hizo tunapanwa na T.R.A wengine wanakula kiulainiii😭😭
@queenmwasanguti237011 ай бұрын
Safi sana
@sepetukamaisala204011 ай бұрын
Makonda Sasa nimekuelewa,,kumbe wanakuchukia sababu unaongea ukweeeliii. Ccm juuuuu
@AngelChino-v8f7 ай бұрын
Makonda natamani uwende kwetu kisiju pwani
@frederickmaringo801411 ай бұрын
Uwajibiaji mhimu.
@MshamAbdallah-w3v11 ай бұрын
Makonda wilaya ya tandahimba kata malopokelo kijiji malamba kunakelo sana wakulima wanahangaika eneo la kulima wamekataswa na mkurugenzi
@ndorobo-jo5ww11 ай бұрын
Wameshndwa kwenye kisahani wataweza kuweza kwenye kijko hao waweke jela mzee makonda wakalime kule mashamba na nyapala yupo watashika jembe tu mahindi tutapata meng watakula wafungwa wetu gerezani
@chidrashid379711 ай бұрын
Big up sanaa makonda
@sepetukamaisala204011 ай бұрын
Malinda Sasa nimekuelewa
@AlmanTwaha11 ай бұрын
Tumesha jua tatizo lipo wapi yule mama sio mkali ndo mana hawa wezi wanaiba sana pia mawaziri hawa jibiki wanajari matumbo yao tuu ccm wote wezi
@emmanuelmziray107311 ай бұрын
Huu ni mji wangu 1968 nilikuwa Darasa la 4 Shule ya Msingi Manundu hadi 1971 nikafaulu kwenda Kibaha Secondary.
@neemahassan572611 ай бұрын
Muheshimiwa makonda na wilaya ya bumbuli vijijini twaomba msaad Wako kijicha tuliani Kata ya mgwashi hatuna kituo Cha afya tunapata shida Kwa sisi wamama wajawazito na watoto tulia kuna kitua kiliwekwa ramani tangu mwaka 2000
@malandojames515111 ай бұрын
Humo serikalini kuna viraza wengi sana aise!! Ccm ni chama bora sana. Ila hawa tunaowaita watalam wetu walio wengi ni ovyo sana. Chama kiwatazame hawa watu kwa umakini mkubwa.
@allychiamba11 ай бұрын
mh makonda endelea kupambana sisi tuna kuamini lakini muombe mungu maana kunamijitu mingine haipendi
@IssackMaingu-ng5lk11 ай бұрын
Mh: mwenezi na ltikadi Taifa watumishi kama hawa kamata na wafute kazi kwasababu miradi haikamiliki kwa wakati, wameshindwa kutekeleza wajibu wao
@SadikiDjumaine-f1k5 ай бұрын
Much respect bro from Bujumbura
@AndreaRazalo10 ай бұрын
Hayo ndo mliyataka kuiba jaxho la wanainchi mkataka chama 1 ili kuiba bira uoga
@felixkamkala330311 ай бұрын
Kuna umuhimu wa wakuibua viongozi wapya Wazalendo bira kujari dini wala Kabira na bira mavyeti vyeti yao hayo vijana wazalendo wapo wenye uchungu na Taifa ili hili wamsaidie mama Samia Suluh na nchi hii tabia ya kufata viongozi wa vimemo ni ndio shida yake