MJUE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA -KUZALIWA -KUSOMA -SAFARI ya SIASA - "ALIWAHI KUWA KOCHA wa SIMBA"

  Рет қаралды 223,505

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 150
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 3 жыл бұрын
Wanaomkubali Kasim Majaliwa kama mimi tugonge like hapa
@charlesrwegalulila1069
@charlesrwegalulila1069 4 жыл бұрын
No one can be more than Majaliwa next president 2025. Thank U Jpm Kwa kumkuza Majaliwa now his so fantastic leader. Asante Mungu kwa Tanzania Safi na imara.
@Happy-go-lucky637
@Happy-go-lucky637 5 жыл бұрын
Kama unamkubali majaliwa gonga like
@chawallamathew505
@chawallamathew505 5 жыл бұрын
Yuko vizuri ana deserve
@mikidadimbalijika6500
@mikidadimbalijika6500 4 жыл бұрын
Nc
@eliajoseph6865
@eliajoseph6865 4 жыл бұрын
Namkubali. San hongela mwanangu
@mainguburemo5947
@mainguburemo5947 5 жыл бұрын
Huyu ndiye Raisi awamu ya sita atakayeendeleza filosofia ya hapa kazi tu. Awamu ya Tano imeweka misingi mizito ya nidhamu ya utendaji uliotukuka na mambo tunayoyaona ni vyema mikoba hiyo ikaendelezwa na Mh. Kassim Majaliwa.
@joycejohn102
@joycejohn102 5 жыл бұрын
Bravo kigonsera secondary and High school locates at Mbinga district in Ruvuma region hakika ni shule bora maana imetoa Waziri mkuu na hata Rais wa awamu ya 3 Hon Benjamin William Mkapa na mkurugenzi wa sasa wa usalama wa Taifa kasoma hapo hapo Kigonsera
@safiaothman1098
@safiaothman1098 4 жыл бұрын
Hongera Mheshimiwa Waziri Mkuu. Nakuombea kwa Allah kila la kheri katika Maisha na Majukumu yako. MIMI EX- DAS Urambo.
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 3 жыл бұрын
Maajaliwaa bila kipingamizi 2025 ndio rais wetu ajaee munguu mbariki majaliwaa. Mpe afya njemaa umjepushe na .achoo ya hasaad rais wetuu hakika uwiongoze tanzania mungu ibariki TANZANIA
@amonbwanakunu910
@amonbwanakunu910 3 жыл бұрын
"Mheshimiwa Waziri mkuu, Mheshimiwa kassim Majaliwa Ni Kiongozi Mzuri Sana, Ni mfatiliaji mzuri Sana, Ninamuombea kila la Kheri kutoka kwa Mwenyezi Mungu Katika Majukumu yake.
@lutundujafau6020
@lutundujafau6020 5 жыл бұрын
Aisee,,,naamini kuna watu wako sehem lkn ndoto zao bado ndoto zao haziko kule kikubwa tuishi na malengo yetu tutatobowaaa,,💪💪💪
@abdulakihanza9328
@abdulakihanza9328 5 жыл бұрын
Tunaomba profile ya kange lugola
@lutundujafau6020
@lutundujafau6020 5 жыл бұрын
@@abdulakihanza9328 😀😀😀😀😀
@Buhatvonline
@Buhatvonline 6 ай бұрын
Story nzuri sana ila msomaji mmmm
@sadockmhinza699
@sadockmhinza699 5 жыл бұрын
super intelligent man namkubali sana mwalimu kassim majaliwa
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 2 жыл бұрын
Ana hekima huyu waziri mkuu
@jeremialauden5710
@jeremialauden5710 5 жыл бұрын
Kweli tutakula kwa jasho big up hastle in blood
@nicolastitus568
@nicolastitus568 3 жыл бұрын
Kumbe waziri wangu msomi nakupenda sana waziri mkuu wangu
@hajiramadhani2699
@hajiramadhani2699 4 жыл бұрын
Amezaliwa kabla ya uhuru wa Tanzania Kama umemuelewa bado kijana gonga like
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 5 жыл бұрын
mungu akuzdishie umri mlefu waziri mkuu majaliwa
@pradeepgajjar8614
@pradeepgajjar8614 3 жыл бұрын
Kaka you are best god bless you long live and have healthy life🙏
@edinamutakyawa6872
@edinamutakyawa6872 5 жыл бұрын
safi cn,namkubali sana mh Majaliwa
@oberdntalisha9041
@oberdntalisha9041 5 жыл бұрын
Kumbe hauna wazazi mh dar pore sana jembe letu
@zakariamaria9397
@zakariamaria9397 5 жыл бұрын
Sema pole siy pore
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 жыл бұрын
Mungu akupe maish marefu na afya njema inshalaah
@fedrickmwikwabe279
@fedrickmwikwabe279 5 жыл бұрын
Mh kassim majaliwa tunakuomba mwaka 2025 ugombee urais maana una uzoefu wakuongoza nchi by Fedrick mwikwabe from tarime Mara Tanzania
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 3 жыл бұрын
Yani tunamkubali sana sana majaliwaa .mungu ampe afyaa njemaa
@charlesbwire2010
@charlesbwire2010 5 жыл бұрын
hongera sana kiongozi wetu
@josephmbughi6944
@josephmbughi6944 4 жыл бұрын
Saiv nmepata historia ya mheshmiwa ndugai na majaliwa kwa u-tube! Lengo jema tunatiwa moyo..
@mohamedlacha6515
@mohamedlacha6515 3 жыл бұрын
If mama will contest obvious Majaliwa will support her
@rasammudmar5455
@rasammudmar5455 3 жыл бұрын
Sikudhani. Hongera
@seifkhatib4512
@seifkhatib4512 5 жыл бұрын
I like it congradulation MP majaaliwa
@yeahjimmundakega8228
@yeahjimmundakega8228 5 жыл бұрын
MtangaZaji unajua kutangaza vizuri sana !
@laurentfisso8111
@laurentfisso8111 5 жыл бұрын
yuko vizuri majaliwa
@farhatfatma12
@farhatfatma12 5 жыл бұрын
Spelling, spelling.
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 5 жыл бұрын
Dah, hatujui yajayo mbele
@nipautago8574
@nipautago8574 3 жыл бұрын
Next president! 🇹🇿
@magretmartin6992
@magretmartin6992 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie tunakupeda sana ujekuwa raisi
@JosephMasaba-w1v
@JosephMasaba-w1v Жыл бұрын
Huyo. Namkubari. Astimia100.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Eee Jina lake linaendana na istoria ya maisha yake MAJALIWA MUNGU AKUJALIE KILA SIKU BABA
@hajimakame7554
@hajimakame7554 5 жыл бұрын
nampendaa Rais wangu wa baadae
@paskalinanesphory3425
@paskalinanesphory3425 3 жыл бұрын
Hakika hakuna mwenye haki tazama msalaba yesu aliteseka lakini alifikia kilele chake usiwe na roho wa uwepesi mungu akubariki
@mohdkiparah2584
@mohdkiparah2584 4 жыл бұрын
Allah amjaalie ampe nguvu na hekma kufanikisha majukumu yke
@WiliamMasalu-gs2ov
@WiliamMasalu-gs2ov 5 ай бұрын
Anafaa kuwa Mkuu wa Nchi
@gigotz1755
@gigotz1755 5 жыл бұрын
Jk inaelekea anamkubali Majaliwa
@JosephNyoni-g5h
@JosephNyoni-g5h 5 ай бұрын
🎉
@roseamos2812
@roseamos2812 5 жыл бұрын
Nakuombea Kwa Mungu Ukawe president kwa miaka ijayo
@abduldello1555
@abduldello1555 5 жыл бұрын
Safi sana, ila hujaeleza kuhusu familia yake.
@winnifridambata8718
@winnifridambata8718 4 жыл бұрын
Familia yake Ana mke mmoja na watoto was 4 .
@mainguburemo5947
@mainguburemo5947 5 жыл бұрын
Atakuwa Waziri Mkuu wa Pili kuwa Raisi wa Tanzania baada ya Mwalimu J.K Nyerere kuwa Waziri Mkuu wa Kwanza na baadaye kuwa Raisi wa Kwanza wa Tanzania. Tunakutakia kila la Kheri.
@davidchesco52
@davidchesco52 5 жыл бұрын
Maingu Buremo mungu atusaidie maana anasifa kabisa kuwa Rais
@abdallaameir3153
@abdallaameir3153 2 жыл бұрын
Nauliza nyerere alikua wazir mguu wa tanzania ama tanganyika s
@dominickmassawe7720
@dominickmassawe7720 3 жыл бұрын
Huyu ndie raisi wetu
@frankmnale1900
@frankmnale1900 5 жыл бұрын
Alikuwa na karama ya uongozi toka utotoni...... Ndo maana mpaka leo ni kiongozi anaependwa na wengi
@nyangigewerema9123
@nyangigewerema9123 5 жыл бұрын
frank mnale x
@paskalinanesphory3425
@paskalinanesphory3425 3 жыл бұрын
Baba majaliwa piga moyo konde uone 2025 usituache kama muhimili wetu spika wa mbunge mungu atatulea kiongozi mzuri zaidi yake usiwe na ona fupi tazama parefu mbele
@polycarplazaro8482
@polycarplazaro8482 3 жыл бұрын
Namuona RAISI AJAE...WA JMTZ
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
@Given Mashishanga, profile ni nzuri ila, umefanya makosa kadhaa katika uwasilishaji wako, kiasi kwamba yanapotosha na kuharibu uhondo. Nitayaainisha hapa ili ujifunze na kuwa makini next time usomapo taarifa kama hizi. 1. Stokholm ni mji mkuu wa nchi iitwayo Sweden. Hakuna nchi duniani yenye jina la Sida, kama ulivyotamka kwenye taarifa yako. 2. Hakuna klabu Tanzania yenye jina la Namuongo, jina sahihi ni "Namungo" 3. Kwenye taarifa yako umetamka maneno: "...sakata la kabumbu..." halafu wala hukusema ni sakata lipi hilo. Huenda ulitaka kusema "...zaidi ya kusakata kabumbu, Mh. Waziri Mkuu ana fani nyingine..." Muandishi wa habari anapaswa kuwa makini katika utoaji wa taarifa, kwa sababu, zaidi ya mambo mengine, kazi hiyo huelimisha jamii pia. Taarifa zinapopotoshwa, kwa kukosa umakini au kutojua au kutofanya uchunguzi kabla ya kutoa taarifa husika, wakati fulani huweza kuleta balaa katika jamii husika. Ni muhimu sana kuwa makini katika taarifa zitolewazo.
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 3 жыл бұрын
Umemuelewesha vizuri. Ajifundishe kuwa Makini
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 3 жыл бұрын
Rejea pia "POSTIGLADUATE DIPLOMA'
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 жыл бұрын
SINGIDA UNAITED
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Na weww jufunze kiswahili hakuna neno muandishi katika kiswahili bali huandikwa na kutamkwa "mwandishi" siyo muandishi
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 жыл бұрын
THE NEXT PRESIDENT
@juliethmpuya9130
@juliethmpuya9130 4 жыл бұрын
Nic
@stanleymbwana4828
@stanleymbwana4828 5 жыл бұрын
Kuna WAZIR OMAR ALL JUMA HAKUWA WAZIR MKUU
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 5 жыл бұрын
Alikuwa makam wa Rais kipindi cha mkapa
@abuufauzaanmohd447
@abuufauzaanmohd447 4 жыл бұрын
Hakuwa waziri mkuu alikuwa makamo wa rais
@akothbake3602
@akothbake3602 3 жыл бұрын
Raisi wetu wa awamu ya sita bila kipingamizi🇹🇿
@salvatorybuha4328
@salvatorybuha4328 5 жыл бұрын
dah namkubali huyu jamaa ni hatari ni mchapakazi haswaa na ni mzalendo sana nampenda majaliwa balaa
@paulsamson335
@paulsamson335 4 жыл бұрын
Kaieowtfd
@agneswilbard9059
@agneswilbard9059 3 жыл бұрын
Nampenda kama magu
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Nandagala nanyumbu nanganga Nachingwea Ruwangwa mpekenyela.
@godfreychitanda8098
@godfreychitanda8098 3 жыл бұрын
Daaa
@emmanuelphabian1980
@emmanuelphabian1980 3 жыл бұрын
Dah nakusubil majaliwa nikupe kura yangu .
@donatusdaniel3722
@donatusdaniel3722 Жыл бұрын
Naomba profile ya Msukima - mbunge
@nicolastitus568
@nicolastitus568 3 жыл бұрын
Bonge la handsome
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 жыл бұрын
Hizi zote ni asante zake kikwete kuanzia magufuli na majaliwa hawa ndio wamerejesha ccm yetu tena kweny fom ....magufuli oyeeeeeee majaliwa oyeeeeee .......
@msetikebwasi8367
@msetikebwasi8367 3 жыл бұрын
Hilo wengi tumelisahau.
@Buhatvonline
@Buhatvonline 6 ай бұрын
Sida ni nchi gani?
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 жыл бұрын
HUYU NI WA KIUMENI .. SINA MASWALI BALI MAJIBU TUU.. ANAFAA..! 2025..!
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 3 жыл бұрын
Kabisaa anafaaa kasimu majaaliwaa awe rais wa TANZANIA tunamuombea
@sisnatusmnali1655
@sisnatusmnali1655 4 жыл бұрын
Next next president
@japhaljumamagulu8969
@japhaljumamagulu8969 4 жыл бұрын
Waziri yuko sawa tunaomba awe rais ajae mbele
@barakachawe6241
@barakachawe6241 4 жыл бұрын
Haha ndio najua leo kwamba mzee Warioba aliwahi kuwa waziri
@aloycebabene6239
@aloycebabene6239 3 жыл бұрын
Rais wetu
@drgerwinegosbert2547
@drgerwinegosbert2547 5 жыл бұрын
Given mashishanga ...baba yako alishawahi kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza?
@ypg144
@ypg144 5 жыл бұрын
Kuna kasoro nyingi sana umu mmedanganya
@kennedymtweve3187
@kennedymtweve3187 3 жыл бұрын
Wewe ndiyo raisi ajaye basi maana kuna watu mnapenda kupinga kilakitu.
@salumuledy8682
@salumuledy8682 3 жыл бұрын
Huyo ndio anayetufahaa kuwa rais wetu
@francismkenda
@francismkenda 5 жыл бұрын
Mhe. Majaliwa atabaki kuwa juuu atabaki kileleniiiiiii
@abdallaameir3153
@abdallaameir3153 2 жыл бұрын
Hapa naomba afafanuzi nyerere alikua waziri mkuu wa tanganyika ama tanzania sababu tunalishwa matango pori tu
@josephmgongolwa9496
@josephmgongolwa9496 3 жыл бұрын
Mnisaidie kigosera nimbeya luvuma hapa mbona katudanganya
@nkunasuitbert7837
@nkunasuitbert7837 4 жыл бұрын
Profile ya mh. Waziri mkuu haikukamilika mbona hukusema alioa lini na mkewe anaitwa nani na mwenyeji wa wapi?
@dattijulius2436
@dattijulius2436 4 жыл бұрын
Me nakuombea uwe raisi uendeleze kanuni ya hapa kazi tu
@babusadala5732
@babusadala5732 3 жыл бұрын
Mwambaa ......🤔🤔🤔
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
M/kiti CWT Mkoa Singida
@oberdntalisha9041
@oberdntalisha9041 5 жыл бұрын
Wewe ni raisi ujae baada ya raisi magufuri kumaliza
@joshualeonard8729
@joshualeonard8729 5 жыл бұрын
Ni rais anaekuja rais wetu ataamua maana maamzi ya ukweli mheshimiwa pombe magufuri
@joshualeonard8729
@joshualeonard8729 5 жыл бұрын
Magufuri ndo kila kitu
@emanuelminja5537
@emanuelminja5537 4 жыл бұрын
Nchini Sweden
@nestor384
@nestor384 5 жыл бұрын
Makonda please!!!
@sonymusa5333
@sonymusa5333 5 жыл бұрын
Huyu ndo raisi ajae
@chawawaally1259
@chawawaally1259 5 жыл бұрын
Ukuu was wilaya alianzia ulambo baadae rufiji
@christianosimba6083
@christianosimba6083 3 жыл бұрын
Uyu ndio rais wngu wa baadae kassimu
@abellutonja4589
@abellutonja4589 4 жыл бұрын
Kuna vingine huvijui unariport tuu
@alfanmussa3041
@alfanmussa3041 3 жыл бұрын
Umesaau km amewai kua mkuu wa wilaya ya bukoba mjini na kuwapiga walimu viboko
@deusdedithkitaly8337
@deusdedithkitaly8337 5 жыл бұрын
anafaaa kuwa raisi akigombania nampa kura
@ruwailaomar6501
@ruwailaomar6501 4 жыл бұрын
Kwa mgombea wa ccm ukimpa kura usimpe ni rais tu
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 3 жыл бұрын
Sio kugombania ni kugombea
@elisantekaaya3444
@elisantekaaya3444 3 жыл бұрын
Alizaliwa...1960…........ Mamake.. alizaliwa..1990..hivi.... Kuna.mtoto.wa.miaka.10.wa. kulelewa na shangazi???? Taarifa yako inatisha
@Mr.Ndelwa
@Mr.Ndelwa 4 жыл бұрын
Mbn hujazungumza kuwachapa waalimu akiwa DC
@nelsonishengoma9548
@nelsonishengoma9548 4 жыл бұрын
Kipindi hicho alikuwa naibu waziri Tamisemi
@Mr.Ndelwa
@Mr.Ndelwa 4 жыл бұрын
@@nelsonishengoma9548 alikuw DC
@gracejulius3966
@gracejulius3966 3 жыл бұрын
Wapi hiyo ndugu ?
@mbwanakivava461
@mbwanakivava461 5 жыл бұрын
Kama amezaliwa 1960 mbona hana mvi?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Unafikiri ana shida kama wewe?
@mbwanakivava461
@mbwanakivava461 4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 mvi haziletwi na shida we choko muulize baba yako aliyeshindwa kukusomesha Idiot
@suleimanbakar3429
@suleimanbakar3429 3 жыл бұрын
ajitangaza kuwa mgombea wa uraisi huyo kesha nunua radio hiyo imtangaze
@owenmwatebela4838
@owenmwatebela4838 4 жыл бұрын
mbona walimu atukumbukan
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Walimu Wenzangu tujuane Hapa
@lutenganocharles7194
@lutenganocharles7194 4 жыл бұрын
Yaan wewe dada umesma miaka ya tisini naa alikua chuo mlimani ghala unarud Tena miaka ya themanini naa aliajiliwa mbona hujui kupangilia ?? Haya mambo waachieni akina Edgar na mpagaze hujui kupangilia
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
Majaliwa Jembe mchapa kazi anafaa kuvaa viatu vya JPM akimaliza mda wake
@agustinolugusi9671
@agustinolugusi9671 5 жыл бұрын
2025
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
baada ya mzee magufuli rais wetu ni dr hussen mwinyi maarufu ruksa junior.Msisahau utaratibu wa tanzania kwanza miaka kumi rais mkristo na miaka kumi rais mwislam utaratibu uliowekwa na baba wa taifa mwl nyerere.Pili Rais wa kikristo wanakuwa wakali na wakiislam wanakuwa wapole.kwa historia baada mh magufuli rais mkali na baada yake ni dr hussen mwinyi (ruksa mdogo)ni mpole kama baba yake mzee mwinyi
@abdullahkimbweja1066
@abdullahkimbweja1066 5 жыл бұрын
Eti ruksa junior 😀😃😄
@laodapigfarmmrduroc8327
@laodapigfarmmrduroc8327 5 жыл бұрын
unaletaudino, ndio maana waafrica hamendelei koz mnawaza dini zilizo letwa na wageno ambazo zinatutenga hadi leo
@kennedymtweve3187
@kennedymtweve3187 3 жыл бұрын
Tunataka kiongozi sio dini
@marymajula5351
@marymajula5351 4 жыл бұрын
Sida ndio nini!!!
@hamisayusuph5966
@hamisayusuph5966 3 жыл бұрын
Kura yangu kwako 2025
@ellymaz2187
@ellymaz2187 4 жыл бұрын
Peter Ching'ole???
@jumamdely747
@jumamdely747 4 жыл бұрын
Waaakili
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 жыл бұрын
NAMUNGO au NAMUONGO
@msafirilibagaja3792
@msafirilibagaja3792 3 жыл бұрын
Namungo
@agiedonath7687
@agiedonath7687 4 жыл бұрын
Magufuli
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
Jembe Majaliwa tunakupenda sana ,halafu wewe ujali wala nini kazi kazi.Tunakusubili 20..................
@AngelHamad-d6q
@AngelHamad-d6q 10 ай бұрын
Unatosha kuwa rais
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 3 жыл бұрын
Nina mkubali saaana
@rapperdx1331
@rapperdx1331 5 жыл бұрын
Bob makani, aliyekuwa Gavana wa benki enzi za mwalimu
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 4 жыл бұрын
No, ni edwin mtei
@Nedjadist
@Nedjadist 4 жыл бұрын
Nchini Sida! Nchi gani hiyo? Yaani tumefika hapa?!!!!
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН