Рет қаралды 28,995
"KISIASA MAGUFULI ALINITANGULIA, NI MKALI SANA/ HANA KIGUGUMIZI" (PART TWO)
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Peter Pinda amekiri kufurahishwa na uongozi wa Rais Magufuli kutokana na kuwa na msimamo katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo ikiwa ni muendeleo wa hulka yake ya kiuongozi tangu alipokuwa waziri wa Viwanda.
Mstaafu Pinda ameyasema hayo alipofanya mahajiano maalum na Global Tv Nyumbani Kwake Dodoma na kuongeza kuwa katika kipindi ambacho amekuwa katika siasa alifanikiwa kufanya mambo mbalimbali yakimaendelea ambayo yalichangia kuteuliwa kuwa waziri mkuu mwaka 2008 baada ya aliyekuwa waziri mkuu kipindi hicho Edward Lowasa kujiuzuli
#MizengoPinda
kzbin.info?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho