ALIYEENDA KWENYE MKESHA wa MWAMPOSA AKUTWA AMEKUFA ARUSHA AKIWA ANATAPIKA DAMU MDOMONI....

  Рет қаралды 69,705

Global TV  Online

Global TV Online

18 күн бұрын

ALIYEENDA KWENYE MKESHA wa MWAMPOSA AKUTWA AMEKUFA ARUSHA AKIWA ANATAPIKA DAMU MDOMONI....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 162
@globaltv_online
@globaltv_online 17 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch 16 күн бұрын
Hapa mwandishi anatafuta viewers kupitia jina la mwaposa sawa lakini vaa viatu vya mwamposa alaf uone wewe ungeandkiwa hiv ungejiskiaje! ? Nakuomba usianike mabaya yakanisa la Mungu nje kwamsalai yako,, kuna mengi mazuri yako huko yaandike mm siyo muumin wa mwamposa bt sjapenda ulichokifanya kwa sababu unaharib iman za watu wengi mwisho kabisa Tunakupenda na tunakutakia mafanikio mema ktk kaz zako ila tunakusihi kuwa makini unapoandka habar za kanisa la Yesu,, andka kwa njia ya kujenga sikubomoa❤❤
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 14 күн бұрын
Muwasamehe hao pia mungu atusaidie
@chrissmichaelmashouda1726
@chrissmichaelmashouda1726 14 күн бұрын
Kwani unaumia nini mzee
@JosephineItambu
@JosephineItambu 13 күн бұрын
We nae kanisa la Mungu unalijua wewe!?Hakuna kanisa linaloanzishwa na mtu mmoja abadani,,kanisa kama unasali inabidi ukienda popote Tanzania au hata duniani huko uweze kulipata na mnasali kwa utaratibu sawa kwa sehemu zote mfano;Catholic,Lutheran,Anglican,Sabath,Moravian na Orthodox...na ushasema wewe sio muumini wake sasa unatetea nini!?Kanisa gani liko sehemu moja tu dunia nzima!?Hakuna kanisa la Mwamposa na hakuna imani hapo uchawi uchawi tu...kwenda huko
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k 11 күн бұрын
@@JosephineItambu wew angalia unachokiongea aya mungu anakuona angekua mchawi watu wasingejaa mbona kwa waganga watu awajai,,, ubinafsi uo,,, kaletwa kwajiri yetu kama yesu tu,,, kama asingeonekana apa dunian pia ungemsema vibaya kaonekana pia unamuona siyo mzur kwako kwangu mwema sana,,,,, naona maendeleo na sijawahi kwenda kanisan kwake,,,,, iman huna wew uyo ni shetan,,,,, mungu akubaliki sana,,
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k 11 күн бұрын
Mtoe shetan moyon mwako anakutalawa adi uwamin anaweza mwamposa,,
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 17 күн бұрын
Hiyo wala mwamposa hausiki
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 17 күн бұрын
Ahadi yake imefika apumzike kwa amani 🙏🙏😢😢polen wafiwa 😢
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 17 күн бұрын
Ni ujinga wa hali ya juu Sana una ugua madonda ya tumbo badala ufate taratiibu za matibabu nyie mnaenda kunywa maji na mafuta ya upako wa mwamposa wakati hakuna haja ya kwenda kwa mwamposa sema na mungu atakusikia
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k 11 күн бұрын
Amna syo ivo inawezekana bado vilikuwa vinamsumbua ndomana akaenda,,,,
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k 11 күн бұрын
Achena mabishano kashaenda mwezenu anaaman alipo nyie mnamuongezea azabu vingine vigeuzien kichogo,,,
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 17 күн бұрын
Bora ulimkimbilia mungu kwa Imani....pumzika salama
@Zaburi-
@Zaburi- 16 күн бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@esterabonga7947
@esterabonga7947 16 күн бұрын
Which Mungu 🤷🏾‍♀️🙄kafara hizo wamezitowa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 16 күн бұрын
@@esterabonga7947 duh
@JosephineItambu
@JosephineItambu 13 күн бұрын
Eti Mungu mnachekesha kweli nyie eti alimkimbilia kwa Imani...huyo kamfuata mtu na sio Mungu kikubwa tu kumuombea apumzike kwa amani basi
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 17 күн бұрын
Maelfu ya mahujaji juz wamekufa maka wakihiji hamshangai huyo kaenda karudi salama vidonda vimemtoa roho watu wanachonga kuweni na ufahamu basi au bando zinawawasha
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 16 күн бұрын
WALE WALIOKUFA MAKKA WAMEKUFA KWA MABADILIKO YA HALI YA HEWA JOTO LILIZIDI GHAFLA BAADHI YAO WAKAPATA MATATIZO YA KUPUMUA NA WENGINE WAKAFA. LAKINI KWA HILI LA MWAMPOSA NI TATIZO; HATA SISI TUMEMPOTEZA SISTER WETU JUZI TU CHANZO NI HUKO HUKO KWA MWAMPOSA WATU BADALA YA KWENDA HOSPITALI KUPIMWA YAJULIKANE WANAYOYAUGUA WAO WANAFAKAMIA MIMAJI NA MAFUTA HUKO NDANI MIILI WANATEKETEA... WAKIJA KUSHTUKA TAYARI KABURI HILO...
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k 11 күн бұрын
Kweli ndugu yangu linawawsha bando wakae kwakutulia,,,
@petercostakisoka
@petercostakisoka 17 күн бұрын
Daah kazi za mgodini ndy shida yake moja wapo
@AshuraMagwiza
@AshuraMagwiza 17 күн бұрын
me mwenyewe nawashangaa mwamposa hapo ana husika nin mtu alikuwa na tb zake huko mnataka kutuletea uchuro hapa hebu muacheni mwamposa wa watu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 15 күн бұрын
Ni ahadi yake tuu imefik mwamposa hausiki. Pole sana Dada
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 17 күн бұрын
Na ukifia kwenye imani, Sheria ya dunia inasema kua unakua umeuawa na imani yako
@kelvinsakey2540
@kelvinsakey2540 4 күн бұрын
Huyu mama namfahamu alikua jirani yangu mererani pia mtoto wake alikua mpenzi wangu yani huyu mama alikua na mume mzuri sana mpole akawa anamtesa sana mume wake akamuacha akaenda kuolewa uko arusha sasa mungu amempa pigo kubwa sana kwa kumyanyasa mme wake wa kwanza
@SianaPeter54-y6k
@SianaPeter54-y6k 11 күн бұрын
Mimi najua uyo marehemu kaenda kutubu mala ya mwisho aende akiwa msafi,,,,, mungu kashamsafisha nakumpokea,,,
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 17 күн бұрын
Mtu kafariki sasa Mwamposa kahusika vipi hapa . Kwanin mwandishi wa habari umekosea kichwa Cha habari Cha kuandika
@godsonprosper6657
@godsonprosper6657 17 күн бұрын
Hizo ni kafara anatoa
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 17 күн бұрын
@@godsonprosper6657 una ushahidi gani?
@user-ib2uf3uk2d
@user-ib2uf3uk2d 17 күн бұрын
😅
@DeboraChediely
@DeboraChediely 17 күн бұрын
Nabii akubaliki kwaoo
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 17 күн бұрын
​@@godsonprosper6657Tuletee ushahidi!
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu 14 күн бұрын
GLOBAL TV. Hapa mmezingua kichwa cha habari kina bonge la ukakasi kuliko ndimu.
@DamaresiDaudi
@DamaresiDaudi Күн бұрын
Jaribu kufikiria title zako kabla hujaandaa habari,,,Kuna wengine hawana muda wa kusikiliza the whole story,ko akichukua title anakuwa kamaliza, wengine mabando yanakuwa yamekata,hatuwezi sikiliza Kila kitu!! Kilicho muua ni ugonjwa aliokuwa nao na siyo safari ya Kongamano kawe!!! Kama ni Ivo angefia kule angalau tiltle ingeleta maana,,,! Pole saana dada kwa msiba na hokgera kwa kutomsema mtumishi wa Mungu vibaya,,
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 6 күн бұрын
Acheni ujinga wakati wamutu ukifika nikurudi mbinguni kifo ni kawaida kwa mwanadamu. Cha muhimu nikujianda kuwa na Yesu moyoni. Mungu afariji familiya yote.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 17 күн бұрын
Mwaposaaa 😮😮, pole mama kwa kufiwa na ndugu yetu. Mwaposa uje huku
@momentsonearth360
@momentsonearth360 17 күн бұрын
Kuna uhusika gani kati ya kwenda kwa mkesha na kifo chake....
@HalimaDolle
@HalimaDolle 7 күн бұрын
Arise and shine ucogope Amin tuu naamin kabisa maomb ya mwamposa ipo cku tuu mungu atanifungua
@user-xt3zz7uj4g
@user-xt3zz7uj4g 16 күн бұрын
Miguu inachooo inachookaa..polen sana
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 17 күн бұрын
Inalillah waina ilaigh rajiun
@vero57
@vero57 17 күн бұрын
SASA HAPO MWAMPOSA ANAUSIKAJE NA KUMWA KWAKWE??? ACHENI UCHAFULIA WATU , INABIDI UPIGWE FINE MUADISHI!!!😮😮😮
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 17 күн бұрын
Achen kumchafua Mwaposa anausika nn hapo
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 17 күн бұрын
Kafara
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 17 күн бұрын
@@regnethmtemanyongo2237 usiseme kitu usichojua ww Kila kitu kafara acha ushabiki wa kishamba
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 17 күн бұрын
Utajiri kanisani??? Labda mungu huyo awe na mapembe!!
@haryanyawu640
@haryanyawu640 17 күн бұрын
Pole sana jamani Mungu akutie nguvu
@rehemaissa9438
@rehemaissa9438 17 күн бұрын
Jaman siamfufue sasa sianaponya watu na mtu ametokea kwenye maombi dunia hii
@kutailass6671
@kutailass6671 17 күн бұрын
Hahahaaaa nicheke mie yaan watu wanahasira kweli mitume na manabii sindo wao amfufue aringe😏
@mcback4384
@mcback4384 17 күн бұрын
​@@kutailass6671 nyie wanaizaya mnaonekana mmefurahi sana kisa aliekua kwenye mkesha kafariki, dini yenu ni ya kishetani imejaa roho mbaya, chuki, visasi na giza, haina upendo, huruma, utu wala ubinadamu
@CalmGlassRose-oy3qv
@CalmGlassRose-oy3qv 16 күн бұрын
Unawez ukasema umemzihaki mwamposa kumbe umemkosoa Mungu tuwe makini n maneno yetu
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 17 күн бұрын
Sasa hapo Mwaiposa anahusikaje?,Pumzika kwa amani
@user-cd2wr3ly7n
@user-cd2wr3ly7n 10 күн бұрын
Acheni ujinga nyie Hamna yeyotee anae lazimishwa kwenda kwa mwamposa Bali mwenye Imani ndiyo ataenda na kufunguliwa mwamposa Ni mtume Alie tumwa na MUNGU Kuna kutuokoa
@Catherine-u6g
@Catherine-u6g 17 күн бұрын
Pole sana
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 17 күн бұрын
WAS MWAMPOSA NECESSARY TUNAJUWA ULITAKA KUTUVUTIA TU VIEW BUT OK BACK TO THE PONT MUNG AMLAZE MAHAL PEMA PEPON SIKU ZAKE ZILIKUWA ZIMEFIKA😢😢😢
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 17 күн бұрын
Huyo alikuwa ameshaisha. Kichwa cha habari mjirekebishe ni wachonganishi saana mwamposa anahusika nini
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 17 күн бұрын
tu unsubscribe jmn huyu mwandish kichaa
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 17 күн бұрын
Sasachivyo ni vidonda vya Tumbo sasa Mwamposa anahusika nini hapo jamani?
@magejuliani5293
@magejuliani5293 17 күн бұрын
Ha ha haaaa! Tukiumwa twendeni hospital jamen
@b.a.m6243
@b.a.m6243 16 күн бұрын
Mtuache na Mwamposa wetu, wengine tumeenda na tumepata vyetu tunafurahia.😊 Kifo n ahadi ya MUNGU wote tutakufa tu.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 17 күн бұрын
Kusanyiko la Mwamposa ni kusanyiko la wenye shida na matatizo mbalimbali kama wale wa babu wa Loliondo. Hawana shida na Mungu isipokuwa wanashida na baraka za Mungu.
@ElizaMzava-t2n
@ElizaMzava-t2n 15 күн бұрын
Mwandishi umekosea sana kumuweka mtumishi wa Mungu
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 17 күн бұрын
Afadhali alikesha. Mungu ampumzishe kwa amani
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 17 күн бұрын
Kaenda kwa Amani ya bwana siku yake ishafik Sisi binadam tunapita Tu kwa dunia
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 17 күн бұрын
Mmmmmh sijui wameanza porojo
@naomipieter4627
@naomipieter4627 17 күн бұрын
Kwani kafia kwenye mkesha kawe dar au Arusa
@nasrachaya
@nasrachaya 17 күн бұрын
😂arusa TNA...NI Arusha ndo kafia
@LilyKoba-wx2pj
@LilyKoba-wx2pj 14 күн бұрын
Mbona kichwa cha abar akiendani na taalifa usika kama wananchi wenywe wanampenda mwamposa wao waacheni2 acheni kuchafua jina lake muacheni afanye kazi mie sio shabiki wake ila kupitia ili vyombo vya abar mmezingua sana
@MamuJuma-ot9wy
@MamuJuma-ot9wy 16 күн бұрын
Unapopata maradhi ni muhimu kwenda hospital kupata matibabu, then tumuombe mwenyezi mungu kupitia matibabu hayo tupate kupona. Lakini kuanini maombi tu bila kupata matibabu ni mbaya , kwasababu magonjwa yanaitaji tuba
@AdveterKawenga
@AdveterKawenga 13 күн бұрын
Dactar anatibu mungu anaponya je mliambiwa mkiumwa msitumie dawa na mwamposa anahusika vip hap achen unafiki
@MariamKristopher
@MariamKristopher 11 күн бұрын
Jamani msichafue jina la baba etu mwaposa mtumishi wa mungu Hana kosa
@user-lb1nr2fw7t
@user-lb1nr2fw7t 17 күн бұрын
Siku yake ya kufa ilikua imefika tu na bora alivo enda kwa mposa kumuomba mungu mara ya mwisho mungu amsamehe mazambi yake yote
@user-sc9zl2hx1c
@user-sc9zl2hx1c 17 күн бұрын
Iyo jamani ata mtumishi auhusiki kwanini nyinyi wana habari mnachapicha mambo ya kudhalilisha watumishi mbona wote tulioenda atujakufa pumbavu zenu
@user-re2em2zd2u
@user-re2em2zd2u 17 күн бұрын
Umeona ee
@samsonkibona7376
@samsonkibona7376 17 күн бұрын
Sasa hapo Mtumishi Wa Mungu Mwampisa Ameingiaje...? AU NI MBINU YA KUMCHAFUA MTUMISHI WA MUNGU .......?
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 17 күн бұрын
tu unsubscribe abaki peke ake,,ana mchafua baba huyu😂
@blessingntuli3796
@blessingntuli3796 16 күн бұрын
Sema Arusha kwa wachaga kunamatukio mengi sanaaa Wachaga wapo kama wa xhosa wa Africa kusini,mbaka tabia wanafafa 🤔🤔🤔
@MaryKalunde
@MaryKalunde 16 күн бұрын
Mgonjwa alikua hali yake ni mbaya, teali alikua anaumwa sana kabla ya kumpeleka kwa mwamposa
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 14 күн бұрын
Huyu mwamposa hajui siri iliyoko nyuma yake fateni mkumbo tu mtajua dini za kilokole zipo hamzitaki
@MonicaBeni
@MonicaBeni 12 күн бұрын
Mapepo ya mwamposa yanapenda sana wachaga
@AgnesiSanga
@AgnesiSanga 13 күн бұрын
Hapo mwandishi wa habari ni mchokonozi, mtu kwenda kwenye maombi c wote watapona, utapona kutokana na ulivyoamini, ukiamini kuwa unaenda kupona na utapona, hao maelfu wanaopona wanasemea wapi" kazi kutaka kumchafua mwamposa
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 17 күн бұрын
Pole sana dada
@LUCIAKANANI
@LUCIAKANANI 4 күн бұрын
Pole
@SophySekuzi
@SophySekuzi 9 күн бұрын
Jamani tatizo atuna imani sisi wenyewe😢😢
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 17 күн бұрын
Kuna siku mtaandika alietoka kunya mda mfupi akutwa amekufa kwan kwenda kwa mwamposa kunahusiana nn na umauti wake
@user-mc5zb3ox9c
@user-mc5zb3ox9c 14 күн бұрын
Siku zake zilifika tu alale Mahal pema pepon
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 17 күн бұрын
Pole sana mama kifo ni fumbo nakila mtu atalisoma
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 17 күн бұрын
sasa Mwamposa anahusikaje hapo sasa
@muhamedbashir2661
@muhamedbashir2661 13 күн бұрын
Vidonda vya tumbo ni mbaya sana matibabu yake dose ya week 2 elfu 75 Dose 2 ya week 2. H PYLORI
@ZakiaSwai
@ZakiaSwai 10 күн бұрын
Pole jmn ndugu yangu wa damu😢😢😢
@JaneAlvin-gt6dm
@JaneAlvin-gt6dm 14 күн бұрын
Mbona sijawai kuona taalifa za maheremu wengine walikufa wakiwa wametoka wapi
@ChristinaWilbad
@ChristinaWilbad 14 күн бұрын
Kweli nimeamini sio wote wanaoenda gelezani wqhatia,hiyo ni mipango yamungu
@TheostinaZullu
@TheostinaZullu Күн бұрын
Mmmh😢
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 17 күн бұрын
Si mnapenda vya ulahisi bila maombi mengi yangu binafsi manabii Hawa watatumaliza
@annasolomon9855
@annasolomon9855 17 күн бұрын
Watu ni wajinga hivi huyu mtu siunaambiwa alikuwa mtu wa mgodini na alikuwa na kifua Cha TB, Sasa hapo mwamposa anahusikaje?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 17 күн бұрын
Watu ni wajinga hivi huyu mtu siunaambiwa alikuwa mtu wa mgodini na alikuwa na kifua Cha TB, Sasa hapo mwamposa anahusikaje?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 17 күн бұрын
Watu ni wajinga hivi huyu mtu siunaambiwa alikuwa mtu wa mgodini na alikuwa na kifua Cha TB, Sasa hapo mwamposa anahusikaje?
@fatumamtukane6060
@fatumamtukane6060 14 күн бұрын
Wanadamu nyie mwamposa hapo kafanyaje mpaka mwandishi umeandika na marehemu alikuwa mgonjwa vidonda vya tumbo kikohozi innalilah waina llih rajiun
@davidyongolo8102
@davidyongolo8102 16 күн бұрын
Sasa ina uhusiano gani na ibada ya mkesha . Vyombo vya habari vina laana kwa kweli
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 17 күн бұрын
Kufa ni njia ya kila mwanadamu hivyo tuvumilie tu maandiko yanasema msifikiri juu ya wafu msije mkauuzunika.
@user-nj3hy8ov7y
@user-nj3hy8ov7y 16 күн бұрын
Sasa vidonda vya tumbo navyo siugonjwa wa hospital duh huyu mwamposa sasa mnamfanya km mungu wenu
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 15 күн бұрын
Daaah jaman angalien title za kuandika kwenye habari
@JaphetMagembe-ko8vv
@JaphetMagembe-ko8vv 14 күн бұрын
Ame kufa ame kufa tu usianze kusingizia watu kwani amekanywaga saaa mtumishi anausikaje
@BlandinaSingano
@BlandinaSingano 14 күн бұрын
Kwahy unataka kusema mwamposa kamtoa kafara au? Mwandish acha ufala
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 17 күн бұрын
Basi kama alikuwa na tb basi ilikuwa Bado haikumwisha maana kuna jirani yangu nae Alikuwa Ana tb Alikuwa akitapika akikohoa anatapika damu naye alishakufa
@mberwasevelian7406
@mberwasevelian7406 10 күн бұрын
Acha uongo kumsingizia mtume kama siku yake imefka acha afe
@nuruosward8161
@nuruosward8161 15 күн бұрын
Wapumbavu wa kubwa nyie achen kumchafua mwamposa embu semeni na mema yake iman humponya mtu Mwamposa anatufundisha iman kuamini Mungu anaponya ukiamini ndugu yenu kama hana iman
@user-mc5zb3ox9c
@user-mc5zb3ox9c 14 күн бұрын
Yan mtihan sana
@fettyanthony8489
@fettyanthony8489 14 күн бұрын
Ko mnataka kusemaje yani mpaka mseme mwamposa
@veronicaromwald8311
@veronicaromwald8311 15 күн бұрын
Aliyetoka maombi ya mkesha akutwa amefariki dunia ndani kwake. Ingetosha kabisa hii headline ndugu waandishi wenzangu kufikisha ujumbe, rejea defamation subject, na story yako imepwaya maana anayetuhumiwa haujampa hata dakika moja kujieleza, uandishi wa namna gani huu? 😮
@ironefacemsovela4504
@ironefacemsovela4504 13 күн бұрын
Kwamba Mwamposa ndio kamtoa roho, acheni upumbavu nyie basi tungekufa wengi
@RoseLorry-w4s
@RoseLorry-w4s 13 күн бұрын
Sass hapo mwamposa anahusikaje??????
@RosePeter-g1n
@RosePeter-g1n 6 сағат бұрын
😢
@hellenwilliamwilliam8256
@hellenwilliamwilliam8256 17 күн бұрын
Sasa hapa mwamposa anatajwatajwa WA ni nin
@mariamuodila4132
@mariamuodila4132 15 күн бұрын
arf wanakazi yakumuchafua tu mtumishi wawatu jaman shezi zenu
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 16 күн бұрын
Jamn tz watu hawazingati matibabu kwenda hospital na kupata dawa na kutumia kwa wakanti ndio shida hii, mtu anakwenda hospital ugonjo ushakuwa mkubwa,kisha dawa hanywi akisikia kunamaombi au maji ya upako au kunamganga bas dawa hazina kaz tena huzembe wa hari ya juu sana na kuto kula vizuri ndio shida?
@mymuhnabdallahshaban7763
@mymuhnabdallahshaban7763 16 күн бұрын
Tibiii mbya San km hutofata utumiaji wa dawa bs inakuondosha mara moja Ila ukipata mtu akusimamie vizur bs unapona
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 15 күн бұрын
Siyo alipata kama TB, vifo vya migodini vinafanana TB+kubwa yake.
@elizabethraymond6388
@elizabethraymond6388 13 күн бұрын
Sasa hapo yan kuumwa, logo na mwamposa uhusiano uko wap
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 17 күн бұрын
Wandishi Sasa et kwa mwamposa aliend kufny nn fullish question shem upon u
@estherngilisho5053
@estherngilisho5053 16 күн бұрын
Ila jaman watz tuna mambo sasa hapo Mwamposa kafanya kosa gani jaman lawama tubza bure
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 17 күн бұрын
Sasa mwaposa ahusikaje hapo
@ironefacemsovela4504
@ironefacemsovela4504 13 күн бұрын
Kumbe mtu mwnyw alikuwa ana dawa means mgonjwa
@KisumoKatigura
@KisumoKatigura 11 күн бұрын
nipo nyumbani tu
@lowasamollel9852
@lowasamollel9852 17 күн бұрын
Ananja anawaeleza kila siku ukweli kuwa mtauliwa sana kama mtaendelea kuwa kama kondoo
@upendonaftali203
@upendonaftali203 16 күн бұрын
Mwamposa anausika na nn apo
@davidyongolo8102
@davidyongolo8102 16 күн бұрын
Kwa NINI hukumpeleka hospital?
@mariamuodila4132
@mariamuodila4132 15 күн бұрын
jamaniii kwhyo siku zimefka tu
@WinifridaGregory
@WinifridaGregory 10 күн бұрын
Sasa mwamposa anahusikaje apo
@YemimaMinja-uo4ik
@YemimaMinja-uo4ik 17 күн бұрын
Sina tabia ya kuandika comments ila kwa hili global tv mmekosea Sasa mwamposa anahusika vipi kwenye kichwa Cha habari Edit hiyo tittle
@TreasureTebuye
@TreasureTebuye 17 күн бұрын
Huyo alifi ha tu alikuwa na tb ya matumbo
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 17 күн бұрын
channeli ya kijinga sana,kichwa cha habar ni cha kumchafua baba wa watu....jmn tunaosali kwa mwamposa tu unsubscribe abaki pekeake kweny channel yke😂
@AlmelindaMwajombe
@AlmelindaMwajombe 7 күн бұрын
2:34
@JumaMbaga-sd5yi
@JumaMbaga-sd5yi 17 күн бұрын
Kumbe alikua na tb mbona wewe unasema vidonda vya tumbo ongea ukweli usifiche
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 9 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22