JPM: Mimi sitaki nipendwe, hata sura yangu ni mbaya

  Рет қаралды 28,112

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

“Siasa za kubembeleza mlizokuwa mmezizoea sitazisema mimi mpaka namaliza muda wangu, na mimi sitaki nipendwe sana, hata sura yangu ni mbaya,”.
Ni kauli ya Rais Magufuli akiwa kwenye mkutano wa hadhara, kwenye Uwanja wa Ukuta Mmoja, Mjini Nansio, wilayani Ukerewe, Septemba 4, 2018

Пікірлер: 9
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 16 күн бұрын
Mmmmmh.....karikuwepo ka Maguful.....😭😭😭,Mikononi mwako eeeh Bwana naiweka ROHO yangu.
@edinafaustine1142
@edinafaustine1142 2 жыл бұрын
Kweli kabisa 😭😭😭
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 жыл бұрын
Umetisha sanaaaa nakupenda sanaa mweshimiwa
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 2 жыл бұрын
Kweli yametokea
@jackhans7708
@jackhans7708 4 жыл бұрын
Huyu ndio kiongozi kweli kweli
@joshuamalulu1962
@joshuamalulu1962 2 жыл бұрын
Wanadamu hawana wema tukumbuke mungu si mwanadam akili zake hazichunguziki
@alutosanga1217
@alutosanga1217 5 жыл бұрын
Magu uko good
@shabanpakiachinenda5365
@shabanpakiachinenda5365 5 жыл бұрын
ELIMU SAHIHI
@amanikudeli5297
@amanikudeli5297 5 жыл бұрын
kwel
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 582 М.
Azam TV - JPM azungumzia sakata la elimu ya Makonda
2:52
Azam TV
Рет қаралды 51 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 26 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Closing of ADEPR Retreat- Kigali, 2 December 2012
28:33
Paul Kagame
Рет қаралды 18 М.
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46