ARUSHA MMETISHA SANA KWELI ARUSHA NI NCHI NYINGINE KABISA YA WATU WANAOJOTAMBIA
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi7 ай бұрын
Chama langu Chadema people's power 💪
@khadijasendeu8694Ай бұрын
Arusha jamn nawapenda ❤❤
@georgekabaka377Ай бұрын
Maandamano gan sasa hayo...Tuwaachie Kenya....maandamano kama mmebeba jeneza mnaenda kuzika
@mbulachujoseph25968 ай бұрын
Arusha tumeona. Mungu bariki chadema
@TajimwalimuMwalimutajiАй бұрын
Namkumbuka Magu.
@innocentlodamuni67868 ай бұрын
Dr slaaa katembea mpk anachechemeaa walaiii tz nchi ngumu sanaa
@MichaelMghamba-tv8ht8 ай бұрын
Chadema nawakubalisana hongerenikwakaziyenukubwa yakututetea chinga nawatuwalevozachini maisha yapass ndefu ymalza nguvukazi nchini
@BunzarMarco8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@georgekabaka377Ай бұрын
Kuliko kupoteza muda bora uingie CCM (CHAMA CHA MAOKOTO)😂😂
@hancemagembe62608 ай бұрын
Tatizo chadema ni vijana ambao hawapigagi kura .
@rebekakulwa61598 ай бұрын
Farao alikuwa na kiburi kuliko hata fisiemu lakini mungu alijidhihirisha kama yuop nyie fisiemu mtaiona ghadhabu ya mungu
@BonithadeiChaula8 ай бұрын
Makamanda nawaon
@vickylupemba60558 ай бұрын
Hii komesha yao👏🏽👍🙏🏾✌🏼✌🏼✌🏼
@vickylupemba60558 ай бұрын
No hate no 😨
@williamlaiza66338 ай бұрын
ayo tv plz mtafuteni yule aliekua anapotosha boda boda akijiita ni kiongozi mbona sis boda boda hatumjui
@noelbryson78407 ай бұрын
Kaka ishu ni kwamba hawa jamaa wa bado wengi siyo wajinga.. Wanakula hela za upande wa pili halafu siku inayofuata wanawakimbia 😅
@loserian-mj1gj3 ай бұрын
Mnajidanganya hri tu mhamie CCM wote
@FredMramba-hx3gl8 ай бұрын
Leo magufuli akiamka anafukuza wote na walioruhusu maandamano
@LindaMbilinyi-n3n8 ай бұрын
😂
@luvmo048 ай бұрын
Chama cha waganga
@AshaMwamba-v2o8 ай бұрын
Kumbe jamanii chedema tupoooooll daaaaaaaa
@loserian-mj1gj3 ай бұрын
Mpo lkini hamtoshi mboga
@allonjoseph54678 ай бұрын
eti mbowe gaidi hahahaa😂 gaidi anaongoza maandamano nchi hii inahitaji badriko
@Magumamangombe8 ай бұрын
Wewe unasumbuliwa na ujinga😅😅
@africanmandetraveler28478 ай бұрын
Kuiondoa CCM madarakani ni ndoto ya mchana.
@allonjoseph54678 ай бұрын
una manufaaa na ccm ndio maana unasema hivo
@brightonfilbert8 ай бұрын
Usikute nae ni wale wapigaji hawatak kuondolewa madarakan
@PhirimoniMwakalili8 ай бұрын
Unaumia
@exaverysimon10648 ай бұрын
NAJUA WENGA WATAPINGA ILA UMEONGEA UKWEL
@geofreatumbo45438 ай бұрын
Mimi nimeandamana
@malipocomedy8 ай бұрын
❤❤from Kenya 🇰🇪
@ATUMAHENGE-jk8ie8 ай бұрын
Bodaboda nyie kiboko kiongozi wenu Yuko wapi
@exaverysimon10648 ай бұрын
CCM IMEONGOZA NCHI HII KWA MIAKA MINGI KO INAJUA IWASHIKE WAP WATANZANIA WALEGEE😅😅 WANAIJUA KILA KONA YA NCHI HII KO SIO LAHIS SEMA TU MTAOGEZA USHINDAN TU
@wadhhasuleiman26218 ай бұрын
Watanzania ni vilaza
@YusuphShaban-t5g8 ай бұрын
Kwahy ww unafurahia na hal hii ya maixha badilik ww
@Boniphaceshayo58 ай бұрын
Hapo nimemuona mdeni wangu alikimbia na pesa yangu 😢
@ThomasMollel-q5h7 ай бұрын
Arusha kitovu Cha mageuzi
@williamlaiza66338 ай бұрын
mimi nina wazo, kwanini yule kiongozi alikua anapotosha boda boda asichuliwe hatua na aulizwe ni nani aliempa uongozi wa bodaboda wakati yeye mwenyewe hawezi kuendesha hiyo boda boda…mbona boda boda hatumjui
@noelbryson78407 ай бұрын
Bodaboda watu wabadi sana 😅.. Wanakula hela upande wa pili halafu kwenye maandamano kama kawaida hawakosekani 😅..
@jeunajuatv8178 ай бұрын
Binafsi hata nisipo kuwa chadema wala siwezi kuwa Ccm. Cion kunachoendelea kwenye hii Ccm
@EbrahimTarzz8 ай бұрын
Sioni mtu yeyote wa Arusha hapo hata mmoja
@rebekakulwa61598 ай бұрын
Eti kigogo la fisiyemu likasema hakuna watu likakojoe lilale
@EddahMbetwa8 ай бұрын
Hii kiboko 🎉😅😂
@Magumamangombe8 ай бұрын
Wewe unasumbuliwa na ujinga😅
@ramadhanichuma79258 ай бұрын
Hii inaittwa kubwa kuĺiko
@Boniphaceshayo58 ай бұрын
Na police nao wanaandamana 😂 nini sasa
@exaverysimon10648 ай бұрын
KAMA KWEL MNAMPANGO WA KUIONDOA CCM😢😢 BADO MNASAFAR NDEFU SANA UTAKATAA UWEZAVYO LAKIN SIO LAHIS KUIONDOA CCM MADALAKAN
@mayalakatema25768 ай бұрын
Kwa Katiba ya sasa ni ngumu ila kwa kupiga kura za halali CCM INAONDOKA MAPEMA KABISA KUBALI HILO NIKIRI CCM TUMECHOKA NA MM NI MWANACCM ILA NATAKA MABADILIKO BWANA MAANA MAISHA HAYA NDANI YA CCM NI YA AKINA FULANI NA FULANI SISI HAMNA BORA NCHI IWE UPINZANI HUENDA TUKAPATA MWAROBAINI WA MATATIZO YETU YA SASA
@AllyMaya-yj3xd8 ай бұрын
Watu wachachea angalia picha za siku za nyuma hapo watu wametoka kilimanjaro tanga manyara bt ni kwenye vyma vyote