VIDEO: TAZAMA SHANGWE LA NAIBU WAZIRI MKUU 'BITEKO' BAADA YA KUINGIA BUNGENI DODOMA

  Рет қаралды 14,472

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@AnuaryMadili-x8r
@AnuaryMadili-x8r 6 ай бұрын
Huyu namwelewa sana, Mungu akubariki 🎉
@Mussalucasangaga
@Mussalucasangaga Жыл бұрын
Kwa uteuzi huu mama kacheza sana hii nimashine
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 Жыл бұрын
HONGERA SANA, N WAZIRI MKUU HAKIKA UTAUPIGA MWINGI KAMA HAYATI MAGUFULI.,
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 Жыл бұрын
Mh. Biteko hongera sana sana
@Deboracharles-pw6wg
@Deboracharles-pw6wg 11 ай бұрын
Yani nampenda huyu waziristan namwombea mema
@jacksonmtonyore9871
@jacksonmtonyore9871 Жыл бұрын
Uyu jamaa namuelewaga sana . Hongera Sana Mama kachagua mtu sahihi sana
@sylvanusrwechungula5383
@sylvanusrwechungula5383 Жыл бұрын
🎉hongeraa
@Deboracharles-pw6wg
@Deboracharles-pw6wg 11 ай бұрын
Raisi samia kwa kumteua huyu waziri nakupa heko na hongera
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 Жыл бұрын
Daah siielewi ata maana ya naibu waziri mkuu
@benjaminnickson349
@benjaminnickson349 Жыл бұрын
binafsi huyu mwamba hua namkubali sana
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Жыл бұрын
Kodi za Watanzania masikini
@JacoboHenry-y8d
@JacoboHenry-y8d Жыл бұрын
Katiba ni hii hii nayo ijua mimi au kuna kifungu kimeongezwa? Kumpata naibu waziri mkuu.
@samsonsamson9811
@samsonsamson9811 Жыл бұрын
naona walikoswa nafasi ya kuipiga nchi Hadi wameamuliwa kupewa cheo ambacho zamani hakikuwepo Ili aingie nae kwenye sakata la kuichalaza hii nchi na wabunge wetu nao wapo kw ajili ya kutoa shagwe tu lakini matokeo hamna
@ramadhanimustafa1885
@ramadhanimustafa1885 Жыл бұрын
Kwahiyo atapakina Ofisi ya waziri mkuu au ofisi ya wizara ya nishati???...Nina hongera zake nikampatie.
@ntegrity277
@ntegrity277 Жыл бұрын
Shangwe la kinafki!
@MaryamMaryam-gi9zw
@MaryamMaryam-gi9zw Жыл бұрын
Kodi zetu zina wapa nguvu za kupiga menza tuuuu na kupeyana pongezi tu ila iko siku yenu mjuwe watu wata choka mjuye ndo mtajuwa ss
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Mheshimiwa Rais Dokta Samia ametoa nafasi kwa Viongozi vijana ili waweze kukimbia kasi zaidi katika Maendeleo. Tuseme ukweli kwenye Wizara ya Madini Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amefanya kazi nzuri. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿
@MatokeoKasindi
@MatokeoKasindi Жыл бұрын
Wagombea usupika
@BarikiJohn-x3w
@BarikiJohn-x3w Жыл бұрын
Hii Nchi bana raisi anajiamulia tu ,kuna cheo cha naibu waziri????
@BarikiJohn-x3w
@BarikiJohn-x3w Жыл бұрын
Kuna cheo cha naibu waziri mkuu
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Awamu 2 ya Rais Mwinyi alimteua Naibu Waziri Mkuu Augustino Mrema huku akibaki na Cheo cha Waziri wa Mambo ya Ndani. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Kuwa mzalendo kwa Nchi yetu Tanzania na tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia kutekeleza Maendeleo Nchini. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Sijawahi sikia naibu waziri mkuu
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Awamu ya 2 ya Rais Mwinyi alimteua Naibu Waziri Mkuu Augustino Mrema huku akibaki na Cheo cha Waziri wa Mambo ya Ndani. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
@@Hillary_Daudi_Mrema yaani huu ni upuuziii lokhooo
@VITALS-cx6hk
@VITALS-cx6hk Жыл бұрын
Umeona
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,3 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,3 МЛН