Nondo za Rais Mstaafu TLS Upatikanaji wa Katiba Mpya

  Рет қаралды 5,476

WAKILI TV

WAKILI TV

Ай бұрын

#ijuesheria #katibampya #constitution

Пікірлер: 14
@briankatani6770
@briankatani6770 Ай бұрын
Mzee unajuwa kutoa elimu ulikuwa wapi miaka yote hiyo
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Ай бұрын
Katiba mpya ni muhimu sana Katiba mpya ni sasa. Asante sana Mwanasheria wetu mstaafu lakini ujuzi h a u z e e k i. God bless you 🙏 ❤
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Hayo maneno na mazuri san asante kwa kuwakumbusha hao CCM wanaona KATIBA hii bado iko valued. Asante kutukumbusha tutaanza kwenda kuidahi hiyo haki hasa mambo ya afya ambayo kwa sababu hatupi matibabu ya bure siku hizi. Serikali ya CCM haifuati KATIBA lakini haiwajibi kwetu siku hizi. Wenyewe siku hizi wanakuja kutukemea mpaka hata kufukuza wafanya kazi
@JOHNMAGOMA-ye6lz
@JOHNMAGOMA-ye6lz Ай бұрын
Ahsante sana kaka kwa elimu hii.
@merumount5988
@merumount5988 Ай бұрын
Ana nini huyu, mamluki tu..s among lawyers who have failed this nation! Hana kitu chochote sitola..
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Mkuu hongera sana kwa elimu maana siku hizi wamefeuza wao ndiyo wanatuvuruga ovyo ocvyo ili sisi wanainchi tuawasikilize wao tu. Mamlaka siku hizi wajipa wao mamlaka sisi siku hizi kutishwa tishwa tu.
@justinmnkeni7691
@justinmnkeni7691 Ай бұрын
Ingefaa elimu hii ambayo ni ya kikatiba itolewe wakati wote ili kuweka usahihi na ustawi mzuri wa taifa letu.
@froma3732
@froma3732 Ай бұрын
Ni vzr umewapa watu Elimu lkn Wakati mukiwa kwenye Madaraja huwa hamuyaoni kuwa Kuna tatizo Kuhusu kuchaguliwa kuendelea na Masomo hayo tunayajuwa Kwa Kuna watu wa Jami fulani huwa wanatolewa
@JOHNMAGOMA-ye6lz
@JOHNMAGOMA-ye6lz Ай бұрын
Kila jambo Lina wakati wake.huu ndiyo muuda haswa wa elimu hii,ingetolewa huko nyuma uusinge changia chochot e
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Muheshimiwa wengine tumefurahi kutuelimisha. Hii KATIBA kwa upande inagadaa wanainchi lakini kwa upande inatuumiza wanainchi vibaya sana ukiiangalia kwa makini sisi ni watumwa wa Raisi wa Inchi bila kujitambuwa. Kwa kusema ina maana tumekuwa watumwa wa mwalimu Nyerere tangu 1983. Kweli hii siyo KATIBA bali ni kufanywa watumwa kabisa.
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni Ай бұрын
Asante Msomi,lini Sasa?
@madreks253
@madreks253 Ай бұрын
Katiba lazima ibadilishwe na viongozi pia wabadilishwe. Bila katiba mpya hawa viongozi wataendelea kuibia wananchi na kuuza maliasili...Tanzania imeshauzwa kwa wakoloni na viongozi wa hii serikali lakini wengi wamelala...hatuwezi kuendelea kuongozwa na wezi majambazi walevi mashoga...
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Hata tumeiomba kuandika KATIBA mpya pia hawataki kweli hao serikali hii wanatuburuza kwa kufanya sisi kama mazuzu. Sasa msingi gani tuliyonayo?
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 58 МЛН
MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI
52:26
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 8 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН