No video

WALIKUTANA MTANDAONI KUMBE ANASHIDA YA AFYA YA AKILI

  Рет қаралды 18,910

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@vero57
@vero57 2 ай бұрын
Asante sana shena nimejifunza kitu hapa, poleni sana family ya nadin
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 ай бұрын
Kwa ufupi innalillahi wa inna ilaihi rajiuna uislamu uliweka taratibu ukizifuata utafanikiwa ukienda kinyume utapata madhara katika mambo ya uchumba bint alikosea taratibu Mungu amsamehe
@salmanoorhashim5450
@salmanoorhashim5450 2 ай бұрын
Asante kwa habari kujifunza muhimu sana
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 ай бұрын
Online dating for me its a Biggest No! Pia watu wenye matatizo ya akili ni wengi sana na huwa wanakuwa very kind mwanzoni, baada ya muda mfupi weeee utaona rangi zote
@pmarifamarifa7621
@pmarifamarifa7621 2 ай бұрын
Asante saana Shenaa kwa kazi nzuli kwenye mtandao wako
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Shukran dear 🙏
@user-uw2lh8xx6w
@user-uw2lh8xx6w 2 ай бұрын
Sante dada barikiwa nauzidi kutuelimisha aki
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 2 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistancewe Shena nae funika kichwa chako.
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 ай бұрын
Wanawake saa ingine hu ignore red flags sababu anaona kuanza upya ni ngumu na pia pressure kutoka katika jamii. Mwanamke ukiona kama mtu humuelewi elewi bora ku move on and never look back.
@Bushman000
@Bushman000 2 ай бұрын
Uko sahihi kabisa,
@ameerabdalla3820
@ameerabdalla3820 2 ай бұрын
Huwezi kuoa wala kuolewa na mtu usiemjua from no where unariski sana maisha yako ya online
@ameerabdalla3820
@ameerabdalla3820 2 ай бұрын
Sasa alikamatwa wapi hujaeleza uk au tz
@maswamills3161
@maswamills3161 2 ай бұрын
Kuna wanaobahatika wanaopoa vitu Safi.
@bundaman8542
@bundaman8542 2 ай бұрын
Sasa mtandao ni wa dini yenu watu wasiyokuwa na zambi iweje tena uwe na sintofahamu. Acheni kiburi Cha dini
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
​@@ameerabdalla3820TZ
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
​@@bundaman8542MTANDAO WA DINI YAKO MPUUZI WEWE
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 ай бұрын
So sad jamani.😢😢 Mungu awalinde watoto wetu. Pole kubwa kwa hii familia
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 ай бұрын
Asante hii inatokea muda unapita sasa. Inasikitisha na kutisha. Mungu atuepushe.
@eshu-tanzania2791
@eshu-tanzania2791 Ай бұрын
Innalillah wainnalilah rajiun Allah, Msamehe makosa yake na mpe kauli dhabiti ameen.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Baadhi wanaobahatika kupata mke/mume mtandaoni aliyesahihi ni bahati sn,hivo kuomba Mungu sn.Bora ukutane na unayemfahamu.
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 2 ай бұрын
Asante Shena Kwa kuzidi kutuelimisha pole sana Kwa Wana familia ya dada
@user-my4gd9px7s
@user-my4gd9px7s 2 ай бұрын
Asante sana Shena, ndo maana nakupenda unagusa huku na huku.
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 2 ай бұрын
Aliona red flags zote na zilikuwa wazi, saa nyingine ni vizuri kuhusisha mtu wa karibu kila movement na kumuomba Mungu sana.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 ай бұрын
Hata uwislam aurusu iyo mambo walifanya makosa
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 2 ай бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun Allah amsamehe makosa yake na atie nuru ktk kaburi lake Allah amiiin
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Amiiin
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Ni story nzuri iliyo nje ya maisha halisi. Yaliyoelezwa katika maisha HALISI haiwezekani.
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 2 ай бұрын
Ameitunga sio😅😅
@deuskusaga8156
@deuskusaga8156 2 ай бұрын
Daa!! Mungu atusaidie
@benadetharange9899
@benadetharange9899 2 ай бұрын
Habari mim nashida na wew dada naomba unisaidie
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 2 ай бұрын
Alafu Huku ulaya .waauwaji note wakiua uwawanasema ni ugonjwa wa akili .wana shirikiana na maloya wao.
@TeloAwor
@TeloAwor 2 ай бұрын
Duh ni muhimu kumwomba Mungu na kuwa lakini sana online dating
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 2 ай бұрын
Daaha hatariiii sana Mungu atusimamie rip to her Kwakweli
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug 2 ай бұрын
Mwenye afya ya akili anaweza.kutumia mtandao kiasi hicho na vipi mwenye afya ya akili anafungwa?mimi sijui
@shamzone388
@shamzone388 2 ай бұрын
Subhana allah Allah atustiri yarab….
@noelmunuo4660
@noelmunuo4660 2 ай бұрын
Marehemu nae alikuwa na shida ya akili tena ni mjinga kupita kiasi, imagine mtu mmegombana mpk kaka yako kaja kukusaidia iweje ukakutane nae tena?? Chukua passport weka hapo nje ya mlango wako aikute abebe apite hv, hawez ipeleke police then mpigie simu akaifate hapo, ikishindikana ipeleke hotelini alipofikia Acha reception Rudi nyumbani yeye ataikuta hapo sasa mtu kasahau passport kwako unampeleka mpk hotelini chumbani kitandan huyo marehemu nae alikuwa anashida ya akili na yeye
@susans4490
@susans4490 2 ай бұрын
Ahh Sheena mbona unatuangusha unatamka Omari lol ni Omar
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug 2 ай бұрын
Ila ukishapenda hayo yote huyaoni na kama huyo binti wa london amekaa miaka hata salam hapati siyo rahisi kuona red flag
@mohammedsaqry3036
@mohammedsaqry3036 2 ай бұрын
Bull shit hawakufata misingi na sheria za dini na mila pia desturi za kiungwana na hiyo ndio alistahili Allah Atustiri na familia zetu
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 Ай бұрын
Wanawake ni wengi juu hawafikirii sana wanaamini maisha ya online
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 ай бұрын
Thank you kwa mafunzo Shena, you look so beautiful 😍
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 ай бұрын
TATIZO sio dieting saite Watu wa AFYA ya Akili WaPo kibao ,mitaani au ktk Nyumba Za IBADA na nakadhalika nakadhalika kikubwa NI kumuomba AhllA akupe mtu mwenye AFYA ya Akili.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Well said 📌
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 ай бұрын
Aki inasikitisha sio simu tu wanacontrol adi mind yko hii kitu imehenea shena chunguza kuhusu mind control huwalezee watu hapa kabla yakuingia mahusiano na watu sana Italy mambo hayo yapo na rafiki yngu alikuwa na mwanaume wa ivyo adi kifo kikamkuta kawekewa sumu baada yakurudi Africa 😢
@user-go5wb2pi2i
@user-go5wb2pi2i 2 ай бұрын
Duu kweli tuombeaneni jamani
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 ай бұрын
Sana
@halimahassan3031
@halimahassan3031 5 күн бұрын
Inna lillah wanna ilaih rajiuun
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 2 ай бұрын
Huyo kifo kulikuwa kinamnyemelea tu maana hadi kabakwa bado tu anamfata mh innalilahi wainnailaihi rajiun ❤
@maswamills3161
@maswamills3161 2 ай бұрын
Kweli
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 2 ай бұрын
Duuh ni hatari sana,ahsante kwa ku-share nasi hiki kisa cha kweli😭🙆🏿‍♂️naendelea kujifunza.
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 2 ай бұрын
Duh mtihani kweli jmn inasikitisha kweli kuna umuhimu sana wa kuiskiliza ile sauti ambayo unaiskia ndani yako hisia zile ambazo unaziona hakika
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 online dating ndio kiiichochoze kiiichomfanya nadin kuingia kwenye mitihan
@praxedaandrewkato7472
@praxedaandrewkato7472 2 ай бұрын
So sad story
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 2 ай бұрын
Kumbe kua singo ndo ilikua usalama wake
@hanswan1
@hanswan1 2 ай бұрын
Da shena leo nimekuwahi live nini jamani...even though story inasikitisha sana.
@abdulmauya4874
@abdulmauya4874 Ай бұрын
HABARI NZURI NA YA KUSIKITISHA NI FUNZO KUBWA SANA NA UWELEWA MAKINI ZINGATIA VYEMA YATOKANAYO.
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 2 ай бұрын
Hii ya leo umeipiga kama taarifa ya habari😃👍
@bab_seif
@bab_seif Ай бұрын
Nina shida na ww nitakupa tele
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 2 ай бұрын
Nawapa pole wadada
@Mimi.Official
@Mimi.Official 2 ай бұрын
Waah 😢
@hamadramadhan8422
@hamadramadhan8422 Ай бұрын
Tunawezaje kuingia online date?
@user-rf7wx7og6t
@user-rf7wx7og6t 2 ай бұрын
Ukweli kbs
@FarajaKihembwe
@FarajaKihembwe 2 ай бұрын
Pole kwa Familia ila huyo dada alikuwa namba 9 wamafala
@nyamwizajane5627
@nyamwizajane5627 2 ай бұрын
Kwa akili yangu mimi naona huyu hana tatizo lolote la akili kwa nini alipata akili ya kutorojea Tanzania?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
UNA AMBIWA KAKAMATIWA TZ BRO
@stonetown578
@stonetown578 2 ай бұрын
Si vibaya na si uzuri vile vile online dating.
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 ай бұрын
Niliwahi kukutana na American fulani ambaye pia nahisi alikuwa na shida fulani. Alikuwa na mazoea ya kucheka kama dakika tano bila kuzungumza. Nilimuogopa 😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
😂😂
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu sana dada ❤
@joharikitundu
@joharikitundu 2 ай бұрын
Hapa watu wenye pesa naona story nyingi wanatumia muhuaji ni hatatizo la afya ya akili . Jaribuni kufuatilia true story
@ireneboniventure7434
@ireneboniventure7434 2 ай бұрын
Me kuna mtanzania tena tulikytana TikTok live akaomba number akapewa 😂 tena mtanzania
@ireneboniventure7434
@ireneboniventure7434 2 ай бұрын
Alikua akintumie Hela baadae ana seek so much attention
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Na wanakua wepesi kutoa pesa ili wakununue Pole aiseee
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
SIO KILA MWENYE PESA NI MWEMA
@woah.africa99
@woah.africa99 2 ай бұрын
Uongo huyo nadin kamgeuka bada ya huyo mwaname alimsomesha ndio mana hajakubali
@MiriamVienna
@MiriamVienna 2 ай бұрын
Ulikuwepo wakati wanasomeshana?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
KUMBE UNAWAJUWA JIRANI ZAKO AU
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
MAISHA YA NDOA YALIVYOBADILIKA NA KUA MAUAJI
13:03
Official Dating Assistance
Рет қаралды 8 М.
UTAPELI WA MA AGENT WA SAFARI ZA ULAYA | NILIKUJA POLAND KUSOMA | MAHUSIANO SIO MTAJI
52:41