Nlikuja baada ya kusikia taarifa ya kifo chako, Allah akurehemu
@amosmoses78003 жыл бұрын
HiVi haKunA waBunGe waiSLamu isipoKuWa huYu mZee tu...NaMsiKiTikiA saNa. AnAjiKuTa yupo peKee aKiwaTeTea waBunGe weNgiNe wamEBaKi kimYa waKisuBiLi poSho zAo Za siKu
@abasamwame65833 жыл бұрын
Laana za Allah ziwashukie waliwaseka rumande mashekhe zetu ,walaaniwe wao na familia zao ,awape nuhsi na mikosi wao na vizazi vyao ,awadhalilishe wao na vizazi vyao kila aliehusika
@aliabdalla92973 жыл бұрын
Amiin
@mudasina9003 жыл бұрын
Amiin Yaraby
@daatyabdul6523 жыл бұрын
Aaaamiiin
@fadhilikawambwa51593 жыл бұрын
aminaaaaaaaaaaaaaaa.
@clausemsemwa2973 жыл бұрын
Hawastahili hayo wanayofanyiwa
@aliawam34713 жыл бұрын
Allah atawalipa mashehe wetu kwa dhulma walio fanyiwa
@ibnismail88313 жыл бұрын
Mm nasema hv haina haja ya kuzid kuwepo kwenye muungano tuzd kumtgemea mung ipo sk atajib vilivo vetu...wallah inauma snaa jaman so mchezo😓😓
@nassrakhalef34373 жыл бұрын
Inna lillah wa inna lillah rajiwn Allah amsamehe madhambi Yake Ampe kauli thabit Amiin yaa Rabby.
@stonetown5783 жыл бұрын
Allah atawafanyia wepesi In sha Allah dua'a tu kwa wingi
@is-hakabinruweikh38333 жыл бұрын
Inshaallah mbunge ww mungu atakulipa kila la kher
@khamismaulid68393 жыл бұрын
Huo sio munganoooo huo ni upuzi wa hali ya juuu kabisa
@topaviator3 жыл бұрын
System
@pilichumu93313 жыл бұрын
BC ukiona simbunge wa ccm huyo,uyoo mbunge wa act maana mbunge wa ccm hawez akasema ivyoo
@khadijahaji63413 жыл бұрын
Innallah wainailahi
@MohamedOmar-sg8ts3 жыл бұрын
Kweli umesema mbunge InshAllah Allah ataleta kheri yake
@safiaothman10983 жыл бұрын
Namwomba Allah awajaalie watoke Rumande, Aamiin.
@yusufujamali45773 жыл бұрын
Usisahau huyu mbunge amefariki leo Innalillah wainna ilayhhi raajiun
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Mashaallah mbunge
@faridifriction88053 жыл бұрын
Rest in peace champ, Allah akurehemu amiin🤲🤲
@jamalmshenga18513 жыл бұрын
AS HAABU L KAHFI, NI MIFANOWEE, MSIJALI JAMANI. WANAWAZIDISHIA UTUKUFU. WANAWAPOKONYA DHAMBI ZAO KWA MIKONO YAO WENYEWE, ALLAH AWAPE SUBRA PAMOJA NA SISI.
@iamaly92393 жыл бұрын
Huyu ndio mtetezi wa wanyonge natamani kuuna Act 2025 achukuwe form ya kugombea uraisi
@saidabdala49803 жыл бұрын
UNAJUWA hebu tukinukushe wazanzibar. Halafu tuwone.. watajibu tu hawa vifaranga wa MAGUFULI
@myunaniniahmad64633 жыл бұрын
Yaa الله mrehemu mjawako huyu, msamee makosa yake tunakuomba mlaze mahali pema.
@halimanafoo24683 жыл бұрын
Mungu akupe kauli thabit
@mrmdimi94063 жыл бұрын
Allah akurehemu ndg yetu
@khalfanamour71743 жыл бұрын
Allah akupe khatma njema mhe Khatib
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Allah ambarik huyu kiongozi wetu
@musamusahshafi14963 жыл бұрын
Nakuungamkono kuhusu wanavyofanyiwa dhuluma dhidi ya uamsho
@Zena-h4p3 жыл бұрын
Mungu akulaze pema pepon
@arafatkombo58233 жыл бұрын
Ni kweli ila sio haki hii wanyo fanyiwa maskhe mama samia liangalie hili
Hee jamani, serikali muogopeni Allan kesho mtakwenda kuulizwa mtajibu nini? Nyie kuwaeka waja wa mungu ndani bila ya sababu kama wana makosa si muwahukumu basi ijulikanee
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
Innaalillah wainnaailayhi raajiuun Allah amuhifadhi.Yaa ALLAH tuletee mwingine atakaye tusemea huko bungeni katka haqqi.amiina
@SA-xj8hc3 жыл бұрын
Mahabusu miaka 8! . UK kwa kosa la Ugaidi ni siku 28 maximum na makosa mengine ni 24 hours maximum. Nguvu kazi mnaisweka mahabusu hivyo?! Siasa za mawazo finyu Tz kweli zitakwisha?
@user-mb2ob6kg8z3 жыл бұрын
mbunge msema kweli
@abdullaabdullahmpakanjia23363 жыл бұрын
Walowaweka ndani masheikh ninduguzetu waislamu wazanzibar hvo tusiwalaumu viongozi wakitanganyika
@mtindikoja8837 Жыл бұрын
Chema hakidumu
@ibrahimsalum47273 жыл бұрын
Mungu ndiya hakimu mkuu free mashekh free zanzibar haki itasimama inshallah
@habibasule23603 жыл бұрын
Aaamin
@awatifalghanim11063 жыл бұрын
Ahhh Mungu ana mipango yake tulijuwa kama Maalim Seif Sharif Hamadi ataiwacha DUNIANI?? 😪 na alikuwa ameyapanga mengi MAZURI hakupanga MABAYA.. MUNGU AMRAHAMU. Mungu hafundishwi na mengi ya dhulma hapo Zanzibar pio maana Nchi taabu sana KUKAA SAWA HIYO AU TUU MUNGU ASHUSHE RAHMA ZAKE. AMIN
@seakodammam22853 жыл бұрын
Sikazi utaskia siku moja hakimu asema hawa hata kama wengekutwa na kosa ilikuwa watakiwa kukaa gezani miaka 10 na sasa washatumikia 8 kwa mujibu ya kifungu No 112 nawaachia huru. Ili wasipate kushtakiwa 😀😀😀
@ndukulusudikucho_3 жыл бұрын
Alafu Kikwete anafunga Ramadhan yeye ndio aliye amrisha waletwe bara, Waislam Tanzania huteswa na Waislam wenzao, maana wakiwa na vyeo wanaona hawastahili ndio wanaamua kulipa Fadhila
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Umeongea mbunge allah akulipe kwa hili tumefurahia kwa kuliongelea machungu ila mungu yupo na sifa yake nimudilifu someni viongozi juzi rumemzika magufuli hatujatarajia kwa hafla tu basi nasi tukonyuma madaraka yasiwalevye na huwo uongozi isiwe nisehemu yakuzulumu wa nyonge hapa sote niwapita njia nawakumbushia
@mwalimumbukuzi72733 жыл бұрын
Huyu mbunge kila uchao ye anatetea uamsho na kuangalia maslahi mapana ya taifa. Ukweli ni mzalendo
@ibrahimjuma103 жыл бұрын
Wanahc wataishmilele ipo cku dhulma hii wanaoifanya makafir haya itafika cku yao
@abdulrazaqmwandika84213 жыл бұрын
Duuuh uliyasema haya leo yametimia allah akulipe kher
@fugameza60113 жыл бұрын
Tatizo nadhani nyie wabunge ( watu) mnao piga keleleee kwa masheikh wa uwamsho hao walizuiliwa na ccm na tuna piga keleleee waachiwe na nanii sasa wakati wapo njiya rahisi tuwaondowe kwa hiyari kwa nguvu vyenginevyo gitaa kwa mbuzi hachezi jengine ccm wakisema kitu walio wapa jina wapinzani hicho kitu kiyama kitakuja hawafanyi hata kiwe na maslahi trillion %
@topaviator3 жыл бұрын
Hufahamiki
@mselemhaji19693 жыл бұрын
Mulioiweka juu ni mikafiri mibaguzi kishenzi Sasà watalifikiriaje swala la waislam wakati wao lengo Lao ni kudidimiza uisilamu
@mohdmaalim84523 жыл бұрын
Inshaalllah Allah atakulipa kwa kuitumia vizuri nafasi yako na kupaza sauti kutetea wanyonge.
@abdullaabdullahmpakanjia23363 жыл бұрын
Kwahyo walowaweka ndani ni makafiri ama ninduguzenu waislamu
@mohamediidd75793 жыл бұрын
Allah ampe kauli thabiti
@abdulbogoyo12433 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKAMUADHIBU KISAWASAWA KILA YULE AMBAE ALIKUWA NI 7BU YA WATU KUKOSA HAKI ZAO.
Mshahara wa dhulma ni mauti. Endeleeni ivo ivo madhal sote tutakufa tutakutana uwanjani . Hv kuwaachia wale watu wakarudi kumaliza uhai wao uliobakia na familia zao ndio itafanya tanzania izame ama itakuwa vp. Ipo siri si bure . Ngoja mufe mashetani nyie mnanijuwa mnaokwamisha hii kesi .
@muhammedkhamis14073 жыл бұрын
Inauma Sana Inaumiza Sana Inasikitisha Sana Mpaka Leo Miyaka 8 Wanakunya Ujigerezani Allah Atawalipa Hapa Hapa Duniyani Kila Aliye Wazulimu Mashekhe Wetu Hata Kwa Kuchangia Neno Tu Kabla Yakufa Yeye Insha Allah 🤲🤲😭😭
@Munyama6753 жыл бұрын
Hao UAMSHO ni wajinga. Wasitolewe na ikiwezekana watoswe kwenye kemikali. Walikuwa wanasambaza chuki sana za kidini. Kikwete alifanya la maana sana
@abdumodest58983 жыл бұрын
Laana ikukute ww kabla yao
@khadijahaji63413 жыл бұрын
Hasbia llah mungu akuhukumu kwa makosa yako inshallah na ramadhani hii
@eddybrizzy763 жыл бұрын
acha ujinga wako ww Hanisi wa Kiume Nakuombea Dua Wazee wako wafikwe na la kufikwa lolote ili na ww uone uchungu wa dunia...