Yusuf Manji katoka Polisi, amekabidhiwa tena Mahakamani

  Рет қаралды 62,727

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemkabidhi mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kumaliza kumuhoji katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi kuwa washtakiwa hao wamerudishwa kama Mahakama ilivyoamuru warudishwe baada ya Polisi kumaliza kuwahoji.
Baada ya kusema hayo, Hakimu Shaidi alisema kesi hiyo itaendelea na utaratibu kama ilivyo awali, ambapo ameahirisha hadi September 8, 2017.

Пікірлер: 29
@charleswayega180
@charleswayega180 6 жыл бұрын
Wabongo bana... Mnavyonyanyaswa na wahindi mnaowatumikia mshasahau.. Apigwe 2
@blacknature7637
@blacknature7637 6 жыл бұрын
Fatma Alrashdi kweli kabisa niubaguzi wa rangi tz
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 6 жыл бұрын
sijui chuki gani hii ya kikatili hata kama mtu kakosea ndo umzalilishe hivi inamana hajawahi Fanya zuri hata moja mkakumbuka inauma sana
@Niajekiaje
@Niajekiaje 6 жыл бұрын
hii habari haijitoshelezi,kwaiyo kaachiwa au yupo jela?
@ayoubally670
@ayoubally670 6 жыл бұрын
Hatari sana
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 6 жыл бұрын
Kumbe aliachia ndevu kiusanii jamaa wamekaza kazinyoa
@wemakalam9415
@wemakalam9415 6 жыл бұрын
Muna mdhalilisha mtu wa wenyewe kwa serikali kukosa u fahamu na mambo yenu ya siokuwa na tija.
@michaelvenancekatonkola1451
@michaelvenancekatonkola1451 6 жыл бұрын
Ifike mahali upelelezi ukamilike na kesi za mahabusu ziishe kama kutumikia kifungo watumikie na kwma kuwa huru wawe huru. mahabusu wanakaa mno bila kesi zao kusikilizwa hii inatesa familia na kuweka mazingira tofauti. watz lazima tujue kuwa mtu kushitakiwa ni lazima pale anapokwenda tofauti na sheria bila kujali ni mtu mashuhuri au anategemewa na wengi. kutetea watu ati kwa sababu wanategemea si sahihi makosa ni makosa tu
@fatmaalrashdi1577
@fatmaalrashdi1577 6 жыл бұрын
watanzania toka lini mpenda watu weupe igekua ni amir zenu nafikiria tanzania isigeisha mtu mwenye rangi yeupe.mnavo wachukui
@leothobias8116
@leothobias8116 6 жыл бұрын
Fatma sidhani kama upo sahihikwa namna moja au nyingine...Sidhani kama Watanzania wameshafikia hatua ya kuanza kuwabagua watu wenye ngozi nyeupe..... Tanzania ni nchi ambayo haijawahi kumbagua mtu yoyote kidini,kikabila au kitaifa...Watu wanaishi wanavyo taka na wanaishi kama wazawa wanavyo ishii.... Hizi mambo unazo ziona sasa hivi mimi na wewe hatujui chanzo chake ila anaye tuhumuniwa na mshitaki wana juana...kwa kuwa kesi ipo mahakamani wacha tusubiri mwishoni tujue nani mkweli
@MohamedMalik-g6d
@MohamedMalik-g6d 23 күн бұрын
Manji😢
@bakarimzambia9119
@bakarimzambia9119 6 жыл бұрын
du mbona sielewi sasa
@sweetyfaridahsweety8700
@sweetyfaridahsweety8700 6 жыл бұрын
Naaaam
@bkcommwantwebe2208
@bkcommwantwebe2208 6 жыл бұрын
aende chama cha wafanya bihashala wamtete wasumbufu hao wahindi matusi utazani pao MPE ugolo tena
@yasintahwilliam5500
@yasintahwilliam5500 6 жыл бұрын
magufuri utaraaniwa
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
Yasintah William ulaaniwe ww tena mungu akujalie uzijue tabia baazi za watu hawa kama yaani mnampa asilimia zote kama hanakosa kama hujui baazi ya watu hawa ndio wanaokuwaga tayari kutoa ruswa kumbwa ilimlad amzulum mfanyakazi wake iliyondogo
@twahamtumbi6527
@twahamtumbi6527 6 жыл бұрын
A
@christinahaule9726
@christinahaule9726 6 жыл бұрын
Hahahahah
@twahamtumbi6527
@twahamtumbi6527 6 жыл бұрын
Alrahji acha ufala wako pimbi wewe na akili yako mbaya. Manji kitu gani bana. ya ndugu zake. Mwache akaliwe tu mazabe mwizi tu was kihindi shenzi zake!!!
@blacknature7637
@blacknature7637 6 жыл бұрын
Saidi kanduma unasema Nini wewe albino wa kiafrica anajulikana Ni mwafrica manji sio albino
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 6 жыл бұрын
Nini tabu wewe Magufuli na serikali yako, wacheni wivu, mwacheni huyu mtu anaelipa familia zaidi ya elf kwa wafanya kazi wake, Humaid kabisa wewe
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 6 жыл бұрын
Scarlet Pimpernel sasa mbona hashitakiwi kwa kesi ya NSSF anashtakiwa kwa kesi tofauti
@jumahaji7085
@jumahaji7085 6 жыл бұрын
R M
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 6 жыл бұрын
Scarlet Pimpernel ,, inahusiana nini kuibia na madawa ya kulevya. Mnachafua roho!''
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 6 жыл бұрын
Scarlet Pimpernel , kuna maelfu wameshikwa kwa utumiaji wa madawa ya kulevya, na sio Manji peke yake, hii inaonyesha dhahir chuki ilivyo dhidi yake, yeye asili yake ni Mhindi, lakini ni Mtanzania , mbona wengine mambo yao sio magumu namna hiyo????? Ni chuki na wivu tu, kila kitu kina mwisho wake, na cheo ni dhamana
@jamallokai657
@jamallokai657 5 жыл бұрын
.
@saidikamduma5468
@saidikamduma5468 6 жыл бұрын
Fatuma na albino nao watoke nao so rangi nyeusi, unapopost jalibu kutumia akili
@alfayoelly5455
@alfayoelly5455 6 жыл бұрын
Me naamini manji atalipwa na mwenyezi mungu.........Hii serikali imedhamilia kuwadharirisha wafanya biashara..........Mungu mkubwa atatoka tyu
@prettygrl2793
@prettygrl2793 6 жыл бұрын
msiichukie serikari maana iyo ndo kaz yake aichagui wala aibagui kwa MTU anaeenda kinyume na taratibu ya inch
Mtoto wa Manji asimulia namna baba yake alivyoipenda Yanga
9:02
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 6 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
RIDHIWANI AFUNGUKA: Ni kuhusu kukamatwa kwa Yusuph Manji
12:34
Millard Ayo
Рет қаралды 74 М.
Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza
1:00:51
BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji
3:01
Millard Ayo
Рет қаралды 205 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН