mzee wetu anajua mengi sana na mamenifungua mengi hongera kwako black and White
@muddyausi84707 ай бұрын
Nimeipenda hy hameni mabondeni na wanajibu kijeuri et mumejenga wenyewe kwenye mashamba ya mpunga
@Lundege_Hips10 ай бұрын
Huyu mzee Mungu amuweke anaifahamu sana Zanzibar kuliko viongozi waliopo sasa hawa ndio watu tunaowataka ktk uongozi
@williamkilembwe718910 ай бұрын
😊
@SKY-fk3fz5 ай бұрын
Hatuwezi kujivunia mapinduzi kwasababu yalikuwa mauwaji ya wazanzibar kama alivyosema mzee Hashil anaomba radhi walihadaiwa
@geraldgogadi705410 ай бұрын
A nice interview, full information
@ahmedalbalushi62395 ай бұрын
Halaiki kwanza sisi tuliokuwa tunasoma Pemba tulifundishwa uwanja wa Ndugukitu anakumba Said 😂
@ndalahwakulwa87589 ай бұрын
John Okello ndio Ali ongeza Mapinduzi akisaidiwa na Tanganyika Karume alichomekwa na Tanganyika Ndio maana Tanganyika Tanganyika bado inaongoza na kuhakisha Jumbe Mwinyi waliwekwa kutawala
@abdulrahmansalim97734 ай бұрын
KWA PESA ZAKE 😂😂HAKUIBA NA MENGI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAONGO WANAFIKI TAMAA HAKI KAILETA NA ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
@aliferuzi15379 ай бұрын
MV MAPINDUZI IHAIKUUNDWA CHINA NI JAPAN KTK KAMPUNI YA NIIGATA Engineering lkn umeme. Lift ya kwanza ILIKUA beiltjaib. Simu ikiwekwa pale Serena hotel.
@georgemkira17209 ай бұрын
Nimejifunza sana kuhusu zanzibar , mahojiano muhimu sana kwa vijana wa sasa
@abdisalim790010 ай бұрын
Sk,Said Miraj umeekeza historia nzr kwa faida ya vijana wetu.Mungu akubarili sn!!
@abdifaraji28839 ай бұрын
Haijui vizuri historia ya Zanzibar na Maponduzi yake. Vijana waliokuwa katika Police Mobile Force wanayajua vizuri, kwani walikwisha pata habari miezi 2 kabla hayajatokea, lakini walinyimwa silaha na maofisa Wazungu, na wengi wao wakapewa ruhusa ya kwenda kulala majumbani kwao siku ya mapinduzi, yaani late pass.
@salmaabdu501110 ай бұрын
Mr x ndie aliemuuwa karume na ndie alieuwa wazanzibari 12/1/1964 akaweka ukoloni wa kitanganyika laana tullah Nyerere
@machaliakulima769 ай бұрын
Waliomuua AAKarume ni makomred chini ya uongozi wa Abdulrahman Babu si Nyerere
@abdifaraji28839 ай бұрын
@@machaliakulima76 Watu wanajua lakini wanaogopa kusema tu kuwa kifo kibaya cha Karume Mwalimu alihusika. Mwalimu alikuwa na wasiwasi kuwa hurnda siku moja karume akaitoa Zanzibar katika mungano.
@sammarley14138 ай бұрын
@abdifaraji2883 nyerere alikua adui mbaya sana kwa jamii yawaislam mapinduzi yanzanzibar ndie Alie yapanga nakuuwa waislam wengi kwa kisingizio cakuwapindua eti watu weupe Masikitiko makubwa baadhi yawaislam wakashiriki kuwauwa waislam wenzao. Nyerere alikula njama na wakoloni waingereza nahivyo wakakubaliana kuleta wanajeshi wa Kenya kuja kufanya mauwaji na Zama hizo hizo ndio ikapacikwa Mombasa kwenye ardhi ya Kenya Mombasa sio Kenya . Lengo kuu ilikua kuangamiza uislam mwambao wa bahari Hindi. Nabada ya hapo ikaletwa hila ya vita vya kagera ili kumuondoa pia Id amin dada. Yote haya yalifanyika kwa sirikubwa namasikitiko Hadi Leo waislam wa Tanzania wapo bado tu kwenye ujinga hawataki kujua ukweli Bali wao nikukaririshwa tu
@ChumHaji7 ай бұрын
Mjinga mpe cheo, wewe ni kubwa jinga
@salmaabdu50117 ай бұрын
@@machaliakulima76 wazanzibari si wajinga kama wewe msione tunanyamaza ila hakuna tusokijuwa nyerere ndio alowatuma na akapanga njama
@karimdaud39939 ай бұрын
Aquarium kubwa Africa ilikua fisheries .abayo wa bara wameivunja.chuo cha uvuvi 😅
@selemanshayo71266 ай бұрын
Nimemuelewa san mzee miraji ni mpinzani ila anaongea kweli
@mamohamed125210 ай бұрын
Waliomuuwa Karume hawakusoma Cuba. Kwa taarifa yako kwa mfano Humudi alipata mafunzo ya kijeshi Urusi. Fanya utafiti wa kina tusipoteshe.
@humphreychristopher85779 ай бұрын
Kusoma Cuba na Russia si tofauti kwa kuwa nchi zote mbili hizo za kikomunist zilizalisha makomredi wenye mtazamo komavu na angavu😊
@BedroomTvKe7 ай бұрын
Ndugu unamrekebisha mtu aliyekuepo wakati ule
@SULEIMAN-l8v10 ай бұрын
Wahadimu sio wakusini maana ya hadimu ni huduma wahudumu ni watu kutoka bara waliokua wanatumwa mashambani 11:07
@wamisangi280110 ай бұрын
Kenya hamna Bora kuna Batta. Bora ya Mwl JKN.
@machaliakulima769 ай бұрын
Ndugu nimekukubali, ingawa ni mbara lakini nilikuja Unguja nikiwa na miaka 13, 1969 Disemba 29, lakini nimeikuta Zanzibar iko bado na moto wa mapinduzi, Abeid A.Karume akisema CURFEW wote mnajifugia ndani siku kadhaa isipokuwa jeshi, polisi na mgambo wanatamba nchi nzima, ilikuwa raha kweli kweli.
@machaliakulima769 ай бұрын
Viatu vya raba Bora Tanzania na raba Bata na raba za China.
@machaliakulima769 ай бұрын
Nimecheza halaiki nyingi za mapinduzi Zanzibar tangu 1970
@shahidmaftouh11419 ай бұрын
1976 halaiki iliyo shinda ni usalama ❤kutoka wete, ukombozi chake chake 😂
@aliferuzi15376 ай бұрын
Halaiki ya usalama na ukombozi PIA zilikuwspo Zbar
@baghabaghaingwengwe17509 ай бұрын
Television ya rangi ya kwanza Afrika
@ahmedalbalushi62395 ай бұрын
Said Miraji ambae nilisoma nae pamoja mwishoni mwa 70s mpka 81 kule kisawani Pemba
@AllyHamran8 ай бұрын
Nkuulize swali hivi muhammad Shamte sio mzawa na kazaliwa chambani Pemba.
@EshaHamd-ed9yv8 ай бұрын
Haya hayakuwa Mapinduzi yalikuwa ni mauwaji yaliyopangwa Kwa makusudi kuwauwa Watu na akisaidiwa Na Laana tu Allah Mungu ampe adhabu Kali huko aliko kaburi limbane Sana Kafiri la Kitanganyika.
@saqrymo3798 ай бұрын
Sheikh umesema mengi mazuri lakini mengi hukuyasema ya ubaya. Labda watu Unguja walikuwa na raha. Pemba tulisumbuka sana hasa 1969 - 1972. Njaa ilitupiga vibaya sana mpaka hata vilimo haviwi. Yakaja maduka ya ukoo tukiletewa sembe manjano mafunza watupu. Wapanga foleni ukifika mlangoni unaambiwa limekwisha. Karafuu ilikuwa haina faida mwisho wakaja serikali kuikata ili waPemba wazidi kufa njaa. Wakata mikarafuu kupanda raba na iliki. Iliki haikuwa. Tukaanza kufanya magendo ya kuuza karafuu Mombasa na Tanga ill tupate kula. Akaja Mh Rais Karume, Mtabwe Daya akasema nyie ndio munafanya magendo atakae kamatwa atapigwa risasi. Watu wakipigwa ovyo na watu walowekwa kwenye ubalozi wa nyumba kumi kumi. Ah inatosha Pemba tulipata adhabu sana mpaka leo. 😢😢
@ahmedalbalushi62395 ай бұрын
Gari za serikali SMZ
@mikiothman10310 ай бұрын
darajani canal imefukiwa 1932 na treni ya znz ilianza 1905 na safari yake ilianzia ngome kongwe ama forodhani na kuishia bububu namueka sawa kidogo.
@abdulrahmansalim97734 ай бұрын
😮😮
@ahmedalbalushi62395 ай бұрын
Mchanganyiko wa watu hao ulowataja ukasahau kutoka Iran Ambao babu zetu ndio wametoka na kuingia Zanzibar tokea 1700
@victorjeremiah24610 ай бұрын
Aliyemuua Bado anaishi au keshatangulia mbere ya HAKI?
@machaliakulima769 ай бұрын
Kauliwa siku hiyo hiyo 07.04.1972 pale pale Makao Makuu ya ASP Ijumaa saa 11 jioni, Capt Ali Humoud ndo alomuua AA Karume. Humoud aliuliwa na dreva wa AA Karume
@siasia546910 ай бұрын
"Alikuwa Baharia Original "
@ahmedalbalushi62395 ай бұрын
Ni propaganda za kudanganya hasa wenzetu wa Tanganyika Said ndugu yangu hapa nakuonga mkono kuwazibua viziwi
@ahmedalbalushi62395 ай бұрын
Na wewe Said wakati tunasoma ulikuwa kiongozi wetu
@alijuma788210 ай бұрын
Maneno mengine anayosema ya uwongo Kupata passport utawala wa karume ilikuwa kama unataka kwenda sayari ya mars
@hafidhali30208 ай бұрын
Si wengi waliofurahi na mauwaji ya kimbari yayofanywa na wakoloni weusi
@eddyjabry693910 ай бұрын
Well done Mr.Miraji 🫡 nimefurahi sana.
@aliferuzi15376 ай бұрын
Lkn. Mimi mdogo mengine kakosea
@alijuma788210 ай бұрын
Tartan ilikuwa baadae sio wakati wa karume
@ilynpayne749110 ай бұрын
cha kushangaza yani nchi yetu hii kila mzee wa miaka hiyo ana sema maisha yalikuwa bora kenye uongozi wa zamani ila sio sasahivi basi tume logwa ama kweli
@R10_Rajab10 ай бұрын
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio ulioiharibu Zanzibar bro Muungano ndio kirusi cha Zanzibar kutokukuendelea
@machaliakulima769 ай бұрын
Kwa kifupi kajitahidi kuelezea Zanzibar kuanzia mapinduzi, kaeleza kwa hamasa na fasihi
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey9 ай бұрын
BABA HUMUD ALIMUUA. MUGHERI KWA AJILI KUWATETEA WATU WEUSI YOTE UONGO NA HAKUPEWA ADHABU YOYOTE NA YEYE AKAPEWA HUKUMU YA KIFO
@suleimansaid748610 ай бұрын
NI MAVAMIZI NA SIO MAPINDUZI.
@khatibabass310610 ай бұрын
Ulikuepo?
@stanastana31999 ай бұрын
Jamaa alitoka dar 24 au?
@cosmasmilanzi711710 ай бұрын
Huyu mtu anaijua vema Zanzibar
@machaliakulima769 ай бұрын
Sana tu anajua sana lakini mengine kabania bania
@roudhamahmoud76310 ай бұрын
Yani hatokei kama karume kwa kweli 😢😢😢 mola amlaze pma peponi
@kassimhaji323810 ай бұрын
Aliyemuuwa rais KARUME ni mr X ambapo hadi leo haijawekwa wazi huyu mr X ni nani
@stanastana31999 ай бұрын
Mnona zanzibar isewe nchi kivyake
@mbogelabairo472210 ай бұрын
Hakika kunavitu ukisikia na kuambiwa kichwa kinakuuma sana. Zanzibar ilikuwa mbele sana sana Nadhan viungozi na siasa imekuwa changamoto ktk maendeleo
@MdNasr-jm8pj10 ай бұрын
Yani Acha tuu 😢
@abdulrahmansalim97739 ай бұрын
😮😮
@abdifaraji28839 ай бұрын
MV Mapinduzi imeundwa Uchina au Japani ?
@omarmsuya24599 ай бұрын
Japan
@husseinkarim76639 ай бұрын
Viatu vya Kenya ni Bata,sio Bora,Bora ilikuja baada ya kutaifishwa Bata. Bora imekufa,Bata bado ipo na ubora wake upo palepale.
@nassorsubah31009 ай бұрын
Sio wote wazanzibar
@maomacatta977010 ай бұрын
Viatu Bora sio kutoka Kenya ilikuwa kiwanda cha serikali ya Tanzania Bara Pugu Road
@ibrahimomari24588 ай бұрын
Mtafute jusa...huyo msanii tu...
@khatibal-zinjibari695610 ай бұрын
Karume alianzisha TV ya Rangi ya Zanzibar ya mwanzo Afrika.
@khatibal-zinjibari695610 ай бұрын
Wakati wa ujenzi wa Hoteli ya Bwawani Karume hushika Sururu asubuhi na wafanyakazi.
@AbrahamSekuza8 ай бұрын
Huyu jamaa muongo anaongea nn kama anaogopa kusema ukweli
@HafidhOmar-rs4ty10 ай бұрын
Saidi miraji siasa vp umerud tna
@salma_6j97510 ай бұрын
Majina ya miraji tunakuwaga na akili sana
@iddiyrashid16829 ай бұрын
Sasa imekuwa nyuma kama mkiya
@aliferuzi15379 ай бұрын
Treni imeanza Bububu SIO mwembe makumbi Bububu mpaka shangani
@natafutamatatizo43829 ай бұрын
OKELO KUTOKA UGANDA NDIE ALIYEONGOZA MAPINDUZI, KARUME ALIKUWA TANGANYIKA AKIPAKWA HINA ZA MIGUU NA MIKONO, ACHENI KUDANGANYA WATU!
@roudhamahmoud76310 ай бұрын
Kwa kweli inauma unasema kweli mzee kama nayaona uongeayo mana tulikuwa wadogo lakin tulishuhudiyq bibi zetu wakifanya kazi humo mote
@SaidHassan-wz1px10 ай бұрын
Naomba namba zake
@AliFakiMati-m7n10 ай бұрын
Unaijuajeehistoria ya mapinduzi wewe kumbe ulikuwa atahaujazaliwa.
@midnight_1218 күн бұрын
Mzee huyu porojo tupu, hakuna jipya, haya yote anaongea yako wazi tu!
@roudhamahmoud76310 ай бұрын
Siasa inatuvuruga
@badruabdalla53019 ай бұрын
Hajui anachokisema
@abdulhalimjuma77869 ай бұрын
Huyu anatafuta mchongo
@AliFakiMati-m7n10 ай бұрын
Wewe mzee ukweli bado hujasema kifo cha mzee karume.
@humphreygodfrey54009 ай бұрын
Zanzibar ni Tanzania 🇹🇿 hao watu unaowasema ni Waarabu,wahindi, wa Iran nk hao wote ni foreigners, Zanzibar, Pemba nk hii ni Tanzania 🇹🇿 hakuna kitu kinachoitwa wazanzibar, wapemba.
@rashidsuleiman92539 ай бұрын
Zanzibar ipo na itakuwepo. wazanzibari wapo na wataendelea kuwepo. Kama hutaki rudi kwenu Tanganyika
@ilynpayne749110 ай бұрын
karume na nyerere ndio walikua viongozi kweli bwana saahivi hakuna viongozi
@abdifaraji28839 ай бұрын
Nyerere alikuwa mtawala, Karume alikuwa Kiongozi baye Watawala walikuwa hawampendi, wakiogopa asije kuvunja Mungano aliolazmishwa kuingia.
@karimdaud39939 ай бұрын
Hata samia na hussein . Ndio maendeleo yanafufuka sasa mola awaweke AMEEN
@alikashmir29838 ай бұрын
,,,,,,,,
@mwatumsaidi510410 ай бұрын
Karume kauliwa kwa sababu alitaka kuuvunja muungano