Asante Mungu Baba kwa ajili ya Yesu Kristo Mfufuka aliye hai milele akiniombea daima. Katika jina la Yesu Kristo.
@user-pi1st6pj3w2 ай бұрын
MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki Sana Mwalimu
@user-pi1st6pj3w2 ай бұрын
Amen
@florenceakinyi39912 ай бұрын
Aminaa
@sekelabenard2 ай бұрын
Ameen
@daudlusaganya53242 ай бұрын
Kristo Yesu akujalie ufunuo zaidi baba
@annashayo32462 ай бұрын
Naomba Neema ya msalaba isinipite eeh Mwokozi wangu
@nicolasnzema082 ай бұрын
1 Kor 15:17-18 SUV [17] Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu. [18] Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea. HII NI KWELI UFUFUO NI NGUVU YA MUNGU ufufuo ni ufunguo wa kuelewa maandiko ufufuo ndio mpango wa Mungu.