CHEKECHE || Je, vita vya Gaza kusababisha machafuko zaidi ukanda wa kati

  Рет қаралды 4,368

UTV Tanzania

UTV Tanzania

6 ай бұрын

Baada ya Israel kuendelea kuishambulia Palestina tayari mtafaruku mpya unaohusiana na mgogoro huo umezuka kati ya Yemen na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Je, mgogoro wa Palestina unaweza kusababisha machafuko kwenye baadhi ya maeneo mengine duniani?

Пікірлер: 20
@bminawandu
@bminawandu
Thabit akiwepo dakika kwenye kipindi dakika azitoshi ana Tema Madini tu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270
Warabu wakali kwa warabu wenzao au watu weusi. Lakini wakikutana na Marekani au Israel wanakaaa kimya. Wanajua kua Israel Ina Nuclear. Waliounda Saudia ni Waingereza. Kwahio sidhani warabu watakaa kimya. Kingine ili kumaliza vita duniani, kila nchi ipewe technology ya kuunda Nuclear
@chidiomari.65
@chidiomari.65
Mungu akupe Maisha marefu Thabit nakufuatiliaga sana nafaidika na elimu Yako😊
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g
Wale wale waliowapandikiza pale masharki ya kati
@user-ur3tl8ck7x
@user-ur3tl8ck7x
Thabit ni Almasi inatumika kama kete kwenye bao,
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1
Ndicho wayahudi wanachotaka hawataki Wapelestina pale Kwa sababu ya mafuta na gesi iliyopo pale ufukukweni mwa Gaza.
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu
Mchambuzi anajua sana hongera
@daudminzi-pb3je
@daudminzi-pb3je
Mhhhh wew upo upande wa mashariki ya kati sio kwenye uchambuzi azam mmefeli tafuteni mchambuzi sio huyo
@alisaid5745
@alisaid5745
Huyu jamaa BC kwakweli hitimisho lako sahihi
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093
Nakuelewa kaka
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze
Nisahihi mara hii wamewaoneya sanaa kweli
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze
Wanajifanya muungu israili lakini nawasibirii huko Kwa Allah wataona nyetanyahu na biden
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze
Hamasi wamechoshwa na mateso ya wayahudi ndiyo wakachukuwa hatuwa
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze
Hamuwi chochote
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊.
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze
Kila siku kuzusha uongo
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063
Tani ninyi azam mmemualika huyo jamaa Anafanya propaganda badala ya kufanya uchambuzi.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 64 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 91 МЛН
Duniani Leo
29:56
VOA Swahili
Рет қаралды 3,9 М.
Urusi yatangaza kusimamisha mkataba kati yake na Marekani
9:53
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 64 МЛН