Kaka wewe umekua mwalm kwangu mwenyez mungu akupe maisha malef
@ayoubmarch77362 жыл бұрын
Achaa Kaka kabisa Kaka Kunawatu tunateseka kweliii
@nipasheguardian28832 жыл бұрын
Hongera kazi nzuri
@fathiasaed97182 жыл бұрын
God bless you kaka
@tiffarqueen27122 жыл бұрын
Nikweli Kaka walaujakosea💯👊🏼
@tausimatala15292 жыл бұрын
Nakupenda sana
@salmashoo81002 жыл бұрын
Broo naisi ni mm kabisa ninamaumivu mengine sijui km nitaweza kusahau aya maumivu yangu sometimes am crying
@alicemuthoni44402 жыл бұрын
Pole dear
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Yan wala unishind mm wallah mhhhh
@bellhdjdbdjd64952 жыл бұрын
Pole
@shaymohd65472 жыл бұрын
Sigh namba moja inanihusu na sijui kama nitasahau kabisa na namba nne inanigusa kiasi lakin sio sana maana sipendi kuongelea mambo yangu sana Maumivu n kitu kigumu kusahau kabisa jaman🙌
@nasha_59 Жыл бұрын
Bado nna maumivu makali sna nataman yaondka hta sas ivi
@minaaminaa17812 жыл бұрын
Mimi huyo..
@farajhassan17752 жыл бұрын
One love kaka angu Mungu alibariki
@nitunda2 жыл бұрын
asante sana mwalimu
@marymaduhu14122 жыл бұрын
Jaman kaka joel uenigusu Sana na hili suala, mimi kuna mwanake tena alkuwa mwanafunzi wa mume wangu, alizaa na mwalimu wake ambae ni mume wangu huku akijua mwalimu wake ana mke. Na sasa ameleta ameleta mtoto huyo kwa baba yake,, yaani namlea mimi. Nisaidie kaka, hayo mambo uliyoeleza yote huwa yananikuta.
@samwelimwanja41052 жыл бұрын
Respect to you my brother 🙏💯
@evansmkula9003 Жыл бұрын
Niko na dalili zote Kaka na sijui najinasua vipi tu😢
@thrivehappy96102 жыл бұрын
Is true for sure
@stanleyandrea51532 жыл бұрын
One love bro ...I believe your words
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Yan leo umenizungumzia mm kaka saas tufanyeje adi yaishe
@frankmtei30172 жыл бұрын
Tafuta uponyaji
@sifuninehemia96832 жыл бұрын
Mm Nina Mtu Kaniumiza Mno KWA Mke Wangu, Sijui Nitakuja Msahau Nipe Tiba, Mkuu
@janethpallangyo26332 жыл бұрын
Kweli kabisa
@irhadiddi942 ай бұрын
Mimi sijui kama nitapona maana saivi nikiwa na mawazo kidogo tu moyo unauma ulinianza kipindi nnamimba mume wangu aliniacha hadi leo miaka 4
@meryfrank52722 жыл бұрын
Ni kwel kbs
@newsworldtv28052 жыл бұрын
Kweli kabisa, sas namna gani ya kuyaondoa
@gaggaghshs59922 жыл бұрын
Dalili zote ninazo kama uliongea namoyo wangu naata nasikiliza. Machonzi mengi
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Mm dalili zote. Nko nazo ndugu yangu
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Nice
@gracepamba70792 жыл бұрын
Nmekutana na dalili ambayo nkiongelea Yale maumivu naumia Tena.
@olivanooraladin54362 жыл бұрын
Yaani hii Mada ya leo km iumeniongelea mm hakiamungu
@mariamhabiba57622 жыл бұрын
Ili kupona kabisa video hiyo tunaipataje
@beatricemabula47832 жыл бұрын
Bado sijapona dalili zote 4 zinanihusu
@akidasalim38592 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@kennedysono73882 жыл бұрын
Ndiyo mimi baba yangu ali uliwa mbaya zaidi waliyo bainika kufanya mauwaji yupo jijini kifupi hainiishi wala sidhani kama nitakuja kusahau
@gracejonh40222 жыл бұрын
Hiyo video inaitwaje
@abelamos32092 жыл бұрын
Nilixhawah kuumizwa na bado xijapona
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Tupeane pole my yan mhhh
@frankmtei30172 жыл бұрын
@@mahmoodalghefeili5370 tafuteni uponyaji
@tausilifestyle7952 жыл бұрын
Shukurani 😪
@bensonjohn54002 жыл бұрын
Duh! Kweli kabsaaa
@sumwadj90932 жыл бұрын
Tupo pamaja
@husnashelukindo81582 жыл бұрын
Nikweli mm bado sijapona kaka
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
💯👏
@lusajovilindila86802 жыл бұрын
🤝
@simawaziri86472 жыл бұрын
Hiii nikweli kabisa
@binthawa29732 жыл бұрын
yan nd mim sijasaheme na sijapona na suluhisho naona ni kisasi tu kwake
@frankmtei30172 жыл бұрын
Tatizo moja halitatuliwi kwa kutumia tatizo lingine... Take care!!
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Tumshukur Mungu na kumuomba mm pianateseka sana my yan nawaza cjui nimfanyeje
@frankmtei30172 жыл бұрын
@@mahmoodalghefeili5370 tafuta uponyaji
@mussalulenga99392 жыл бұрын
Kuna jamaa yangu alichukulia demu kipindi m mshamba natoka kijijini hapa 4 ni mimi kabisa
@husnashelukindo81582 жыл бұрын
Hizo dalili zote niko nazo nikweli halafu bado namuona kila sijui kama nitapona haya
@ghfhfdtyfgggd62712 жыл бұрын
Mimi nina Ex wangu sitaki nimuone wala kumusikia ata mutoto wake namuckulia poa.sijui nitafanya aje?