No video

HATIMAYE LISSU AWATAJA WATESI WAKE/ NILIWAONA WAKIPIGA RISASI/ SIO MAGUFULI/ ILIPANGWA MAKUSUDI

  Рет қаралды 267,583

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#magufuli #tundulissu

Пікірлер: 294
@FelwusiFelwusi
@FelwusiFelwusi 4 күн бұрын
Hongea fother
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Жыл бұрын
Polesana kaka yatatimia tuu ya Mungu.
@Maswi-zz9jo
@Maswi-zz9jo 6 ай бұрын
Pg
@SuleimaniKimwagas
@SuleimaniKimwagas 2 ай бұрын
Kw mtu aliyetendewa lissu anapitia magumu sana ila tunavunga tuu, chukulia kama ni wew ungechukuliaji?
@francisrobert9652
@francisrobert9652 Жыл бұрын
big unahoji vizuri sana
@jaberalyafei274
@jaberalyafei274 Жыл бұрын
Pole sana pole sana kiumbe cha Allaah huu ni mtihani sana safisha na utafika kwa mema maneno punguza vitendo vyema vifanye kazi miaka mitatu ni uhai usikatae mama aliokupa mahala paendeleze ili ukubalike ndugu yangu
@mohammednyemaga4793
@mohammednyemaga4793 Жыл бұрын
Tundu rissu ACHA mambo mengi hakuna haja ya kuendelea kumuongerea mtu aliyekwisha pita kama mbaya wako,chakufanya piga moyo konde muombe mungu atujalie uweke mambo ya siasa sawa nchini ujiandae KUCHUKUA NCHI 2025 KWASABABU WEWE TAYARI UNAWEZA KWA UWEZO WA MUNGU. USIPO GOMBEA MSIMAMISHENI MHESHIMIWA ,DOCTOR JOHN ECHE.CHADEMA MBELE DAIMA NYUMA MWIKO.
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Жыл бұрын
Huyu Lisu Bora Angeolewa tuu Huko Belgium
@myanjimyanji4076
@myanjimyanji4076 Жыл бұрын
Kaolewe wewe, maana nahisi ni shoga
@rajah9328
@rajah9328 Жыл бұрын
Jamaa kanusurika kifo badala kusema Mungu ni mwema amemtendea au wew c mtanzania au ukickia ripoti yke
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Huyu ni Mpenzi wa Dictator Makufuli
@kassim1262
@kassim1262 Жыл бұрын
Mutapata tabu sana watu musiojuilikana nyinyi mlitaka kumuua lakin mungu bado hajataka sasa vipi bado unaweka chuki kwalissu lissu nimipango yamungu,acha chuki mzee baba usishindane namipango yamungu kubwa lenu limeenda naww nawenzako mtaenda wanakwend wauaji wakubwa kwauezo wa mungu lissu bado yupo..
@awadhally1052
@awadhally1052 6 ай бұрын
Kwel kabisaa
@ezekielmalyuta3721
@ezekielmalyuta3721 Жыл бұрын
Pole sana kamanda wangu
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Mungu atakulipa watakufa kifo kibaya sanawasiptubu
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Tumshukuru muungu sana kiongoz jasiri Kama ww na yote upitiayo kaza butu mkuu safar iyelendelee Tundu oyeeeeee
@bigpuppivlogs
@bigpuppivlogs Жыл бұрын
THIS IS TOP G IN TZ
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Sema Kweli Wajue Kama Huku tendewa Haki na Tuliumia Sana Sisi Wenye Utu na tulizibwa Mdomo Tusiseme na Kumkosoa Mama Katoa Uhuru wa Kuongea Sema Mzee Tunakusikiliza Maana Tulikua Hatupumui Vizuri Kwa Utawala Uliokatishwa na Mungu na Mungu Aliona Amtoe Ili tie Salama Vinginevyo Watu Wengi Wangekufa na Wengine Wangebaki Mayatima na Wajane Pongezi Kwa Mama Kuwafukuza Wasiojulikana
@samweljikxo9259
@samweljikxo9259 Жыл бұрын
Yani ww ni malaya nadhani aujielewi babisa navo kuita malaya sijakosea nadhani siasa auijui wewe
@user-np7mf7yh8w
@user-np7mf7yh8w 5 ай бұрын
No comment
@2003hintay
@2003hintay Жыл бұрын
Rais gani mjinga amtume mtu asiojua kutumia bunduki apoteze risasi 30 mtu akimbii, Wala gari haikimbii apoteze risasi 30 huyo Askari anapaswa kuuawa yeye (Kuna sniper au hawapo)
@zakayoyohana1736
@zakayoyohana1736 Жыл бұрын
we'we mjinga pamoja namwendazake
@2003hintay
@2003hintay Жыл бұрын
@@zakayoyohana1736 sawa2 utakavyo wewe
@severintemu5524
@severintemu5524 Жыл бұрын
Danieli alitupwa kwenye tundu la simba wenye njaaa majibu kasome historia hiyo mungu ni mwema kila wakati
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
@@zakayoyohana1736 jamaa yako leo anasema vitu vingine kuhusu mwendazake, kama alitakiwa kuuwawa basi hao hitman siyo wajuzi🤣🤣🤣🤣risasi 30🥲
@iddymbogowogo-yu3gv
@iddymbogowogo-yu3gv 5 ай бұрын
Hapo nimekuekewa kiukweli atume maaskali kwendea kumuua huyu mtu Wala asinge bakia kiukweli
@fidelfidel4818
@fidelfidel4818 12 күн бұрын
Tundu Lissu ni pumbafu. Utazeheka bila kufika hikulu. Magufuli ni kipenzi cha wa tanzania na Afrika.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Жыл бұрын
Bwabwa hili.
@awadhally1052
@awadhally1052 6 ай бұрын
Kwel choko hili la wazungu
@user-su3zd6mz6d
@user-su3zd6mz6d 4 ай бұрын
Tako lako manyoko
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 Ай бұрын
Wewe punga
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Dhamira yao ya Kukuua Mungu Amewalipa Wao na Kufa gafla Mshukuru Mungu Sana Lissu Mungu Alikuokoa na Kukupa Ulinzi wake
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 Жыл бұрын
Humu ndani kuna majitu yana roho ya kutu,ni mauaji,matahira,ni maibilisi hivi imagine baba yako,au ww mwenyewe unaesapot uuaji umgepigwa hizo risasi....Lisu ni mwana Siasa aliewekwa na Mungu ili kuinyoosha serikali,...Kuna watu hawana akili wanafurahia kabisa aliyopitia Tundu Lisu.....
@samweljikxo9259
@samweljikxo9259 Жыл бұрын
Dah! we ni teja kbx nkueleweshe tu kidogo kuma ww, maendeleo ya nchi ayaletwi na siasa shetani km uyu ni wakurudi kuzimu wewe ukiongoza msafara msenge ww
@AnordJoseph-e2e
@AnordJoseph-e2e Ай бұрын
Nani amkubali LISU huyo shoga tu
@augustinereonard-ij9fz
@augustinereonard-ij9fz Жыл бұрын
Yani huyo hamna lolote kabxa unaongea pumba tu linahamasisha ukoloni mambo Leo lione huna ata points za kushawishi kuhusu maendeleo ukiwezekana uzibe Domo lako bhana
@jumaomari9080
@jumaomari9080 Жыл бұрын
Magufuli hakua mungu waka c mungu na hawezi kua mungu, Ila alikua kiongozi mwema mpenda watu, watu nao wakampenda kwa mazuri yke
@ngamamalim2710
@ngamamalim2710 Жыл бұрын
Nakuelewa Mzee Lissu
@NinguRazalo-dp6xl
@NinguRazalo-dp6xl Жыл бұрын
Nini ulchomkosea Mpaka ukapigwa lisas mbna husemi kosa lako
@awadhally1052
@awadhally1052 6 ай бұрын
Chizi hili lilikuwa linatoa sir za nchi
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 Жыл бұрын
We thanks god
@Mbwana-w7q
@Mbwana-w7q 10 күн бұрын
wameona nguvu ya mungu
@shijahlaurent3100
@shijahlaurent3100 Жыл бұрын
Wewe kadanganye watoto raisi hawezi kutuma watu wajinga kiasi kikubwa hivyo raisi anawatu hatari sana ungepigwa risasi moja tu.
@Mohammedramadhanially
@Mohammedramadhanially Ай бұрын
tulia wewe
@HamisiMbagulwa
@HamisiMbagulwa 18 күн бұрын
Anaongea haki lissu na malipo ni hapahapa duniani na mnae mponda wote ndio nyie mnaopiga hela za selikali Kiko wapi sasa
@onesphoryndomba6115
@onesphoryndomba6115 Жыл бұрын
Pamoja na kutangulia mbele za mungu bado magufuri anakuzidi naamini hata leo wakishindanisha ww na magufuri najuwa magufuri atashinda
@salumsalim7564
@salumsalim7564 Жыл бұрын
Tatzo la magu ni kiongoz mzur ila alikua hana Democratic kwa wapinzani
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Hawezi Kumshinda Lissu Maana Lisu ni Bora Kuliko Huyo Magufuli Maana Uhai watu ni Bora Kuliko Kitu Chochote na Amani ya Mtu Nibora Kuliko Chochote na Watu Wengi Walipotezwa Unafikilia Family ya Lissu na Wale Walio Potezwa Watajiskiaje Hata Kama Sio Mwana Family Utaguswa na Hili Kama Mwanadam Mwenye Utu Lazima Uguswe Nani Anamsapoti Lissu Kwa Ukweli Anao Zungumza na Mama Kawakimbiza Wapotezaji na Wa amizi Kama Walivyo Mvamia Lisuu
@salumsalim7564
@salumsalim7564 Жыл бұрын
@@magomakabanja480 katk hii dunia na hasa afrika usimuamini mwana siasa yyte wanafki tu ao magu alikua ni kiongoz bora lkn upande wa pili hakua na Democratic maan hakukua na uhuru wa vyombo vya habar na uwongoz wake haukufuaata katiba alikua anatumia mabavu serikali alikua anaifanya km yake na si ya watu wte ukibisha anakutumia wasio juulikana 😂,jiulize tangu afe magu wale watu wasiojuulikana wamepotelea wap
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Ndio Kaka Mkubwa Yule Kafa na Laana za Dam za Watu na Walio Fukuzwa vyet feki
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Wewe Kenge mweusi Ndio maana Makufuli akaiba uchaguzi wote mpaka Pemba? KAMA ANASHINDA KWA NINI AKAIBA UCHAGUZI WOTE WA SERIKALI ZA MTAA wewe ni kisyesi kilicholala kinyes mnuko zaidi
@BarakaMasanja-pc9xd
@BarakaMasanja-pc9xd 5 ай бұрын
Lisu hana jipya na hawezi kuwa rais na kama akiwa rais basi Tanzania mtakuwa hamna akili 😅
@mgayagesimba2238
@mgayagesimba2238 Жыл бұрын
Ulijaribiwa kwa brankoo subili za moto kama utaongea siku nyingine.
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 Жыл бұрын
Tundu usiwe muongo unawajia waliokuumiza na ukalipwa ili msibitishe kuwa Magu ni dictator haiwezekani risasi itoke kushoto ikupige kulia
@hassanosman8910
@hassanosman8910 Жыл бұрын
Waliwezaje kuondoa walinzi wa serikali kwenye Lindo, unajua Huna akili unaropoka tu
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
@@hassanosman8910 Hapa kila mtu anatoa comment kwa ajili ya upeo wake, siyo vzr kumwambia mtu huna akili au anaropoka? hii ni social media kila mtu anapoint view yake. Toka hajapigwa risasi alikuwa anamlaumu Magu. Ila anajua kabisa ktka nafsi yake aliyewatuma hao wasiojulikana kumpiga risasi. Ben Sanane alipotea mara mwisho alikuwa na nani? Ukipata jibu utawajua watu wasiojulikana.
@hassanosman8910
@hassanosman8910 Жыл бұрын
@@naimamoddy Naomba Nisamehwe ndugu kwa kwel, ni ile hamak kwa kwel, na yote kwa yote nadhan lililotokea halwez kurudshwa nyuma no mda wa kusonga mbele, Nisamehe
@JoramSimion
@JoramSimion 5 ай бұрын
Mnyapaa orea ❤
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 Жыл бұрын
WEWE LISSU NI MUONGO SANA MBONA UNASEMA UNAWAJUA SASA MBONA HAUWAPELEKI MAHAKAMANI? NAWEWE NI BINGWA WASHERIA UCHWARA FUNGUA KESI BASI TUMECHOKA NA MASTORI YAKO YAHOVYO KILA SIKU UNATUCHOSHA HATUTAKI STORI ZAKO
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Ameona lakini hawatambui kisura sasa uongo wake ni nini?
@kapingageorge7635
@kapingageorge7635 Жыл бұрын
Tatz ulilonalo huna unachojua wala unachoelewa
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
@@leokamil6284 Msikilize vizuri amesema anawafahamu vzr na serikali inawalinda hao wasijulikana.
@ramygichero1016
@ramygichero1016 Жыл бұрын
Siipendi chadema kwaajili ya mbowe mpiga dili ila nakupenda lisu
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 Жыл бұрын
Vipi useme yy ndie alie alie taka kukuuwa na ulipns waliokupiga kwa nini usiwaseme ww na balozi wa ugerimani ndio mliofanya hii picha
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
😂😂kuna ule usemi unaosema ukumbuke uliyayasema jana😅😅kawaona hao waliompiga risasi na anawafahamu kwann asiwaambie hayo mataifa ambayo yalikuwa yanatizama macho😀kama kuiambia serikali yake anaogopa na anasema wanawalinda kakimbilia ujerumani na kwa case yake kuna Amnesty International watamsimamia. Africa hakuna wanasiasa kuna wajaza matumbo yao. Chadema watafanya kila njia ili mradi Tanzania ionekane hakuna usalama kwasababu ya group la watu fulani ambao wanataka wawe Mawaziri na Marais.Kwa upeo wangu kwahili swala la Lissu anajua kwandani zaidi kilichofanyika kwake na yeye ni mtu wa kutumbua madudu ya CCM/ SERIKALI basi asimame jukwaani aseme hao vijana wawili waliompiga risasi ili Watanzania wawajue. Instead kila interview zake anabadirisha story😀Leo nimesikia anasema Magu hajampiga risasi😅 Ila serikali inawalinda hao vijana wawili na amesema mpaka umri zao kwa maana hiyo anawajua vizuri😅I'm confused here 😂I found it hard to believe anything come to his mouth😅
@fredtarimo1738
@fredtarimo1738 Жыл бұрын
Mijitu inayounga mkono mauaji ni ya kuogopwa kama ukoma.
@samwelisitta4855
@samwelisitta4855 4 ай бұрын
We tundu huna lolote we ndio hufai hufai
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 Жыл бұрын
Magu kafanya mengi sana dunia hii😱
@esaukalanje5378
@esaukalanje5378 Жыл бұрын
Kuliko wengine et eeh
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
Yapi hayo?
@MashakaJohn-vt4gx
@MashakaJohn-vt4gx 3 ай бұрын
Rais àtake kukuua aondoe askari lindo?,,kaka unauhakika waliondolewa au watoa tarifa walikudanganya ,,maana umesema masaa 24 mageti huwa yamefungwa?.huoni kama hisia zako za rais kuhusika ulipunguza uwanja wa wapelelezi kuendelea na uchunguzi?,,
@AnordJoseph-e2e
@AnordJoseph-e2e Ай бұрын
Hata ukufe tu wala siwezi kuumia hata kidogo hakuna kifo kilichoniliza nakuniumiza takribani mwaka mzima kama nilipoteza wazazi wangu nasikuumia kiasi hicho kama kifo cha magufuli wewe hata hata ukaolewe huko kwenye harusi siwezi kuja
@rpcmadola3492
@rpcmadola3492 Жыл бұрын
Huyu jamaa hamna kitu chochote ni mbinu tu za kisiasa tu
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Жыл бұрын
Exactly 💯
@RajaburashidiKamsweka
@RajaburashidiKamsweka 5 ай бұрын
Tundu lis acha uchochez ww ni mwana siasa mkumbwa nchin unapotosha wa tanzania leta hoja za msingi tushindane
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Mungu mkubwa ila tuna ngoja sirro na makonda tuone kaburi zao kama mweao makufuli
@MaryAssey-ey7ye
@MaryAssey-ey7ye Ай бұрын
Utatakuria ww
@MaryAssey-ey7ye
@MaryAssey-ey7ye Ай бұрын
Ww sema ulikuwa unaugovi na watu wako huko muache baba wa wat apumunzike qwa aman kuna unacho kitafutua sikingine ww ulijuwa je kama ni magfur achakutafuta kiki watu kama nyie hamufai
@boybony5103
@boybony5103 Жыл бұрын
Mungu alifanya maajabu kutuoondolea hilo jitu linyonyaji
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 Жыл бұрын
Kwani ww hutakufa linyonyaji ww alikunyonya nn mshenzi ww
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 Жыл бұрын
Jamaa lipuuzi..Sana Lilijitahid sana kupiga jitihada za Magufuli... Linatetea mabeberu... Issue ya makinikina uliwatetea Sana Ndo chanzo ulipigwa.. Mataifa yote yanayotetea mali za Nchi... Utokee mtanzania 1 upinge. Uliyataka Mwenyewe.
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Zungimzia trillioni moja na nusu hela nyingi sana alizoiba Makufuli ikulu kupotea kwa Ben Saa nane Jee angelikua kafanyiwa baba yako umgekejeli kama hivyo?
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
Ameshasahau hayo😅
@OmariSheha-y1k
@OmariSheha-y1k Ай бұрын
Mazuruh
@georgesombi7872
@georgesombi7872 Жыл бұрын
Hapo umeongea point👏👏 waliokukosea wasamehe ili Mungu akufungulie njia ilio nzuri
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
ukiona mtu anapambana na marehemu... ujue akili yake haipo sawa.
@kaegemagafu7828
@kaegemagafu7828 Жыл бұрын
Ndiyo maana ya historia au labda uiambie dunia ifute somo la historia! Hadi leo watu wanasoma na kukumbushia ukatili wa watu watawala kama Mapharao,musolin,hitra,nebkadeneza,idiamin,mabutu nk , na pia watu wema kama Yesu,martin ,mandela nk . Utake usitake Magu atasemwa tu kwa Mema yake na pia zaidi kwa mabaya yake ili watawala wajao na jamii nzima tujifunze
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
@@kaegemagafu7828 sasa ww unazungumzia historia. Mimi nimesema "ukiona mtu anapambana na marehemu ujue hayupo sawa" Sijapinga mtu kufatilia historia ya marehemu.
@nehemiamwashinani1821
@nehemiamwashinani1821 Жыл бұрын
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 Жыл бұрын
Kwahiyo unamaanisha nin marizia
@user-zm7im6wx3d
@user-zm7im6wx3d 6 ай бұрын
ukiua kwa upanga na ww utauawa kwa upanga neno la mungu lasema
@rugendorunene545
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Hakuna nchi yeyote yenye misingi ya kidemocrasia Africa mashariki wacha Africa!
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Lakini mheshimiwa Lissu ebu jikite kwenye kuijenga nchi na kuikomboa hii nchi kuwe na sera Bora za kuweza kuwakomboa wananchi na sio malumbano tena najua inaumiza lakini hatuna jinsi ndio Tanzania yetu naomba tuwe wazalendo na nchi yetu
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w Жыл бұрын
Siku zote hata kwa maitaifa yaliyoendelea makubwa ubabe na nguvu kubwa ilitumika ili mataifa yao yaendelee mfano Marekani mpaka leo kuna watu wanauliwa kimya kimya na hao majasusi wa Kimarekani CIA, China nao, Urusi, n.k ndio maana kuna wakt hutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe kwahiyo msishangae sana hilo yote ni katika kuimarisha na kujenga nchi
@bakarimuhamedbakari3605
@bakarimuhamedbakari3605 Жыл бұрын
Samahanini sana Kama hii itawakwaza hivi muheshimiwa tangia amerudi tz tena salama hakukutokea vurugu yoyote mbona Kama vile anafanya vitu ili kutokee vurugu ivi au ni mawazo yangu tu Mana naona vijiashiri ni vingi kikweli
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
Ebu nitajie Japo 2 Ulivyo Viona Wwe
@bakarimuhamedbakari3605
@bakarimuhamedbakari3605 Жыл бұрын
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 unajua ndugu yangu mwenye macho huwa haambiwi tazama machoyake ndio humjulusha lakini na mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo bye bye
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 Жыл бұрын
Umeona eee na mm naona hivyo
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Mbona kaondoka TZ kimyakimya au bado yupo?
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
@@naimamoddy yupo
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Kangi Lugola huenda atakuwa anazo tetesi kufuatia shambulio la Lissu.
@semenisteven5378
@semenisteven5378 Жыл бұрын
Mangu ni kipenzi cha watu ata useme nini
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Жыл бұрын
kipenzichako niwewe
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Mangu ni nani? Ama unamaanisha Mungu ama Magu (Magufuli)?
@ernestjoseph7988
@ernestjoseph7988 Жыл бұрын
Kipenzi cha wewe usituchanganye na muaji
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Wewe na Family yako Ndio Mlikua Mnampenda Huyo Magufuli Wako Mnyonyaji Mtu Alikua Jeuri Mtu Asio Shaurika Huaga ni Jeuri
@rabomunde3550
@rabomunde3550 Жыл бұрын
Kipenzi Cha watu kweli
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Lisu hasira hasara bro
@BarakaMasanja-pc9xd
@BarakaMasanja-pc9xd 5 ай бұрын
Kwanza hujui ata kuongea
@Jetson34platnumz
@Jetson34platnumz Жыл бұрын
Huna jipya mzee mwache jembe letu magufuli apumzike mahali pema make hata unavyosema waliokushambulia walitumwa na magufuli una tumia ushahidi upi mzee
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Muuaji unamwita jembe?Ben Saa Nane IGory mwandishi wa habari CAG kafukuzwa kazi baada ya kubainisha wizi alioiba Makufuli tena hela nyingi ufidadi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki Trillioni moja na nusu zilitoka haxina zikaja ikulu akaxilamba zote
@JacksonMulokoz-jg4fd
@JacksonMulokoz-jg4fd 5 ай бұрын
Yona anton
@user-su3zd6mz6d
@user-su3zd6mz6d 4 ай бұрын
Magufuli amekufa na akafe tena mbwa sana
@LidyaJaphet
@LidyaJaphet 14 күн бұрын
A cha,uongo,we we,
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Жыл бұрын
MUNGU ni mwema sana kaka, pole sana
@user-hz9dt7ko7u
@user-hz9dt7ko7u 5 ай бұрын
Huyu ni muongo ajichunguze mwenyewe
@koyassa4509
@koyassa4509 Жыл бұрын
Mwongo mkubwa wewe Mungu anakuna wewe si vinamuda basiiii
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Mtu mwenye roho mbaya ya aina yako una haki ya kumwita Lisu muongo.kwa sababu hayo hayajawakuta ndugu zako.Roho ya kichawi.
@paschaljiday
@paschaljiday 8 күн бұрын
Moo
@user-jn4zq3zm5o
@user-jn4zq3zm5o 5 ай бұрын
Watesi wa watu wamo ndani ya nchi humu humu tu😊
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
@mussatete2618
@mussatete2618 Жыл бұрын
Hii Dunia me siielewi, Magufuli alimtuma wamuue Tundulisu, Haya Tundulisu mzima, Magu kafariki😆😆😆😆
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Interviewer is very intelligent
@dicksonkapanda8992
@dicksonkapanda8992 Жыл бұрын
Sema,kweli,walichokfanya,si,sawa,ingekuwa,wao
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 Жыл бұрын
Wakina nani
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
@@winifridakasibu2900 🤣🤣🤣
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Ukimsema magufuli wanakerwa kwasababu niwauaji kamayeye, vilevile wanarohombaya zakishetani zakudhulum haki zawatu kupigarisa raia kubambikwamakesi yaani maccm nimagaidi waliyo vaasuit wakoserikalini,
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Jitafakari, wewe ni mwanasheria usiye na,mwelekeo kwa sababu unazungumza mambo ya kisheria kama asiyejua chochote. Nenda polisi ukaanzishe kesi kwa sababu unawajua hao.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
MKAMATENI HUYO , MPELEKENI AKAPIMWE AKILI KWANZA. MAMBO MENGINE BADAYE.
@MwitaBoy-pn5rm
@MwitaBoy-pn5rm 4 ай бұрын
Duu mungu yupamoja nawe
@AnneMsolol
@AnneMsolol Ай бұрын
Mishono ya vitambaa
@muhamedabasi9245
@muhamedabasi9245 Жыл бұрын
Dah aisee ngoja niwemkimyatuu😮
@Laumwamba
@Laumwamba 5 ай бұрын
huy kihelehere hawez ongoza avae vikuku😂
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Жыл бұрын
Watajulikana tuu nakuajibishwa kishelia Mungu mkubwa
@Maswi-zz9jo
@Maswi-zz9jo 6 ай бұрын
Pg
@user-lt8oj3ui4q
@user-lt8oj3ui4q 5 ай бұрын
God aki akulipe 2
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 Жыл бұрын
Naona wakati umefika wakujulikana wasiojulikana.
@rabomunde3550
@rabomunde3550 Жыл бұрын
Una akili nyingi sana hongera
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Hata Mimi niliumia sana swala lako
@jumaomari9080
@jumaomari9080 Жыл бұрын
Nyinyi mnao comments umu ndani juu ya kumsapoti lissu yote n wajinga, lissu n adui wa hayati doctor jhn p magufuli, magufuli alikua kiongozi mwema, Ila uyu lissu n mjanja ataka urais ili awanyanyase nyinyi Wana inch wa tz, uyu lissu hafai n msaliti na n fisadi, Yuko pamoja na wazungu, n fisadi km kikweye.
@awadhally1052
@awadhally1052 6 ай бұрын
Kwel kabisaaaaa
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Muuliza maswali anaakili kubwa Sana kila siku magufuli amenipiga utadhani nimtoto mdogo
@kassim1262
@kassim1262 Жыл бұрын
Kwaio ulitaka akutaje ww
@lameckkayanda3293
@lameckkayanda3293 Жыл бұрын
hata umuseme magu.yupo mbele za Hali.na katnda Haki Sana kwa wanyonge.na kafanya Sana maendeleo mengi pamoja na kuleta nidham serikali na kuleta mageuz katka swala la kiuchumi.lakin kwa mafisad mabeberu poja na wahujumu uchumi.ndio walio mchukia. naamini dunian wote. tunapita.mtu anae jiona sahihi hapa duniani.majibu yake atayakuta kwa mungu.ila magi ni mwamba wa afrika.alie amua kuhitoa sadaka kwa sababu ya wanainchi wanyonge.ni wachache wenye moyo huo.hapa afrika.na hawadum Sana. Tomas sangara yupo rumba samora na n.k r.p.j.pm
@mahadimusa-ye5nu
@mahadimusa-ye5nu Жыл бұрын
Zaleo
@jafemagala8010
@jafemagala8010 Жыл бұрын
jafe
@simonmwashambela3233
@simonmwashambela3233 Жыл бұрын
dah huyu Jamaa nimuongo aijawahi tokea aisee yaan magufuri muache kabisa cyo levo yako
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 Жыл бұрын
Sawa na magufur huko aliko hana levo yake. Mim mwenyewe nilimlenda magu ila kwa hili hapana
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 Жыл бұрын
Nilikuwa nasapoti maendeleo aliyokuwa akifanya sio ujinga huo
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Una haki ya kusema haya,kwa sababu hawajUkiwa baba zako,kaka zako,wajomba zako,ndugu zako.wako wapi Ben Saa Nane,Azory Gambo,Watu kila siku wakiokotwa pwani bichi wakiwa wameshauliwa na kutiwa ndani ya viroba.Wewe una roho ya kichawi.
@abujunaidi663
@abujunaidi663 Жыл бұрын
Anaona ana kitambi kama mjamzito. Jaza tumbo mafuta
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Ushahidi wa matukio hayo mbaka tukio litokee huo ndo ukweli utapata wapi ushahidi pasipo tukio na snapper hawezi lenga eneo ambalo mtu hawezi kufa mara nyingi ukiona umelengwa na usife ujue basi hao walitaka kukujeruhi tena shahidi kwenye tukio akakimbia aisee mm binafsi nakupa pole ila hao hawakuwa wamelenga kukuua bali kukujeruhi tu dereva wangemuua pia
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Upande waliolengea inaonyesha sio upande aliokuwa Dereva
@thejordanband1516
@thejordanband1516 Жыл бұрын
Hakuna mwanadamu anaye WEZA KUTOA roho Yako bila ruhusa ya Mungu hâta akitaka kukuondoa Mungu atakulinda na yéyé atabaki anashangaa sana na inawezekana akapatwa na ugonjwa WA Moyo.
@l.h.l2254
@l.h.l2254 Жыл бұрын
So unataka kusema nini? Kwamba apotezee tu au sio? Waliokuja kumshambulia hawakuw sniper! Usidanganye watu. Na risasi hazijamdhuru sana kwa vile zilipozwa na vizuizi kadhaa kable ya kumkuta, walikosa clear target kupitia dirishani, walisimama ubavuni nyuma ya gari kwa vile gari alilokuwemo lilipak katikati ya magari, lisu aliweka kiwiwili kwenye siti ya dereva na sehem ya kiuno na miguu ndiyo iliyobak upande wa walipokuweko washambulizi hivyo sehemu yake ya juu ikawa off target. Mazingira ya shambulio inaonesha hayakuwa rafiki sana kwa wakati ule kwa washambuliaji na hivyo yaweza kuta walikua na hofu ya kukutwa hivyo wakawa na papara lakini sina shaka walitaka kumua. Idadi ya risasi zilizopigwa ni dalili ya kwamba hawakuwa na uhakika wa target hivyo waliona ni kheri wamimine nyingi ili afe kwa maheraja makubwa hata kama wakimkosa sehemu nyeti. TUACHE MAHABA. huu ni wakati wake.. mpeni muda yatapita. Hata kama hampendezwi na mnayoyasikia msijitoe ufahamu kujibu bila kufikiri.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@l.h.l2254 Nakubaliana na wewe pia hata wao waliotenda nadhani walitenda wakiwa na hofu kwa kuwa walitumwa pia hawakutaka kuonekana hivyo haraka uoga ndio ilimsaidia Lisu nashukuru Mungu hawakufanikiwa kumuua Mungu ni mwema sana. Lakini wataishi kwa kukosa amani maisha yao yote .Kuua au kutaka kuua ni dhambi kubwa sana
@victorernest7702
@victorernest7702 Жыл бұрын
CCTV
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Hii zambi limekaa peupe tenajuu panapoonekana nakilamtuyoyote hata mtoto mdogo anajuwa mipango yakinyama yakishetani yamwendazake magufuli, hakunasiritena tz, lazima tubadrishe mfumo wautawala unaotoa hakisawa kwakila mtz,
@GideonGwilenza
@GideonGwilenza 5 ай бұрын
Hi😢
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Ni watu wasiojulikana, wenye uwezo wa kuwarubuni walinzi waondoke katika lindo,na kuondoa CCTV camera,na kufyatua risasi watakavyo wakiwa huru,na bado wakairubuni mamlaka isifanye,wala kutoa taarifa za uchunguzi yote,lakini zaidi wana uwezo wa kumnyima mhanga fedha ya matibabu,na kumfuta ubunge!!? Kwa mazingira hayo ni haki ya walionusurika kuuliza muda wote mpaka wajulikane,na sio kuleta viashiria vyovyote vibaya kama baadhi wanavyodhani!
@bakirikitenge8033
@bakirikitenge8033 Жыл бұрын
Unasema
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Жыл бұрын
Huyu lissu ni mwongo saana....
@ijumaawikienda5435
@ijumaawikienda5435 Жыл бұрын
munguatalipa
@samuelkivuyo2891
@samuelkivuyo2891 Жыл бұрын
At! 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🙈
@ahmedbrazah9054
@ahmedbrazah9054 Жыл бұрын
Muongo kabisa hata urais unaongombea utaanguka tu mwishowe utakufa
@joeldallas6491
@joeldallas6491 Жыл бұрын
Kfo knapangwa na mungu
@ramadhaniddi1104
@ramadhaniddi1104 Жыл бұрын
Risasi 32 ci ungekuwa kama chujio
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Жыл бұрын
Story za uongo wewe lissu.....
@MrCosmas15
@MrCosmas15 Жыл бұрын
Nafikiri huu ni muda a kufanya siasa zitakazojenga nchi, Tz pamoja na nchi nyingine za kiafrika bado ni maskini na zinahitaji maendeleo ya watu wake. Nafikiri ingekuwa vizuri ukaelekeza nguvu kupambana na walio hai na wenye madaraka wanaoyatumia vibaya kuliko kupambana na mtu ambae hawezi kujitetea kisha ukaona kama ni ushindi kwa sababu hawezi kujibu tuhuma yoyote ile kwa sasa. Angekua hai, na kwa ushahidi ulio basi angeweza kufunguliwa mashtaka ya kula njama. Kwa sasa hivi tupambane na wanaoharibu ustawi wa nchi, watu wanataka kusikia sera mpya zitakazonyanyua elimu na kuondoa umasikini.
@TheKashmill
@TheKashmill Жыл бұрын
Ni kwa sababu wewe hujafanyiwa hicho kitu
@martinmuganga358
@martinmuganga358 Жыл бұрын
Kweli kabisa si muda wa kumtuhumu mtu ambaye hawezi kujitetea na Kwa ujumla ukiwa kiongozi kila baya litakuangukia. Kwa mtazamo wangu huyu Lissu hana sifa ya uongozi. Kwanza kabisa hana sifa ya UZALENDO ni MBINAFSI. Kwa hiyo asipige kelele sana hiyo ni kama ajali tu, atulie tujenge nchi yetu kwa pamoja.
@zakayoyohana1736
@zakayoyohana1736 Жыл бұрын
acha ujinga Kama we'we ulimpenda mwendazaka nawewe kazikwe chato
@abedhamza4653
@abedhamza4653 Жыл бұрын
Analindwa na katiba ya nchi hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote atakalotenda akiwa madarakani jeuri na kujikweza kunaanzia hapo
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Nimuda Muafaka wa Kusemwa Alie Mtenda Lissu na Wale Waliopotezwa Mnataka Kuficha Mabaya ya Mtu wa Chato Aliofanya Niwakati Wenu Nanyie Kuumia Maana Sisi Tuliumia Lissu na Watu Wetu Kupotezwa na Wengine Kukimbia Nchi yao na Kutelekeza Family yao na Watu Tulikua Mabubu Tz Nzima Nasiasa ya Demokrasia Ikazikwa Yaani Mwana Kwenda Zake Atalaumika na Mtu Mwenye Akili Timam Tunamshukuru Sana Mungu Kutupa Rais Mama Yetu Mh Samia Suluhu Hassani Maana Katupa Uhuru w Kuongea na Kuikosoa Serikali na Kurudisha Vyama Vingi
@medicalamon908
@medicalamon908 Жыл бұрын
Mtu anayesema kuuana si ajabu HAYAJAMKUTA YEYE!
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4,1 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 14 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 48 МЛН
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 769 М.
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4,1 МЛН