Hatua Tano:Jinsi Ya Kupata Pesa Za Wazo Lako La Biashara

  Рет қаралды 13,230

Joel Nanauka

Joel Nanauka

6 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 90
@jumakilindi6732
@jumakilindi6732 6 жыл бұрын
Wazo langu ni kulima kilimo cha migomba na ufugaji wa kuku wa kienyeji
@emmanuelyusuph9057
@emmanuelyusuph9057 6 жыл бұрын
kaka Joel wazo langu kubw la kibiashara,n kuw na shule ya primary kubw kisha ya secondary kisha chuo kikuu lengo langu kubw n kuhakikisha kuw tunatoa elimu ambayo itasaidia kutengeneza vijana wabunifu,kujua vpaj vyao, kujiajir badala y kusubir kuajiriw, kujitambua n. k nahtaj kutoa elim mbayo kusema kwel itakuw tofaut, kw sasa nipo katika level ya nursery and primary , shule yangu inaitw HONEST NURSERY AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL ukwel ni kuw kaka Joel shule yangu inafany vizur kias kwamba wazazi wanataman kuona inazd kuw kubw zaid,
@elimuwatototv5775
@elimuwatototv5775 6 жыл бұрын
Emmanuel Yusuph hongera sana Mkuu, unawazo kama langu.....
@khalfaningeleja6579
@khalfaningeleja6579 6 жыл бұрын
same idea sasa tukutaneni tulifanyie Kaka.
@khalfaningeleja6579
@khalfaningeleja6579 6 жыл бұрын
Nicheki 0692745323
@emmanuelyusuph9057
@emmanuelyusuph9057 6 жыл бұрын
thank u so much brother
@paschalgeofreyjacob8682
@paschalgeofreyjacob8682 6 жыл бұрын
Hii IPO vizuri ndugu hata Mimi Nina idea kama hii lakini bado Nipo kwenye kufanyia kazi hii
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Mimi tayari wazo langu nimelifanyia kazi na nimeanza NETWORK MARKETING biashara ya karne ya 21!! Kukosolewa na watu wa karib km familia ni sehemu ya biashara nmejifunza pia kukabiliana na vipingamizi vyote!! My selling capacity iko high!!! Na kninafahamu kuvisualise biashara yangu vizuri Bishara ya mtandao ni ya future!! Nmependa somo la leo kwa kweli kumbe hua natendea haki nilichochagua!!professional networker
@mdtv2625
@mdtv2625 6 жыл бұрын
Thanks my brother God might pay you
@gradientlife
@gradientlife 6 жыл бұрын
Nawaza kufungua IT Solutions Firm, to provide technology solutions for IT SMEs to LME, Providing unique solutions with international competitive image, in the field of software developments, systems, network, technology security, andIT auditing. Am an IT expertise for more than 5 years of experience, worked with more than 12 organizations both local and international and I have enough knowledge on what IT industry demands as for this age, I look to grow up fast as I also have strong business development team, business reseach team and technical team. #LetsMeetAtTheTop
@benjamininyambaso3759
@benjamininyambaso3759 6 жыл бұрын
Asantee broo joel.
@semanasitv8303
@semanasitv8303 6 жыл бұрын
nawaza kuwa na kampuni ya ujenzi wa majengo mkubwa na vijiji na duka la kuuza vifaa vya ujenzi na vyombo vya ujenzi kwa ujumla
@semanasitv8303
@semanasitv8303 6 жыл бұрын
nigee namba boss
@leahbundala7856
@leahbundala7856 4 жыл бұрын
Be blessed,Joel
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 жыл бұрын
asante sana mwalim endelea kupiga kazi
@jonaslasway5396
@jonaslasway5396 6 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi.
@mariammasatu4785
@mariammasatu4785 6 жыл бұрын
Asante sana bro Joel wazo langu la biashara kuuza kuku wa kienyeji
@gibomontana5242
@gibomontana5242 6 жыл бұрын
Me na plan kufuga nguluwe nampk dkk hii nina nguluwe watano bdo nawafuga kwaio km kunamtu nimfugaj pia tuwe tunabadilishn mawazo juu ya ufugaj wetu trgt yng nikuwa nanguluwe50/100. Ndan ya miaka miwil tu iv yn
@raginauthor1881
@raginauthor1881 6 жыл бұрын
Moja ya kitu kilichokuwa kinaniumiza kichwa ni jinsi gani wazo langu au jambo ninalolifanya linaweza kuniingizia pesa, wazo ukilitazama ni zuri, mawazo ya watu wengine kwenye wazo hilo ni positive kwamba, ukilifanyia kazi dogo utafika mbali sana, lakini binafsi nashindwa kulitoa kwenye theory na kuliweka kwenye practical yani liweze kunilipa na kuniongezea thamani, hapo tu ndipo ninapo pata shida
@mbongo7830
@mbongo7830 6 жыл бұрын
my name is Geoffrey aka mbongo522 napenda muziki pia nafanya kama kaz yangu ya bdae hata sasaiv kwa sababu nina amini every day napokuja na kitu cha tofaut bx ninaamini ata kama sitapata Doo now bdo Nina nafas ya kufny vitu vizur zaid na zaid
@ramadhanichombo8138
@ramadhanichombo8138 6 жыл бұрын
Dah! Brother unanipa moyo Sana. Wazo langu ni kufanya Kilimo chenye tija. Na pia kudeal na biashara ya mazao ya nafaka hususani maharage kutoka huku Shamba. Na uzuri ni kwamba biashara hii haina msimu, naamini mungu atasimamia hili.
@johnitembe7581
@johnitembe7581 4 жыл бұрын
VP hiyo biashara ulishaianza ama bado,tushirikishane ndugu,karibu
@muslimocho1097
@muslimocho1097 6 жыл бұрын
Nimekua nakufatilia sana mimi na kuyafanyia kazi unayo nifundisha
@pilumsolah1234
@pilumsolah1234 6 жыл бұрын
Wazo langu ni kufungua duka la vitabu vya aina zote..... Kiu yangu kuu watu wawe wasomaji ili kujipatia maarifa. Kwa kuwa Napenda kuandika natamani kuandaa movement ya kuwa shawishi watu waamke kwenye usomaji katika nchi yetu.
@rosekomu1896
@rosekomu1896 4 жыл бұрын
Nataka kufuga. Lakin mtaji
@hassanomar4291
@hassanomar4291 4 жыл бұрын
Brother Ahsante sana mimi wazo langu nikutaka kuacha kuajiriwa na kutaka kufanya biashara ya kilimo hapo ndo akili yangu ili kwa sasaivi by Mr. Hassan. see you at the top
@azzeaazza6331
@azzeaazza6331 6 жыл бұрын
Nakuelewa Mwalim MUNGU AKUBARIKI
@sililisilili9425
@sililisilili9425 6 жыл бұрын
wazo langu ni kuanzisha ufugaji wa kuku wa mayai kibiashara zaidi...lengo watakapofikia umri wa kutaga basi niwe na kuku 500-600 ili niwe na uwakika wa kupata trei 10-15 kwa siku kwa kipindi cha mwaka 1 ili niwe na uwakika wa kuwa na kipata cha elfu 80000-100000 kwa siku kwa kipindi chote cha mwaka mzima yani miezi 12 (hapo sijatoa gharama ya kuwaudumia hao kuku 500-600 kwa siku)#MuhitimuWaChuo cha mifugo LITA-Mpwapwa campus
@rizikifumao3685
@rizikifumao3685 6 жыл бұрын
Mimi nimeamua kufanya network marketing, unajua ili ufanikiwe lazima ufanye kitu kinachoendana na wakati uliopo. kwa sasa biashara nzuri sana ni biashara ya mtandao kwa sababu huna haja ya kujikita na kuuza bidhaa pekee bali unaweza kupata kipato hata kwa kuongea na watu,hii ni rahisi sana kwa sababu kila siku tunakutana na watu wengi tunaongea nao so cha kufanya ni kubadili aina ya maongezi tu na kufanya maongezi yanayoendana na biashara yako. Biashara hii imekuwa mkombozi mkubwa sana kwa watu wengi na kuwafanya waishi maisha ya ndoto zao. Na Mimi ni mmoja wapo kati ya watu wanaishi maisha ya ndoto zao ninafurahi sana kuwa miongini mwa wafanyabiashara katika kampuni kubwa sana ya FOREVER LIVING PRODUCT kwani inaniwezesha kumudu maisha na kupata kile ninachokihitaji. Ebu jiulize umefanya biashara ngapi ambazo zina hatari kubwa ya kukudidimiza kulioko kukuinua. kwa kufanya biashara hii inakupa furaha,afya njema,kipato kikubwa na nyongeza ya kile unachokihitaji. So karibu sana ktk familia yenye furaha nawe uweze kuishi maisha ya ndoto zako.
@topesafi9742
@topesafi9742 6 жыл бұрын
Riziki Fumao hili wazo nmelipenda,naomba niwe mmoja wenu kaka
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Riziki Fumao yaap mm pia ni networker japo si forever but km ulivyosema natamani watu wangejua biashara ya karne ya 21 rahisi yani!kiukweli ni ngumu sana kufikia ndoto km biashara ni ile ya zamani!!maduka tunatembea nayo popote!👏👏
@lusajojoseph9007
@lusajojoseph9007 4 жыл бұрын
Jaman nataman kujifunza network marketing naomba mnifundishe no 0742553267
@danielmkahala8643
@danielmkahala8643 6 жыл бұрын
Wazo. Ufugaji wa kuku wa kienyeji na kilimo cha mbogamboga. Reason. 1.Napenda sana kufuga na kulima mboga za aina mbalimali za majani. Show Emotional. 1.Itasaidia familia yangu moja kwa moja kwani mama yangu amekuwa akilima kwa miaka mingi sana pasipo kuwa na dhamira kuu. 2.Itasaidia kupata chakula kilicho bora na tulichoandaa wenyewe. Sell Your ability Nimekuwa nikijishughulisha na biashara ya duka huu in mwaka wa tatu huku nikiwa nafanya serving kwa ajili ya ndoto yangu. How it growth. Biashara hii itakua kwa kutegemea uuzaji wa mayai na kuku wenyewe kwani nilipata changamoto kubwa nilipokuwa nikihitaji mayai ya kienyeji na Rafiki yangu aliniambia sio laisi kupata.
@nuruyohana8492
@nuruyohana8492 4 жыл бұрын
Asanteee kaka Joel mi wazo langu ni kuuza pad za kufua (relief pad) na kusambaza mashuleni kwa kuwauzia wanafunzi wa kike ni kipata partner ntafurah sanaa
@lazaronungwana8876
@lazaronungwana8876 4 жыл бұрын
Napenda fungua food processing industry kwa sababu napenda toa huduma ya chakula barani Africa. Napenda ifikie hatua niweze sambaza chakula nchi zote za bara la Africa.
@rckilada5916
@rckilada5916 6 жыл бұрын
mkuu naomba tufundishe namna ya kuandika bussiness idea yako na ikifaa na presentation yake
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 3 жыл бұрын
Brother Joel nataman Sana kufungua biashara ya vinywaji matunda Aina zote na mbogamboga yaan km market ndogo
@loanpautanimwashilindi2573
@loanpautanimwashilindi2573 6 жыл бұрын
Nina wazo la kuwa na shamba la miti eneo la nyumbani, maana kuna eneo la kutosha, ingawa bado najaribu kutafiti ni aina ya miti ipi inaweza kustawi zaidi, mwaka huu nilipanda zaidi ya miti elfu 2. Kwa nini nataka sana kulifanikisha hili ni kwa vile naona ndo urithi mojawapo ninanoweza kuuacha kwenye kizazi changu.
@denisbahati6110
@denisbahati6110 6 жыл бұрын
Ahsante sana bro kwa kugusa hisia za wengi nikiwemo mimi. pengine nadhani ni wakati muafaka wa sisi sote kukubaliana nawe juu ya hilo. Kwa utambulisho wa awali, kwa majina naitwa DENIS BAHATI. Kwa sasa mimi ni mfanyabiashara wa mtandaoni na nilishiriki hata kwenye mashindano ya ideas kwenye uvumbuzi wa kitabu cha Dr. leginard Mengi pia japo sikubahatika kuwa mshindi. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba nina mipango mingi sana ya biashara niliyonayo ambayo yapata miaka 6 sasa tokea nianze kuiandika na ipo mipango zaidi ya 500 kwenye notebook yangu. Mipango hii ambayo ipo ya sekta mbalimbali ikiwemo MAZAO, FEDHA, MATUNDA, VIWANDA, MTANDAONI, UFUGAJI, KILIMO, UVUVI, USAFI, MAZINGIRA, UTALII, TIBA na MADINI. Ni idea nyingi sana ambazo niko nazo lakini siwezi kuandika hapa maana nashindwa kujua niandike ipi. Ila lengo langu kuandika yote haya ni kwamba nimekutana na watu wengi sana wakiwa na mawazo mazuri lakini wamekosa kianzio, wengine wanatoa mawazo hayo kwa wengine na kufanikiwa bila ya kuwajali wamiliki wa mawazo hazo au waliowapatia. Mimi nina rafiki yangu ambaye ni webdesigner na app builder ambaye nikifanikiwa kumpata wa kuniunga mkono, tutengeneze website ya kuuza ideas za biashara, ambapo unaweza kuandika wazo lako likatuzwa huko bure lakini mtu akipita huko akaliona wazo lako na akalifurahia, basi analinunua na pato angalau %75 unalipwa mwenye wazo. kwa hayo macheche sana kati ya mengi niliyonayo, hilo ndilo wazo langu kubwa juu ya biashara kiujumla kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu kiujumla, shukrani, Tuungane mkono jamani kuijenga Tanzania yetu na Afrika yetu. What's app +255753037867 na kwaida pia, E-mail; denisbahaticdworrior068@gmail.com
@mussamigeke9843
@mussamigeke9843 2 жыл бұрын
Wazo langu la Biashara ni kufuga kisasa Na kulima mazao ya mda mfupi na mrefu kama matunda Nakuifanya kuwa asset itakayo ni nilipa mm mda wote ,
@edgarmazigo6744
@edgarmazigo6744 6 жыл бұрын
SAFI SANA WAZO LANGU NI KAMPUNI YA USAFI. SO FAR NMEPIGA HATUA KUBWA
@mrsmartfarm1313
@mrsmartfarm1313 6 жыл бұрын
Be blessed Brother
@denisbahati6110
@denisbahati6110 6 жыл бұрын
Edgar Mazigo hongera sana bro
@amalahmad6590
@amalahmad6590 4 жыл бұрын
Unapatikana wapi kaka naipenda sana kufungua kampuni ya usafi ila cjui nianzie wap
@gradientlife
@gradientlife 6 жыл бұрын
Asante brother
@ezilomlisiasi5729
@ezilomlisiasi5729 6 жыл бұрын
Paul Kasanga bro nakutafuta sana kwa simu sikupati...please ntext kama ulichange no
@gradientlife
@gradientlife 6 жыл бұрын
Ezilom Lisiasi nitakutafuta njoo Skype
@kiplangatbenard8647
@kiplangatbenard8647 4 жыл бұрын
Nataka nianze biashara ya mpesa , na Sina elimu kamili kuhusu hilo biashara
@willylasway2545
@willylasway2545 3 жыл бұрын
Lengo langu la biashara ni kilimo na salon
@raymondmadomado1804
@raymondmadomado1804 2 жыл бұрын
Wazo langu Ni kuanzisha huduma ya kufanya usafi wa ndan kwenye nyumba za vijana ambao hawaja oa na kuwapikia
@mohdally891
@mohdally891 5 жыл бұрын
takriban 90% ya watanzania ni wagonjwa na nipo katika harakati za kuendelea kuelimisha jamiii na naiman wataelewa cause magonjwa ni mengi na yanapoteza nguvu kaz ya taifa
@muslimocho1097
@muslimocho1097 6 жыл бұрын
Naitaji nifungie Giym na sina msingi
@ericgosbert2664
@ericgosbert2664 6 жыл бұрын
Nataka nikodi ekari 3 za shamba tanga nilime mahindi mwezi wa 9 ambapo Nategemea kuvuna magunia si chini ya (minimum) 60 nayahifadhi kwa ajiri ya kusubiri bei nzuri, Mwezi wa 4 nachukua ekari 5 nalima ambapo Nitavuna si pungufu ya gunia 100 ambapo kabla ya kuvuna Nitauza yale ya kwanza nanunua machine ya kusaga na kukoboa na kusajiri jina la biashara Breda Nikishavuna yale yale ya pili naanza biashara ya kusaga, kukoboa, kuuza na kusambaza unga chini ya jina langu maana mtaji wa mahindi nitakua nao Kaka Joel hilo ndo wazo langu la biashara
@emmanuelyusuph9057
@emmanuelyusuph9057 6 жыл бұрын
moja ya vitu vinavyo nifanya nizid kupiga hatua n King'ang'ania ninacho kitaka mafundisho yko yamekuwa ni sehem ya shule hii tafadhal kaka Joel naomba unipatie namba yko ili nikutembelee ofisin ili uweze kunishaur baadh ya vitu
@mbashaaston4278
@mbashaaston4278 5 жыл бұрын
Ninawzo la biashar Uchenjuaji wa zahabu Hii inatofanyika sehemu zenye machimbo ya migodi midogo ya wachimbaji wa zahabu popote tanzani zahabu inapo patikana ya mwamba Nb:zahabu inayo itajika sii vikole Jinsi ya kufanya kazi Utapima udongo wa zahabu (makinikia)kwakuchukua sampo yaudongo ili kujua kunazahabu kiasigani 2/jua ukubwa wakifusi nafanya makadilio sahii 3/jenga plant yako ata ya tenk 2 zataki 50 4/fanya mahesabu kama udongo unatakao nunu utakulipa mfano Udongo sampo. Tani. Bei 1. Grm4. 500. Mil20 Utachukia sampo yaudongo 4gm kwatani utazidisha mara tani zaudongo ulizo kadili 500 kisha utapata grm za zaabu utakazo pata kisha utazidisha mara bei ya zaabu sokoni isiyo pungua elfu83 kwa gram moja kiasi utakacho pata ndio utajua kama unakulipa Uzoefu katika kazi Ninauzoefu wa miaka 3 katika hii fani ya uchenjuaji najua changa moto zote za kazi najua maeneo mengi yenye fulsa nambayo aya guswa Ukipenda nitafute tufanye kazi au maelezo zaidi #0676052751 Mbashaaston9019gmail.com
@patrobadaniel8371
@patrobadaniel8371 6 жыл бұрын
ahsante sana kaka kwa madini unayotupatia, wazo langu nikuja kuwa mfugaji na muuzaji mkubwa wa kuku za kizungu na kienyeji ila bodo nipo shule. unanishaurije mkuu?
@samwelmahenge52
@samwelmahenge52 3 жыл бұрын
Shule pri, sec au universty
@lowasahope4108
@lowasahope4108 6 жыл бұрын
wazo langu la biashara ni kufuga kuku .... nataka kuanza na ufugaji wa kuku wa chotara kwanza kama kuku sitini ambao kwanza watanizalishia mayai yasiyopungua thelasini kwa siku ambapo..najua yatayobaki yatafidia gharama ya matunzo kwa kila cku. kama Nina uhakika wa kupata trey moja kwa Siku ni uhakika wà shilingi elfu Kumi. huo ni mwezi wa kwanza... kiasi ntakachopata asilimia 60% nitairudhsha kuongeza kuku wengine HIVYO idadi ya kuku sasa Ivi itakuwa zaidi ya 80 %kwa MWEZI wa Pili.. MWEZI utakaofuata nitaongeza kuku wengine kama 20 ili niwe n'a kiasi cha kuku zaidi ya mia hadi MIa n'a ishirini ili niwe na uhakika wa Angalau trey tatu kwa cku ambayo ni sawa na zaidi ya elfu thelathini kwa MWEZI nipate at least shilingi laki 9 kwa kuanzia ambapo hapo nimepiga mahesabu ndani ya miezi sita hilo lengo litatimia malengo makubwa ni kwamba baada ya angalau miaka mitatu niwe na banda la kuku lenye zaidi ya kuku elfu 13-20 ili niwe n'a uhakika wa Kutengeneza kiasi cha pesa kisichopungua millioni 60 kwa mwezi niajiri vijana wengi niwalipe vizuri lakini pia nifanikishe kuweka familia yangu kwenye standard nzuri.... Hilo banda naliona itakuwa MOROGORO sehem yoyote nzuri nmeshaijenga kichwani tayari.... changamoto nlonayo na namna ya kuanza nimejifunza vitu vingi kuhusu ufugaji wa kuku nishapa connection na expert wa ufugaji kuhusu mambo y'a tiba na chanjo pia na ratio y'a vyakula kama unaungana na mimi katika hili swala reply hapa ahsante bro #joelnanauka na #Anthonyluvanda MMENIFUNGUA akili nmejua wapi natakiwa kwenda
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Kazi nzuri lowasa nimependa mpango wakoo 💪💪💪 vipi lkn mpk sasa umeshafikia nusu au ushaanza baadhi ya mpango wako huu
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 жыл бұрын
Wazo langu,ninahitaji kufunga, hotel,uwezo wa kupika ninao na na nipo katika changamoto ya utafutaji mtaji
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 6 жыл бұрын
Wazo langu salon bro
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 жыл бұрын
Mimi wazo langu kubwa ni kufungua duka LA vipodozi vya aina vyote
@raginauthor1881
@raginauthor1881 6 жыл бұрын
Asante sana, kwa maranyingine wa kwanza Ku like
@ramsoboy4273
@ramsoboy4273 6 жыл бұрын
kaka me nafanya biashara ya ngozi za punda dom kuna kampuni tunawauzia lengo langu hasa kutoa mzigo wa ngoz tanzania kupeleka china
@arnoldmasumbuko1691
@arnoldmasumbuko1691 6 жыл бұрын
nataka nianzishe na kuendeleza biashara ya kusafirisha abiria na mizigo kwa kutumia magari
@safirikishua
@safirikishua 6 жыл бұрын
Kaka ile namba ya watsap yako mbona haipokei SMS?
@abuunkundwason9293
@abuunkundwason9293 5 жыл бұрын
Mimi Wazo la Biashara ni Dhahab maana ninao uzoefu wa kutosha katika Biashara hii na inalipa zaidi katika Mfumo wa kukusanya Makinikia Na hadi sasa niko katika Mipango ya Kumiliki Clem au Mgodi na Lesen nimeshapata ila Changamoto imekuja kuwa hilo eneo nililo Peg ni Eneo la Hifandhi kwa hiyo inatakiwa nilipie Misitu TFS ambapo wamenifanyia Hesabu kwa ukubwa wa Eneo ni kama Heka 9.6 inatakiwa nilipie Kiasi cha Milion 15 ili niruhusiwe kuanza kuchimba na Eneo hilo Madin yapo maana nilifanya Vipimo na hii ndo Hatua niliyo fikia ila kitu kingine kilichopo Akili mwangu ni Kufungua Kampun ya Ulinzi kwani nayo ni Biashara inayolipa sana kulingana na ninavyo Ifahamu
@neemahonorath385
@neemahonorath385 5 жыл бұрын
Wazo langu nikuwa na biashara ya vyakula vya binadam vinywaji yan duka plz kaka joeli endelea kutufundisha ili 2sikate tamaaa
@dicksonlyimo8563
@dicksonlyimo8563 3 жыл бұрын
Bro naomba namba zako ili tuchat inbox
@jumabisale9974
@jumabisale9974 5 жыл бұрын
Nahitaji kuona wazo langu likianza kutumika hata na watu wengine. Biashara ninayotaka kuianzisha ni kiwanda cha kutengeneza mafuta mgando na lotions, mafuta ya wa totona urembo wa wanawake(rang za kucha na midomo, kope, ped, wigi, rasta,nk) Kwanini kiwe kiwanda cha urembo(kwanini mtu awekeze ktk kiwanda changu cha namna hii) 1. Ni kutokana na wakati tulio nao imekuwa ni dunia ya urembo na mashindano ya mitoko pia 2. Jamii ya wanawake na watoto ni sehem kubwa sana inayotegemea vitu hivi mfano PED ni zamuhim kwa kila mwanamke, pia aina za ped nyingi si rafiki sana kwa wanawake na zile zilizo rafiki zina bei ghari kwa sababu zina zalishwa nnje ya nchi yetu. Pia mafuta ya watoto yaliyopo nnchin si rafiki sana pia ni ghari hivyo hayakidhi mahitaji ya watu wa vipàto Video NAMNA YA KUKUZA BIASHARA i. Matangazo(mitandao, vipeperushi na mabango) hii itaifanya biashara kukua kwa kadi ii. Package pia ina nafasi kubwa ktk ushawishi UJUZI ninao ujuzi wa kutengeneza mafuta na lotion na chet changu kinatambulika na kukubalika na SIDO TFDA NA TBS Changamoto ni vifungashio bora matilio, usafirishaji (mahala kiwanda kitakapo wekwa), na usambazaji. FAIDA Faida zipo kuu mbili 1. faida ya pesa iliyo wekezwa inauwezekano wa kurejeshwa Ndani ya miaka michache 2.jina litakuwa kwa kasi maana ni huduma itakayopatikana kwa urahisi na kwa bei ndogo kulingana na vipato via Nambie kaka JOEL nimeweza kiasi gani kuiekezea pia nikosoe nijifunze
@juliethonesmo6124
@juliethonesmo6124 5 жыл бұрын
Wazo langu nikuwa na kampuni kubwa
@francentinda9221
@francentinda9221 5 жыл бұрын
Kaka Nanauka wazo langu labiashara nikufungua duka la vipodoz
@fajvavsbvvbs1910
@fajvavsbvvbs1910 5 жыл бұрын
Niko na wazo lakufungua m- pesa lakini kuna mtu aliniambia m pesa haingizi pesa haraka pesa
@tanescokinyerezi2901
@tanescokinyerezi2901 6 жыл бұрын
mi wazo langu Ni kufanya biashara ya tiba lishe au tiba chakula
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 жыл бұрын
asante
@juliethonesmo6124
@juliethonesmo6124 5 жыл бұрын
Wazo langu nikuwa na kampuni kubwa
@juliask.6961
@juliask.6961 6 жыл бұрын
Vitabu vyako vinapatkana wapi
@andersonommary
@andersonommary Жыл бұрын
Wazo langu ni kawasaidia walimu wanaoangaishwa na mikopo ni jinsi gani wataweza kulipia mikopo yao ndan ya mwaka mmoja
@samwelgaudence
@samwelgaudence 6 жыл бұрын
kaka mimi nnawazo kubwa lkn naogopa ushindani mana nachotaka kufanya watu wenye uwezo kuliko mimi kifedha wengi wanafanya na pia nahofia soko la bidhaa yangu
@johnitembe7581
@johnitembe7581 4 жыл бұрын
Kama unaogopa ushindani hautatoka hapo ulipo,kumbuka kila MTU ana riziki yake toka na Mungu atakutetea.
@obby_obby
@obby_obby 6 жыл бұрын
Nataka fungua duka kubwa la vifaa vya electronic particularly simu na kompyuta, kutokana na ufinyu wa mtaji nataka kuanza na accessories then kadri mda unavyoenda niendeleze na cm then computer nataka kua mkubwa kias cha kuuza physically na online just like IKEA au Amazon
@johnitembe7581
@johnitembe7581 4 жыл бұрын
Anza na kidogo ulichonacho,usisubiri kikubwa,hutakipata,kubali kuanzia chini ili upande juu,sio kuanzia juu halafu ushuke chini,usikate tamaa wewe ni MTU mkubwa sana
@jockbedgabone1669
@jockbedgabone1669 6 жыл бұрын
wazo langu ni kuwa na familia Bora zenye furaha. mission Nakusanya watu 100 kwenye Biashara au kazi.watakuwa partner kwenye Biashara. tutajiunga watu watano tufamye Biashara.kila Siku tutaserve 20,000 kila kundi .pesa hizo tunakusanya ndani ya miaka tano. ndani ya mwaka moja tutakuwa na milioni 120,000,000 na miaka 5 tutakuwa na million 600,000,000 tshs. Hizo fedha tutajenga PLAZA. Huko ndani Familia za hao watu 100, watapata fursa humo kama wakiwa na vigezo Vyà kutosha. Katika safari ya kujibu kuwa na familia Bora .tutaelimisha watu wengine kiuchumi na Kiroho.
@abuunkundwason9293
@abuunkundwason9293 5 жыл бұрын
Mimi Wazo la Biashara ni Dhahab maana ninao uzoefu wa kutosha katika Biashara hii na inalipa zaidi katika Mfumo wa kukusanya Makinikia Na hadi sasa niko katika Mipango ya Kumiliki Clem au Mgodi na Lesen nimeshapata ila Changamoto imekuja kuwa hilo eneo nililo Peg ni Eneo la Hifandhi kwa hiyo inatakiwa nilipie Misitu TFS ambapo wamenifanyia Hesabu kwa ukubwa wa Eneo ni kama Heka 9.6 inatakiwa nilipie Kiasi cha Milion 15 ili niruhusiwe kuanza kuchimba na Eneo hilo Madin yapo maana nilifanya Vipimo na hii ndo Hatua niliyo fikia ila kitu kingine kilichopo Akili mwangu ni Kufungua Kampun ya Ulinzi kwani nayo ni Biashara inayolipa sana kulingana na ninavyo Ifahamu
@abuunkundwason9293
@abuunkundwason9293 5 жыл бұрын
Mimi Wazo la Biashara ni Dhahab maana ninao uzoefu wa kutosha katika Biashara hii na inalipa zaidi katika Mfumo wa kukusanya Makinikia Na hadi sasa niko katika Mipango ya Kumiliki Clem au Mgodi na Lesen nimeshapata ila Changamoto imekuja kuwa hilo eneo nililo Peg ni Eneo la Hifandhi kwa hiyo inatakiwa nilipie Misitu TFS ambapo wamenifanyia Hesabu kwa ukubwa wa Eneo ni kama Heka 9.6 inatakiwa nilipie Kiasi cha Milion 15 ili niruhusiwe kuanza kuchimba na Eneo hilo Madin yapo maana nilifanya Vipimo na hii ndo Hatua niliyo fikia ila kitu kingine kilichopo Akili mwangu ni Kufungua Kampun ya Ulinzi kwani nayo ni Biashara inayolipa sana kulingana na ninavyo Ifahamu
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 104 М.
LIFE WISDOM:UGONJWA UNAOMALIZA WENGI - JOEL NANAUKA
12:20
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 126 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 29 МЛН
Njia Nne (4)  Za Kupata Pesa Zaidi Kupitia Mauzo
7:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
NAMNA YA KUPATA WAZO ZURI LA BIASHARA - JOEL NANAUKA
11:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
NJIA YA KUONGEZA PESA ZAIDI - JOEL NANAUKA
7:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 55 М.
LIFE WISDOM : NUSU YA MWAKA ILIYOBAKIA FANYA HAYA - JOEL NANAUKA
13:57
Kanuni Ya Muda  (The Law Of Timing) - Joel Arthur Nanauka
6:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 37 М.
Namna Gani Unaweza Kupanua Biashara Yako
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA
7:37
Mwongozo Wa Bajeti
5:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 48 М.
Njia Nne Za Kutengeneza Pesa (Cash Flow Quadrant)
5:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 59 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН