Hii Ni Marekani Usiyooneshwa Kwenye Tv | The America You Won't See On Tv...HUKU YUES (EP 02)

  Рет қаралды 77,126

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Жыл бұрын

Kwa wale wanaodhani kua Marekani hakuna maskini, bhasi video hii itakupatia majibu yote- Kwa kiasi gani maskini wapo na jinsi wanavyoishi kwa Tabu huku Marekani. Nilitembelea mitaa ya Skid Row, Los Angeles, California huku USA. Skid Row ni mtaa unaojulikana kua na homeless wengi huku Los Angeles. Watu wengi wanaoishi mitaa hii ni maskini na hawana makazi. Wengi wao hutengeneza mahema (Tent) ili kujistiri hasa inapofika usiku, angalau wapate sehemu ya kulalia. Tembea na mimi ujionee uhalisia katika hii mitaa ya Skid Row, Los Angeles.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Umaskini Umekithiri Hu...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
#hukuyues #losangeles #mtaani

Пікірлер: 256
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@MrBless-lz1pf
@MrBless-lz1pf Жыл бұрын
Nisaidie namba yako mkali au email
@magrethminja1309
@magrethminja1309 Жыл бұрын
Cyo marekan ty hii hali Kuna sehem niliikuta very bd afu wakija hku wanavyotunyanyasa Sasa nadhan mmepata wap hiyo
@dinnahbhoke6658
@dinnahbhoke6658 Жыл бұрын
​@@MrBless-lz1pfjgf
@rachealsiuji8349
@rachealsiuji8349 Жыл бұрын
Jaman
@rebeccamurigi3035
@rebeccamurigi3035 Жыл бұрын
O
@jenipherkamugisha4687
@jenipherkamugisha4687 Жыл бұрын
Niache godoro na kitanda Tanzania nije nilale barabarani 😢😢nitafia Africa ❤
@biddii1972
@biddii1972 Жыл бұрын
Uku kwetu tunafurahia misaada ya watu wamarekani duh kweli atupew misaaada bali wamekuja kutunyonya
@josephjamesjosephjames1654
@josephjamesjosephjames1654 Жыл бұрын
Ila ni kweli kabisa ulichokisema ndugu yangu kama kwako hali iko hivyo kwanini wasiwape hiyo misaada watu wao wanyonyaji wakubwa hao wa mali zetu
@maalimjaffar5563
@maalimjaffar5563 Жыл бұрын
Asikukatishe tamaa huyu nimjinga mwenye roho mbaya,,,hao anaokuonyesha hawataki kufanya kazi,sio wamekosa kazi
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Жыл бұрын
@@maalimjaffar5563 wewe ni shoga wa marekani na uerope basi nenda marekani na wewe pumbavuu masikini mkubwa falaaa tu wewe
@abdulkavusa7202
@abdulkavusa7202 Жыл бұрын
Huyo kijana ambaye anaye waonesha iyo video ni mujinga sana tena sana ,hawo watu anao waonesha hawataki fanya kazi na government inawasaidiaka na dawa na chakula, hawo wanazo kadi ambazo zinaitwa food stamp na hizo kadi ndizo wanatumiya kwa kupata chakula ndani ya Supermarket.
@vivianfortunatus5518
@vivianfortunatus5518 Жыл бұрын
Sasa watu wamesha kuwa addicted na madawa hapo...hata ukimsaidia anarudia tena kwenye hali ile ile
@gman3245
@gman3245 Жыл бұрын
Going abroad doesn't guarantee you success people should always understand that. Life ain't easy in foreign countries.
@mildredokinyo1916
@mildredokinyo1916 Жыл бұрын
Life is hard everywhere around the world....May Almighty God help us..
@moureenadisa5937
@moureenadisa5937 Жыл бұрын
Love you my Kenya
@modannygrafx737
@modannygrafx737 Жыл бұрын
Afu inaonekana mahomeless wa us ni matajiri hadi wako na baiskeli😂😂😂 yani nikwambie ukweli mahomeless wa huku wakiona hii wanaeza kupa hata nauli waje huko
@user-nc5gf6oh4u
@user-nc5gf6oh4u 7 ай бұрын
Kwaiyo tunakusapoti Sana nampenda Sana kukufuatilia mpaka usipotoa kitu nakua Sina Cha kuangalia
@codeit-ministry9900
@codeit-ministry9900 Жыл бұрын
Bro, Mungu akubariki sana kwa kusaidia watu wetu kuona uzuri wa Taifa lao la Tanzania.
@willistrillion
@willistrillion Жыл бұрын
😃 I Thank God for the Bighearted❤️ citizens taking care of The Less fortunate people in the society. This is what life is all about!
@leahwambui5608
@leahwambui5608 Жыл бұрын
Kenya we together until the last minute
@user-nc5gf6oh4u
@user-nc5gf6oh4u 7 ай бұрын
Kaka hongela kwa kazi nzuli usikate tamaa usiogope hivi punde utakua mtu mkubwa Sana Mimi nikati ya mtu ninaye kusapoti Sana pia uwa nawaambia nawengine wakufuatilie kaka
@jackwausa
@jackwausa 7 ай бұрын
Asante sana. Ubarikiwe!
@nursechunga4470
@nursechunga4470 Жыл бұрын
Binafsi nilijua huko wenzetu ni matajiri, hawahangaiki kwa hali hii, sitamani tena maisha ya wazungu
@josenduwayezu357
@josenduwayezu357 Жыл бұрын
Africa my home you are the best
@alextercisio
@alextercisio Жыл бұрын
Terrible life I believe Kenya is the best for me🇰🇪🇰🇪
@rich.kizza10
@rich.kizza10 11 ай бұрын
nenda Marekani uone kama hiyo Kenya ni nzuri bro😁
@saidfarahani8396
@saidfarahani8396 Жыл бұрын
Kila sehemu kuna ugumu wake kama hutaki kufanya kazi, acha kuzuia ndoto za watu kutoka nje ya Africa, huo ni uselfish, umeshasema kuwa hilo eneo ni watu wenye matatizo ya akili na madawa ya kulevya, Maisha marekani kama ukifanya kazi na kujitambua its better than maisha ya Africa, usidanganye watu na kukatiza watu tamaa
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
Uko poa kabisa mkali tunazidi kuku sapoti nawe pia tusaidie kutuelekeza kuhusu USA man nitawezaje kufika USA kwa visa Naomba nijibu man 🙏🙏♥️❤️👏👏👍💪💪💪
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nitatengeneza video special kwa ajili ya hii topic!
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
@@jackwausa asante kaka kwa majibu yako naisubiri kwa hamu jack wa USA ♥️🇺🇸🇺🇸🇺🇸♥️🙏🙏🙏🙏👏👍❤️❤️❤️ Be blessed brother
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Damn life isn't easy bro where is love in this earth everywhere people are suffered it's so sad indeed 😢 😔
@DenisnasoloRaphael-sj6ll
@DenisnasoloRaphael-sj6ll Жыл бұрын
Burundi nchi yangu nzuli naipenda sana
@rich.kizza10
@rich.kizza10 11 ай бұрын
nenda Marekani uone kama Burundi ni nzuri😁
@winniewandungudariiyamuthee
@winniewandungudariiyamuthee Жыл бұрын
Whaaaat in America !!!is ok acha nikae kwetu 🇰🇪 kenya
@geofreymilinga1042
@geofreymilinga1042 Жыл бұрын
One day yes U will have more than 10 million subscribers this is what Africans want to know for they are tired of just positive sides of devoloped countries Keep on JACK
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen and Thanks. Hopefully people will get to see the reality on both sides!
@MrBless-lz1pf
@MrBless-lz1pf Жыл бұрын
OMG jack feels like crying 😢 meeen when you spoke with the old man and the way he appreciated, keep doing a goood work brother, and Be keen meeen
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thank you, I will. God bless you!
@bahatiserafini9790
@bahatiserafini9790 Жыл бұрын
Lakin mjiulize kitu wenzetu wanapelekewa chakula jee huku niwapi uliona wanapelekewa chakula hawa hawana makaz ila serikali inawajali sijui hapo mnaelewa
@bernaremlemeta8987
@bernaremlemeta8987 Жыл бұрын
Tumejifunza kitu kikubwa kwakweli. Asante jack
@erickmnyalu553
@erickmnyalu553 Жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa mara ya kwanza nimemuona mzungu anaishi hoooovyo hovyo bora haata sis waafrika niseme tuu sitawashobokea teena nabak na Afrka yangu na harahar mnavyozid kujaa huku Afrika kumbe huko ulay ardhi imeisha....
@greysonmandai132
@greysonmandai132 Жыл бұрын
Tanzania nchi yangu mzuri sana mi siwezi kuishi maeneo kama hayo maana hao watu wake wamepoteza matumaini ya kuishi wamechanganyikiwa akili
@Travelgyal
@Travelgyal Жыл бұрын
Unaweza kuishi Kenya na Uganda.
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
this is easy and sold side of the US kaka sio powa
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 Жыл бұрын
Asante sana Kwa kutufamahisha. Je hawa watu ni kwamba hawataki kuifanya kazi za chini au hakuna kazi ye yote ya kufanya hata vibarua
@fidodido9578
@fidodido9578 Жыл бұрын
Asilimia kubwa hao ni mateja ndio wanaolala njee
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@fidodido9578 MWACHE JACK WA USA AJIBU SIO WEWE.
@vitusntahondi2240
@vitusntahondi2240 Жыл бұрын
Asante Sana Mkuu Kwa kutufunua daima tunajua kwamba ni Neena kila kitu USA
@aristidesvedasto7855
@aristidesvedasto7855 Жыл бұрын
God bless you manigga Jack to showing this
@juliusmutungi4163
@juliusmutungi4163 Жыл бұрын
Young guy doing a great job
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!🙏🏾
@tigejuma9865
@tigejuma9865 10 ай бұрын
Hawna mkao lakin wakula vzur.. serikali yao sio kma yetu...any tym things gona change....
@florakabena12flora29
@florakabena12flora29 Жыл бұрын
Thanks so much,,,wewe umeletwa na Mungu ,,, nilikua nadhania USA hakuna hard life waaah kweli Acha ni change my dream sasa
@harristwaher4864
@harristwaher4864 Жыл бұрын
Asee I’m grateful for my life dawg🙂!
@donaldsassa7532
@donaldsassa7532 Жыл бұрын
Wao huonesha uo u na madhira yatupatayo Africa ! Njaa , Vita wanazotuchonganosha wauze. Silaha tuuane kwao ni furaja. Thenks brother be blessed ever
@piusundisputed
@piusundisputed Жыл бұрын
Good job brother,we would keeping viewing these kind of lifestyles
@santamerra4552
@santamerra4552 Жыл бұрын
Ongera sana bro. Umetufungua akili sana. Ile ya kuwaza huko Marekani kuzurisana kumbe kuna wengine wanakosa pakulala asantesana
@judithobam5567
@judithobam5567 Жыл бұрын
What happens during winter?
@clintonkhan4961
@clintonkhan4961 Жыл бұрын
The situation is horrible indeed no wonder I've never dreamt of going to USA
@rachealsiuji8349
@rachealsiuji8349 Жыл бұрын
Aiseeee ni hatari. Hivi hua tunapewa msaada au hua wanatychuna vyetu?? Mbona wasianzie kwao kutoa hiyo misaada ???
@abdumalik6836
@abdumalik6836 Жыл бұрын
A old grandpa like this A 35yrs Old on the streets of America so sad
@rachelmacharia2727
@rachelmacharia2727 Жыл бұрын
What a sad place to be. Thanks for showing us the reality of Skidrow.. I also noticed you didn't carry your camera by to your shadow. Do you use a spy cam? I wouldn't have the guts to walk and record down that street. Stay safe!
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
I had it on my chest. It's risky recording on those streets. It's just by the grace of God I can do it and get away fine!
@rachelmacharia2727
@rachelmacharia2727 Жыл бұрын
@@jackwausa that's great small bro. Keep safe always! May God protect you everyday
@lydiavegula7641
@lydiavegula7641 Жыл бұрын
I wish wenye tamaa ya kuja huko waone hizi video.....ubarikiwe KAZI Yako ni njema
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 Жыл бұрын
Nimejikuta me nna maisha mazuri kuzidi watu wa Marekani baada ya kuiona ii video
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika
@frankub8107
@frankub8107 Жыл бұрын
Love from Malawi 🇲🇼 home 🇧🇮 Burundi
@patricklwegenzya981
@patricklwegenzya981 Жыл бұрын
Salute broo..endelea ku2show v2 tunajifunza kupitia hayo... Marekani hapafai kabis.. let we stay here.. Tanzania we love!
@DoreenPeter-tt5hr
@DoreenPeter-tt5hr Жыл бұрын
Let us stay here
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Yaani ukija USA utulie ufanye kazi kwa muda urudi nyumbani
@modannygrafx737
@modannygrafx737 Жыл бұрын
Hahahha sasa kama chakula unapata bure maji ya kunywa 😂😂😂 mbona hata mimi hapo naeza tulia
@wineljentrix9771
@wineljentrix9771 Жыл бұрын
Your acsent made me subscribe 😂. brothers, tutafute nyota zetu kwanza kabla ya kuweka maamuzi ya kuishi Marekani😅 Kenya 🇰🇪 my beautiful country 🙏🏽sihami😅
@harunamujahidi4457
@harunamujahidi4457 Жыл бұрын
Aise hii kali lakini naona kama wanafurahia hayo maisha ila tuna kushukuru kwakutupasha habari asante bro tupe vitu zaidi japokua inauma ila tunapata burudani hasa unapokua unawahoji
@pracxedismathias5555
@pracxedismathias5555 Жыл бұрын
Mazingira yao machafuu 🤣 hata hapa moshi tunawashinda kwa usafi
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
Jack wa USA hongera kwa unachokifanya...ila we uliendaje 😂utupe njia bhanaa
@abduomar8438
@abduomar8438 Жыл бұрын
Unataka na ww uende
@halimahamisi8855
@halimahamisi8855 Жыл бұрын
Lohh kheri ss wengine nimaskini lkn hatukosi nyumba za udongo na matope mvua na jua haitupati navitanda vya kamba pia havikosi ndaniyahionyumba ,think you God🙏🙏
@rosenjeri768
@rosenjeri768 Жыл бұрын
Na ni kwao nyumbani wankosa makazi.. hivi wageni itakuaje...dah
@victorjoseph3128
@victorjoseph3128 Жыл бұрын
Kumbe kuzuri kwa watu tunapenda kujichanganya maana nilikua nawaza pakufikia kumbe kama kwetu tu huo ndio mtaa pakuanzia ndoto za maisha safi sana
@furahadaudy829
@furahadaudy829 Жыл бұрын
Kuna kijana mmoja alionda mpwapwa miaka mingi Sana Kama 89 hajawai ludi aliondekea kanisani alikuwaga anacheza sarakasi alichukuliwa na wazungu anaitwa maiko wazazi wake walishafariki mama ake alikuwa anaitwa moniika
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Kaka unatufumbua macho
@hansmndolwa4331
@hansmndolwa4331 11 ай бұрын
you did right bro may God bless you
@ndizihiwesarah1046
@ndizihiwesarah1046 Жыл бұрын
Great work thanks
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Toba roho yangu"!! Na uchafu woote huo""
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Sasa wanavoletaga hela huku siwawape hao kwanza wanafk wamalekani
@florakabena12flora29
@florakabena12flora29 Жыл бұрын
May God bless you forever 🙏🙏🙏🙏🙏
@Wordchefs
@Wordchefs Жыл бұрын
Halmashauri ya jiji huko ipo vizuri sana(Pasafi sana),Pia wengi sio wajeuri wako poa sana,Em uliza elimu zao pia ili nikate tamaa😁
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Eti ukate tamaa😆😆😆😆😆
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
😂🤣ila wewe unataka ukate Tamaa 😊 komaa Jack atakupokea uwe mshika boom 🤣😂😂
@Wordchefs
@Wordchefs Жыл бұрын
Eee akiuliza hapo utaskia mm nina Phd in upuuzi ninaosomea mm mwaka wa 3 na haeleweki popote...Dah itanibidi nivue tai niangalie kilimo na ufugaji...
@anthonymanderson7671
@anthonymanderson7671 Жыл бұрын
Sijawahi kuota kwenda marekani!
@lydiajohn6865
@lydiajohn6865 Жыл бұрын
Wengi hapo wanaonekana akili haziko sawa, tatizo bangi zishawaharibu, watafanya kazi gani,
@petronila5734
@petronila5734 Жыл бұрын
Better them namwona maskin wa Marekan ana viatu analala kweny tent Tanzania we had a long way to go Maskini wa Marekani sio sawa na wa Bongo
@martinmwakila6992
@martinmwakila6992 Жыл бұрын
NIMEANGALIA HII PICHA NIMESHANGAA SANA HAKUNA HATA KICHAA ALIEKUTISHIA KAKA KUMBE ULAYA HADI VICHAA WASTAARABU INGEKUA BONGO ET KICHAA ANAKUTISHIA HATA HAMJUANI NA ANAKUKIMBIZA ULAYA ULAYA TU
@marcelmangapi9514
@marcelmangapi9514 Жыл бұрын
Hao unaowaona wanahangaika sio raia wa Marekani. Marekani inajali raia wake. Sio tu serikali inatoa posho kwa raia wenye kipato cha chini bali pia Kuna mfumo wa wahitaji kupewa chakula bure. Hao unaowaona ni wazamiaji.
@officialkalengotalent2014
@officialkalengotalent2014 Жыл бұрын
Keep going bro🙌 endelea kutuonyesha zaidi 🚀🌍👀
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Жыл бұрын
Good work
@thadeusmambo7576
@thadeusmambo7576 2 ай бұрын
Nilikuwa natamani kuja Amerika lakini kama situation ndio hii nimeghairi
@user-nc5gf6oh4u
@user-nc5gf6oh4u 7 ай бұрын
Kaka habali tena
@deborahcharles79
@deborahcharles79 Жыл бұрын
Tuppence nchi zetu ni nzuri pia
@sirajindosi5611
@sirajindosi5611 Жыл бұрын
Dah
@Ginnyok
@Ginnyok Жыл бұрын
it would be nice if you could donate to the people who buy the water and make the food make your time useful
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
One love
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 Жыл бұрын
Hao wote ni wala ngada(wala unga) sidhani kama mtu na afya yake anaweza ombaomba huko
@halarihamadi4926
@halarihamadi4926 Жыл бұрын
The cost of living in cali is crazy
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
It's really expensive!
@fatumamrema1033
@fatumamrema1033 Жыл бұрын
Safi sana kaka marekan miyeyusho wengi wamedata duu
@DianaLugola-ew1rc
@DianaLugola-ew1rc Жыл бұрын
Usitudanganye bwana.. Mbona ww haurudi Tanzania umekomaa huko huko. Na ss tutakuja kupambana na hali zetu yakitushinda tutarudi Tanzania bwana.
@jumaothman9449
@jumaothman9449 Жыл бұрын
Yaonyesha marekani hakuna vibaka kama Tanzania hivyo bado maisha yanaweza kuwa mazuri marekani
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
Acha kudanganya watu hao wote ni waathirika wa madawa ya kulevya.. na sisi tukija huko hatufikii hapo bana tunaenda zetu ma new York city 😀😀
@boobohhh3029
@boobohhh3029 Жыл бұрын
👌
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b Жыл бұрын
Huo mtaa Watu wanatembea km horrors wameshakula vitu vyao awaelewi
@Asasanizikiri
@Asasanizikiri Жыл бұрын
Hao watu wanaishi hapo hapo au huwa wana kuja siku maalumu
@bravomaghanga534
@bravomaghanga534 Жыл бұрын
Eeeeh it's my first time to see this,
@emmaemma6114
@emmaemma6114 Жыл бұрын
Bola kubaki uswahilini
@SOFTGUYERA2024
@SOFTGUYERA2024 Жыл бұрын
Great job bro! Skiddie is practically a 5th world country, many African immigrants have ended up there, destitute & homeless. Believe it or not, the qualms started in the 1850's, right after CA was stolen from Mexico. Skiddie was the original Union Station, before it was relocated to Alameda. The government can fix it, but they don't care as the situation is more profitable AS IS. What kind of body worn camera are you using, it has high quality filming?
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks. And I'm using a GoPro Hero10 camera!!
@bwwm7914
@bwwm7914 Жыл бұрын
No it's Origin Americans from whatever color
@mpsanga2914
@mpsanga2914 Жыл бұрын
Jack unarikiwe sana
@user-jf7xm2yi3o
@user-jf7xm2yi3o Жыл бұрын
😮😮😮 0:26
@omaheone
@omaheone Жыл бұрын
Ila sasa wafirika pia ni wengi sana hapo wambie warudi kwao kuna matunda na maziwa
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
hahahaha
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Kwao wapi
@careerconnect_tz
@careerconnect_tz Жыл бұрын
Jack hio camera uliiweka wapi?
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Жыл бұрын
Nice work but careful
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
jack hebu just give us the reality of USA nirahisi kupata kazi au kazi ni msala mkubwa kama huku kwetu
@jumanne5012
@jumanne5012 Жыл бұрын
Umaliziajia sio mzuri
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Wamarekani hawatakumind bro,maana hizi ni siri zao ujue
@thinkerjonamthasi6481
@thinkerjonamthasi6481 Жыл бұрын
Na wengi hapo ni zuzu sio wazima ila Asante. Dunia ni moja hata Afrika ni mahali
@mildredokinyo1916
@mildredokinyo1916 Жыл бұрын
So sad..
@norahazan796
@norahazan796 Жыл бұрын
Wengine machizi Hahaaa
@rosejohn5774
@rosejohn5774 Жыл бұрын
Ki ukweli tuhamke sasa,kama nchi yao kuna matatizo makubwa sana kwa nini wanatoa msaada kwetu?ni kweli ni msaada au kuna siri ndani yake?couse uwezi kutoa msaada kwa mwingine na watoto wako wanalala njaa,hatutaki msaada kuanzia sasa tutajenga nchi yetu kwa kodi zetu inatosha
@tiktak1448
@tiktak1448 Жыл бұрын
An enemy within 😂😂😂
@kelvinmzuri654
@kelvinmzuri654 Жыл бұрын
Daah inasikitisha sana nigga me nilishawai kuishi south africa pia waopo wbpo kama ao
@Hancymtembo
@Hancymtembo Жыл бұрын
Kwa hivyo unampango wa kurudi?
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
USAD KWA MSAADA WATU WAMAREKANI, MBONAHAWATOI MSAADA KWA HAO WATU?
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 10 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 35 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
I Investigated the City that Pays You to Do Drugs...
34:05
Tyler Oliveira
Рет қаралды 9 МЛН
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 403 М.
Njia 5 za Kuja USA
2:14
Erica Lulakwa
Рет қаралды 3,8 М.
Walking the Most Dangerous Hood in Philly
15:44
Tommy G
Рет қаралды 1,8 МЛН
All 50 STATES in AMERICA Ranked WORST to BEST
19:05
From Here to There
Рет қаралды 6 МЛН
VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA
14:00
Original Komedi walivyoingia kwenye Harusi ya Masanja na sare za Polisi
11:53
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 10 МЛН