Mungu aendelee kukuwekea uzio ili adui asikufike mungu apambane nao Kasiano NDAGUKUNDA CHANE
@TusaKiblaga-vp9jg18 күн бұрын
Amen mtumishi Ubarikiwe sana hakika unatujenga na kutufundisha safari ya Mbiguni Mungu akulinde juu ya watu wabaya juu yako
@gisellekavira896617 күн бұрын
Amen 🙏
@user-dz8qh6yb2x19 күн бұрын
Amen 🙏🙏🤝
@jovettedenise259119 күн бұрын
Amena🎉🎉
@SamweliMwita-ul2kh18 күн бұрын
Tunayaweza mambo yote hakika tutachangia kazi ya mungu haitasisima kamwe
@LovenesyMhame19 күн бұрын
Ameen mung azid kukutumia Kam chombo chake
@user-zc3pm9jw7p19 күн бұрын
Kwa Mungu hakuna linalo shindikana tutashinda🙏🙏
@EdwinEdward-ze2eq16 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@user-ks9ui8td7y18 күн бұрын
samahani mtumishi nimekufwatilia kwa kipindi chako unafundisha maneno ya kweli ,Hadi mim nimembadilika na shukulu kwa mafundisho yako !!! Ila sas kunapenye unakosea ,ni siku ya kuambud kwa sababu biblia inaonyesha vizuri ukiangalia amri ya nne inaelesea na pia mathayo 28 inaelezea ,samahani kama nitakosea Ila yote ni kujifuza ( siku ya kuabundu ni siku ya sabato)
@paschalcassianoriginal941118 күн бұрын
Hongera Sana endelea kuabudu KATIKA roho na kweli
@user-ks9ui8td7y18 күн бұрын
@@paschalcassianoriginal9411 Amen!!! Mungu akulide kwasababu pia mim nimebandilika nilikuwa navaa suluali pia na kusonga Ila kuazia nikufwatilie kwa mafundisho yako nimebandilika naomba ungekuwa kenya uku nairobi wanawake wamepotea san ( Ila mtumishi naomba pia mim muniweke kwa maombi kwasababu Kuna roho inaniambia niende kusaindia Babu yangu kuuza BIBLIA
@DancanEsena17 күн бұрын
Amen
@user-rj2sh1hg4f16 күн бұрын
Mchungaji nashukuru Sana kwa ujumbe unaoutoa kila wakati amenisaidia Sana, nimejua kuvaa suruali ,kusuka nywele,na vinginevyo vingi ni dhambi ubarikiwe Sana🙏🙏🤝🤝🤝
@user-rj2sh1hg4f16 күн бұрын
Niko tayari kubadilika
@user-wg2gd2nl6c18 күн бұрын
Ahsante sana kaka Ila naomba kujua. Ibada nisku gani maana wewe umesmamia ukweli wa biblia. Navyobfahamu ibada ya biblia ni SABATO Sasa wewe ibada yako nisiku gani. Samahani pia Kama nimeuliza swali baya unisamehe
@vokehmanmtotowamungu288818 күн бұрын
Sabato n siku ya yako wewe umesema leo n siku yangu naweka wakufu kumuabudu MUNGU wangu
@martinahlighare649519 күн бұрын
😢😢😢 ole wangu ninayekula kila chakula pasipokujua kua kina hila, maana kitanipoteza, kiniangamize na kufanya nimuache Muumba. Kwa mapenzi yako Mungu naomba, unipe maarifa ya kukijua chakula chenye hila ili nisiwe mbali na uso wako.