IDRISS DEBY: RAIS MBABE WA CHAD, ALIYEPEWA KIBURI NA GADDAF, AKAUAWA AKIWA VITANI...

  Рет қаралды 95,010

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

IDRISS DEBY: RAIS MBABE WA CHAD, ALIYEPEWA KIBURI NA GADDAF, AKAUAWA AKIWA VITANI...
HII ni makala inayomuelezea Rais wa Chad, Idriss Deby (68) aliyefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi wa Urais kwa muhula wa sita.
Taarifa zilizotolewa na Jeshi la Chad na kutangazwa na redio ya taifa, Deby ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30, amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi wanaoshambuliana na majeshi ya serikali Kaskazini mwa Sahel, wakijaribu kuuteka mji mkuu, N’Djamena.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 143
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana story hii nilikuwa sijui kabisa kuhusu Chad wala Idriis Debby Ahsanteni sana global na msimuliaji wa habari hii
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 3 жыл бұрын
Thank you for your tip
@jmjcoast
@jmjcoast 3 жыл бұрын
Wonderfully narrative, on point, keep it.
@mohamedfaki9132
@mohamedfaki9132 3 жыл бұрын
Mungu ukulaze mahala pema peponi R.I.P IDRISS DEBY
@bobg611
@bobg611 3 жыл бұрын
He was an idiot Rest in internal hell.. Never rule by the gun as you die by the bullet.. maximum years to rule should be 10 years.. he ruled 30 years as a moron
@alawyjr4741
@alawyjr4741 3 жыл бұрын
@@bobg611 maximum years according to who??
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
@@bobg611 we ulisikia wapi..!?
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 жыл бұрын
Legend💔
@mapepewhiskypadlocks8390
@mapepewhiskypadlocks8390 3 жыл бұрын
Hebu tusimuliage namna unavyoona wewe mambo jinsi yanavyokwenda Tanzania kwa style hiyo unayozungumzia hayo ya wengine.
@samdankanndekelo3459
@samdankanndekelo3459 3 жыл бұрын
Bora huyu... Kuliko nchi nyingine et andamaneni afu yenyewe hawaonekani😂😂😂😂😂
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 3 жыл бұрын
Yap😂😂😂😂😂😂😂
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kabisaa
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Upo sahii Sio wale wakisema tuandamane wao na familia zao wanakaa sebuleni wakiangalia kinachotokea huyu ndio alikuwa mwamba kweli
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 жыл бұрын
Nakuunga mkono. Kuna mmoja nchini Tanzagiza yeye alikuwa hana uwezo wa kurusha hata ngumi hewani lakini kwa kujifalagua sasa mara avae kombati za jeshi mara atishe watu mwisho alivyoondoka ni aibu.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kitindifredy9436
@kitindifredy9436 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana story hii..ndyo maana nawaamin wengne wanatchosha t hum
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
That is payment for the rulers , better being a LEADER rather than being a RULER. IRON SHIST
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 3 жыл бұрын
Bro upo vizuri aisehh
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 3 жыл бұрын
A real soldier!
@unclesele4104
@unclesele4104 3 жыл бұрын
Tamaa izo hakurizika
@allymapinda8804
@allymapinda8804 3 жыл бұрын
Ukitawala kwa chuma utatolewa kwa chuma. Malengo yake hayakuwa mazuri kwa taifa lake, alikuwa ni greedy sijui kwa nini huwa hawajifunzi hawa🤷🏽‍♂️
@aliakbarfazal3673
@aliakbarfazal3673 3 жыл бұрын
Unasimulia vizuri sana ubarikiwe 🇹🇿
@makenakendi282
@makenakendi282 3 жыл бұрын
Haujui story
@burundirwanda1583
@burundirwanda1583 3 жыл бұрын
Real Hero 🇹🇩
@abdiazizahmed2476
@abdiazizahmed2476 3 жыл бұрын
Best leader ever
@victorsanga2229
@victorsanga2229 3 жыл бұрын
30 yrs in power what could you expect, No man rule alone!
@esthermwaibasa4778
@esthermwaibasa4778 3 жыл бұрын
Siku zote Mungu hapendezwi na wenye kiburi anawaondoa na viburi vyao,tunapoishi duniani tuwe wanyenyekevu kwa watu
@msafirikilongo2836
@msafirikilongo2836 3 жыл бұрын
Rest in peace command deby
@jamesndege1393
@jamesndege1393 3 жыл бұрын
Big up @amini likonde
@MwalimuRichardMwangi.7202
@MwalimuRichardMwangi.7202 3 жыл бұрын
Travel well my brother
@raulentisilivester2371
@raulentisilivester2371 3 жыл бұрын
Jaman alikuwa akipambania nchii yake apumuzike kwa Aman mwanae aifikishe nchi pazr
@mzeeclaud
@mzeeclaud 3 жыл бұрын
👉Huu jamaa alikuwa na 《Pete ya Mareshal》kama 《Mobutu 》wa Zaire enzi hizo,《Idd Amin》 wa Uganda,na 《Bokasa 》wa centre Africa. 👉Hawa maraisi walikuwa wababe From A to Z. 👉Kila nafsi lazma itaonja kifo 👉Sisi wafrika tunapenda sana kuitwa waheshimiwa,tunapenda sana Kusifiwa...utukufu.
@abdulkadirali3859
@abdulkadirali3859 3 жыл бұрын
Njamena usiombe kufika huko ni baina ya kifo na Masha
@ijueimanikatoliki980
@ijueimanikatoliki980 3 жыл бұрын
Auae kwa upanga Naye atauawa kwa Upanga
@salamaseif4032
@salamaseif4032 3 жыл бұрын
Kaka nimeipenda xana hii
@kipronomwafaka6215
@kipronomwafaka6215 3 жыл бұрын
Heri uyu Mara mia kuliko Raila wa Kenya anaambia watu andamaneni alafu yeye haendi anakaa kwake
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Dikteta akifa poa tu
@alawyjr4741
@alawyjr4741 3 жыл бұрын
Tumekua tukidanganywa na wazungu na bado mpaka leo tunadanganywa....
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Unamaanisha nini?
@deniskawala1873
@deniskawala1873 3 жыл бұрын
Deby mnyama
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
Chadeee
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 3 жыл бұрын
Atakuwa aliiba kura
@salamaseif4032
@salamaseif4032 3 жыл бұрын
Ukipita kwa nyembe utanyolewa na nyembe wacha wamnyowe watu wale bata
@victorsanga2229
@victorsanga2229 3 жыл бұрын
Kama kawaida ufaransa ashatia kieleele chake, eti yupo pamoja na mtoto wa Deby! Fool France, uroho wenu wa madaraka utaigharimu Chad
@husseinjamal959
@husseinjamal959 3 жыл бұрын
Museveni akifa pia atarithiwa na Mwanawe .
@stonetown578
@stonetown578 3 жыл бұрын
Naona story za Tz hamtowi 😎
@colinmhema530
@colinmhema530 3 жыл бұрын
Nawashangaa hawasemi kilichotukuta kwenye mitano iliyopita
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 3 жыл бұрын
Ma Rais walio ingia madalakani kwa mapinduzi, huwa hawatoki madalakani kwa Demokrasia, mbaka Uwa pinduwe ndio Uwatowe Madalakani.
@mangofish9079
@mangofish9079 3 жыл бұрын
Tusiwe na double standards hata karume alitawala znz kwa mkono wa chuma hata kama hayasemwi wazi wazi na hayo unayo sema ni kweli ndio mana karume alipiga marufuku vyama vya siasa na alikua rais mfalme
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 жыл бұрын
Urithi wa utawala Africa ni jambo la kawaida.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Ame kufa kama alivyo ishi
@muhammadochenje4610
@muhammadochenje4610 3 жыл бұрын
Lakini waafrika tutaamka lini?hawa waasi ulipwa na upangwa na wazungu na washirika wao lakini hayo hatuyaoni kazi yetu ni kupokea historia za urongo kutoka kwa wazungu kuwachafulia jina viongozi wetu na kuwasifu wao
@wanyooshetv9987
@wanyooshetv9987 3 жыл бұрын
Nikweli ndio kawaida ya hao jamaa
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
HILO MIE NAKATAA SIO KWELI HAWAPANGWI NA WAZUNGU NI ULAFI WETU WAMADARAKA NA UBAYA WAROHO NANI KWAMBIA ATAWALE MIAKA 30 UJINGA TU TULIONAO WATU HAWAKUTAKI TENA WE WANGANGANIA KWA NGUVU HALAFU TUSEMA VIBARAKA WAZUNGU
@alawyjr4741
@alawyjr4741 3 жыл бұрын
@@hamiarseif7299 bro ww ni nani kakwambia mwisho wa kutawala ni miaka 10?? Acha kukariri mzee
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
@@alawyjr4741 KATIBA YETU MBONA TAYARI WALIKUWA WAMESHAANZA HASHUO AONGEZEWE MUDA BASI NAHUYU SAMIA NAOONGEZEWE MUDA
@alawyjr4741
@alawyjr4741 3 жыл бұрын
@@hamiarseif7299 katiba yetu sio ya kwao kwahio usidhan katiba ya tanzania ndio katiba ya dunia nzima mbn china katiba yao rais ni mpaka afe na wanaenda fresh tu
@uhurusamora860
@uhurusamora860 3 жыл бұрын
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Ni kweli ukiua Kwa upanga nawe utakufa km mende
@francisjohn7024
@francisjohn7024 3 жыл бұрын
Wanasiasa wengi ndo wanaosababisha machafuko kwa uchu wa madaraka
@Mwanaume676
@Mwanaume676 3 жыл бұрын
Huyu ni mchezo wa ndani
@tobiaschuwa4307
@tobiaschuwa4307 3 жыл бұрын
Upo vizur kaka
@tobiaschuwa4307
@tobiaschuwa4307 2 жыл бұрын
Good
@gatheekamuranga830
@gatheekamuranga830 3 жыл бұрын
I suspect he was killed by his son
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
NA SISI. TULIKUWA TUFANYWE KAMA HIVI LAKINI MUNGU HAKUTAKA KATPENDA SANA
@nikodemuschacha
@nikodemuschacha 3 жыл бұрын
Mungu katujibu maombi yetu watanzania mapema sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 nchi nyingine wanakaa na watu kama hawa miaka adi 30..MUNGU ni mwema sana
@fortunatuskapinga5250
@fortunatuskapinga5250 3 жыл бұрын
@@nikodemuschacha nawe mungu kakuona hutaleta matatizo hapa duniani siku zako hakutokuwa ndefu nawe hutakufa
@nikodemuschacha
@nikodemuschacha 3 жыл бұрын
@@fortunatuskapinga5250 mi hata nikifa leo hamna tatizo...kikubwa mungu kaondoa ili tatizo ambalo lingeathiri vizazi vyetu vijavo ...Tanzania kua katika mikono salama ilo tu kwangu ni kheri
@joramudaudi5373
@joramudaudi5373 3 жыл бұрын
@@nikodemuschacha huna akili ww...na hujitambui
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
@@nikodemuschacha jirani zetu Uganda wanakoma
@alphoncembasa1775
@alphoncembasa1775 3 жыл бұрын
Duuuu. Muosha , huoshwa
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
NIBORA AUWAE HAWA HAWANA ADABU NIWASHENZI
@kelsamtv5529
@kelsamtv5529 3 жыл бұрын
Muh
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 3 жыл бұрын
Acheni kumchafua mbuzi nyiee
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 жыл бұрын
Kwakweli muosha uoshwa,
@twaariqahmad7249
@twaariqahmad7249 3 жыл бұрын
Gaddafi mwenyewe mnamjua vzur au ndo mnaleta propaganda za kimarekani hap Acheni kunyakunya maneno tu
@levissamweli9005
@levissamweli9005 3 жыл бұрын
Amevuna alichopanda ila waliobaki hawajifunzi.
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 3 жыл бұрын
WAKIWA madarakani hujiona MIUNGU WATU,MUNGU HADHIHAKIWI,UKIUA KWA UPANGA,UTAULIWA KWA UPANGA
@mabolokituyi5781
@mabolokituyi5781 3 жыл бұрын
He was killed by his soldiers
@msetikebwasi1469
@msetikebwasi1469 3 жыл бұрын
Mbona anafanana na kamanda mambo sasa !!!!.
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 3 жыл бұрын
Kweli
@andresmartin6332
@andresmartin6332 3 жыл бұрын
Binamu yake
@deniskawala1873
@deniskawala1873 3 жыл бұрын
Bado museven
@rugambasamuel6836
@rugambasamuel6836 3 жыл бұрын
Sauti yako wewe mtangazaji inakera sana, si uongee kawaida tu !
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
😂😂😂
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
Inaudhi kuisikiliza
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Mbona hii ndo nzuri. Kwanza inasikika vizuri sana.
@kalimazegeli9339
@kalimazegeli9339 3 жыл бұрын
Unataka aongee kama shoga? Mbona mnakua watu wa ajabu saana, kwanza amekulazimisha uisikie?
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 3 жыл бұрын
@@kalimazegeli9339 yaani mie nawashangaa sana ety mtu anaacha kazi anaanza kumponda mtangazaji wabongo bwana .
@mwinyimtoro5430
@mwinyimtoro5430 3 жыл бұрын
Wapi gukun wedeye?
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 3 жыл бұрын
Amevuna alichopanda
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
Hiyo sauti ya mtangazi 🤮
@magigemakuri2515
@magigemakuri2515 3 жыл бұрын
Sauti mbovu
@colinmhema530
@colinmhema530 3 жыл бұрын
Grobal nyie ngojeni mnamsema raisi mmbabe aliongoza kwa mkono Wa chuma mbona wakwenu mliekuwa mnamshobokea hammsemi ana utofauti gani na huyu
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 3 жыл бұрын
Duu mbuzi kafia kwa muuza supu
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
WALIKUWA HAWANA UCHAGUZI KAMA SISI ALIVOTUFANYIA MAGU MWAKA HUU
@hamedmohammed8912
@hamedmohammed8912 3 жыл бұрын
Hhhhh
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 3 жыл бұрын
Ubabe Umemponza Idriss Deby.
@onesmoduxo9575
@onesmoduxo9575 3 жыл бұрын
Weewe hunaa akilii unae semaa ubabe ume mponz
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 3 жыл бұрын
@@onesmoduxo9575 Wewe ndy huna akili,katumwa aende Front, kama sio ving'ang'anizi wa Madaraka.
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
Ameuwawa na mabeberu
@jegelskermig15
@jegelskermig15 3 жыл бұрын
👍
@georgethomasi3741
@georgethomasi3741 3 жыл бұрын
Siokweli
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
@@georgethomasi3741 leta ushahidi kama siyo ukweli, Dunia yote inajuwa bali wewz ujuwi😀😀😀 uliona raisi wa ufaransa gisi alikuwa anacheka na mtoto wa marehemu??? Je umesikia umoja wa Africa umesema nini leo kuhusu utawala wa kijeshi unaongozwa na mtoto wa marehemu ??
@georgethomasi3741
@georgethomasi3741 3 жыл бұрын
@@blueeyes5952 aomnaowaita beberu ndio ao ao waliokuwa wanampa kiburi cha kupambana na magaidi
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
@@georgethomasi3741 ulishaona urafiki wa mabeberu njo magaidi wenyewe, hauezi kuwaelewa sela zao , mpaka uishi nao. Shida kwenu wanaingiya kama watali kumbe ni wapelelezi wa mali asili za nchi. Swali wale magaidi nani njo anawauzishia silaha za kivita?? Pale njo utajuwa mabeberu hawatupendi ,
@totodavis1949
@totodavis1949 3 жыл бұрын
Tamaa ya viongozi inaaribu African , kiongozi pekee tuliepoteza African ni baba magufuli mola ailaze roho yake pema peponi
@mangofish9079
@mangofish9079 3 жыл бұрын
Yeye mwenyewe pia alikuwa na ndoto za kubadili katiba aendelee kuongoza kama walivyofanya akina kagame na dalili zilikuwa zinanza kujionesha.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Yani magufuli angebaki uraisi hadi tufe
@mangofish9079
@mangofish9079 3 жыл бұрын
@@ilynpayne7491 sisemi hakuwa kiongozi mzuri lkn hili la kuwa alikuwa dikteta mwenye ngozi ya kondoo lkn kwa ndani ni chui pia litasemwa
@joanithageorge6434
@joanithageorge6434 3 жыл бұрын
@@mangofish9079 nakuunga mkono alikuwa dikiteta
@neemasondobi1560
@neemasondobi1560 3 жыл бұрын
Dickteta hamjui maana yake...
@debbymwaka4048
@debbymwaka4048 3 жыл бұрын
Jesh kamili
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
ndyo ilivyo
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
NA SISI TULIKUWA TWATAKA ONGOZWA KIDIKTETA KAMA HIVI LAKINI MUNGU KATUNUSURU
@fortunatuskapinga5250
@fortunatuskapinga5250 3 жыл бұрын
Hinaonekana hutakuwa hunakumbukumbu fupi na matatizo ya hakiri,
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
@@fortunatuskapinga5250 Komwe yako
@goodluckmbondo6224
@goodluckmbondo6224 3 жыл бұрын
Acha ujinga wew
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 3 жыл бұрын
@@goodluckmbondo6224 nenda ukoo yuko wapi dikteta
@emanuelkenethkanyela9137
@emanuelkenethkanyela9137 3 жыл бұрын
Hamiari seif unajua maana ya udikteta au una comenti ujinga tu hila za wazungu ndo zilivyo
@unclesele4104
@unclesele4104 3 жыл бұрын
Tamaa izo hakurizika
FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia
13:34
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 103 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 88 МЛН
KWAME NKRUMAH: Rais Aliyeoa Mke Asiyemjua Kuiunganisha AFRIKA!
13:52
Global TV Online
Рет қаралды 413 М.
HISTORIA YA KAGAME / RAIS ALIYEITOA RWANDA MACHINJIONI!
28:28
Global TV Online
Рет қаралды 536 М.
HAILE SELASSIE: Mfalme  Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!
16:02
Global TV Online
Рет қаралды 900 М.
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 422 М.
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Global TV Online
Рет қаралды 927 М.
Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.
1:03:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 107 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН