Hakika mkumbo wewe nakukubari Sana majembe ya mama laisi wetu kipenzi mungu ajarie Sana
@bitutuatemba216419 сағат бұрын
Hon Makonda hoyeeeeeee# my bro Paul tuko pamoja
@FahmiNassor19 сағат бұрын
Jamani kila siku nasema MAMA SAMIA TEUWA MAKONDA KUWA WAZIRI MKUU, JERRY SLAA WAZIRI WA AFYA,JUMAA AWESO WAZIRI WA NISHATI MAMA SAMIA UTASTAREHE
@allyfutto876314 сағат бұрын
Very true makonda ni Jembe
@josephmajembe309019 сағат бұрын
Aaa hapo kwenye kipaumbele cha kwanza kilimo ivi inawezekanaje mtu kupata degree ya kilimo SUA alafu hajua hata namna ya kuoperate powetiller? Prof majibu.
@user-qh9jt7rm1x19 сағат бұрын
Makonda ni jembe piga kazi kiongozi shughulikia hao wanyonyaji
@lucascosmas90816 сағат бұрын
Mwamba au kiongozi makini pia ana ubaya na TAIFA kiujumla Paul makonda apa spana tu😊
@fredrickbaryagati219419 сағат бұрын
Bado unataka makofi fanya kazi usipende makofi yatajireta tu .erimu yako bure
@jacksonbarnaba908819 сағат бұрын
Hizi chanel zimekua nyingi mpaka hawana muda wa kupitia walichokiandika. I mean hawana wahariri. Mnaandika haraka haraka muwe wakwanza kupost😢
@user-ue4yx2ql3m14 сағат бұрын
Kwwl
@fr.edgarngowiosa659919 сағат бұрын
Consolation of the fools!
@RubenMtuwaMungu-bz8ee16 сағат бұрын
Viongozi wetu acheni uongo nyie ndiyo kikwazo kwa maendeleo ya taifa imagine mmeagiza sukari zaidi ya naksi harafu bado mnajigamba kwamba muda si mwingi tutajitosheleza kwa uzalishaji kivipi? Kuhusu kuongeza thamani kama kweli mngekuwa na nia ya dhati kwanini mnasaini mkataba wa kuuza mahindi Zambia badala ya kuwauzia unga?