.................. Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii Instagram, Twitter na Facebook
Пікірлер: 17
@kaundasutikaunda776913 күн бұрын
Mungu azidi kukulinda Mh. Makonda.
@EshaSalimAlly12 күн бұрын
Mh makonda mungu akulinde
@laylayl516612 күн бұрын
Mungu akulinde makonda huo mkowa wa Arusha niwatu wenye roho mbaya mnoo hata hofu yamungu hawana kabisaaa pesa kwao ndio wameona zinafutiamaovu yao
@NjuuAugustino11 күн бұрын
Mungu tusaidie peke yeti hatuwrzi!!!! Dunia inaeda Kasi sana
@gladnessmunisi318310 күн бұрын
Hayo maneno ya mwisho hapo kwa Mh yamenigusa sanaaa Very wise 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@radhiasalum715612 күн бұрын
Hapo mkamatemi uyo mume anaishi nae atakupeni habari.kwa upande wangu sijui kama mtu anatoka mbali.mtoto hato kuwa na nguvu ya kumwaribu mschana😢😢
@allyfutto876312 күн бұрын
SubhanaAllah
@sarafinasinkonde27118 күн бұрын
Mwangu karawitia lakini kesi imezimwa kimyaa cjui hii serikari yet cjui nifanyaje Nini kinaendelea mtoto amelawiti harafu naishi ma hofu duu inauma jamani usikie.kwtu kesi imezimwa kimyaaaa 😢😢nimeghalamika kila siku natembea natembea hakuna haki Tanzania Ina watanzania wake naumiaaa
@HamisMghuna-fj3vz12 күн бұрын
Walikula hella, police
@ezekielmabwai461410 күн бұрын
Kwani happy ni mahakamani? Nchi hii IMEOZA, INA MAFUNZA Mihimili yote. Hasa mahakama na polisi.
@1stladyafrica40213 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏
@elizalutiga628711 күн бұрын
Looooooh
@nayopamlimbatv138212 күн бұрын
Tarehe 21 mwezi wa 3 mwaka 2024 ilikuwa cku ya Alhamis siwezi hisahau iyo cku nilipoteza mtu muhimu sana kifo kilimchukuwa iyo cku saa 12 jioni
@Goldenbutterfly-hk1hp12 күн бұрын
Pole sana ni nani uyo mpenz
@halimoabgal503910 күн бұрын
Pole sana
@lukomanomaliki544212 күн бұрын
Utakubali vipi mwanao alawitie,nenda kwenye sheria ikishindikana msomee Albadil huyo mtu awe chizi au afe ngoma iwe droo.
@user-nr6nn8nb9j13 күн бұрын
Ivi jamani uyu mtt tunaeambiwa alikua anapigwa na bwanaake anaumrigani na huyu bwana anaumrigani???