Ali Karume, Jenerali Ulimwengu, Hamza Kasongo na wadau wengine wafunguka kwenye mjadala wa siasa

  Рет қаралды 28,246

Weyani Tv

Weyani Tv

7 ай бұрын

Mjadala wa masuala ya siasa na utawala bora uliofanyika kwenye Kongamano la Kumuenzi Maalim Serif Zanzibar.

Пікірлер: 50
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 7 ай бұрын
Wanasifiwa watawala wakati nchi imejaa dhiki na njaa
@solomonadams6337
@solomonadams6337 7 ай бұрын
Jeneral Ulimwengu good English come out through your mouth 💯👌,I am proud ov you.thankx
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Thanks for watching
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 7 ай бұрын
Kweli kabisa General .Hizo sifa na shukrani kwa rais kupeleka mahali fulani kana kwamba hela anatoa mfukoni kwake inachefua sana . I'ts too much inaudhi sana
@hajihassan5433
@hajihassan5433 7 ай бұрын
Na utachefuka sana, mbona mambo yakienda tofauti anatukanwa Rais.
@kaslali2039
@kaslali2039 7 ай бұрын
Maraisi wetu sio viongozi ni kikundi cha majangili kilichowekwa na wakoloni ili kulinda maslahi ya ukoloni mamboleo hatuwezi kuendelea kama hatujajikomboa
@1961nungwi
@1961nungwi 7 ай бұрын
The unthinking to think a little!😊
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Gwanda la kijani ni kama kaongea hewa
@adambairu8362
@adambairu8362 7 ай бұрын
Kuna Watu Nchi hii wanadhani wao Wana HATI miliki ya kujua zaidi ya wengine. Unfortunately they have been there from time in memorial. Bado wanajifanya wanajua. Ujuaji wao tangu enzi hizo umesaidia Nini. Hawapoi kwasababu wanadhani wao TU ndio wanajua Kila kitu. Huo ni ubinafsi. Wawachie vijani wachomoze mawazo Yao. Tumewachoka wapumzike.
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 ай бұрын
Wataje ni akina nani hao. Vinginevyo unapiga majungu tu.
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Yamejaa vitambi tuu vya hela za kodi za watu😢😢😢😢
@albertkamala6843
@albertkamala6843 7 ай бұрын
Jenerali>Brilliant as always Courage In Adversity (CIA). >Speak truth to power (STP) ni mabadiliko (CHANGES) yanayochelewa/yaliyochelewa kutokea..matokeo mambo hayaendi! >Kukiri tunafanya makosa...kunaonekana! >John Maynard Kanes...words need to be a little wild..
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Hongera kaka kwa umakini wako👍
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 7 ай бұрын
Wanasifiwa watawala wakati nchi imejaa dhiki na njaa
@ibugharib389
@ibugharib389 7 ай бұрын
Mjadala mzur lakini hayo yote yaliyoongelewa Ndio yanaishia hapohapo tu hamna utekelezaji wowote ule hususani maneno maxur ya Salim Saïd na General Ulimwengu
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Changamoto
@adambairu8362
@adambairu8362 7 ай бұрын
The reward in life is determined by the quality of the product or services The young generation want to enumerate what the seniors have done and achieved. Tabia haifundishwi inaigwa. Kukosoa TU day in,day out, hakujengi. Criticism a lone is a wrong route to success.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 7 ай бұрын
Tatzo pamoja na kukosoa hakuna kinachafanyika, inakua km kumpigia mbuzi gita
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Tuambie wafanye nini kingine?
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Kwakweli ni shida
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 7 ай бұрын
​@@WeyaniTvonlinetuache maneno na uwoga tuonyeshe vitendo
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 7 ай бұрын
Ulimwengu wewe ni kichwa 💅💅
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Sana
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 7 ай бұрын
These oldies should shut up, they said nothing under Nyerere, tulikuwa na watu kizuizini, wengine walifia humo. Hamukusema lolote, acheni kutudanganya. Jenerali was a youth Ambassador overseas for many years then DC, acheni kutudanganya nyinyi. Walofungua midomo waliswagws kizuizini. Security forces were everywhere including in offices. Was horrible. Even Hon Babu aliswagwa ndani. It was more than idi amin. Leo, hakuna mtu kizuizini, watu wanaoelekwa polisi. Kaeni kimya nyinyi.
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Dooh🙆
@athumanmapunda
@athumanmapunda 7 ай бұрын
Twaha ulimwengu uwe na adabu ya kuongea kwanza weeesio raia wa Tanzania
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Watu wametoa point nzuriii. Anakuja wa kijani anatoa pointless
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Yaani😃
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 7 ай бұрын
Wakoloni watatokea humuhumu kati yetu sisi wenyewe aliwahi kusema hivyo KwameNkuruma
@zuwenahamoud6690
@zuwenahamoud6690 7 ай бұрын
uko Tanzania sema kiswahili.au wewe si mtanzania
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 7 ай бұрын
General ulimwengu anafaa kuwa msaidiza wa Raisi kwa hekima ya maneno yake
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Maneno yenye manufaa. Shukrani kwa kujiunga nasi
@malkavoice2570
@malkavoice2570 7 ай бұрын
Generali anawachana live bila kupepesa macho na ndio haki na usawa unaotakiwa hatakama mtampuuza ila haya maneno mtafukiwa nayo watawala yatawachoma moto vzr sana kama mnaamini dini zenu
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Asante kwa maoni yako
@humoudali530
@humoudali530 7 ай бұрын
Kwan lazma muongee kizungu wakati nyinyi ni watu weusi wa Tanzania
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Jamani wanakijua ndo maana wanaongea😃
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 ай бұрын
Wewe ongea kiswahili chako waache wao waongee kiingereza.
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Hapa wenzetu wa magwanda ya kijani wajisikie aibu na wabadilike
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Naam, somo wamelipata
@NeemaLieda-qz3kd
@NeemaLieda-qz3kd 7 ай бұрын
ili upate chakula huko ccm sifia hiyo rais
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 7 ай бұрын
Nchi yetu ni ya kidictoter mnataka hamtaki ndivyo ilivyo Mfumo wa uchaguzi ni wakidicteta Under ccm leadership system of election is for dictatorship why because police control ballot box and ccm gavment election official pointed by exelence president Samia sluu Hasan under ccm lntanol ground force can any politician got saporter win election easy forget about that election anless Tanzania and religious leader opposition odinary people rengforce unity to get new costuetion and free team organization of election can Tanzania population choose leader wich Tanzania population want without been force by police let ccm member got lnto gavment by police backing
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Asante sana kwa maoni yako
@nkondokubini7618
@nkondokubini7618 7 ай бұрын
Hivi Sisi watanzania ni na katika Mazingira gani tunaweza kufanya kitu kitu kwa akini kwa mfano angalia hao washiriki wanapiga Soga hapo mbele wakati Generali anaeleza Mbo mhimu yenye Elimu ndani yake wao wanazungumuza yako tu.Angalienni huyo mzungu anavyosikiliza kwa Makini na kufatilia kwa makini
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Kwa kweli ni kero. Yaani watu hawasikilizi mambo ya maana wanapiga soga tu🙄
@festokemibala5832
@festokemibala5832 7 ай бұрын
Unashangaa baadhi ya washiriki kupiga soga kama vile hufuatiliagi bungeni kuona wakati hoja inajadiliwa lakini baadhi ya wabunge wao wako busy na story hata wengine wanchat!! This is Tanzania ambapo twatenda tusiyoyaamini na kuamini tusiyoyatenda (zilingwa mbali....)! Subiiri uone hiyo dira 2050 uone kitakachowaziwa na namna tutakavyosimamia utekelezaji wake, no correlation!
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 7 ай бұрын
Mjadala mtamu saaana
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 7 ай бұрын
Kabisa
@adambairu8362
@adambairu8362 7 ай бұрын
Urais ni Taasisi. Hapo Jenerali amebugi. Urais sio one man show. Yeye ana concept ya kudhani kuwa Rais Hana wasaidizi. This is wrong.
@stewartmlanga1263
@stewartmlanga1263 7 ай бұрын
Hukumuelewa. Msikilize upya na kwa makini.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 14 МЛН
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,7 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 38 МЛН
Jussa atuma salamu nzito kwa ZEC na Rais Mwinyi
53:20
Weyani Tv
Рет қаралды 10 М.
Ufeminia ni Nini?  | Jenerali Ulimwengu Exclusive On The Chanzo S12
52:28
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 14 МЛН